🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 154

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  19 วันที่ผ่านมา +3

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

    • @sefaniaslyvestertv1498
      @sefaniaslyvestertv1498 19 วันที่ผ่านมา

      Hawa polisi hawafai mbona jama katekwa na wao hawatoi taarifa yeyote na anawaza kukimbia nchi polisi imekuwa ni genge la majambazi

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j 19 วันที่ผ่านมา +8

    Kaka afande Mungu akubariki ,maana maeneo yote wananchi wangetiwa moyo namna hii hata wananchi hawavurugwi kama inavyotokea sehemu nyingine nchini

  • @noekenny3771
    @noekenny3771 19 วันที่ผ่านมา +9

    Kuna vitu haviko sawa kwenye jeshi letu,
    Taarifa zina tolewa baada ya wananchi kupiga kelele sana. Something wrong some where.

    • @sharifanyumayo6314
      @sharifanyumayo6314 19 วันที่ผ่านมา +1

      Umeona ndugu yangu, Bila siye kupiga kelele nyundo na wenzake wasingeonyesha sura zao, (2) bila kelele zetu pia afande pia wasingeongea polic wangetuzuga TU, Tunawapenda polic ila na siye watutendee haki pia

  • @user-nf1tg3kt3y
    @user-nf1tg3kt3y 19 วันที่ผ่านมา +5

    Wewe mjinga hapo mnataka kutufanya tuamini ujinga wenu hapo sawa hatujakataa na nyie polisi mnaoteka watu kituo Cha polisi chang'ombe vipi mbona hutoi taarifa

  • @davidmisiwa4622
    @davidmisiwa4622 18 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezi alisaidie taifa hili jaman

  • @nicksonngaamanya1946
    @nicksonngaamanya1946 19 วันที่ผ่านมา +5

    Police mna kula kiapo kulinda Sheria sio ku kuvunja Sheria sasa uyo AFANDE Fatuma kavunja kiapo , je mtamlinda Fatuma KWAKUA ni police mwenzenu au mtatoa fundisho because remember police you're not above the law ndomana mna apa kulinda Sheria mna vaa na bendela ya taifa kiunoni, madam president work on it.

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 19 วันที่ผ่านมา +5

    Kama Sheria ikisimamiwa sawasawa hakuna raia atachukua Sheria mkononi

  • @KristonsiaSNkya
    @KristonsiaSNkya 19 วันที่ผ่านมา

    Ee Mungu baba naomba mwisho mwema 😢

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 19 วันที่ผ่านมา +3

    Hii statement itazidi kuwaweka kwenye matatizo. Mnapaswa mtoe taarifa zawatu wote waliopotea.

    • @BituroPaschalKazeri
      @BituroPaschalKazeri 19 วันที่ผ่านมา

      wasaidie kwa kuwa mkweli na kuwapa ushirikiano; bila raia kuwajibika kama sehemu ya ulinzi na watu na mali kazi yao imekuwa ngumu sana

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 19 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu wq unaweza wahukumu kwauwezowako wauwaji ww yarabi.ufundiswi unajua siri za siri na zahili tunakutegemea ww. Unawajua wanaojiita wasiyojulika. Tunakutegemea ww sisi wanyonge😭😭tunajua malipo yapo huko ahla tupe iimani nasubra yarabi

  • @MohdAli-cx7bc
    @MohdAli-cx7bc 19 วันที่ผ่านมา

    Chief God love akamatwe anawahamasisha vijana kufanya unyama 😢

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 19 วันที่ผ่านมา

    Watu wana Imani za kishirikina hadi leo, fanyeni kz acheni ujinga huo jamani Duuuuuue.

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 19 วันที่ผ่านมา +1

    Laana za Mwenyezi Mungu ziwashuie wauaji wote,Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin.

  • @AbelChisasi
    @AbelChisasi 19 วันที่ผ่านมา +4

    Eti baada ya Mbowe kutuumu jeshi la polisi kuteka watu, Eti Leo ndo wanatoa taarifa ili kuficha uovu wao

    • @user-oh6pc7zd4s
      @user-oh6pc7zd4s 19 วันที่ผ่านมา

      Wewe na hao chadema wenzio kila kitu mnafanya siasa.Nyinyi kwenu matukio no kiki na kugeuza siasa huo ni uprimitive mind na kukosa hoja.

