Tunakupata vizuri sana ndugu mwanaharakati kwa habari za ulimwengu mungu akubariki sanna maoni yangu nikwamba wale vijana nikweli niwauaji na kupora mali za watu maana hata wacongo waliopo kenya wanadai kufanya sherehe wakidai kuwa ndugu zao wengi wamruawa na hayo magenge ya kuluna hivyo basi wakaamua kufanya sherehe kwa kuunga mkono serikali kwa kufanya tendo hilo baya la kuwaua genge hilo lakuluna ni ajabu sana
Jamaa yupo sahihi sana zile video wanaopigwa risasi ni magaidi wa Al shabab Somalia na sio wakongo Kuluna wavae misuli wameanzisha utamaduni huo lini Congo
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
MUNGU ni mwema YESU KRISTO awe awasamehe awabadilishe wamrudie wamtambue kwa roho na kweli waokokewaishi Maisha matakatifu ya kumpendesa MWENYEZI MUNGU kila la kheri kazi njema barikiwa sana shalom
Kongo m 24 inawatia jambajamba mnahangaika na watoto wenu wadogo mnaoweza kuwaludi kwa fimbo zsasa subilini kipigo kwa mungu mtamwagana damua hao viongozi wenu wanwa damu na huyo wazili wenu mshetani mutamba atakufa vibaya mungu atawalipa mnajikosha hiyo damu mtailipa mmewauwa vijana wadogo kwa kuwachinja hiyo damu itawaghalimu mtaogelea kwenye madimbwi ya damu mpaka mtakapotubia hiyo laana
Kwa maana jinsi hii Mungu ali upenda ulimwengu hivi hata akamtoa mwanawe pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milee 16 maana Mungu haku mtuma mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu bali uokolewe katika yeye 17 asiye mwamini AMEKUSHA KUHUKUMIWA . Kama unakataa kumwamini YESU jua kabisa wewe ukifa unaenda motoni milele na milele
Kifo ni kifo tu,kuchomwa sindano,kutupwa mtoni,kupigwa risasi yote ni sawa tu hayo mambo kwamba mtu anayeua kwa risasi ndiye anayepaswa kupigwa risasi ni upuuzi mtupu.
Duuh wakrsto Hadi Leo awa mjua mungu wao ninani Kuna mtu humu kaandika mungu ni mwema yesu kirsto awa samee Sasa mbona aija kaa sawa mungu ni mwema ni yupi na yesu awa samee yesu apo nikama nani au Kuna miungu miwili daah poleni sana karibuni kwenye uislam
@@daudimichael7338ukristo ni upagani tena ni ukafiri tena ni dini ya mashetani kwasababu inaruhusu kufirwa ndiyo maana mimi nimetoka huko katika dini ya mashetani 😊😊😊
Wakongo mani ni wasenzi utauwaje mwanadamu Kama mnyama umesahau hata wewe muwaji sikumoja pia utakufa.kwanini vijana wasiosikia wasipelekwe jeshi wakafundishwa kijeshi Yani wafingwe maisha lakini watumikie serikali utauwa watu wengi Kama itila kunyoga niushenzi ujuwe hata wewe muwaji sikumoja utakufa na mamachungu kwa ivyo wawache huo ushenzi hawa vijana ndio watakuja saidia nchi hiyo ya Kongo.
Ni Tanzania tu watu wa ndani ya nchi wanaweza kulazmisha uongo kua ukweli Nachopenda nchi zingine wanajua kutetea mambo yao utafikili wao hawana upinzani 😂😂
Wengine ni Vibandidu hawalii wala nini.Ukiwaachia leo watarudi mitaani wakaue watu kwa kasi zaidi.Ubakaji wizi ujambazi unyan,ganyi haukubaliki.Panya road watoto wa Mbwa au watoto wa ibilisi hawafai kuishi.Muuwaji lazima Auwawe.Kama mtu hajakutana na balaa lakuuwawa mtu wake wakaribu au kubakwa Anaekuhusu.Ndio utawatetea wahalifu kama hao.
