TIKTOK |3| FINAL
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2024
- #Bhailam#Naomy
⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Subscribe to Comedy Plus: / @comedyplustz
Like Ukurasa wetu wa Facebook : profile.php?... - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
Me wamwisho 😂😂😂nataka like zangu na pia pongezi kwa kazi mzr unazofanya ongeza juudi utafika bali brother tunakupenda mashabiki zako😊😊😊😊
Bhailam mafunzo mazuri Sana hongera
Bailam nakupenda sana kwa kazi yako nzuri
Jamani mzee Simba mbona unamauno kuliko mm 😂😂😂sijapendraaaaaa😂🙌likes zangu msikose kunipa
Achia kazi nyingi nyingi tuta saport 😮😂😂http
Kazi nzuri bro bhailam Naomi and the rest of you big up sana
Bibi ya bhailam kila siku anauliza kosa lake liko wapi,khaa! Bamkwe nae ana mauno hataree😂😂😂...kazi nzuri sana bhailam na team yako 🎉🎉🎉
🤣🤣🤣🤣🤣
Mm wapili from Kenya 🇰🇪 nawakubali guys congratulations
Nishatokea jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
We jamaa ni dunia sijawai ona
Kama unamkubali mwamba mpeni maua yake yakiwa kwenye ishala ya like
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉
Bhailam nawe ay likua waendap n mim lkua nanglia mauno ya mzee simba😂😂😂😂 Ila Team Bhailam nawakibali san Wallah Allah awajaze Afya njma🙏🙏 🇰🇪🇸🇦
Hii Chemistry ya uyu dada na bhailam ni mzuriii sana
Nimempenda bure❤❤❤
Mzee Simba unayarudi balaa
Kazi nzuri sana bro umemaliza vzr
😂😂😂😂 jamani daa bailam Umeamua Mara hii
Bailam kweli we ni uzao wa cl.v unajua mwamba🎉🎉🎉🎉
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 leo nimewai
Great thing 🎉🎉
Wakwanza jaman mara hii naombeni Likes zetu km hamto jali Team Bhailamu
Hatujari Wala nin like kama zote
Ududu n mwingi kwn ilikua Hain mwendelezo kwn Kaka bhailam
Imeisha
Jaman huyu mzee simba haishi vituko🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Jamani mm nacheka tu ba mkwe acheza taarabu
Wakwanza kutoka Dom ser lake zen jamani❤❤🎉
Wakwanza Mimi hapa kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮 nipe likes zangu please
I bet bhailam your favorite actor was kanumba. I heard you used one of his Fraize, Ngoma ikivuma vuu vuu vuu vuu..
Nakukubali sana brother keep moving
Wapili leo naomba like jamani hata siku moja sijawahi kupewa like 😢
Mimi Leo wakwanza from Mozambique Like apo kama unaipenda
Move ikiwa tam ikifika final hata sipend 🤣🤣🤣🤣
Kama upo kabisaa😂😂😂😂
Mke wa Bhailam ana aibu 😊
Kabisa hana heshima na mumewe
@@user-xo7ns7bc8c sijasema hana aibu. Nimesema ana aibu. Ndo mwanamke anatakiwa kuwa vile. Mengine mabaya wazazi wake ndo wamemuendekeza.
