GIGY MONEY AMCHANA LIVE DIAMOND SHOW ZA LAKI 5/QUEEN DARLEEN KUPOTEA KWENYE MUSIC,ANAMIMBA/HAMONIZE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ส.ค. 2024
  • tumepiga stori na gigy money #gigymoney #diamond #carrymastorytv

ความคิดเห็น • 60

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 10 หลายเดือนก่อน +16

    Kwenye kuimba gigy hapana ila kwenye kuvaa uko vizuri unajua kupendeza kingine umenifurahisha hapo kwa Queen darling eti kwa nini wakuluulize wewe wakati kuna wasanii kibao wa kike hawajaenda aikiwemo dadaake hawa waandishi wachonganishi sana

    • @edwinamos9734
      @edwinamos9734 10 หลายเดือนก่อน

      Una sauti mbayaaa unatakiwa uwolewe na baba levo.

    • @dotytydo2342
      @dotytydo2342 10 หลายเดือนก่อน

      Waah ujuwi mziki huyu ata naddy haingi nampenda naddy sana lkn hikifika nikuimba huyu anaimba mchezo mbali

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 10 หลายเดือนก่อน

      @@edwinamos9734 😂

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 10 หลายเดือนก่อน +5

    Hakuna lidada yaaani anakukubali sana neno kubwa hilo❤

  • @valeriaally6584
    @valeriaally6584 10 หลายเดือนก่อน +5

    ww ulisababisha wasafi ikafungiwa lakin hawakukufanya chochote na ww mwenyew ulikili hilo,leo unawaona hawana maana,wanaogopa utasababisha wafunguwe tena

  • @omarsakwa-zs2zy
    @omarsakwa-zs2zy 7 หลายเดือนก่อน

    Gigy, I love you

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 10 หลายเดือนก่อน +2

    Eti tajir wa kwanza giggy bwanaa wallah unajuwa kufurahisha

  • @mohammedkombo9798
    @mohammedkombo9798 10 หลายเดือนก่อน +2

    I like Gigi funny @ Uk 🇬🇧

  • @edwinamos9734
    @edwinamos9734 10 หลายเดือนก่อน

    Gigy sauti mbovu sana ka mganga mama unatakiwa uwolewe na baba levo

  • @monicasiima6337
    @monicasiima6337 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hilo sauti la mibange,kuimba hapana kwakwel...hard truth

  • @boysafymuhreen3378
    @boysafymuhreen3378 10 หลายเดือนก่อน +7

    Umesahau ww ndo chanzo cha wasafi kufungiwaga nidhamu ukilewa unajisahau

    • @aminmohammed4249
      @aminmohammed4249 10 หลายเดือนก่อน +1

      Huyu ni mbwa😂 alisema Ally B

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 10 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu kinyonga tunamjua,ata umseme diamond utarudi tu ,crayz

  • @rizoibrahimovich605
    @rizoibrahimovich605 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mi msibani nafka saa 5 usku wakat washalala kuliko kufk saa 2 wanakuon yule kumbe katandika pale mkeka ngoja tumuonyeshe😂

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 10 หลายเดือนก่อน +3

    😂gigy mswahili sana😂😂

  • @mandelanelson7106
    @mandelanelson7106 10 หลายเดือนก่อน +5

    Wachana na English. Unatuaibisha sana. Ongea tu Kiswahili ama lugha ya mama utaskika pia..

  • @user-wu4jj7ms2c
    @user-wu4jj7ms2c 10 หลายเดือนก่อน +1

    Miliion 4 kwa nyimbo ipi

  • @husnakaka8949
    @husnakaka8949 10 หลายเดือนก่อน

    Da crazy girl 😊more love

  • @rtam3150
    @rtam3150 10 หลายเดือนก่อน +6

    🤣🤣🤣🤣ndio mana nakupenda giggy mapesa

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 10 หลายเดือนก่อน +5

    Kwani na yy nimsani wa kumwita kwenye kwenye shoo you huyu

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 10 หลายเดือนก่อน

      Mbona mwazoni walimwita😂😂😂😂😂😂😂 hajielew nyie WA WCB

  • @giftyeliasy8112
    @giftyeliasy8112 10 หลายเดือนก่อน +2

    Msiban hulal week hasaa misiba yakikristo hii mm inanisumbua sana 😢😢😢 yaan naogopa misiba sana

