PART2:ALIECHUKULIWA MSUKULE MIAKA 11 ARUDI/MAMA ALINIZIKA AKIJUA NIMEKUFA/TAJIR WA MABASI ALININUNUA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 62

  • @gersonmshana8927
    @gersonmshana8927 2 ปีที่แล้ว +5

    Mwa 3:11-19 SUV
    BWANA Mungu akamwambia nyoka, Kwa sababu umeyafanya hayo, umelaaniwa wewe kuliko wanyama wote, na kuliko hayawani wote walioko mwituni; kwa tumbo utakwenda, na mavumbi utakula siku zote za maisha yako; Mwanaume nae aliambiwa u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi. Nyoka ni shetani na mavumbi ni miili yetu ambayo ameambiwa atakula maisha yake yote

  • @omarymtaita7652
    @omarymtaita7652 2 ปีที่แล้ว +5

    Kutokana na kulaaaniwa na Mungu mtukufu wanakula damu tokana na kuondoka katika utukufu wa muumba hivyo wanakula damu ili waendelee kufanya maasi yakizidi kumchukiza Mungu na ipo siku adhabu ya juu ya maovu yote waliyofanya na wataziona gadhabu za Mungu juu yao

  • @florencerose859
    @florencerose859 2 ปีที่แล้ว +3

    Mr everything umeongea vizuri sana ya kwamba jini walileta ujinga binguni ndio wakatupwa na mungu

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 2 ปีที่แล้ว +2

    Unaondoa utamu wa simulizi
    Ungeandika maswali halafu akifika mwisho ya hiyo chapter then you ask him soma questions

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwa uelewa wangu mdogo wa mambo ya kiroho,Shetani hakuumbwa na asili ya kunywa damu alipokua mbinguni ,lakini kwasababu alimuasi Mungu,na yeye aliampa atapambana na binadamu,kwaiyo Jambo lolote analofanya Shetani ni kinyume na Mungu,na kuweka mateso Kwa mwanadamu,hivo yeye kwa utashi wake aliamua achague njia hiyo ili kuleta mateso Kwa mwanadamu,na Yesu alisema mwivi haji ila aibe,kuchinja na kuharibu hivo shetani yeye chochote anachofanya lazima kiwe against the nature na lazima kilete mateso Kwa mwanadamu

  • @mohammadumarzavallah9719
    @mohammadumarzavallah9719 2 ปีที่แล้ว +3

    Too much question brother

  • @pirminmatumizi5464
    @pirminmatumizi5464 2 ปีที่แล้ว +7

    Davistar, unamuuliza maswali yanayosababisha kumpotezea mtiririko ktk simulizi la kisa chake. Huyu hakuwa mchawi bali alikuwa anatumiwa tu. Hawezi kujua uchawi. Mpi uhuru atiririke. Iga namna Promover anahoji. Itakusaidia.

    • @annkim2690
      @annkim2690 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣 nakwambia Jactan msafiri hanaga hio tym

    • @Kalssambabo-gv6uh
      @Kalssambabo-gv6uh 10 วันที่ผ่านมา

      Hilo swali kwake nigum namwenyezi mungu hakuwaumbia watu waliwe najini hiyo nimoja ya maasi yao kwa muumba wao

  • @Alexsenyagwa-t3j
    @Alexsenyagwa-t3j 2 ปีที่แล้ว +3

    Davista maswali mengi Kaka kwann maswali ingekuwa unauliza mwisho kbsa wa story

  • @shimii3662
    @shimii3662 2 ปีที่แล้ว +7

    Story nzuri ila dah maswali ni mengi na Maelezo ya davista mpk story imepoteza mvuto duuh

  • @fredichaki3497
    @fredichaki3497 2 ปีที่แล้ว

    Huyo boss ni Mzee sumri tu mnaficha Nini ndiyo amishakufa na alikua na kampuni ya mabasi sumbawanga mimi mtu ameniua alafu niogope kumtaja wewe taja tu usiogope ameteseka sana katika maisha ya kimsukule

