- 111
- 783 970
NeogTv
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 9 ก.ย. 2022
NeogTv Inamilikiwa na kampuni ya Enock ltd chini ya Mkurugenzi , Enock G. Chambali, ambaye ni mtaalamu wa ICT na biashara.
NeogTv kwa sasa imejikita kutoa taarifa za michezo, Elimu ya ICT, na burudani, pamoja na mahojiano Maalum na watu mbalimbali wakati sahihi.
NeogTv ni channel inayofanya kazi kwa weledi na kufuata sheria za nchi na taratibu zote zinazo simamiwa na mamlaka za mawasiliano Tanzania ( TCRA) kupitia sheria ya huduma za habari.
Tafadhali subscribe #NeogTv ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
#NeogTv
#kaziKwaUfanisi
#techEra
#enockMedia
@newfuture
Leonel Ateba _ Skills & Goals 2023 _ Karibu Simba SC _ Tazama uwezo wake hapa Usajili simba
Leonel Ateba _ Skills & Goals 2023 _ Karibu Simba SC _ Tazama uwezo wake hapa Usajili simba
#UsajiliSimba
#LeonelAteba
#SimbaVsYanga
#UsajiliSimba
#LeonelAteba
#SimbaVsYanga
มุมมอง: 31 100
วีดีโอ
Magoli ya Prince Dube na Aziz KI Yanga sc vs Kaizer chief (4 - 0) Goal and game highlights
มุมมอง 61321 วันที่ผ่านมา
Yanga sc vs Kaizer chief (1 - 0) Goal and game highlights Prince Dube goal #kaizerChiefVsYanga #PrinceDube #GoliLaDube
Moussa Camara Usajili Simba BEST SAVe_ New Goalkeeper of Simba Cheki save zake
มุมมอง 9K21 วันที่ผ่านมา
Mousse Camara Usajili Simba New Goalkeeper of Simba Cheki save zake #UsajiliSimba #Camara #UsajiliCamara
Usajili Simba Elia Mpanzu _ cheki highlights and ball control kwaNini Simba wanamtaka
มุมมอง 27721 วันที่ผ่านมา
Simba Wamezamilia Kumsajili Elia Mpanzu _ waongeza Dau _ cheki highlights and ball control #UsajiliSimba #EliaMpanzu #SimbaUsajiliElia
Simba Day : Uzinduzi wa Simba day Morogoro
มุมมอง 5421 วันที่ผ่านมา
Simba Day : Uzinduzi wa Simba day Morogoro #simbaday #kibegi #MorogoroSimba
MAGOMA Awajibu Yanga Anacho Taka Ili Amwachie Timu Eng Hersi
มุมมอง 31หลายเดือนก่อน
MAGOMA Aeleza anacho kitaka Yanga Ili Amwachie Timu Enger Hersi #Magoma #yanga
Jonathan ALukwu Usajili Simba Winga Atari kufunga Usajili Leo check Highlights for Jonathan Alukwu
มุมมอง 540หลายเดือนก่อน
Jonathan ALukwu Usajili Simba Winga Atari kufunga Usajili Leo #jonathanAlukwu
AZiz KI : Usajili Yanga mkataba wa AZIZ KI huu hapa Eng Hersi Afunguka
มุมมอง 733หลายเดือนก่อน
AZiz KI : Usajili Yanga mkataba wa AZIZ KI huu hapa Eng Hersi Afunguka #AzizKI #usajiliYanga #ChamaNaAzizKI
CHAMOU KARABOUE Usajili Simba chamou karaboue beki la dunia cheki uwezo wake
มุมมอง 491หลายเดือนก่อน
KARABOUE CHAMOU Usajili Simba chamou karaboue beki la dunia cheki uwezo wake #CHAMOUKARABOUE #UsajiliSimbaCHAMOUkARABOUE
Usajili Simba Yao Jean Charles Skills and Goal score Nishida Simba Cheki Goal_highlights zake
มุมมอง 751หลายเดือนก่อน
Usajili Simba Yao Jean Charles Mshambuliaji Wa Simba Cheki Goal_highlights zake #YaoJean #UsajiliSimba #simbaYao
Usajili Simba chamou karaboue baki la dunia cheki uwezo wake
มุมมอง 19Kหลายเดือนก่อน
Usajili Simba chamou karaboue skill #usajiliSimba #chamouKaraboue #UsajiliBakiSimba
Usajili_Simba Elia Mpanzu winga ya Maana sana kutoka As vita club cheki highlights zake
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
Usajili_Simba Elia Mpanzu winga ya Maana sana kutoka As vita club cheki highlights zake #EliaMpanzu #UsajiliSimba #SimbaEliaMpanzu
