Hapo naweza SEMA nchi imepata mwanga""siyo longolongo,, hongereni 💪 geita. Ndyo tujifunze kwa nchi zingne like Cameroon hawataki rushwa na ubabaishaji kazini wanatenda kwa ajiri ya vizazi vijavyo""MUNGU ibariki TANZANIA 💪🔥
Kosa kubwa Tanzania ilifanya kuwaachia CCM kujenga viwanja vya mpira yaani mavi matupu bogus na ushunzi kama wote , nchi ya millioni 60 ina kiwanja kimoja tu chenye kiwango cha kimataifa
Sasa ngoja hela alizowapa mwenda zake ziishe na uwanja bado, watu wanafikiri ni wa GGM lakini sio kweli huu ni uwanja wa halmashauri ya geita ni miongoni mwa miradi ya mwenda zake huko pande za hom kwake
@@mashaurcharles7825 wewe mkoa wa geita wakiandaa riadha kiwilaya au kimkoa watafanyia wapi kama sio aibu. Na wanaweza kuhalika riadha kitaifa siku moja au sio, acha kufikiri football tu
@@issamnyungu6207 Nadhan wameamu tu kubadili uamuzi ila kumbuka anae jenga uwanja ni mgodi wa GGM n mwanzo wametoa billion 2.5 bt mpaka uwanja unakamilika utakula billion zaidi ya 12, halmashauri wana simamia tu ila mgodi ndo unajenga
Haya ni maajabu ya mwaka yaani hata kujenga majukwaa ya mzunguuko bado eti wanataka kuotesha NYASI kwanza jamani hivi hii ni kweli ni akili za binaadamu? au masikio yangu ni mabovu 🤣🤣🏃🏃🏃🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hongera Geita Gold kwakuwazidi Yanga na Simba
Mungu awabariki 🇹🇿🙏🙏🙏🙏geita gold
Simba wanao uwanja wao
Hao ni watu wa mbamba
yanga ndio hawana hata mawazo ya kujenga uwanja
Hongera sana sana jengeni mkifikiria siku moja tz inaweza kupata nafasi ya kuandaa mashindano makubwa na nyie mkafaidika hivyo wekezeni kisasa zaidi
Umesema kweli ila siyo kwa nchi zetu zenye mawazo ya kiumaskin tatizo siyo pesa tatizo ni mawazo ya kiumaskin bado tunaamin kuwa hatuna wakati tunacho
Ongera sana GGM , siyo yale Yana miaka Mia uwanja hayana kazi kupiga kelele tu na kula Ela za viingilio, haya ndiyo maendeleo yatayayozaa timu zingine
Uwanja mzuri na tim iwe nzuri, msiuze wachezaji wenu wazuri wakawekwa bench, ni hasara
Congrats Geita Gold FC Simba na Yanga darasa jingine kwenu
Hongera Mate Mtoto wa nyumban Mboka MD wa Geita
Jamani sijui niwe geita fan tu
Hapo naweza SEMA nchi imepata mwanga""siyo longolongo,, hongereni 💪 geita. Ndyo tujifunze kwa nchi zingne like Cameroon hawataki rushwa na ubabaishaji kazini wanatenda kwa ajiri ya vizazi vijavyo""MUNGU ibariki TANZANIA 💪🔥
Kuna Tim kongwe mpka sas hazin uwanja, hongeren geit gold
Huo uwanja umeambiwa unamilikiwa na Almashauri ya mji wa Geita ina maana serikali.
Hongereni sana sanaGeitafc
Hongereni ila kusema hapo imekamilika kwa 75% hapana
Mungu ibariki Tanzania na viongozi wake. Geita mmekuwa Sasa ni mfano wa kuigwa na timu zingine.