Asante nimefurahia sana na mwisho movie.mumeimaliza vizuri Mwenyezi Mungu Awatie nguvu muzidi kung'aa
Toka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🥰💥💯 turikumwe 5/5 guhera kuri episode 1-3 you are my. Inspiration
Asante kwa kazi bhailam wetu, lkn tunaomba utuleteye my love❤ season two❤ niliipenda kinoma❤❤😊
My love iliisha si staring alikua n bailam na alipigwa risasi akafa
Mzee simba 😂😂😂😂we kiboko wallahy mungu akujalie ukaribie mzee marhum king majuto
First one to watch it 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪love you bhailam
Asante sana Bailam maana ata uku kwetu kuna mdada ameachua kisa tiktok Asante kwa fundisho from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Mzee Simba unajua kucheza
Mze Simba anaweza n'a baliam
Like kwa mzee simba jamani maana co kwa mauno hayo ya taarabu jamani
TikTok sio nzuri mazee Kwa Wana ndoa,,,,big up💪Kwa mafunzo poa
Wakwanza mimi jaman nipewe like zangua 👑❤❤🙏 Team Bhailam
Mimi wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮 naomba subscribe na like
Wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tujuane kwa likes please 🙏🙏alfu tu show love kwa kazi zawenzetu wa tz❤❤😊
I love them all
Final tiktok 🔥🔥🔥🙏
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hata hiyoo nikweli upandee wamaokotoo kudanganyaa nilzm😂😂
Kazi nzuri nawa penda sana mno 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kazi nzuri.bro wewe ni Kanumba mtarajiwa bhailam
Much love from saudi ❤❤❤❤😂😂😂❤
wa 48 from Tanzania nakukubali bhailamu natamani niwe kwenye team yako na mm
Taamuuu sana bhailam umeua sana Asante ❤❤❤
Mkeo balium hana baya nampenda bure yupo vzr. Mashallah
Dah i say Movie nzuri sn yenye mafunzo 👌 makubwa sn kwa wanao elewa Nin mahana ya ndoa,Big up sn 👌 🌹💐 Bhailam kwa kazi nzuri yenye kuelimisha🤝👌🤝.
Nakubali sanaa mzee simba😂😂😂😂weee hadi rahaa❤❤🎉😂
Nice one daacha 🎉🎉🎉
ndoa ni kuvumiliana na kueleweshana👍
Asante sana bhailamu kwa mafunzo mazuri ❤
Nzuri sana🔥❤🇹🇿
You kill it 🎉
Wakwanza leo nipen like zangy🎉🎉❤
Leo nimewahi fast comment liks za me naweza ku get
But mzee simba ameongea kweli wanawake wako hivyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂so unasema nusu bin nusu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mafunzo mzuri sana. Learning lesson 😮
Safii sana hongerani
Ila uyu mama nae namkubali sana mzeee man'ganya pia
😂😂😂😂😂😂😂mzeee simbaaaa umetisha
😂😂😂 mzee simba dah
Wakwanza kutoka USA ❤
Kaz nzur Allah awazdishie nguvu mufanye Zaid ya hiv tumejfunza kitu
Mbona final mapema sana😢
Bhilam unajuwa sana🔥
Imetisha sema unyama mwingi❤❤❤😂😂
Mzee simba mshenzi kweli😂😂😂😂😂😂😂
We hii NI zaidi ya utamu😅😅😅 mauwa wenu tiktok
Huyu mama kafanana kweli na Jojo cjui ni mamaake mzazi??
Kweli. Tena mzuri sana
Eu gostei muito
Ata mimi nilitaka kusema kasio mama ni dada yake wamefanana sana majojo sana
@@aaminaasljbgbvf745 kweli
Kanz mnzuli❤❤
Umempeleka wapi lecho jaman hatumuon kwenye mov zako
Haaaaaaaaaaa❤ baba mkwe kakikata😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Anaitwa Mzee Simba 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳❤😂😂😂😂😂😂 Mzee yuko swa
Wooow❤❤❤jamani Duniya imeiaha
❤❤❤❤kz nzuri sana 🔥
Kali sana
Tusaidiane sis wote
Mzee simba unayarudi kwakweli upo vizuri
Dah mambo mtu ambae hajaolewa hayo
❤❤❤ TIKTOK
Bhailam uko Vzr 🎉🎉🎉
Kaz safi san wallah❤❤
Thank you dear bailamu
Kenya Watching, twapenda
mimi apa leo ndungu zangu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥
Always ♥️ 🎉❤
Nice 🎉❤ mm pia nitaacha tiktok ❤❤
Ah mzee simba unamambo
Mnaburudani nyiee❤❤ muko vizur
Aibu tu
Team Bhailam Salaamareko 👋👋 ❤❤❤❤
😂😂😂😂 bailam kaowa kwenye familia ya tiktok
😂😂😂😂😂
Yani nimecheka kama chizi😂😂😂😂 juu ya kukatika huyu mzee simba
Bien fait ❤❤🎉🎉🎉
TikTok
Ududu mwingi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