    • @stevensoso7506
      @stevensoso7506 19 วันที่ผ่านมา

      Kwani kupotea watu ni siasa

    • @edgarmbegu1974
      @edgarmbegu1974 19 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-oh6pc7zd4swe jamaa mpumbavu kweli. Kwani watu hawatekwi

  • @jofreykilangila4118
    @jofreykilangila4118 19 วันที่ผ่านมา

    Ilibidi wauliwe hapo hapo ili iwe fundisho kwa wengine

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 19 วันที่ผ่านมา

    Kesi km hizi jeshi letu la police alhamduallah yaani fasta tow lkn za ubakaji mpk leo munachunguza

  • @user-tx6dh6ii3m
    @user-tx6dh6ii3m 19 วันที่ผ่านมา

    Asante jeshi LA polisi kazi njema mungu awape maarifa mengi

  • @fredgonga
    @fredgonga 19 วันที่ผ่านมา

    😢 Mbona sijasikia wengine

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 19 วันที่ผ่านมา

    Mpenzi mapenzi enyi binaadam mnaopenda msipo pwendwa 😢😢😢😢

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 19 วันที่ผ่านมา

    Asante sana. Sasa kule uwanha wa TAIFA hakuna nafadi ya kuwaadhibu hao watu HADHARANI.. au ni lazima waende jela??😂

  • @fadhilidanieli1478
    @fadhilidanieli1478 19 วันที่ผ่านมา +3

    Hapo kwenye tako ungesema sehem yakalio... Daaaaah ila mambo haya yanatisha kwakweli

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 19 วันที่ผ่านมา

    Tunakubali afande lakn msije mkajificha kwenye hicho kichaka wengne wanatekwa kweli kweli na wahusika mnawajua

  • @charlessentiyongo8484
    @charlessentiyongo8484 19 วันที่ผ่านมา

    Hapo sawa, angalau mmeanza kufuatilia mambo ya mauaji kwakweli imekuwa tatizo kubwa sana nchini, hata ninyi pia mjichunguze pia maana duh....!

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 19 วันที่ผ่านมา

    Ifike Siku Waalifu Wasiwaze Kufanya Ubaya Kama Lushwa Itapigwa Teke Tz Itakua Nchi Ya Mfano

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 19 วันที่ผ่านมา

    Jaman Jaman 😢😢😢 sasahivi tz wallah tunapaogopa tena hawa police

  • @MdNasr-jm8pj
    @MdNasr-jm8pj 19 วันที่ผ่านมา

    Jmn ndo ubinaadam huu ugaid tuu😢

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 19 วันที่ผ่านมา

    Ilikua afe huyo mganga kienyeji,

  • @allybora4021
    @allybora4021 19 วันที่ผ่านมา

    Zama za mwisho unamkata mwenzio kama kitweheo

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 19 วันที่ผ่านมา

    Ee si Muwe mnatia taarifa kama hizo ili watu wapate amani ya moyo kuhusu ndugu zao

  • @omarymgangasenzia5282
    @omarymgangasenzia5282 19 วันที่ผ่านมา +3

    Nyakati za mwisho zimekatibia binadamu tumekuwa wanyama sana Mungu sema nasi

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 19 วันที่ผ่านมา

      Usiwafananishe binadamu na wanyama,, binadamu ni hatari kukiko wanyama,, baazi ya binadamu ni mashetani wakubwa.

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 19 วันที่ผ่านมา

    Huyu afande fatuma kweli yeye hana wtoto jaman naumia sana munakula kihapo chanini jaman 😢😢😢😢😢😢😢

  • @ananiasuleimani5916
    @ananiasuleimani5916 18 วันที่ผ่านมา

    Kwa nn hawa waganga wakienyeji wasifungiwe kufanya kaz zao za uganga

  • @JUSTINPiniel
    @JUSTINPiniel 19 วันที่ผ่านมา

    kwanini serikali inawaacha waganga wa kienyeji kwanini(why?)

