pamoja sana mkali jux ....kiukweli ngoma yako ipo pouwa kinouma .....jua umegusa visa na mikasa ya jamii ya mapenz tena hasa ya kitanzania ...so kikubwa ukaze to bro maisha ya mziki bado yanakutaka uwe mbunifu zaid,
aiseee!!! Jux, hakika huu ni bonge wa wimbo.. Bob Manecky huwa anakupatia sana kwa style yako ya uimbaji.. usibadilishe, nyimbo zako zote tolea hapo hapo... all in all, good work #Jux
Hii nyimbo leo nimeirudia zaidi ya mara 10 najifikiria sna jux sikuhyo alikuwa ameamkaje maa na jamaa alitulia sana ,na ukijumlisha leo holday hadi burudan
niskize ninavyo imba na pia ninavyo piga gita naona watu wamependeza face zao zime jaa furaha najua ujui leo hii kita tokea nn I do this for u juma juma unajua bro much respect bro
Jux is the best absolutely. Voice on point, beat on point. Always. Never misses. For the lyrics idk bc I don't understand swahili, but I'm obsessed 😅 Thank you for employing your talent Jux
Bro Big up aisee u real rock for this song.. nakufatilia kitambo for real ujawahi kosea even though hata show zako hapa bongo sijawahi kosa hata moja yani LIVE LONG JUMA👊
big up Jux Nawakubali sana Wanamuziki wa Rnb hapo Tz upande wa Bongo Bifu Wanahama Mara Nigeria style, Mara Dr.Congo style Nawakubali Wanamuziki wa Rnb sana Asante @Arizona phoenix
Kiukweli kaka jux hapa umenitisha sana, kept repeating this dubwasha old-sport, umetukumbusha enzi zako. Glad you back RNB Genius! Looking forward to this becoming jiwe la wiki soon....
I don't understand why this song is not a top hit
Umenikamata we umenikamata ❤️🤩aah jamani love is beautiful 😭❤️
this guy is soo underrated .never disappoints
2024 anyone?! ❤
Around ❤
Am here
❤❤❤
Im here❤
Beautiful song
Jux never makes a bad song. Hands down one of my favourite artists
Sure he is Dame killing
Na ben pol
Duh tamu kwel ani,Juma respect to u,love u bureee
Kama umemwona Barnabas gonga like... Jux uko juu I'm joining you soon
Kumbe huyu kaka anaweza kweli, leo nimezikiza ngoma zake na zikanipendeza
Umechelewa xn ndg yng kwan ulikuwa unakaa wapi mpk usijue kuwa Jux ana nyimbo nzur
@@josboy5384 Kaka, Sasa nishajua kuwa wewe uko na umanifu kwa utunzaji wa ngoma zinazopendeza na kutia fora, rndelea na huo mtindo Hadi uzeekeee
Unatisha sana jux wewe hatari mnoo..... Big up....
Sanaaaa
pamoja sana mkali jux ....kiukweli ngoma yako ipo pouwa kinouma .....jua umegusa visa na mikasa ya jamii ya mapenz tena hasa ya kitanzania ...so kikubwa ukaze to bro maisha ya mziki bado yanakutaka uwe mbunifu zaid,
That true
I do this for u
every day anytime!!
Y not trus me!!
Omg come on umenikamata really
Good job hugeeeee
Kutokea ndani ya PLUTO PLANET,,sielewi kiswahili ila huyu jamaa tunamkubali huku kwetu..big up Dunian especially TANZANIA
2024 lets gather here🎉❤
kila siku anazaliwa jux mpya na mzk wake unakuwa mpya zaid ya alipotoka! I love the song! daaaah vocal na vinanda vmekaaaaaaaaaaaaa poua!
aiseee!!! Jux, hakika huu ni bonge wa wimbo.. Bob Manecky huwa anakupatia sana kwa style yako ya uimbaji.. usibadilishe, nyimbo zako zote tolea hapo hapo... all in all, good work #Jux
Kuna jamaa Nimevurugana naye ati anabisha Ben pol Anajua.JAMANI JUX NI FUNDI ..
