Moja kati ya vijana wa Millard Ayo ambae alijuwa alichofundishwa namuona akifika mbali kiutangazaji na uulizaji wake wa maswali hana papara na ule ujinga wa wengine respect sana
Masha kazi ya serikali na nyumbani tofautisha hakuna kujiona ww ni boss mda wote no jmn nimependa maisha yake huyu mkaka allah akuzidishie umri mrefu insha allah🤲
Mungu Nimwema Hongera yko kaka. Mimi nimeishia Rasaba pia wazaz wangu mafurai lkn sikati Tamaa na Rehma ya Allah. Nazid kujituma kadri ya. UWEZO wangu. ALLAH ataniruzuku Tuu.
kashindi Simon hao ago wameazisha kipindi chakutembelea wabunge na kuwahoji alianza na mbunge wa talime estar matiku na huyu kama sikosei ni wapili kumuhoji samahani kwa kukuingilia cument nilikuwa nakuelewesha tu
Ndo maana watu wanauana haki ya Mungu!kisa kupata nafasi ili aishi vizuri na sio kusaidia wananchi tusidanganyane,ingekuwa tunahangaikia dini hivyo tungekuwa mbali sana
Kwani dini yenyewe ukiipigania itakupeleka wapi?,kwenye ziwa la mateso pale kuzimu wamejaa wapigania dini chungumzima, NJIA YA KUFIKA MBALI NA KUINGIA MBINGUNI NI KUMPOKEA BWANA YESU ALIE HAI,NA KUISHI UTAKATIFU ,YOHANA 14:6 INAELEZA HAYA .
Mmmmmh ni kweli Wabunge mna maisha mazuri ingekuwa na wananchi wenu wanaishi maisha kama mnayoyaishi nyie ingependeza zaidi.Lkn sasa wananchi wengi wanalala sehemu mbaya na isitoshe wengine wanalala na njaa .
Suala la kufa linatoka wapi? Jamani tia juhudi kwenye kile ufanyacho toa SADAKA kwa ile ridhiki upatayo Mungu hatakuacha. Suala la kufa ni jingine waweza ishi umri wa Mugabe, Malkia Elizabeth, au kama babu yangu miaka 113.
Mh sijakuelewa unatutambia au ndio unatuonesha jinsi mnavo tumbua ela zetu.anyway twambie sisi vijana wa mkolani na nyamagana nzima umetusaidia kuhakikisha tuna maisha mazuri na majengo km yako
Mtangazaji nakukubali sana uko vizuri bgp sana
Moja kati ya vijana wa Millard Ayo ambae alijuwa alichofundishwa namuona akifika mbali kiutangazaji na uulizaji wake wa maswali hana papara na ule ujinga wa wengine respect sana
Yupo vizuri sana Dulla Tza anafanya kazi Kwa ueledi sana
Masha kazi ya serikali na nyumbani tofautisha hakuna kujiona ww ni boss mda wote no jmn nimependa maisha yake huyu mkaka allah akuzidishie umri mrefu insha allah🤲
I love that bro who is asking questions.Jamaa mtulivu sana,he is a real presenter
Mungu Nimwema Hongera yko kaka. Mimi nimeishia Rasaba pia wazaz wangu mafurai lkn sikati Tamaa na Rehma ya Allah. Nazid kujituma kadri ya. UWEZO wangu. ALLAH ataniruzuku Tuu.
huyu mtangazaji yupo makini hongera kwa kazi yako nzuri
Yaani wewe mtangazaji nakupenda sana upo vizuri sana katika kazi yako
Mbunge genius tena humble sana
Oh god bless this man he seems like kindness person with good heart ❤️❤️❤️🙏🙏🙏
Milad huyuu sasa ndy mutngazaji Mutu anauliza maswali yanayoo eleweka 👏👏
👍 Mungu akupe maisha marefu yenye baraka
safi sana mweshimiwa mbunge ...kazi zako ni nzuri
Mashaallah,, 🔥🔥👏👏👏
Mjengo wako Kamkubwa Ni mzuri sana God 🙏 Bless Yu ma bruuu
Mbona like brother to dullah wa east Africa tv
kuna kitu nimechukua kwa hii clip ..big up ayo tv
safi sana mh ni simple lyf lenye afya na mazingira mazuri sana
Millard Ayo, unasauti nzuri Sana mzee
Kiongozi wa watu.... Safi sanaaa Mhe. Stanislaus Mabula Mbunge Jimbo la Nyamagana
FLORAH MAGABE
Sukuma tribe are very generous people, that's why the setting of his environment was designed with the inclusion of guests accomodation.
