AFISA HABARI WA DAYOSISI YA KONDE KKKT AELEZA SABABU ZA KUDAI MALI ZA KANISA KILA USHARIKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 7

  • @edwardnkyandwale897
    @edwardnkyandwale897 2 ปีที่แล้ว

    Nami nawasihi katika jina la Yesu tafuteni watu kwanza na hayo mengine mtazidishiwa.Yesu alipo tembea kando ya bahari ya galilaya acha kuvua samaki (kutafuta mali)nanyi twende mkawe wavuvi wa watu.Itapendeza zaidi.Mkiendelea hivyo hata tulioko tutawakimbia.AMINA.

  • @fridaisrael2445
    @fridaisrael2445 2 ปีที่แล้ว

    Kweli inasikitisha mnaacha kuokoa roho za watu mnakusanya mali mtakuja jibia kwa Mungu hizo roho zilizopotea

  • @andrewking6187
    @andrewking6187 2 ปีที่แล้ว

    Mali za KKKT zibaki KKKT Mwaikali aache ujambazi
    Hiyo dini yake mpya itafute zake

  • @geofreylusungu805
    @geofreylusungu805 2 ปีที่แล้ว

    Mali za Kkkt lazima zilejeshwe kkkt siyo mali ya kkam watufute zakwao

  • @chancemgaya8705
    @chancemgaya8705 2 ปีที่แล้ว

    Hao shida Yao ni Mali siyo roho za waumini tunakushukuru kwa kujipambanua

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 2 ปีที่แล้ว

      Wewe nawe ondoa ushabiki maandazi!!

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 2 ปีที่แล้ว

      Fedha na dhahabu ni mali ya Bwana huyo mwaikaki na mwambora si mali tu mpk vitabu litrugea na utaratibu wa KKKT wauache wabuni wakwao kwa hilo kanisa lao. Vya KKKT waviache BANIANI MBAYA KIATUNCHAKE DAWA? Kama mwaikali hataki mali mbona alihamishia makao makuu Luanda lengo nini sibfedha na bata?