  • @DerickNdasalama-s9n
    @DerickNdasalama-s9n 2 ปีที่แล้ว +1

    Daaaaaaaaaah huyu mtangazaji amezidi maswali yake yanaboa sanaaaa

  • @reisezone4574
    @reisezone4574 2 ปีที่แล้ว +3

    Davistar huyu jamaa hakuwa bosi wa uchawi sasa unavyomuuliza maswali ya ndani ya uchawi wakati yeye hakuwa mchawi unakuwa unavuruga mtiririko wa stori , muulize yaliyondani ya kile alichokuwa anafanya yeye

  • @michaelbengesi9838
    @michaelbengesi9838 2 ปีที่แล้ว +1

    DAVISTA uko vizuri, Lakini Punguza maswali Story izidi kuflow vizuri

  • @adamaldo5375
    @adamaldo5375 ปีที่แล้ว

    Mungu tusaidie wachawi wapate aibu Ee Mungu tuinue Mungu wetu utupe macho ya rohoni na tuweze kuona vitu vibaya na hao wanasababisha haya waabike na kufedheheka

  • @trillianbennahbennah5312
    @trillianbennahbennah5312 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Davistar hii ni story ama ulimleta kumuonji si uachie story tuikule vizuri aueleweki na maswali

  • @Adil_Jaxon
    @Adil_Jaxon 2 ปีที่แล้ว +1

    Boss too much questions mwache jamaaa asimulie uliza maswali mwishoni...side note chukua note book andika maswali wakati anasimulia kabla ya kufunga kipindi anza kumuuliza hayo maswali uliyoandika.

  • @mohammadumarzavallah9719
    @mohammadumarzavallah9719 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama utakua na peni na daftari uwe unaandika maswali Yako alafu uwe unauliza mwisho wa stori

  • @emmamanjale606
    @emmamanjale606 ปีที่แล้ว

    Davista unazingua. Unauliza maswali ambayo hayana msingi. Unampa maswali ambayo hana uwezo nayo. Mpe nafasi ya kutoa ushuhuda wake, sio eti Mungu aliwaruhusu majini kunywa damu, is none sence! Unamvuruga na kumpotezea uelekeo. Anapoteza point muhimu

  • @makame3524
    @makame3524 2 ปีที่แล้ว

    Mtafute shafii the don atakupa iyo elimu,,, udi sio chakula,,, swali la dam ata binadam wanatumia dam,,, lakin sio rasmi ni ushetsn tu ndio huwafanya kufanya ivyo

  • @piusnkwale
    @piusnkwale 2 ปีที่แล้ว

    Mimi namuelewa davista kwanini anauliza Sana maswali.jamaa flow yake ya kujieleza haipo sawa kama anajaribu kumrudisha kwenye reli ili asipoteze mantiki

  • @janeongala6684
    @janeongala6684 2 ปีที่แล้ว +5

    Kira siku tunakwambia devista punguza masawali unaboa bwana story imekuwa maojiano ww muache asimulie alafu ata uelewagi ww

    • @petermwaibofu3260
      @petermwaibofu3260 2 ปีที่แล้ว +2

      Maswali yake ndiyo yanafanya kipindi kinakuwa kizuri, mimi napenda anavyouliza!

    • @nawandafamito500
      @nawandafamito500 2 ปีที่แล้ว

      Bila maswali utajifunza nini Sasa?!, Kama wewe hupendi maswali Skip nenda mbele

    • @florencerose859
      @florencerose859 2 ปีที่แล้ว

      Maswali ni lazima ubora ya kipindi

  • @DerickNdasalama-s9n
    @DerickNdasalama-s9n 2 ปีที่แล้ว

    Huyu mtangazaji anakera Sana na maswali yake hadi hasira Yaaani pumbavuuuuuu

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 2 ปีที่แล้ว

    Nakuona DM unafunguka nawe pole pole 😀😀

  • @MarthaZabron-gg3uj
    @MarthaZabron-gg3uj ปีที่แล้ว

    Wanafanya machukizo tu wamfanye mwanadamu ajitenge na Mungu

  • @anastaziaclement1034
    @anastaziaclement1034 2 ปีที่แล้ว

    Katika story hii au simulizi hii wasikilizaji mmenikosha muda mwingine dived anaboa maswali alfu anauliza maswali ambayo anayesimulia sio haya anataka