Nazani Media Nyingi zakibongo Mnanafasi yakujifunza Ipocku Mtaingia kwenye Matatizo yakisheria Usitoe Habari isiyokuwa sahihi Bilakuifanyia Uchunguzi Hakinifu Jamaa kaelezea Vzr sana Nimemuelewa kabisaa Nitofauti na baadhi ya Media zetu zilivyokuwa Zinatuadaa Mpaka Hisia zetu zikaenda mbali sana
Tanzania ni uhuru wa kusema unachotaka kwahiyo hatushangai wameshasema rosey mhando bernad Morison nawengine wengi tu wamefariki uhuru wa kuongea hii ndio tz bwana
Wakongo mulilaaniwa baada ya kumusaliti babuyenu Patrice Lumumba aliyetakakuwaokoa kutoka kwenye makucha ya wanyonyaji wamalizenu hamuoni sababu yakuheshimu uhai au utu wa. binadamu ambaopia niwananchiwenu musichochrwe nawakoloni.we u ndani ya nchi yenu huku nyie mukiwuana wao wanatolosha uchumi wenu.
Hao viongozi wao wapumbavu waua nguvu Kazi ya taifa ,wangepelekwa Katika mashamba makubwa wakazalishe Mali na siyo huo upumbavu wao. Hao viongozi wa hiyo nchi hawana hekima ninacho mie wametengeneza chanzo cha vita ya wenyewe Kwa wenyewe,wa Tanzania na viongozi wetu tusije kupiga huo upumbavu hukumuni Kwa sheria
Kumfunga mfungwa gerezan kuna gharama zake coz atahtaj basic needs such malaz , chakula n k kiping yupo gerezan serikal ndo inabdi iangaike na hayo mambo sasa shida inakuja kwann serikal iingie gharama wakat mtu ameshahukumiwa kufa????
Hawa walianza na makundi madogo madogo yajulikanayo kama wasiojulikana. Baada ya makundi hayo kuona ni halali, hakuna anayeyabughudhi huanza kupanuka. Ndipo huja kujitokeza na kusababisha adha kubwa. Tanzania nasi, dalili hizo zipo pia, basi tujiangalie!
Honestly hii habari nilikua nasubiri Ayo atoe habari juu ya hili, asante Ayo🎉
African nzima iwe na adhabu kama hii. Magenge siku hizi wamezidi
Nawapenda sana ayo I love u sanaa kwelii tuwe makini kwenye kupokea taarifaa jaman tufatilie kwa umakini😢😢Respect kaka
Safi saaaaana .......
Ayotv mnatoa na kuthibitisha habari za "ukweli usiopingika"
Tunakupata vizuri sana ndugu mwanaharakati kwa habari za ulimwengu mungu akubariki sanna maoni yangu nikwamba wale vijana nikweli niwauaji na kupora mali za watu maana hata wacongo waliopo kenya wanadai kufanya sherehe wakidai kuwa ndugu zao wengi wamruawa na hayo magenge ya kuluna hivyo basi wakaamua kufanya sherehe kwa kuunga mkono serikali kwa kufanya tendo hilo baya la kuwaua genge hilo lakuluna ni ajabu sana
Miladard Ayo. Ww hua haukurupuki kwenye tarifa zako nakukubali sana jeshiii 🎉
yuko sahii tz vituo vingi vya haba upenda kutoa taarifa zisizo za kweli big up Millard ayo
Jamaa yupo sahihi sana zile video wanaopigwa risasi ni magaidi wa Al shabab Somalia na sio wakongo Kuluna wavae misuli wameanzisha utamaduni huo lini Congo
Ndio nashangaa milad naye saivi anazingua
Na wengi walisema ni sumaria miladi ayo ndio mwisho wa uzushi
Mwenyewe nilishangaa hakuna uhusiano
Ayo tv mungu akupe maisha mema na marefu we love u bro🎉🎉🎉🎉
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Amen
🙏🙏🙏
وَإِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ أَأَنْتَ قُلْتَ لِلنَّاسِ اتَّخِذُونِي وَأُمِّيَ إِلَٰهَيْنِ مِنْ دُونِ اللَّهِ ۖ قَالَ سُبْحَانَكَ مَا يَكُونُ لِي أَنْ أَقُولَ مَا لَيْسَ لِي بِحَقٍّ ۚ إِنْ كُنْتُ قُلْتُهُ فَقَدْ عَلِمْتَهُ ۚ تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ ۚ إِنَّكَ أَنْتَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ
Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.
مَا قُلْتُ لَهُمْ إِلَّا مَا أَمَرْتَنِي بِهِ أَنِ اعْبُدُوا اللَّهَ رَبِّي وَرَبَّكُمْ ۚ وَكُنْتُ عَلَيْهِمْ شَهِيدًا مَا دُمْتُ فِيهِمْ ۖ فَلَمَّا تَوَفَّيْتَنِي كُنْتَ أَنْتَ الرَّقِيبَ عَلَيْهِمْ ۚ وَأَنْتَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ شَهِيدٌ
Sikuwaambia lolote ila uliyo niamrisha, nayo ni: Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Na mimi nilikuwa shahidi juu yao nilipo kuwa nao. Na ulipo nifisha ukawa Wewe ndiye Muangalizi juu yao. Na Wewe ni shahidi juu ya kila kitu.