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 19 วันที่ผ่านมา

    Hizo njia mnazotumia mpk kuelezwa viungo vilipotupwa,si mtumie kwa wabakaji kuwaeleza aliewatuma kwa binti wa yombo dovya?acha kutuchora

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 19 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi uwaneni tu mkichoka jibakeni

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 19 วันที่ผ่านมา +3

    Subuhanallah😭😭😭watu wanauwa wala.hawaogopi.jamani. Allah. Ww ndiyemjuzi tustiliwajawako Tz ss ipokwenye mtihani. Watu wamebadilika wanarohombaya. Waiyendekeza Dunia wao pesatu. Allahu Akibarr

    • @jumapiliissa4835
      @jumapiliissa4835 19 วันที่ผ่านมา

      Weacha tu andika danguro tv yutb utaona wakenya wanavyo chinjwa watoto kuchukuliwa viungo zipo chaneli nyingi tu walimwengu ndipo walipofikia M/MUNGU tunusuru

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 19 วันที่ผ่านมา

      @@jumapiliissa4835 nawajua wale. Dangulo,hawa,pasta,Riyaga,koloo,na walichukuliwa na yule sweitwani. Maxwell. N boxko Jonte Jose

    • @jumapiliissa4835
      @jumapiliissa4835 19 วันที่ผ่านมา

      @@HanifaOman-oo4pl ok niatali sana aisee

  • @user-lu1by6yp4t
    @user-lu1by6yp4t 19 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani😭😭😭 mungu tusaidie

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 19 วันที่ผ่านมา

    Kwa DPP failli la uchunguzi la fatma kigondo litarudi lini?

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 19 วันที่ผ่านมา

    Hizo ni trick za police Kutaka kujisafi ,ili waonekane Hawa husiki na vitendo vya utekaji,,

  • @BonifasiAmosi
    @BonifasiAmosi 19 วันที่ผ่านมา

    Mbona walio potea wao hawasemwi

  • @user-un2wl3iu8d
    @user-un2wl3iu8d 19 วันที่ผ่านมา +4

    Hongeren jeshi la polis kwa kaz mnayofanya mungu awatie nguvu siku zote dunia Inamaajabu.

    • @rosekimaro384
      @rosekimaro384 19 วันที่ผ่านมา

      Bdo jeshi la polisi halijawa sawa kwan kuna watu 80 bdo hawajulikan wako wapi tunaka wapatikana kama hawa Asante

  • @kipepeo_Kitchen
    @kipepeo_Kitchen 19 วันที่ผ่านมา

    Vijana hawataki kufanya kazi, wanataka maisha mazuri na pesa kwa haraka. Hii ni athari kubwa kwa taifa.

  • @OscarKasalile
    @OscarKasalile 19 วันที่ผ่านมา +1

    Afande hongera kwa kuwa mzalendo na kuwa na moyo wa utu, sio hao wanaoona kuwaua watanzania ndio kupata vyeo sio kweli huwezi kumuua binadam ambae wewe huwezi kuumba mtu.

  • @abdulmajidmageja6562
    @abdulmajidmageja6562 19 วันที่ผ่านมา

    Hongera Sana msemaji WA jeshi LA polisi lakini hauja wakemea askari wanae vunja sheria hapo kuwa watachukuliwa hatua kali nn tatzo

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 18 วันที่ผ่านมา

    Kuna visheri hapa tanzania bisipofanyiwa marekebisho tutamalizana wenyew Kwa wenyew wanyonge Kwa kamba live bila chenga na mganga auliwe Kwa kutolewa kiungo kimoja kimoja huku waganga wote jadi wakiwa wageni rasmi kuona mwezie anavyotolewa kiungo kimoja kimoja ili wajifunze kupitia mwezao

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 19 วันที่ผ่านมา

    Innalillahwainalillah rajiuun jamani jamani huo ni Utajir kweli

  • @hashimrashid6380
    @hashimrashid6380 19 วันที่ผ่านมา +2

    Hongereni sana jeshi la police Tanzania ❤ I believe you

  • @LeahMkwabi
    @LeahMkwabi 19 วันที่ผ่านมา

    Mmmh mungu wangu nisaidie vijana wadogo Mnauwa😢mnakata viungo😢 mnachimba shimbo😢 mnazika😢
    Muonapo mambo hayo inueni vichwa vyenu changamkeni Yesu Anarudi

  • @davidmwandenuka1712
    @davidmwandenuka1712 19 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli Hali inatisha sana kwenye jamii kwahaya mambo ya kutekana na kuuana