Debora fernandes mavambo skills control Usajili Simba kiungo
มุมมอง 27Kหลายเดือนก่อน
Usajili Simba debora fernandes mavambo skills #usajiliSimba #debora #simbaUsajili
JEAN CHARLES Ahoua Usajili Simba_cheki uwezo skills _ zaidi ya CHAMA
มุมมอง 13Kหลายเดือนก่อน
JEAN CHARLES Ahoua Usajili Simba_cheki uwezo skills _ zaidi ya CHAMA
Usajili Yanga_JONATHAN SOWAH skills and quality to Score cheki Jonathan sowah
มุมมอง 825หลายเดือนก่อน
Usajili Yanga_JONATHAN SOWAH skills and quality to Score cheki Jonathan sowah
Usajili Simba NATHAN IDUMBA FASIKA CENTRE DEFENDER kuchukua nafasi Ya henock inonga
มุมมอง 137หลายเดือนก่อน
Usajili Simba NATHAN IDUMBA FASIKA CENTRE DEFENDER kuchukua nafasi Ya henock inonga
Usajili Simba_ valentino Nouma skills kuchukua nafasi ya Shabalaaa Cheki uwezo wake
มุมมอง 5Kหลายเดือนก่อน
Usajili Simba_ valentino Nouma skills kuchukua nafasi ya Shabalaaa Cheki uwezo wake
Steven Mukwala Usajili Simba Cheki uwezo wake Wakufunga_ Mukwala skills
มุมมอง 250Kหลายเดือนก่อน
Steven Mukwala Usajili Simba Cheki uwezo wake Wakufunga_ Mukwala skills
Usajili Simba_Augustine Okejepha Kiungo Mkabaji skills and goals
มุมมอง 3Kหลายเดือนก่อน
Usajili Simba_Augustine Okejepha Kiungo Mkabaji skills and goals
CHEKI USAJILI YANGA WINGA BOLA LOBOTA ANAYETAJWA YANGA_ ANA BALAA HUYO
มุมมอง 1422 หลายเดือนก่อน
CHEKI USAJILI YANGA WINGA BOLA LOBOTA ANAYETAJWA YANGA_ ANA BALAA HUYO
Al ahly vs Esperance De Tunis (1 - 0 ) goals and game highlights
มุมมอง 2.2K2 หลายเดือนก่อน
Al ahly vs Esperance De Tunis (1 - 0 ) goals and game highlights
Al ahly (3 - 0) TPM Mazembe goal and game highlights VAR decisions again
มุมมอง 303 หลายเดือนก่อน
Al ahly (3 - 0) TPM Mazembe goal and game highlights VAR decisions again
Goli la Aziz ki VAR yatumika Mamelodi Sundowns ( 3 - 2 ) Yanga SC game Highlights penalty
มุมมอง 1.7K4 หลายเดือนก่อน
Goli la Aziz ki VAR yatumika Mamelodi Sundowns ( 3 - 2 ) Yanga SC game Highlights penalty
Yanga (0 - 0) Mamelode sounddown Kosa kosa za yanga game highlights
มุมมอง 544 หลายเดือนก่อน
Yanga (0 - 0) Mamelode sounddown Kosa kosa za yanga game highlights
kosa kosa zote Simba (0 - 1) al ahly kosa kosa zote goal and game highlights
มุมมอง 144 หลายเดือนก่อน
kosa kosa zote Simba (0 - 1) al ahly kosa kosa zote goal and game highlights
KIFO CHA RAIS MAGUFULI JENERALI MABEYO AFUNGUKA A TO Z
มุมมอง 3885 หลายเดือนก่อน
KIFO CHA RAIS MAGUFULI JENERALI MABEYO AFUNGUKA A TO Z
Al Ahly Vs Yanga (1-0) Save za Diarra goal and game highlights Ligi Ya Mabingwa
มุมมอง 2055 หลายเดือนก่อน
Al Ahly Vs Yanga (1-0) Save za Diarra goal and game highlights Ligi Ya Mabingwa
Bonge la mtuuu❤❤❤❤❤
Mmmh mateso na mwendo
Huyu sio striker ila mpanzu tumepata mbadala wake
Sijaona gori ata moja aloshinda kwa uwezo uyo na waziri junio waziri junio yupo vizur
Sijamwelewa
Kusema kwel Mzee wa data anasifia saana. lakn nyie ambao mna mdharau ATEBA mnakosea because Freddy Michael ukiangalia skills zake unalia yaan n mbaya saana lakn amekuja bongo amefunga gol sita jumla nane pamoja na kombe la crdb cup kwaiyo achen tusubil kuona atafanya nn then tuanze judge
Jamaa kila uchambuzi wake yeye kusifia tu
Hakuna mchezaji huyu mchambuzi nimemstukia kitambo hua anakwepa lawama
Mbwaduke Acha kuwafariji wenzako , hili galasa hakuna kitu hapo.