  • @christinaonyango6085
    @christinaonyango6085 2 ปีที่แล้ว +3

    Punguza maswali,acha asimulie andika maswali yako utauliza mwisho wa story, yaani mpaka umepoteza muelekeo wa story,imekuwa Kama ni kipindi Cha maswali na majibu .

  • @lululivingstone8298
    @lululivingstone8298 2 ปีที่แล้ว

    Nikajua mimi2 kumbe wengi mnaboreka na maswali

  • @emojongtv3995
    @emojongtv3995 2 ปีที่แล้ว

    Maswali ni mazuri tu. Lakini Nina jibu.
    Wanachikula malaika sasa hivi mbinguni ndicho majini walikua wanakula kabla ya kuasi.

  • @mussamtalika243
    @mussamtalika243 5 หลายเดือนก่อน

    Hii story fiksi tupu muelezeaj hata kujielezz hajui msukule kama msukule tunajua huwa hawzjitzmbuiii

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur ปีที่แล้ว

    Wewe mtangazaji una kihelehele wewe una host kipindi lakini wewe ndio unazani ndio guest(mgeni) unauliza maswali mengi mwache Mchungaji ajieleze yani hata apumui na anashindwa hata kujieleza vizuri

  • @reisezone4574
    @reisezone4574 2 ปีที่แล้ว

    amsemsema huyo tajiri aliyekuwa anawatumikisha kashakufa tayari kama kashafkufa kwanini asimtaje tu jina ni nani au kama sio jina basi ataje jina la hayo makampuni ya mabasi

    • @tahirnephessalum3678
      @tahirnephessalum3678 2 ปีที่แล้ว

      hiyo inaweza kuleta kesi na familia yake ikataka fidia kubwa kwa Media hii wanafungua kesi ya kuchafukiwa jina/brand ya ukoo

  • @noeldaudi590
    @noeldaudi590 2 ปีที่แล้ว +1

    Kumbuka hai ni binadamu sio jini huyo punguza maswali mbona huelewi
    Toka stori imeanza sija heelewa mwanzo Wala inapoelekea
    Sisi hatukwambii ilimradi tu Babu mbona inakua sio muelewa, unashindwa Nini kuadisiwa pembeni
    Alafu maswali yako Hana hata ulazima wa kijua
    Unapekenyua vitu hata havina sababu yaani makusudi tu hiyo davista
    Alafu muda wako ukiisha unamaliza
    Wewe Sasa vipindi vyako nikero tu

  • @emojongtv3995
    @emojongtv3995 2 ปีที่แล้ว

    Mbona part 1 inapotea wakati nataka kushare ?

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 2 ปีที่แล้ว

    Asili ya wao kula damu ni laana waliyopewa na Mungu, MUNGU akamwambia nyoka kwa tumbo utakwenda na mavumbi utakula siku zote za maisha yako, kitabu cha mwanzo cha biblia kiko wazi

    • @stejasatv7349
      @stejasatv7349 2 ปีที่แล้ว

      Kwahiyo mavumbi ni binadamu au

  • @victoromoga7548
    @victoromoga7548 2 ปีที่แล้ว

    pia mbinguni kuna chakula cha malaika ambacho wana wa israeli waliteremshiwa na Mungu wakiwa jangwani ambacho kinaitwa manna soma exodus 16:4

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 2 ปีที่แล้ว

    Ndio ni ushuhuda mzuri na sasa ni mtumishi amekombole kabisa na kama ndio anazo nguvu za Mungu ndani yake za kuvunja mathabahu za majini na mashetani? Kuna watumishi wengi wanamafunzu mazuri lakini ikifika kuvunja mathabahu hawana nguvu za Mungu kabisa wanashindwa

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 2 ปีที่แล้ว +2

    Note: In the Field of battle always the stronger overcomes the weak. Ukiwa mshirikina utapona kwenye ajali endapo tu km ushirikina wako ni mkubwa kuliko hao wanaosababisha ajali.