  • @PeterwnChibala
    @PeterwnChibala 19 วันที่ผ่านมา

    Hii nchi nahis itakuwa na maagano na kuzim, haiwezekan mauaji , kutekwa watu na watu wasiojulika halafu hawa wajomba wapo na wanajisifia kuwa wako hodari na wanafanya kazi kwa weledi ,wanabaka ,wanalawiti kama sio mikataba na kuzimu ni nini waambie kuna gongo na bangi mahali ndo weledi utauona

  • @BonifasiAmosi
    @BonifasiAmosi 19 วันที่ผ่านมา

    Yenye ndo munavunja amani

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 19 วันที่ผ่านมา

    Mbona Police wana subiri had wananchi wa kasirike ndo wa act

  • @RuandaDimoso
    @RuandaDimoso 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mpaka watu wandamane muwapige ndio muwekewazi ukweli tena kwa taabuu

  • @user-ch2it3qt5z
    @user-ch2it3qt5z 19 วันที่ผ่านมา

    Hivi kumbe watu tumekosa Hofu ya Mungu...dah

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 19 วันที่ผ่านมา

    Uyo Fatuma kigondo akamatwe

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela 19 วันที่ผ่านมา +1

    Nahao wanaotekwa na mafande mbonahuwataji

  • @fatmamansour2764
    @fatmamansour2764 19 วันที่ผ่านมา

    Subhha Allah yarab mtihani mkubwa huu yote nikutaka utajiri jamani Allah akbar lkn yote kutokuwa na imani ya Dini

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 19 วันที่ผ่านมา

    Huyo n kua tu laanahtullah,

  • @DavidMutiba-hr3vo
    @DavidMutiba-hr3vo 19 วันที่ผ่านมา

    Ametoa taarifa ya kina kuhusiana na matukio ya utekaji na mauaji mbalimbali ,lakini kuhusu afande anayetuhumiwa kufadhili ulawiti na ubakaji wa binti ametoa kifupi sana. Faili lake limepelekwa kwa DPP. Sijajua maana yake, mimi nilitegemea aseme amekamatwa yuko mahabusu bila dhamana kwa usalama wake na anapelekwa mahakamani na wenzake.

  • @livinuskamugisha5296
    @livinuskamugisha5296 19 วันที่ผ่านมา +1

    Dha tuiombee Amani Tanzania na ulimwengu mzima kwa ujumla

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 19 วันที่ผ่านมา

    Matukiyo ya kutisha mno hayo

  • @FatumaMuya-w5h
    @FatumaMuya-w5h 19 วันที่ผ่านมา

    Jamani nini tena hii mbona wanauwana sana na wajina umepatwa na nini tena😭😭😭😭😭😭

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 19 วันที่ผ่านมา

    Siku zamwisho jmn eman imekwisha watu wanatoa huwai wa mtu na kukata kata kama anakata nyama aisee Imani za kishirikina izi utajiri hauji bila ya kufanya Kaz

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 19 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana makamanda Kwa kazi nzuri mtupe na mrejesho wa hao WAHUSIKUA walio Fanya matukio ili tujue wataishia wapi jamani

    • @barakamanga5502
      @barakamanga5502 19 วันที่ผ่านมา

      Uwempole mkuu kazi inaendelea

  • @edgarmbegu1974
    @edgarmbegu1974 19 วันที่ผ่านมา

    Acha siasa wewe! Mbona hujatoa taarifa za wengine waliookotwa Katavi na wale 200 aliowataja Mbowe?

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc 19 วันที่ผ่านมา

    Yananifikilisha sana mwenzenu

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 19 วันที่ผ่านมา

    Lahaula huyo mganga akamatwe na anyongwe piya

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu naomba mwisho mwema 🙏

  • @farajsogoma9370
    @farajsogoma9370 19 วันที่ผ่านมา

    Hivi RPC wa Dar na Wazir wake 😇

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 19 วันที่ผ่านมา

    Hawa watoto wajinga sana tena sana, hiyo ni Nguvu kz ya Taifa inafanya ujinga km huo Duuuuuue.

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp 19 วันที่ผ่านมา

    Naomba Mungu anisaidie nisiamini kuwa ktk nchi yetu yenye sifa ya Amani na utulivu tunaweza kuwa na kikosi maalum cha kupoteza, kutesa na kuua raia wa Tanzania kama alivyo kuwa Iddi Amin na kikosa chake cha State Research Bureau Mungu atunusuru na kutuepushia tusifike huko.

