Leonel Ateba _ Skills & Goals 2023 _ Karibu Simba SC _ Tazama uwezo wake hapa Usajili simba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Leonel Ateba _ Skills & Goals 2023 _ Karibu Simba SC _ Tazama uwezo wake hapa Usajili simba
    #UsajiliSimba
    #LeonelAteba
    #SimbaVsYanga

ความคิดเห็น • 16

  • @afanikiwechaula1347
    @afanikiwechaula1347 หลายเดือนก่อน +1

    Daaa bonge ya mchezaji karibu simba ateba simba nguvu moja

  • @MuhengaKibali
    @MuhengaKibali 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mmmh mateso na mwendo

  • @LaurentFrenk
    @LaurentFrenk 25 วันที่ผ่านมา

    Bonge la mtuuu❤❤❤❤❤

  • @FettyOriginal
    @FettyOriginal 27 วันที่ผ่านมา +1

    Sijaona gori ata moja aloshinda kwa uwezo uyo na waziri junio waziri junio yupo vizur

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 27 วันที่ผ่านมา +2

    Jamaa kila uchambuzi wake yeye kusifia tu

  • @barakasirai-jj4wp
    @barakasirai-jj4wp 27 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu sio striker ila mpanzu tumepata mbadala wake

  • @zakariayonah5677
    @zakariayonah5677 27 วันที่ผ่านมา

    Sijamwelewa

  • @mohamedmataula313
    @mohamedmataula313 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mbwaduke Acha kuwafariji wenzako , hili galasa hakuna kitu hapo.

  • @EmmanuelMassawe-ww9dz
    @EmmanuelMassawe-ww9dz หลายเดือนก่อน

    Amna kitu

  • @adamusabuni6173
    @adamusabuni6173 12 วันที่ผ่านมา

    Nyie vyura tulieni mvi nyie klasiku kudharau maisha ya wenzenu mbwa nyie yani hilo timu lenu litakuja kuharibika wengine mtakuwa nyambafu nyie

  • @Frankkambona-js7vf
    @Frankkambona-js7vf 27 วันที่ผ่านมา

    Kusema kwel Mzee wa data anasifia saana. lakn nyie ambao mna mdharau ATEBA mnakosea because Freddy Michael ukiangalia skills zake unalia yaan n mbaya saana lakn amekuja bongo amefunga gol sita jumla nane pamoja na kombe la crdb cup kwaiyo achen tusubil kuona atafanya nn then tuanze judge

  • @adamusabuni6173
    @adamusabuni6173 12 วันที่ผ่านมา

    Kama ni galasa lisubirie UtakujA kulishona na sindano hilo domo lako mmekalili kudharau wachezaji wa wenzenu kila wanaposajili mikundu nyie vyura kabisa

  • @AbuuAyubu-t7c
    @AbuuAyubu-t7c 27 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mchezaji huyu mchambuzi nimemstukia kitambo hua anakwepa lawama

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 27 วันที่ผ่านมา

    Mbwaduke naye huwa ni muongo kweli 😂😂😂😂 hili ni garasa yaani simba watalitimua dirisha dogo mapemaa

  • @IdoneLucasi-sg5ig
    @IdoneLucasi-sg5ig หลายเดือนก่อน

    mamae hamna mtu humu khaa