KENYA MARK REGISTER HAPA TWENDE SAWA.HOW MANY LIKES FOR JUX
Jux anajua sana
Shallz Baro nmwambie jux n zaid ya fund yaan hua anaua kbx bro💪
jux mkali mkubwa achatu
Shallz Baro jux zaidi
yoa
This guy is seriously underrated...his music should be everywhere...haven't heard a bad one yet and i've veen listening to all of them
The Saxophone ndo imenimaliza nice blending Jux weee ndo mchizi wangu hit after hit, wale wasio elewa maana ya mziki wako kule kwakina nanihino
Love this song!.. Future classic!🇰🇪🇰🇪
Juma sijawah kuacha kupenda nyimbo zako hata moja wallah, na ctegemei kam utakuja kuniangusha kwa hilo
tisha sanaaaaaaaaaaaa jux na mimi naimba kidogo"umenikamata"
Hii nyimbo leo nimeirudia zaidi ya mara 10 najifikiria sna jux sikuhyo alikuwa ameamkaje maa na jamaa alitulia sana ,na ukijumlisha leo holday hadi burudan
Ni mwimbaji halisi wa nyimbo kali za mapenzi na hisia nzito, napenda sana kazi zako
Nazikubali zote jux,kazi bora kabisa,nilidhan umetoa Jana .music unauweza men!.
Cjui lini ntamuimbia bby boy jmn naupenda huuu wimbo❤
We love Juma Jux from Nigeria.
Juma is our Son Inlaw forever Insha Allah amen.
kali mzee jux nakukubali balaaa hatari mzee baba
kudadadeki zako jux yani ni bonge la video bro huyu hanscana ni shida anajua hadi anakera the number one director in tanzania hongera kwako
Bonge la ngoma kama umeikubali gonga twende
xana
jux uko vizuri sana
Bonge la ngoma. Naikubali brother
kbs
Niceeeee
mnyamaaa jux umetukamata baba kwa jingoma hiliii....respect mzaziii....na point ziende kwa maeneck aseee katishaaaa kwa kimdudooooo
niskize ninavyo imba na pia ninavyo piga gita naona watu wamependeza face zao zime jaa furaha najua ujui leo hii kita tokea nn I do this for u juma juma unajua bro much respect bro
Fran k fran k ngoma kali saana hii Imepenyaa saana
brother hana anacho jua wanatungiwa
Dj Kellz Logic tungiwa na ww uimbe kenge ww
ww ndo unamtungia?
mee
all the way from zturnasdwny nyimboo pendaa sana mimii toka bombay hapa
Kazi safi this song never gets old everyday sounds like a new track
nasikiliza huu wimbo nikiwa Milan yaani siku nzima ya leo nawala sichoki sei bravissimo Jux ti adoro.
big up jux. ni muziki mkubwa sana. fundi fundi tu bana. unajua sana. japo nilitamani kuona hicho unachosema unafanya kwa ajiri yake.
Jux is the best absolutely. Voice on point, beat on point. Always. Never misses. For the lyrics idk bc I don't understand swahili, but I'm obsessed 😅 Thank you for employing your talent Jux
mzee pembe katafuna sana muwa kwenye hilo song,safi sana Juma J. huo muwa wa huyo mzee pembe c mchezo katambaa sana
2020 twende sawa jamn ❣️❣️
jux huwa unajuwa unachofanya ndio maana hukosei. umenikamata wee!!!! umenikamata weeee!!!!!
Damn this guy can really compose music .
aky jux baibe you have unique voice ambayo hunidatisha😍😍😍😍😍😍yaani bongo mimi naeza kuja na baiskeli just for u
wow...all the way from Botswana. luv ur song Jux. m so inlove with swahili music...wish was knew swahili.Respect to African musiq
my romantic song ..wallah sichok kuusikiliza good job jux
This song inaingia mpaka kwa tumbo!!!!! landlord atanifukuza juu ya ii ngoma na kelele,,,,team +254though I don't know Swahili😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣, Jux mganga wa moyo inaobpenda jameni kbx.
Wajua napenda kukuona ukiwa nafuraa.
Najua thamani na Heshima yako wewe ndo unanifaa
big up Jux this tune is on another level.
kwanza the jazz feel makes it so unique
big up xn juma kwel unajitahd kaza buti jaman diamond akasome kwa jux congrat jux
all the way from USA watching Kali sana
Iam Rogerz iko juu sana👌🏽.
Bonge la hiti. Hamna nyoko hapa. Kazi tu. Vanessa aendelee kukutia moto hivohivo. Kazi safi.
ujawai niangusha bro salute bro
hii nyimbo Kali sana bby Wang alikua anapnd kuniimbia respect kwako jux
video Kali nyimbo Kali wewe mwenyewe mkali very good
Rrd
Godfrey Yuvenali
brother kiu na njaa nlivokua navoo umevitibuuu JUX +HANSCANA+AM RECORDS mnajua nin watu tunapenda tanx alot
OMG this amazing song can cure depression jux unaweza sana keep it up
Jux adi mwisho nitaskiza ngoma zako😎😍😘🤗🥰
umenikumbusha napata raha nilikua naisikiza mpaka sio poa / nice work
daaaah umejuajeee.....