Hakuna huruma kama wameua kwanin wao waishi,wamekatisha maisha ya watu walio tegemewa na family zao wao wakaua hapo no comment
Miladard Ayo. Ww hua haukurupuki kwenye tariff zako nakukubali sana jeshiii 🎉
MUNGU ni mwema YESU KRISTO awe awasamehe awabadilishe wamrudie wamtambue kwa roho na kweli waokokewaishi Maisha matakatifu ya kumpendesa MWENYEZI MUNGU kila la kheri kazi njema barikiwa sana shalom
Fatmah who told you yesu he's not God you must be fool
Mbwa wew
Dini ni uchafu kweli
Amina mana Mungu wetu hana upande
@@user-to6up4hg2w😏😏😏👎👎👎
Kwaiyo kumbe sio kweli
Millard Ayo Respect 🙏 kwa Habari sahihi unayo tuletea
Nawao sai wanalia ila wakati wanadhulimu mama zetu dda zetu walkua na raha sana
Weeeee acha tu bora wangewaibia tu kuliko kuua
Good news ❤❤❤ thanks
TANZANIA UONGO NA UMBEA NA KUKUZA MAMBO NDO WAANDISH WANAWEZA ,tanzaumbea😂😂😂😂
😅😅😅mbona tanzaumbea
Kongo m 24 inawatia jambajamba mnahangaika na watoto wenu wadogo mnaoweza kuwaludi kwa fimbo zsasa subilini kipigo kwa mungu mtamwagana damua hao viongozi wenu wanwa damu na huyo wazili wenu mshetani mutamba atakufa vibaya mungu atawalipa mnajikosha hiyo damu mtailipa mmewauwa vijana wadogo kwa kuwachinja hiyo damu itawaghalimu mtaogelea kwenye madimbwi ya damu mpaka mtakapotubia hiyo laana
God we pray that you may bring peace in the world
Big up Ayo tv👍👍👍👍
Yaan vijana wadogo mno, Mungu awabadilishe tabia zao
Good job Millard Ayo👏
Ndo wanayoyafanya ata Kwa watumishi wa Mungu wanaongea sana uhongo hawa
Yesu uwahurumie
Kwa maana jinsi hii Mungu ali upenda ulimwengu hivi hata akamtoa mwanawe pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milee 16 maana Mungu haku mtuma mwana ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu bali uokolewe katika yeye 17 asiye mwamini AMEKUSHA KUHUKUMIWA . Kama unakataa kumwamini YESU jua kabisa wewe ukifa unaenda motoni milele na milele
Ama kweli watu Kwa kuiba bando ni hatali sana
Millad Ayo. N kiboko👑👑👑🇹🇿
HAO MBWA WAMEPATA ADHABU NDOGO MNO WAMETUTESA SANA MADEREVA HASA WATANZANIA
Unaambiwa huko waliko ni asilimia 98 au 99 kufa...sasa adhabu ndogo iko wapi hapo ndugu yangu
@@KyissmaMoreenalitak wasulibiwe Kam yesu
Sasa ulitaka wafanywe nn wakiuliwa upewe uwale nyama ndio ulizike
Mi mbona sielewi unamaana kweli hawapigwa risasi maana tunaowaona kwenye nguzo wamefungwa
Subuhanallah. Kumbe waandishi wa habari. Tz. Waongo sana. Chungeni iposiku mtaingia kwenye 18. Zao punguzeni
Vizurii sana hao ndo waasi wenyewe wafe muuwaji na ye pia afee unalilea jambazi jela linakula buree uwaaaa
Kifo ni kifo tu,kuchomwa sindano,kutupwa mtoni,kupigwa risasi yote ni sawa tu hayo mambo kwamba mtu anayeua kwa risasi ndiye anayepaswa kupigwa risasi ni upuuzi mtupu.
@mirad ayo apewe maua yake
CONGO INMELAANIWA NA MUNGU
Why u say that dear Our God never his children
Mwanao angeeua na hao wahuni , hii kauli yako usingeitoa
Rip 🙏
Lkn hata ukiangalia waliofungwa kwenye miti na hawa ni tofauti
Duuh wakrsto Hadi Leo awa mjua mungu wao ninani Kuna mtu humu kaandika mungu ni mwema yesu kirsto awa samee Sasa mbona aija kaa sawa mungu ni mwema ni yupi na yesu awa samee yesu apo nikama nani au Kuna miungu miwili daah poleni sana karibuni kwenye uislam
Nani aje kwa dini ya Uongo ya Muhammad na Mungu wake wa kubuni?