Hongeren Sana
Hii iwe fundisho Kwa hao wanajiita mabingwa wa kihistoria
wajenge uwanja ugeuke uwe makombe wachukue jina wawe wao mambingwa alafu mabingwa wageuke kuwa geita gold😂😁😁😁😁
Kwani moo kashawajengea uwanja mikundu fc
Juma Nassibu hongora geita gold inatakiwa iwe mfano was kuigwa
So proud safi sana my home town
Mungu akuongozeni geita gold tuwe km Azam
Hongera,yanga na simba wajifunze
⚽️🏆WELL DONE 🇹🇿💪🇹🇿
Unyama Sanaaaa wajumbe hizo ndio harakati ni KAZI KAZI
Hapo sawaaaa kabisa sio simba na yanga timu za kichawi
Apo kwenye kimataifa mmmmh sahau
good xan pongez kw viongoz
geita nawaona mbali sana
Safii sana Geita
Ngoja ss tuendelee kujiita timu kubwa
Mmejitahd hongeren
Hogera sana.
Lamuhimu baba isah afanye bidii timu ibakie kwenye ligi
Safi saana hawa mafala watakuwa wanawafuata na mtapata mapato mazuri
Kosa kubwa Tanzania ilifanya kuwaachia CCM kujenga viwanja vya mpira yaani mavi matupu bogus na ushunzi kama wote , nchi ya millioni 60 ina kiwanja kimoja tu chenye kiwango cha kimataifa
mama tia mkono hapa.
Mnachokosea majukwaa mnaweka mbali sana na uwanjaaaaaa mjifunzeee basiii
Baadae tucje kuckia ni uwanja wa ccm
Wakat ushaambiwa ni wa halmashauri😂😂
Safi sana Wana geita
Huo siyo uwanja wa kisasa ni sawa na mkwakwani tu
Mkwakwani uwanja mzuri una ramani ya kisasa,hauna running way
Mnatuchelewesha jaman
Safi sana
Sasa ngoja hela alizowapa mwenda zake ziishe na uwanja bado, watu wanafikiri ni wa GGM lakini sio kweli huu ni uwanja wa halmashauri ya geita ni miongoni mwa miradi ya mwenda zake huko pande za hom kwake
Mambo ya riadha ni viwanja vya kizamani shabiki anakuwa mbali na pitch
Ni kwel aisee kwa Nini shabiki anakaa mbali anamwona mchezaji Kama sisimizi
Geita ni mkoa mpya hawana hata kiwanja kimoja kizuri, cha riadha hawana
Upo sahihi ni viwanja vya kizamani ndo vinakua na running way ya riadha
@@stanslausmteme8455 jaribu kufikiri bhana, mkoa wa geita wakiaandaa riadha kimkoa watafanyia wapi kwa mfano
@@mashaurcharles7825 wewe mkoa wa geita wakiandaa riadha kiwilaya au kimkoa watafanyia wapi kama sio aibu. Na wanaweza kuhalika riadha kitaifa siku moja au sio, acha kufikiri football tu
Simba nayanga zinaongozwa.nawasanii tu .
Viwanja vya chama hivi geita gold geresha tu
HONGERENI LAKINI MBONA JUKWAA KUU TU MENGINE VIPI?
Mji wa madini lazima ukae kifedha fedha. Safi sn
Safety boot ziko wapi kwa uyo mama..mbona mnafanya mambo kiolela...
Mwamedi aliwachangisha wanachama, naskia kasepa na hela
Huyo mbwa ndio mdhamn
Ogera sana
🔥
Zile timu zinazojinasibu kuwa ni timu kongwe vipiiiiii? kuna timu za kisasa na za kale
Ok
Hawa wengine wanajenga porojo tu za mitandaon ilimradi waonekane wanajua
Huo ni uwanja WA halimashauri ni lazima uwe na riadha na basketball pia musisahau muhimu.