Mbwaduke naye huwa ni muongo kweli 😂😂😂😂 hili ni garasa yaani simba watalitimua dirisha dogo mapemaa
frog
Yamo
Daaa bonge ya mchezaji karibu simba ateba simba nguvu moja
Ngoja tuone😅
mamae hamna mtu humu khaa
Amna kitu
Nendeni kwenye page ya horoya siku inacheza na simba Benjamin mkapa line up goalkeeper ni Mohammed Camara na sio mousa camara
Kuna Muosa camera na Mohamed Camara, ambaye alikuja kwenye mechi ya Simba vs horoya ni Mohamed Camara golikipa namba mbili akapigwa goli 3 kipindi cha kwanza kipindi cha pili wakamuingiza Golikipa namba 3 akapigwa 4 jumla 7
Wachambuzi mnakurupuka sanaaa
Acha uongo wewe kiande huyu hakuja na Horoya ile mechi ya Goli 7 hakua huyu. Msiongopee watu
At least he atract, I like him to be among of simba sport club players
.
Ubovu unatokea wap Mzee
Mashine sana nahisi huu ndio usajili bora
Mnajipima kwa vibonde tafuten timu kubwa
Njoo hata wewe tujipimie kwako uuone huo mziki
😅😊😊😅😊😊😊😊😊😊😅😅😅😊😊😊😊😅😊😊😊😅😊😊😊😅😊😊😊😅😊😅😊😊😊😊😊😅😅😊😊😊😅😊😅😊😊😊😊😅😊😊😅😅😅😊😊😊😊😊😅😊😅😊😅😊😅😊😊😅😊😊😊😅😊😅😊😊😊😊😊😅😊😊😅😊😊😅😊😅😅😊😅😅😊😊😊😅😊😅😅😊😅😅😊😊😊😅😅😅😊😊😅😊😊😊😅😅😊😊😅😅😊😅😊😊😅😊😊😅😊😅😅😊😊😊😊😊😊😅😊😊😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😅😊😅😊😅😊😅😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😅😅😊😊😊😊😅😅😊😊😅😅😅😊😅😅😅😅😅😊😊😅😅😅😅😅😊😊😊😊😅😅😊😊😅😅😊😊😊😊😊😅😅😊😊😊😊😅😊😊😊😊😊😊😅😅😅😊😅😊😊😅😅😅😊😊😅😊😊😊😊😊😅😊😅😅😅😅😊😅😊😅😅😅😅😊😊😊😊😅😊😅😅😅😅😅😅😊😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😅😅😊😅😅😊😅😊😊😊😊😊😅😊😅😅😅😅😊😅😊😊😅😅😅😊😊😊😅😊😅😊😅😅😊😊😅😊😊😊😅😅😅😊😊😅😊😊😅😊😅😊😊😊😊😅😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅😅😊😊😅😅😊😅😅😊😅😊😊😊😊😊😊😊😅😊😅😅😅😅😅😊😊😊😅😊😅😊😅😊😅😅😅😊😊😊😅😅😅😊😊😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅😊😊😊😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅😊😅😊😅😅😊😊😊😅😊😊😊😅😅😅😊😅😅😊😊😅😅😅😅😅😅😅😊😊😊😊😅😊😅😅😊😅😊😊😊😊😊😊😅😅😊😊😅😅😊😊😅😊😊😅😊😊😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅😊😅😊😅😊😊😅😊😅😅😅😊😊😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😊😅😅😊😅😊😅😅😅😅😅😊😊😊😊😊😅😅😊😅😅😅😅😊😅😅😅😊😊😊😊😅😊😊😅😊😅😅😅🐧🐧😊😊😊😅😅😊😊😅😊😅😅😊😊😊😊😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊
Bwabwa uyo
Mo Boss wetu hawa wakiludi toka Misri wasomowe dua nzito. Wenzetu wa upande wa pili Uchawi upo. Ila sisi siku zote hatutaki kuamini kuwa uchawi upo.Wacheza wanakuwaaga hawana tatizo. Tatizo uchawi tu. Ninaiombea sana timu yangu simba iwe inapata ushindi wa kishindo siku zote.❤❤❤❤🎉🎉🎉🙏🙏🙏👍👍👍👍