😅nicheke tuu na hiyo dini ya kweli yenu
@@daudimichael7338ukristo ni upagani tena ni ukafiri tena ni dini ya mashetani kwasababu inaruhusu kufirwa ndiyo maana mimi nimetoka huko katika dini ya mashetani 😊😊😊
Siku nyngine naomba tusikaribishane kweny upuuzi
@@daudimichael7338😂😂😂
Wewe mwandishi ni chawa kama chawa wengine
Wakongo mani ni wasenzi utauwaje mwanadamu Kama mnyama umesahau hata wewe muwaji sikumoja pia utakufa.kwanini vijana wasiosikia wasipelekwe jeshi wakafundishwa kijeshi Yani wafingwe maisha lakini watumikie serikali utauwa watu wengi Kama itila kunyoga niushenzi ujuwe hata wewe muwaji sikumoja utakufa na mamachungu kwa ivyo wawache huo ushenzi hawa vijana ndio watakuja saidia nchi hiyo ya Kongo.
Ivi wewe ushawahi kuingia kwenye kumi na nane za Hawa vijana au unaongea tu
Wauwawe tu maana wameuwa watu wengi tena kwa kuwafanyia operations za bila ganzi na kuwakata viungo
Sawa haki za binaadam zp maneno nimengi sana namm bilikua nakataa nimepata ukwer Ayo Asante nilibishana nawatu
Ni Tanzania tu watu wa ndani ya nchi wanaweza kulazmisha uongo kua ukweli
Nachopenda nchi zingine wanajua kutetea mambo yao utafikili wao hawana upinzani 😂😂
Kumbe😢😢asee guliumia wengi mno .asante sana
Ahsante tumeelewa
Umechelewa sana kutoa habari hii mpaka tumeshangaa, chombo kikuu uko kimya,,!!!!!
Mie nilishasema huo ni uongo! Nani anaweza kuua watu 200 kwa risasi na akanyamaziwa katika dunia ya leo hii? Mbona ungekuwa kinyume cha binadamu.
Watanzania mna mambo ya kukurupukia sana,mambo ambayo msioyajua mwanzo mwisho.
Majambazi na vibaka si mpo nao Tanzania uko mnashindwa kuwashika.
Wauwaji wameona kawaida wamejiona werevu kuliko serikali 😢😢 kwanini inchi nyingine wananyonga wauwaji??😢😢😢
Umefanya vizuri sana, tulikua tumeshangaa sana
Wapigwe risasi hao, fanyeni hivo tafadhari...waueni, chomeni sindano za sumu hao,
Wengine ni Vibandidu hawalii wala nini.Ukiwaachia leo watarudi mitaani wakaue watu kwa kasi zaidi.Ubakaji wizi ujambazi unyan,ganyi haukubaliki.Panya road watoto wa Mbwa au watoto wa ibilisi hawafai kuishi.Muuwaji lazima Auwawe.Kama mtu hajakutana na balaa lakuuwawa mtu wake wakaribu au kubakwa Anaekuhusu.Ndio utawatetea wahalifu kama hao.
Gereza la Kangenga linaasilimia 99 kunyongwa..
Duh MBAKA. Wanawake wapo 😢😢😊
Ayo TV ndo media ya uhakika E Africa
Kweli kbs
Kwa iyo yale majeneza yalikua feki au?
Unachelewa kutoa habar ya mwez unaelekea saiv
Hizo video walizitoa wapi? Na hayo majeneza yalikuwa ya kazi gan?
Hayo majeneza ni ya wale waliopata ajali ziwa kivu
Ile video zawatu wanaopigwa lisasi siyo kongo
Wasameh ure kijana arikuwa anaria🙏🙏
Kazi jema umeongeya ukweli
Mmmmm vitu vingine ujifanyage mjinga
sasa tuelewe nini hapo. mara wameshauawa mara bado. na walipelekwa wapi na ndege ?