Wanao mkubali mabula gonga leki zake hapa
Big Up mhe. Pazuri Sana I like it
mashallah mashallah nyumba nzuri sanaaaaaaa
Ohhh my I love that house and the sorrounding hongera
Jamaaa toka amekuwa mbungee wa ilo jimbo sijawahii kumwona anaongeaa na wananchi wake ata siku moja kweli saiv ni kupiga kura watu walee maishaa nzuri
Wa sukuma mpo gonga like tujuane
Msukuma gani mwelewa kimaisha hivi! Wengi hawapendi kuishi km hivi
Limy Masele mwambie hy tunachukuliana powa syo
@@rahimaaaaa8699 punguza dharau utafirwa una chuki na wasukuma au
Umetisha big inspiration
Safi sana my bruuu
Aibu sana mh anasema wamemvamia bila taarifa mwandishi anasema tumeitikia mwaliko wa mh mbunge...yaani uliita waandishi kuja kutuonyesha maisha yako
kashindi Simon hao ago wameazisha kipindi chakutembelea wabunge na kuwahoji alianza na mbunge wa talime estar matiku na huyu kama sikosei ni wapili kumuhoji samahani kwa kukuingilia cument nilikuwa nakuelewesha tu
Rose Mabula shukrani kwa taarifa.,na sisi kwetu waje lini sasa, watuone na sisi tukisaidiana shambani
😀😀😁😁😁😆😆😂😂
Nikajua nmeelewa mim peke angu kumbe na wew @kashindi simon
Wamejichanganya 😁😁😅😅😂😂😂😂
😁😁😀😀😅😂😂😂😃😃😃😃
Kajivuruga huyu......
Umeona eh? 😅😅😅
Nimependa sana
Big up sana mbunge wangu tunakupenda sawa wana nyamagana piga kazi mzee baba
uyu mbu ako sawa sana jamani mazingira nimependa sana.
alafu boma inavutia jamani safi
Jamaa yuko peace sana ni vizuri
Well muheshimiwa ila nilikosa kazi ya Aluminum glass kwenye jengo lako kipindikileeee nyegez majengo mapya. 🤝🤝🤝 Still tuko pamoja
Uko vzr mheshimiwa
alieona masai kafanana na mbunge tupia like hapa twende sawa
hongera mh mjengo uko poa
He seems to be a down to earth type of a person!
good sana Jamaa mtangazaji ukopoa huna papala kabisa
duh kweli maisha ya ubunge mazuri
Ndo maana watu wanauana haki ya Mungu!kisa kupata nafasi ili aishi vizuri na sio kusaidia wananchi tusidanganyane,ingekuwa tunahangaikia dini hivyo tungekuwa mbali sana
Hawa Saimon una uhakika gan, kama haangaikii dini uisemayo? na kwani dini kuihangaikia ili upate nn.??
Kwani dini yenyewe ukiipigania itakupeleka wapi?,kwenye ziwa la mateso pale kuzimu wamejaa wapigania dini chungumzima, NJIA YA KUFIKA MBALI NA KUINGIA MBINGUNI NI KUMPOKEA BWANA YESU ALIE HAI,NA KUISHI UTAKATIFU ,YOHANA 14:6 INAELEZA HAYA .
Ww huwz fanya siasa kama huna hela hawa hela walikua nazo kabla ila kule wameenda kutafuta monopoly.
Kura yangu nilikupà 2015 now nipo dar hongera
Amazing life broo
Good life
Gudgud
Mmmmmh ni kweli Wabunge mna maisha mazuri ingekuwa na wananchi wenu wanaishi maisha kama mnayoyaishi nyie ingependeza zaidi.Lkn sasa wananchi wengi wanalala sehemu mbaya na isitoshe wengine wanalala na njaa .
Kabisa
Gonga like kama tupo PA 1
I learned something for sure
Vp mbunge mm I ustadh nakuppa 5
Mtangazaji yuko vzur sana
Mwanafunzi wa Millard
vzuri sana
Kuleni maisha
Nice
Bwanaaaaaeeeee noma sana brooo
Nabhona bhabha Masele Safi nkoyi
huyu mtangazaji namkubali sana yuko poa sana
huyu mbunge nimempenda bure
Mungu nipe maisha kama haya tu inatosha.
Selemani Mkonga mwenzio ajiona hafi apo aloo..
Suala la kufa linatoka wapi? Jamani tia juhudi kwenye kile ufanyacho toa SADAKA kwa ile ridhiki upatayo Mungu hatakuacha. Suala la kufa ni jingine waweza ishi umri wa Mugabe, Malkia Elizabeth, au kama babu yangu miaka 113.