    • @MaurenEmmanuely-nc9id
      @MaurenEmmanuely-nc9id 10 หลายเดือนก่อน +1

      Sku ukipata msiba wako ndo utajua😢😢acha kisema hivo kbsaa hujuh kesho yako ndugu

  • @herijaphet
    @herijaphet 9 หลายเดือนก่อน

    SIMBA BABA LAO

  • @asiamerey9081
    @asiamerey9081 10 หลายเดือนก่อน +4

    Gigy usinene ukamara

  • @ssssd9546
    @ssssd9546 10 หลายเดือนก่อน +2

    Gigi nakupenda sana

  • @uwimanafridah8740
    @uwimanafridah8740 10 หลายเดือนก่อน +2

    ila gigy unajua kuvaa sana! Mufundishe na Zuchu

    • @saitotibuchali7370
      @saitotibuchali7370 10 หลายเดือนก่อน

      Hujui ata kuandika then unatoa ushauri 😂😂

  • @Bongovlogs
    @Bongovlogs 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kujenga nyumba Kigamboni kadanganya

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 10 หลายเดือนก่อน

    Kazi mnayo

  • @kilungahamis1270
    @kilungahamis1270 10 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa kwani Msanii Mond peke yake? Why na nyie msifanye matamasha yenu, muwalipe hizo Million 2 kila msanii?

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 10 หลายเดือนก่อน

      Wafirwaji WA WCB mshaanza kucomment

    • @swalehesaad1143
      @swalehesaad1143 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@shwaibukhatibu2838mfirwa na wachukiaji wcb naona unatetea hoja😂

  • @Wazimamoto
    @Wazimamoto 10 หลายเดือนก่อน +2

    Milion 4 yakutombwa au usanii kwa nyimbo ip huku kwetu mtu akikuleta ata elufu 20 hauz😂😂😂

    • @husnakaka8949
      @husnakaka8949 10 หลายเดือนก่อน

      Katombwe wewe basi😂😂😂

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 the only one gygy

  • @Shuugan
    @Shuugan 10 หลายเดือนก่อน +6

    Zimeni camera rafiki yangu gigi kalewa jamani😂😂😂😂😂😂

  • @dicksonelisa867
    @dicksonelisa867 10 หลายเดือนก่อน

    Gigy gigy gigy

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 10 หลายเดือนก่อน +4

    Gigy chizi 😂😂😂

    • @dorisfabian4776
      @dorisfabian4776 10 หลายเดือนก่อน

      😀😀😀😀😀😀

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo 10 หลายเดือนก่อน +1

    👍

  • @dominickjohn1128
    @dominickjohn1128 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu kuma kama vile anyagi

  • @jimmyn9791
    @jimmyn9791 10 หลายเดือนก่อน

    Afu kiongo hiki !! Eti horofa 🤔

  • @Atb300
    @Atb300 10 หลายเดือนก่อน +2

    Giggy kweli ana baipola 😂😂😂😂😂😂😂

  • @navyoagrey7523
    @navyoagrey7523 10 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅😅

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂mtoto balaa huyuu

  • @princesstinah
    @princesstinah 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @Jijuw
    @Jijuw 10 หลายเดือนก่อน

    1

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂 eti 4M duuh kwa nyimbo gani ulionayo au kwa perfomance gani unaifanya wew??😂😂

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 10 หลายเดือนก่อน

    Unakipaji gani Zaid yakukaa uch😂😂😂

    • @mbunah255
      @mbunah255 10 หลายเดือนก่อน

      Kaa uchi na wew kama unaweza

    • @hezronjoseph405
      @hezronjoseph405 10 หลายเดือนก่อน

      @@mbunah255 Sina icho kipaji boss

    • @mbunah255
      @mbunah255 10 หลายเดือนก่อน

      @@hezronjoseph405 acha wanao weza wapige pesa 🤣

    • @hezronjoseph405
      @hezronjoseph405 10 หลายเดือนก่อน

      @@mbunah255 haya bana sa ttafa yaj😂😂😂

  • @lucybatista2631
    @lucybatista2631 10 หลายเดือนก่อน

    Eti jin mshangao..how are you 😂😂

  • @fahadmauld
    @fahadmauld 10 หลายเดือนก่อน

    Km huna bwana mmnipo