BREAKING NEWS! HATARI ILIYOPO MBELE 2024 TANZANIA/AFRIKA TUWE MAKINI || MAONO || NABII BG MALISA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ต.ค. 2024
  • #Gospel Music, # Mix Gospel Songs, #Gospel songs #gospel #gospel news
    Mungu huwa hawezi fanya jambo lolote, bila ya Kusema na manabii wake. Na kazi ya nabii ni kuona yaliyopita, yaliyopo hata yajayo kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
    Haya ni baadhi ya maono aliyoyaona Mtumishi wa Mungu kabla ya Mwaka huu 2024 kuanza. Na maono haya aliyatoa siku ya Mwaka mpya wakati wa kuupokea mwaka.
    Mungu atusaidie tuzidi kulitenda neno lake na si tukasikia na kuacha kuomba Mapenzi yake yatimie.
    Baadhi ya maono:
    Sheria mbalimbali za nchi mbalimbali hasa Afrika, zitaanza kulazimishwa kubadilishwa kufuata matakwa ya nchi za magharibi.
    Mitikisiko ya kiuchumi duniani ~ Bei ya mafuta na Dhahabu kuporomoka
    Jaribio la Siri la kutaka kumuua kiongozi mkuu wa nchi moja wapo ~ East Afrika
    Uchaguzi ujao wa marekani, kidogo kutatokea matukio na vioja.
    Tumwombe Mungu azidi kutupa amani, katika Mwaka huu.
  • เพลง

ความคิดเห็น •