Naamini viongozi wetu mnatambua kuwa ni rahisi sana kuwa mamba moja, lakini ni ngumu sana kudumu namba moja lakini inawezekana kudumu namba moja, km uti wa mgongo mwl Nabi na benchi lake la ufundi na wachezaji wote bora watasalia na kufanya maboresho madogo kulingana na mahitaji ya timu na mapendekezo ya benchi la ufundi.
Wanachi sisi ni Bata na kazi💚💚💛💚💛💚
Mbona sisi simba hatujawahi kuenjoy hivi jamani hawa wanaenjoy sana bwana
😂😂
😅😅
Karibu na wewe ufurahi ndugu yangu..ikikupendeza sio dhambi kuhama timu.
@@chemstry409 🤣🤣🤣Asije shida ya bureeee tunamkaribisha🤣🤣
Amanaga uwo ujanja atuna masitress mengi sisi niku injoy adi moshi tuu wanjano
Mm kwa kweli mziki wa singeri siupendi basi tu,nimeangalia kwa sababu ya sherehe ya chama langu.
Naamini viongozi wetu mnatambua kuwa ni rahisi sana kuwa mamba moja, lakini ni ngumu sana kudumu namba moja lakini inawezekana kudumu namba moja, km uti wa mgongo mwl Nabi na benchi lake la ufundi na wachezaji wote bora watasalia na kufanya maboresho madogo kulingana na mahitaji ya timu na mapendekezo ya benchi la ufundi.
@Almach....Tulitamani sana iwe hivyo lakini ndio hivyo tena tumekutana na Breaking news...anyway DAIMA MBELE NYUMA MWIKO....
Najivunia kuwa yanga
Wachezaji Wana Raha saaaan,mashabiki usiseme😂😂😂😂
Nimehama simba kuanzia leo mm ni yanga
Karibu 😅
Azam hata wachukue wachezaji wooote wa Yanga kombe wasahau kbsaa
Tobaaaa lingemkuta Ajibu,Mohammed hussein, Dilunga, Ndemla,mkude pasingetosha
Hii ndio maana haris ya Tim kubwa
Mwakani ligi itakuwa ngumu sana🤣🤣🤣🤣 watu mjue hawajapenda😆😆😆😆
Yanga raha sana💚💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛
Yanga timu kuuuubwa
Hiii tim Ina Raha yake kudadake afu wanapenda sherehe Sana na hawachoki 😜💚💚💛
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hyo tupewe maua yetu hatuchoki
Wazaramo wa damu
Pesa zenyewe tunazo kwanini tusiinjoy
Tumevumilia matsuri nakejeli ila sasaivi tuna mshkuru allah tumesahau matusi yote I love you ❤ chama langu💛💛💚💚🖤🖤
YANGA OYEEEEEEEEE💚💛💛💚💛
Safi sanaaaa yanqa tamuuuuuuuuuu
Mwakani Mungu wasaidie tushinde tena
Yanga ni lidduuuuude
Lidude unalo mwenyewe umelifungasha
Wow wow........Wananchi noma...🙏
Yanga oyeeeee
Hizi laha hakuna Tim yoyote Alisha wah pata Zaid ya yangaa
USM Algers nafikiri wamezipata raha zaidi ya hizo😁😁😁.
@@jambo3751 Kwa kushuka daraja au 🤣🤣
@@readyamahengo4585 walioshuka daraja ni wale wa Afrika kusini mliocheza nao nusu fainali.
Ko nafs ya kumi nayo ndo iwape furaha au si wapo mahututi kabs wanatofaut gn na waloshuk daraja
@@readyamahengo4585 wewe jitoe fahamu ujifanye hujui kilichowafurahisha USM Algers😁😁.
Shija karibu tufurahie pamoj
Ndo kweetuuu🎉🎉
Shija karibu tufurahie pamojaaaa
Kwani ushindi raha tuu♥️♥️♥️♥️
Nkane kama Nkane kamupiga mwingi💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
Bacca ukij unguj nishtue nnazawad yako
Safiiii!!!