Ukisikiliza mara ngapi huyu mmbunge na mtangazaji wamesema kidogo 👀👀
Hongra mbunge w ntamagana
Safi sana
Good house and enviroment needs money
Masha Allah nyumba nzuri sana
Angalia wasikupitie wale wasiojulikanaa
Sio wote wanayafurahia ufahar wako
Achen kujivunaa
Eneoo kama lotee😋😋😋😋
Huyu mtangazaji anayo hekma sana hata maongezi anauliza kwa nidhwamu.. Millard Ago, amepata mchapakazi mwenye nidhamu.
Mh sijakuelewa unatutambia au ndio unatuonesha jinsi mnavo tumbua ela zetu.anyway twambie sisi vijana wa mkolani na nyamagana nzima umetusaidia kuhakikisha tuna maisha mazuri na majengo km yako
kajipanga kwa mda mrefu
iyo nyumba ina movement ya watu wengi sana hauwezi ingiza mchepuko kabisaa aisee
haaah, wajina unawaza miche tuu
Huhuuuuuuhuu
Mmh! Mawazo yako
Mashallah jmn
Jinsi ulivyoweka mazingira km UK vile
Duh broo yuko vzr
Mnh. Hizi siasa ndomana hawa kubali kung, amuka sio kwamjengo huo
Nani kasikia mh mbunge anasema mmenivamia lakini kidogo hivi mwandishi akajisahau akasema asante kutualika ikiwa na maana hawajavamia
Saf sana
Mtaji wananchi
Xaffiiii
Simple life nimependa mno
Ayo ndo mambo tunayataka. Ila milad Ayo nawa kibali mno
Duuh nyumba kama lodge ya kitaliii jamn kweli mnahaki ya kupambania hz nafasi maan vinalipa sana ndo maan watu wanauan kwenye siasa ase
Hbu acheni roho mbaya, hiv ukija kenya si ndo utalia hayo majumba ya viongozi.
Safi ba mdogo
Anafanana na mc gara hata sauti yake mashaallah
Naomba ramani nami nianze mchakato 😁😁😁😁😁
Sisi sio wazungu sana
vifox safi
Mmmmh
Jaman mikono na Corona
Gao ndo wabunge wetu,tunaona pesa za walala hoi inovoliwa
Miongoni mwa wasukuma wanyamwezi wachache
Eti sisi ndio tumemuajili. Anatutumikia.
Okay
Huu mjengo na huyu jamaa mbunge niliviona kwenye Movie ya BEDUI ya akina Brother K na Edwardi Kumalija
Kweli kabisa uko makini
Mbona hamkutuonesha ndani 😃😃😃mi nilikuw nataka kupaona 😎😎😛
Uwimana Raoul nenda kamsalimie 😃
Nyumba safisana daaa
Jama huyu muongo anajifanya kama wamemvamia kumbe kawaalika mwenyewe mnafiki huyu
Kumbe umemsikia harafu mtangazaji akamuumbua kwa kumshukuru kwa mwaliko
Mwana huyo stan mabula mh asie na makuu
nimependa bustani yake. tuwasiliane kuna zao linaitwa vanilla linaweza stawi vizur hayo mazingira. pia lina faida sana
Pia bangi analima?
@@robertgurti309 umejuaje😂😂😂si utani mm nina miche ya vanilla anitafute nimuuzie apande.
Dah huyu jamaa alikua diwani huko mkolani kauza nchi nzima fuga nguruwe acha uboya
Sasa nimeelewa kwa nn Joshua nassari alikuwa analia maisha ya hawa jamaa ni kufuru !!
Africa wamasai ndio wanaaminika getini
Stanslaus acha uongo hapo ni Nyegez majengo mapya karib na kwa mwarabu mi mwenye niko hapa hapa halafu umehamia 2013
Duh, umemtumbua
Hahahahahaha
Prosper Juma jamaa co mzuri mtu kabs
kaah, co kwa mdongo huo. Sasa kwmba nyamagana ni mjini hawezi kaa yy ama nn hasa kuja na io kuwa akaa nyegezi
Mnaona Kwa Video, Wakati Mimi Jirani Yake Mkolani Naona Kwa Macho_ Maisha Masoga Nho
Benard Martine majengo mapya ipo upande ngani ety si mwenyeji sana wa Mkorani
Hatim Alnaamani Upande Wa Kazikazini Ukiwa Mkolani
Benard Martine ni pamoja na Mapankini
kwahyo kma upo jiran ultaka na sisi tuwe jiran au huelew maana ya media😠
Sophia Kitaly Jibebe Tu Haina Namna #Sophi Mi Nakaa Na Mbunge Wangu Nyamagana
Hayo ndio malengo ya kua mbunge na sio kwa ajili ya wananchi