Maryam Roby happy sio Mimi tu nilie fikiria hivi
+frank msafiri aaaah aya bana ila ni nice song ama vepeeeee
Maryam Roby for sure Maryan ni good music
+frank msafiri oky dear nice day
Bro Big up aisee u real rock for this song.. nakufatilia kitambo for real ujawahi kosea even though hata show zako hapa bongo sijawahi kosa hata moja yani LIVE LONG JUMA👊
sana jux imetulia umefanya kazi nzurii
jux umeniua
haki yangu we ni mzuriii simalizi mimi Ahsantee kuzidi upa moyo wangu raha wew ni rais wao umenikamata
this is what we call music it comes with its taste!! much love from Njombe TZ!
One love home boy
Huna Mpinzani Bongo Jux kwa nyimbo unazoimba.🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥
The beats,the words yaani everything about the song is dope....big up Jux💯
kweli jux umefanya kazi kubwa kaza mwendo mwanangu eeeeh
Much love from Doha...Big up sir Jux...
Nice and touching lyrics...keep it up!!
Tee- Bag nakuona nakuonaa
nakukubali hamna wewe the best vocal artist wengine watasubiri tz hii
kazi nzuri sana.Hujaahi kuharibu kazi kijana safi sana. Piga kazi tu
wajua napenda kukuona wewe ukiwa na furaha..
bless up jux
R Kelly wa bongo upo vzr
Iko fresh sana hi ngoma African boy...........................UMENIKAMATA
Adam Ngulungu
We ni msafi wa rohooo😘😘😘😘😘 uyu jamaa kaimb yaan mpk kexho ntaupend
This song is fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yani we imba tu baba.....nakufa mie you😍😍....like umenikamata.....
African_boy always ni xheeeeeeidah #GUD_MUSIC
nilijua hii ni hit already ...jux hooks always inakukamata tu popote .....vinanda vya bobu navyo 😍😍vyabembeleza
at least umenishawishi kusikiliza nyimbo za kibongo maana melody imetulia na inateka moyo kusikiliza keep it up bro
umenikamataaaaa jux wewe ni fundi zaidi ya mond na kiba basi tu tunajifanya hatuoni
OOOH!!! Shit you kill it again UMENIKAMATA is my no 1 play list be blessed JUMA JUX
Aki brazameni mziki unaujua sana mzee mwenzangu......haka kanyimbo kana ladha moja ya hatari
my best musician thanks for the good music dearest!😙😙😙
sina neno my wew tena hukoseag🎶
jux am inluv with ur voice
swah rnb ndo hii sasa..big up jux
here waiting for 1M views😔.I love this jam😍..the message😙😙
Jux nizaidi yao wote wanaokubali nyoosha mkono juuuuu
Kama unahangalia 2019 like apa
daah nyimbo ni nzuri ..kwangu mm ..tatizo ni video ..video kiukweli ya kawaida ..tuache ushabiki...
jux's favourite artist put a thumbs up✌✌✌❤😘
🙃🙃
so nyc
Sia Mettah fantastic Singer big up sanaaaa
so true
dah nyimbo nzur xana love u jux
ikopoa sana jux unajua kupanga vesi toka uzuri wako uzuri wako Good brother
this guy has very nice swahili love songs
so so so mwaaaaa juma
always unafanya wonders
good
music
and
i dedicate this song to MYLOVE.
big up Jux
Nawakubali sana Wanamuziki wa Rnb hapo Tz
upande wa Bongo Bifu
Wanahama Mara Nigeria style, Mara Dr.Congo style
Nawakubali Wanamuziki wa Rnb sana
Asante
@Arizona phoenix
Video kali sana bro!.. Umetisha sana Mungu azidi kukubaliki katika kila ulifanyalo.. Nakukubal sana Jux 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
hata mimi umenikamata kwa nyimbo zako jux i love your songs!!
Big bro is back fire again....
Nisikilize navyo imbaaaa,. Napia navyo piga gitaaa,,,,, 👏👏👏
Kiukweli kaka jux hapa umenitisha sana, kept repeating this dubwasha old-sport, umetukumbusha enzi zako. Glad you back RNB Genius! Looking forward to this becoming jiwe la wiki soon....
Upo vzr na kaz nzur
ujawai kutoa ngoma mbovu hata malamoja ndio maana nakukubali Sana love you brother Jux
huyu ndiye jux nayemjua Mimi!
i like
good morning everyone i love
philippe
Asante african boy ww unajua dunia nzima...👍👍
Am here everyday because of the love I have for the only human who made me believe in love again😘😘💖💖