Upo sahihi
Hahaha,maneno yamfungwaji wa goli tano
Anakituu uyoo no baraaa🎉🎉🎉🎉
Simba bado hatujawajua inaweza kuwa timu bora sana au ikawa hamna kitu ni viziri kusubiri ligi ndo tutajua mbichi na mbivu
Wanafl nnyi sio wanadomba ninyi
Wewe ndio huna akili maana hata mpira hujawahi kucheza
Huyu na awesu wataongez kit
Misumari ni mingi kwenye ligi yeti,yaani ushirikina,angalia ata Ile Simba mbovu msimu uliopita tulikua yunafungwa ovyo ovyo hapa kwenye ligi lakini timu Ile Ile inapokwenda nje inacheza tafauti kabisa,yanga wanaamini ushirikina sana ata mayele aliliweka wazi jambo ilo
hakuna hicho kitu ww. Sasa hivi ligi yetu imebadilika imekuwa nguma sana. Wachezaji top wa Afrika wengi wanachezea kwetu ukienda hata tabora United, Mashujaa n.k unawakuta tofauti na zamani. Achana na mawazo mgando ya kujifariji!
Aucho Alie pungua uzito
Mi najua . Mnao kejeli viwango vya wachezaji wa Simba sio shabiki wa Simba..ni wanafiki
Hao Ni wa upande wa pili
Lazima 5 zirudi
Sahau, labda ziongezeke
Hamna akili mnaowasifia wachezaji wakat timu wanalocheza nalo hamlijui ubovu wake😂😂
😃😃
Mukwala ni mchezaji mzuri ,atawafunga yanga mabao yakutosha yanga wajipange.
MKWALA MZURI ALIKOKUWA LAKINI KWA SIMBA ATAFELI KWA SABABU SIMBA HAWANA UVUMILIVU MCHEZAJI AKIFANYA MAKOSA.
Hapana jamaa Yuko vizuri
wachezaji wanaokuja simba ni wazuri ila wakishacheza na yanga tu, ubovu unaanza kuonekana🤓🤓🤓maana kipicho sa sahihi kwa vilabu za nje na ndani ya tanzania ni kucheza na yanga
Akili yako IPO matakoni
Nikajuwa unataka kusema yanga wachawi
Sawa midi
Yuko vizuri lakini
Yuko vizuri lakini 0:22
Fundi karibu simba
huyunimtu nanusu🎉
Aje kwel Tunamsubili kwa hamu
MBONA HILO GOLI HATA MIMI MSHABIKI NAFUNGA! TUACHE KUWASIFIA SANA WACHEZAJI TUSUBILI LIGI IANZE NDIPO WACHEZE NASI TUTAONA KWA MACHO YETU
Nenda kafunge hilo goli😂😂😂
@@BenAman-cm5kx NIMEISHAFUNGA .
Siyo mzuri wa kumfikia chama sema kashamwaga wino haina namna 😢
Acha kukalili mpira mbuzi wew kwani chama alikuwa hivi Kipindi anakuja simba