  • @jamesgraphics2651
    @jamesgraphics2651 2 ปีที่แล้ว

    hilo la ndege nimeipenda je na hv wakipiga camera picha wakisafisha wanaweza kuonekana

    • @lynnpreciousm6182
      @lynnpreciousm6182 2 ปีที่แล้ว

      Maswali muhimu kaka
      Hapa tuko darasani (tupate kuelewa ulimwengu wa spiritual ulivo) sio story-time.
      Maswali muhimu na muda wa maswali pia ni huu huu. 🙂barakiwa

  • @freddokuckelmann8502
    @freddokuckelmann8502 2 ปีที่แล้ว

    Hawawezi kusababisha ajkali za ndege kwa sababu wachawi wanafanya kazi kwa mikoa au majimbo (siyo kwa nchi au mabara). Ngege ikiruka tanzania muda mfupi tu iko Ethiopia nk. Hawa wachawi wa nchi mbalimbali hawajuani

  • @victoriouschurch2402
    @victoriouschurch2402 2 ปีที่แล้ว

    Nikwamba baada ya kuasi shetani na malaika zake walibadilika toka asili ya uumbaji wake wakuishi kama kiumbe roho alieumbwa Kwa moto hivyo uasi ulimfanya shetani afanye Vita na mwanadamu,Ili apate wakwenda nae jehanamu,hivyo walibadilishwa na nguvu ya uasi iliwabadiri asili Yao,wakaanza Kula

    • @victoriouschurch2402
      @victoriouschurch2402 2 ปีที่แล้ว +1

      Ilikuharibu uwepo wa mwanadamu,hasa asieokoka soma yohana 10:10

  • @edwinbanzi7748
    @edwinbanzi7748 2 ปีที่แล้ว +1

    Hayo majini yeye anajuaje ni majini Kama ni misukule wenzie je?

  • @iandavid4878
    @iandavid4878 2 ปีที่แล้ว

    Nahisi jamaa hajiamini kbs anaesimulia pia kama anaongozwa kuhadithia

  • @josephmpemba8004
    @josephmpemba8004 2 ปีที่แล้ว

    JINI ni roho. Roho haina mwili na haihitaji chakula.

  • @tahirnephessalum3678
    @tahirnephessalum3678 2 ปีที่แล้ว +1

    majini chakula chao ni mifupa iliyosagika sagika

  • @petermwaibofu3260
    @petermwaibofu3260 2 ปีที่แล้ว

    Davistar, uliza swali hili " hayo majini yanafananaje" yakoje yakoje, yanayo muonekano gani?

    • @othmanmulendelwa9622
      @othmanmulendelwa9622 2 ปีที่แล้ว

      Chamsingi tumchangie davistar tujiunge kwenye group lenye uwezo wako

    • @othmanmulendelwa9622
      @othmanmulendelwa9622 2 ปีที่แล้ว

      Sio tuna uliza maswalitu na tufa kitu chamsingi waku mchangia tu kwa sababu ana tembea mikowa ya mbali kutu taftia story sisi tuelimike

  • @PastorPhilipMbaabu.
    @PastorPhilipMbaabu. 10 หลายเดือนก่อน

    Davista, you talk too much and it is annoying 😡😡😡

  • @beatricekagali1048
    @beatricekagali1048 ปีที่แล้ว

    Mpe nafasi aongee unaongea sana

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 10 หลายเดือนก่อน

    Kaka muache basi atupe stori tujifunze unaongea sana wewe

  • @musaondieki2493
    @musaondieki2493 2 ปีที่แล้ว

    Shetan alipoasi Mungu aliamuru awe analamba mchanga sio nyama y watu Wala za wanya