Na bongo ije wamezid vijana
mimi namkubali milardiayo uwa ni mkweli
Nazani Media Nyingi zakibongo Mnanafasi yakujifunza Ipocku Mtaingia kwenye Matatizo yakisheria Usitoe Habari isiyokuwa sahihi Bilakuifanyia Uchunguzi Hakinifu Jamaa kaelezea Vzr sana Nimemuelewa kabisaa Nitofauti na baadhi ya Media zetu zilivyokuwa Zinatuadaa Mpaka Hisia zetu zikaenda mbali sana
Uwe fundisho kwa wingine kwani na wao walipoteze maisha ya wengine
Hata wao waliua shule nzima ya watoto so acha wafe
Imagine asubuh unapeleka watoto shule afu jion unaenda kuchukua maiti kuwa kuna watu wamewaua
Ayo mngemuuliza baada ya sekeseke hilo la kukamatwa hao jamaa na kuambiwa watanyongwa je mitaani uhalifu umepungua?
Maeneo ambayo waziri hajafika ,bado shida ipo palepale, eneo la Katanga ( Lubumbashi bado amani hakuna)
Huongo Yako
Tanzania ni uhuru wa kusema unachotaka kwahiyo hatushangai wameshasema rosey mhando bernad Morison nawengine wengi tu wamefariki uhuru wa kuongea hii ndio tz bwana
😂😂😂😂Då, basi tumeuzwa balaa.
😂😂😂😂
Bando langu Mimi 😂😂😂😂
@@GracePeter-gm5pi Yaani ilikuwa bandits bandua kwa kwenda mbele.
Eti siyo kweliiiii
Kama habari haijathibitishwa na MillardAyo hiyo sisghuliki nayo, Millard kudos sana
Iyo ni funzo ya watu wenye tabia kama izo!
Wongo mutupu peuple congolais akuna aliye uwawa
Ah atakuja mwengine atasema hajakamatwa mtu kabisa mizinguo tu
Millard dayo mlikua wap
👍👍👍
Wafungwe milele
Wakongo mulilaaniwa baada ya kumusaliti babuyenu Patrice Lumumba aliyetakakuwaokoa kutoka kwenye makucha ya wanyonyaji wamalizenu hamuoni sababu yakuheshimu uhai au utu wa. binadamu ambaopia niwananchiwenu musichochrwe nawakoloni.we u ndani ya nchi yenu huku nyie mukiwuana wao wanatolosha uchumi wenu.
Hawa vibaka wanasumbua sana hata mjini ukikutana naye ni ama zako amazake byobe malenga wa bbc swahili leo nimemuona live.
yauliwe tu hayo mashetani
Hiyo nchi ya congo wapi
Hao viongozi wao wapumbavu waua nguvu Kazi ya taifa ,wangepelekwa Katika mashamba makubwa wakazalishe Mali na siyo huo upumbavu wao.
Hao viongozi wa hiyo nchi hawana hekima ninacho mie wametengeneza chanzo cha vita ya wenyewe Kwa wenyewe,wa Tanzania na viongozi wetu tusije kupiga huo upumbavu hukumuni Kwa sheria
Mmchelewa saana khaaa kuweni makini habari inaweek mbili sasa tunawategemea msichelewe habari
Walikuwa wanatafuta ukweli
Niko nafuraha malipo ya Dunia ni hapa hapa, walikwa wanauwa pia nakubaka, alafu tatizo ni Moja watajuaje mwenye makosa
Kuwauwa sio sahihi wafungwe maisha tu wateseke Maisha Yao yote
Kumfunga mfungwa gerezan kuna gharama zake coz atahtaj basic needs such malaz , chakula n k kiping yupo gerezan serikal ndo inabdi iangaike na hayo mambo sasa shida inakuja kwann serikal iingie gharama wakat mtu ameshahukumiwa kufa????
Afungwe harafu umlishe tena 😂😂 Ni kisu tu
@@JOSEPHNJULAImfungwa halishwi anajilisha mwenyewe kama hauamini tenda kosa uende gerezani uone kama utakula bure😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
True
Very good
Mtu akiua nayeye auwawe
wamekufa hao sema tu zile video so zakweli
Na Yale masanduku ya likuwa haya a kitu ndani
Huyo akimu aje
Tanzania. Tutamshukuru
Nisawa
Mmmh watu hatari sana hao
NILIJUA TU
This is not acceptable in modern African countries 😭
😢😢
Akuna mtu yoyote alieuliwa,acheni uongo.
Hawa walianza na makundi madogo madogo yajulikanayo kama wasiojulikana. Baada ya makundi hayo kuona ni halali, hakuna anayeyabughudhi huanza kupanuka. Ndipo huja kujitokeza na kusababisha adha kubwa. Tanzania nasi, dalili hizo zipo pia, basi tujiangalie!
Afadhi sana maana ilituuma sn sn.