💚💛💚💛 one love wananchi
Yanga tamu
Athumani karibu saaan yanga kwenye Raha karibu saaaan jmn
Nkane jmn😂😂😂😂
Furaha haijiludii tena ukiipata itumie😂😂
Yanga tamu ❤❤
Job mtulivu sana
Yanga raha sana
Msbaraa
Yanga raha jamani ❤
Team wafupi wameitana,ila nawapnda kibwana na job wanpendan sna
Yani Rangi yamoshi wajezi zetu zote tunao Aya nyie langu nyekundu mnayo
😂😂😂😂😂uang Raha nyieee had rahaa kumbe c Mpira tu wanacheza had singalii wooo❤
Shija karibu tufurahie pamoja
Sasi sana
Mudathiri ni ustaz
Xix ndo yanga oyeeeeeeeeee
Nmeonjoy kwel
Together us one ❤❤❤❤❤❤
Nadunduka wanaumia wakiwa wapi wananchiiii
Wakwanza nipen lake zen
Nimependa hiyo, huo moshi wa kijani na njano ni hatariii sanaaa.
Mzize kweli alikua boda😂😂,
💚💛💚💛
Kweli ni marfk sana sure na mda
Hawaa watotoo balaaaa😃
Yanga inapesa simba nanyie mnaoesa mfananishe na hii timu hii nitajiri yanga haisafiri kwa gari ujue inapochi nene
Naomba mbakize vifaa vyote muhimu msiruhusu vitoke maana tuna jambo letu kubwa msmu ujao tafadhali rais wetu
Point tu
💚💚💛💚💛💛🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️
Upo mkubwa kila atabeba mzigo wake tupo pamoja kwa ushabiki tu
Ninyamatuu na sintiki mndomoni na shapeni na mziki mzito
Makolo mfe na pulesha yetu sisi tunapesa ndoomana tunashelekea kila mala
Kwa raha yanga hv jmn nitaumwaaa
💚💛💚💛💚💛
Kiukweli mashabiki wa yanga wanapata raha sana, hadi wivu jamani. Me nahama nilipo nihamie tu kwa wananchi
😂😂😂kwani upo wapi ndugu
@@mishikombowato1457 nishahama tayari na nimehamia 💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
💛💚💛💚💛💚💛💚💪
Nikane ndio mamb ayapendayo hayo huko tiktok kakuchafua balaa😂😂😂
Kumbe nkaneee anajuaa😂😂
Wafupi media😅😅😅😅
Nkane na Kibwana wamelewa
💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚
Denis nkane jmn😅
Nkane ndo walimfikisha kwenye huo mziki🤣🤣🤣🤣 chezea watu Nachingwea ww.
Beuti beuti.......😂😂😂
Maraha km yoooote jmn
Nahisi hata simba mpo mnakondoa mchotuu
Nkane nina zawadi yako
😂😂😂😂😂dhaaa rah san wanangu wabuza kumbe sio mpira tu jaman had kucheza watu wajua 😂😂😂😂kibwana nikane bryason mzize babu kaju shikamooni 😂😂😂😂
Sijui nacheka nn 🤣🤣🤣🤣
Oyeeeeeeeee
Cc ndo yanga
😂😂😂😂😂
Chezea yanga weweeeee
😅😅😅😅
🦾🦾💪
Du! hilo nyomi lilitisha.
😂😂😂
ONA SURE BOY, NKANE NA WENNZAKE WAKICHEZA SINGELI YA DULLA MAKABILA JANGWANI/UTACHEKA❌⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉⁉🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🟥🟥❗❗
⛔⛔⛔⛔🚭🚭🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥🟥❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
Wafupi media
th-cam.com/video/QtvcRuacmtc/w-d-xo.html PENZI LA SHEMEJI TAMU LAMNOGEA DADA
Shija karibu tufurahie pamoj
Shija karibu tufurahie pamojaaaa
Shija karibu tufurahie pamoja
💚💛💚💛
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
th-cam.com/video/QtvcRuacmtc/w-d-xo.html PENZI LA SHEMEJI TAMU LAMNOGEA DADA
Shija karibu tufurahie pamojaaaa
Mama shija upo
@magrethyeremia2279
Shija karibu tufurahie pamoj