    • @zahormohammed4476
      @zahormohammed4476 19 วันที่ผ่านมา

      Wacha kumsingizia uovu iddi amin Yule alikua mchamungu ila propaganda ndio ametwishwa nazo

  • @user-ry4kx9hg7o
    @user-ry4kx9hg7o 19 วันที่ผ่านมา

    Mpaka watu wapi kelele, ndiyo mnatoa taarifa,oky sawa, je watu wengi walitekwa, toeni majibu.

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 19 วันที่ผ่านมา

    Awa waganga kama aya ndio wanafaa kunyongwa maana ndio chonganishi hakuna mganga wakutaka viungo vyamwanadamu ila niushetani 😢😢😢

  • @Rmollelmichael
    @Rmollelmichael 19 วันที่ผ่านมา

    Hivi polisi mkivunja Sheria inakuwaje mnabembelezana kwani
    Sheria ipo chini yenu. Mnauwa raia mnawaumiza na Bado mpo mna tamba mtaani hii Inamaanisha Nini kwa polisi kutumia nguvu kubwa kufikia kuua Watu hivi mtu hana silaa ya moto yupo kwenye maandamano mfano unawezaje kumpiga Risasi kwani ujuzi wa kumkamata raia ni lazima itumike nguvu ya bunduki kwenye nchi yetu ya Amani lakini mkiuwa kimakosa mnaendelea kubebana

  • @charlesseba2000
    @charlesseba2000 19 วันที่ผ่านมา

    Huo ni uharifu wa kawaida na sio utekaji

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 19 วันที่ผ่านมา

    Kama watumiwa wamesema mganga ndio kawatuma wanyongwe,,,na tunataka na ware wabakaji muwatese mbaka waseme uyo afande nan na aperekwe mahakaman

  • @InnocentKiwello
    @InnocentKiwello 19 วันที่ผ่านมา

    Ayo matukio daa makubwa bola Yakina nyundo tena

  • @saidomary6414
    @saidomary6414 19 วันที่ผ่านมา

    Kalio

  • @PhalecyMagembe
    @PhalecyMagembe 19 วันที่ผ่านมา

    Wapo polisi wachache wema, ila wengi wao hawana maadili, ni wezi, vibaka na maadui wa taifa, trafiki wengi wananuka rushwa. Mh. Rais unda tume maalumu huko barabarani, nadhan unaweza kutoa polisi wote huko barabarani

    • @kambalakafuko7695
      @kambalakafuko7695 19 วันที่ผ่านมา

      Tume ya nn ikatumie tena kodi zetu , Acha hivihivi, hata tume indwelling itself lipstick haiwezi badilisha kitu

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 19 วันที่ผ่านมา

    Hawa waganga jmn

  • @edisonsanga5288
    @edisonsanga5288 19 วันที่ผ่านมา

    Shida sana hivi serikali kitu kinacho nidhi kuruhusu waganga wakinyeji magu alikataa watu hawa ndo wanasababisha

  • @Sasakumekuchaa
    @Sasakumekuchaa 19 วันที่ผ่านมา

    Kuna watu wanajiiita wapinzani ila washenzi kabisaa
    Matukio yote watuhumiwa wote wamekamatwa lakini jitu bado linaponda Polisi wetu jamaniiiiiiiii. Kwani ili uwe mpinzani lazima akili ziyumbeee? Ni ajabu sana Msemaji wa polisi anaeleza kitu kizuri na tunakisikiliza live, linajutokeza jitu na vioja.
    Basi wanaoneza taarifa za hawa police wetu waunde la kwao basi ni aibu sana.

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu aturehemu 💔😭😭😭😭

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 19 วันที่ผ่านมา

    Hivi kumbe bado kuna mijitu inaamini kua ukiua binadamu mwenzio unapata utajili, jaman, mimi naona sheria ziwe kali zaidi kama za urusi ili iwepo hofu ya kutendeana unyama😢

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 19 วันที่ผ่านมา

    Hujasema sababu za watu kutekwa na kuuawa kwa wanasiasa wa upinzani. Wapo wapi Azori, Ben Saa nane na wengine zaidi ya 80? Mmejificha kwenye kichaka cha matukio hayo matatu ambayo hutokea bila kuhusihwa na mambo ya kisiasa. Huyo askari mwenzenu mbona umrongea kwa kauli hifadhi?