Usichanganye huo.ni wa Geita Gold
Uwanja wa almashauri Ni Nyamkumbu
Hii timu inamilikiwa na halimashauli ya geita sasa huo uwanja ni wanan
Wakisasa huo?
utopolo na simba ni siasa tu
Kinacho tuumiza utasikia uwanja wa CCM kazi iendelee
Ndio c halmashaur
Wapi HAPO eti majukwaa ya mashabiki hata siyaoni
Utaingia watu wangapii..?
Majukwaa yaongezwe watu 600 tu ndo wakae ah
Mkazo mkubwa uwekwe kwenye 'pitch' itafuhisha sana 🙏
Wana weka nyasi bandia kama azam pale
@@mosesnyelo1380 hawana ubavu huo
@@issamnyungu6207 Nadhan wameamu tu kubadili uamuzi ila kumbuka anae jenga uwanja ni mgodi wa GGM n mwanzo wametoa billion 2.5 bt mpaka uwanja unakamilika utakula billion zaidi ya 12, halmashauri wana simamia tu ila mgodi ndo unajenga
Na ule uwanja wa mjini kati na kalangalala vichukueni.
👍
Billioni mia ngapi mmetumia??
Simba na yanga ni club za ajabu kiukweli. Yaani muda wote hazina uwanja ni aibu kwa club hizi
CCM WATAUCHUKUA HATA HUO
Bora hawa kuliko hii mitim miwili alf tena mikubwa kaz kutoa ahadi tuu hakuna llte
Hakuna kitu hapo utapeli tu
Vitu vya aajabu sana unaenda kukagia site umevaa moka huna self ht moja low professional
Haya ni maajabu ya mwaka yaani hata kujenga majukwaa ya mzunguuko bado eti wanataka kuotesha NYASI kwanza jamani hivi hii ni kweli ni akili za binaadamu? au masikio yangu ni mabovu 🤣🤣🏃🏃🏃🏃♀️🏃♀️🏃♀️
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe mko serious ivo😥
Yaani iyi mitimu ya simba na yanga midomo tu na makelele hawana lolote zaidi ya kupiga hela miaka 90 ten hakuna hats mmoja along jenga uwanja
Na hawatojenga hata siku moja
Kwani huo uwanja wa nani ni halimashauli ya geita sio wa timu ya geita
Huyo dada yeye ni nani ndani ya geita?
Mkurugenzi wa halmashauri ya mji
Mo anakwama wapi? Hajajua kuwa simba ni kubwa sana kuliko geita kwa nini anatuleti down? Atueleze tupo tayari kutoa pesa wenyewe.
Mwamedi kashasepa na hela za watu
Ubaya wa bongo hata huyo mdada ukimuuliza anashabikia timu gani atakwambia kati ya simba au yanga
Watu washasanuka kitambo tuu simba na yanga hazina mvuto tena mzee
Hakuna kitu hapo ni ufisadi tu uwanja hauna majukwa,watu wanasimama ,ktk Karne hii?
We umesikiliza ukaelewa kweli au umeamua kuandika lako
Wameanza na jukwaa moja,mengine yatafuata.
Running way ya nini kwani kuna riadha? Inahitajika football pitch tu
Mmh umefikiria upande mmoja tu. Maisha yakienda upande mmoja kuna siku utakwama
Kweli kabsa Mambo ya riadha ni zilipendwa
Uwanja wa halmashauri huo
Ni mfano mkubwa sana
Hakuna 75% hapo
75 kutokana na plan ya awali
@@djurio kwani yeye plan yao anaijua au ni ubishi na ukosoaji wetu tuliojaliw watz
Juma Nassibu hongora geita gold inatakiwa iwe mfano was kuigwa
Safi sana
Uwanja uwe na viwango vya Kimataifa Uwe na Usawa na DHAHABU.GEITA GOLD.HONGERENI Kwa ujenzi
Mo anakwama wapi? Hajajua kuwa simba ni kubwa sana kuliko geita kwa nini anatuleti down? Atueleze tupo tayari kutoa pesa wenyewe.
Safi sana