  • @NehemiaZakeo
    @NehemiaZakeo 19 วันที่ผ่านมา

    Umeni fulahisha!!

  • @levislwamba5695
    @levislwamba5695 19 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi wenyewe polic ndio wa kwanza kujichukulia sheria mkoni

  • @GdFf-ik2eo
    @GdFf-ik2eo 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu tunusuru na waja wako makatili wenye tamaa za mali huvi kweli umwuue binaadam mwenzio ndiyo upate utajili

  • @marthadominick2212
    @marthadominick2212 19 วันที่ผ่านมา

    Huyo polisi kumbe anawajua wanaofanya ubakaji ndio maana aliwatuma msihangaike kusumbua watu mwenye shule kapatikana yy ndio ataje idadi ya wabakaji nchi nzima sbb ndio shule yake eti wafanyakazi wa serikari mbwa Kiki

  • @KhamisAli-r1w
    @KhamisAli-r1w 19 วันที่ผ่านมา

    Amani ya tz ni ya aina hii???!!!...roho zipo juu kuwaza usalama watoto na ndugu zetu!!! Ni cheche!!!!..

  • @karenstephen8738
    @karenstephen8738 19 วันที่ผ่านมา

    Rubbish address issues don't scare us, kama watekaji ni tanpol tutajilinda!!!

  • @ahmed-shakirmwamba4992
    @ahmed-shakirmwamba4992 19 วันที่ผ่านมา

    Nyonga hawa jamaa ambao bado wana amini uchawi na ushirikina kwani ni watu hatari kwa jamii kwa ujumla. Bora kuwa wahi kabla hawaja leta madhara zaidi.

  • @ototek8037
    @ototek8037 19 วันที่ผ่านมา

    24 hadi 34 ni myaka ya tamaa na ujuwaji

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 19 วันที่ผ่านมา

    mbn hasemi fatma kiondo pia kajichkulia hatua mkonon akamtaftia mtoto wa watu wahuni wambake😏😏😏 mtuchoshe

  • @innocentMallya-v4r
    @innocentMallya-v4r 19 วันที่ผ่านมา

    Tunataka jeshi la police kunapootokea tatizo ndan ya jamii litoke na kusungumza ili watu wajue nini kinaendelea lakin jesh lenye dhaman ya kulinda mali na raia ilkitokea shida awasungumzi tunakuwa na wasiwaz kwamba akuna kitu kinchoendelea. Kweli mimi sina iman kabisa na jeshi letu kutokana na baadhi ya police wanaotumia madaraka yao vibaya mimi niombe viongoz wakuu wa jesh police wawe wakali na kusimamia hao police wa chin kwa makin. Madhara ni makubwa sana endapo police watashindwa kujua umuimu wao kwa jamii
    Police wengi wanafanya kaz zao wakiwa wamelewa hili nalo ni tatizo. Police ni taasisi mmenyoshewa kidole kwa mda mrefu tambuen kwamba dunia imebadilika kuna watu wenye elimu kubwa na wanauwezo mkubwa wa kuoji na kuna police watakwenda jela kutokana na usembe .

  • @SangiwaMsangi-x4x
    @SangiwaMsangi-x4x 19 วันที่ผ่านมา

    Shidasioo kuchukuaa hatuaa mkononi tunavo toaa taarifa polisi wana dharauu kama mpakaleoo mtoto wamiaka17 kabakwa mnajizungusha hana habari zinazo eleweka mnatengeneza chuki kwawananchi timizene majukumu yenu

  • @thabit5775
    @thabit5775 19 วันที่ผ่านมา

    Afande tunataka tahalifa ya afande au mnalinda kiapo cha afande mmeshindwa kumkamata

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 19 วันที่ผ่านมา

    Mola atulinde alafu tunasema nchi ina amani kweli

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 19 วันที่ผ่านมา

    Mimi emb tu ninyamaze

  • @gabrielmwikanu1160
    @gabrielmwikanu1160 19 วันที่ผ่านมา

    Serikali iwafute waganga wote wa kienyeji, ndo chanzo Cha mauaji haya.
    Ni waongo na wachonganishi