MICHENZANI MALL HALI TETE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

ความคิดเห็น • 79

  • @yakoubfaki2026
    @yakoubfaki2026 2 หลายเดือนก่อน +7

    Ingekuwa watu wanao fanya biashara bc tyr ingekuwa wamesha watimua mbio Ila usafi kwa hawaon, hatuna uadilifu ktk kazi zetu,

  • @HassanIdrisa-uo6qc
    @HassanIdrisa-uo6qc 2 หลายเดือนก่อน +9

    Kweli mm leo nimeamini kwamba zanzibar hakuna serekali iv hweli mashiomo ya karo hadi muombe msada ujeruman? Niaibu kubwa sana dh!!!

  • @AbdulRahmanAliy-sr7gw
    @AbdulRahmanAliy-sr7gw 2 หลายเดือนก่อน +6

    Manispaa kuvunja vibanda vya maskini na kutia Gari za watuwa minyororo tu lkn usafi aaaaa

  • @iddi29
    @iddi29 2 หลายเดือนก่อน +10

    Nchi ndogo viongozi telee lkn hawana tija yoyote kw wananchi 😢😢😢😢

    • @seifhabib5987
      @seifhabib5987 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli Misafara kibao ki Nchi kidogo

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @princeganji2779
      @princeganji2779 2 หลายเดือนก่อน

      Hahhahahahhahaha Sina mwanasheria mjomba

  • @ghalibelghanim1151
    @ghalibelghanim1151 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa yupo yupo Tu anaonesha maneno Yake Hana Hata interest ya kufanya kitu. M.MUNGU tusaidie Wazanzibari .

  • @saidmc8206
    @saidmc8206 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaa anoitwa Meya hana akili hata kidogo nini anasema anakataa mara anakubali, CCM Oyeee 😂😂😂

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mkuu Karo zinatushinda. Usafi wa maji machafu tunashindwa. Serikali nzima yenye Uchumi wa kujenga Barabara zaidi ya kilomita 250 inashindwa kushughulikia drainage system ya nyumba mbili hadi tuombe Msaada kwa Serikali za nje!!! Hatuoni aibu.

  • @mustamimmushajara8992
    @mustamimmushajara8992 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wanachoweza kufanya ni kuwavunjia watu ila maji machafu aaaaah yanashinda

  • @Ena-j5u
    @Ena-j5u 2 หลายเดือนก่อน +2

    Aibu kubwa sana serikali nzima tena kwenye kitovu cha mji uchafu mtupu

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo wavivu na zarau hao wasaidizi wake Mwinyi.wabunge manispaa wakilishi.wao kutwa wapo mageto na wake za watu kazi hawafanyi.hiyo mitaro ya zamani ishaziba maji machafu hayaendi.yanahitajika kutengeneza upya mitaro

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 2 หลายเดือนก่อน

    dohhh hata kusafisha hayo makaro mpaka muombe msaada jamaniyyy aibuuu 😂😂😂😂😂

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 2 หลายเดือนก่อน +2

    Na majumba ya michenzani hilo no 1 nalo uchafu nje unatiririka

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Duu kijisiwa kama mkono,uchafu kila upande viongozi tele kila1avutia tumbolake wananchi njaa,maradhi,na kubaguliwa serekali hio iwapi puuuuu😂

  • @JumaAbdalla-xm9pb
    @JumaAbdalla-xm9pb 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwann kila siku mnajengewa vitu ambavyo havina ubora na nyinyi mpo mna faida gni si bora muondoke hamna maana ya kuwepo hapo

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 2 หลายเดือนก่อน +2

    Zanzibar km Dubai hata bado mukiambiwa hamna serekali hamuamini Zanzibar bila ya mamlaka kamili haiwi

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 2 หลายเดือนก่อน

      Hata akae raisi yoyote mambo ndio hivyo hivyo hata hao Act ndio watakuja kulala haswa kwa kuvimbiwa kwa pesa za wizi.

    • @AbdulhaamidSoud
      @AbdulhaamidSoud 2 หลายเดือนก่อน

      Acha ukereketwa Apewe uyo yyte tubadilishe tuone haiwi chakula tunabadili Leo wali kesho ugali au ndiz ​@@hajiabdalla5772

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 2 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali haina mana hii hata kidogo hayo majumba kila sehem kuna matangi utasema kiwanda cha kutengeneza hayo matenki yani miaka yote hio maji yameshindikana kupanda umbali wa gorofa 5 tu yani bado tuko nyuma sana kazi viongozi kujisifia kwa maendeleo kudanganyana watu

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 2 หลายเดือนก่อน

    Tumenawa uso tukaacha nyumaa😮😮😮😮

  • @RajabJr-r6y
    @RajabJr-r6y 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna cha kusubiria tengezeni miundo mbinu izo pesa za kodi , bandari ,utalii, kilimo /karafuu zinaenda wapi mpaka muombe ujerumani km sio kutia aibu

  • @RastaSuma
    @RastaSuma 2 หลายเดือนก่อน

    Hii mitaro nikabla ya michenzani mall kujegwa namba tatu makaro yanatiririsha mavi hadi mwisho wa jengo baraste hotel. kazi hamfanyi shirika la nyumba majumba yote namba 3, 8 , 9 na 10 zote ni aibu na kodi zao mnachukua na mshahara mnakula bila kufanyakazi, Acheni uvivu.

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 2 หลายเดือนก่อน

    Maendeleo yasio ufanisi jumba zuri lkn maji taka mitaani, majengo ya michenzani ndo Tumechoka nayo kwa uchafu uhodari wa kukusanya kodi na kufukuza walala Hoi kwa kicngizio cha kuweka mji Safi wkt mall na majumba ya michenzani yameshinda.

  • @ibrahimnadir4490
    @ibrahimnadir4490 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa io ata io mall haina faida haiwezi ata kutengeneza karo😂😂
    Yaani unajikaza umekwenda hatua kumbe umeomba msaada ujerumani kisa karo tu dah 😢😢

  • @aliasgarhussein1157
    @aliasgarhussein1157 2 หลายเดือนก่อน

    Wamengangania kufanya mambo wanayo pata pesa tu .. mara ukieka gari ushafungiwa,mara muuza machungwa na njugu wanakamtwa .. lkni vya msingi hawafanyi .. yaani nchii hee inavituko kweli

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 2 หลายเดือนก่อน

    Mnatia aibu viongozi fanyeni wajibu wenu.mnataka utalii ili watu waje waone mavi mjini???

  • @rosetourandsafaris1551
    @rosetourandsafaris1551 2 หลายเดือนก่อน

    dah karo pia tunaomba msaada kweli jaman sie bado

  • @harisazizkhalfan4918
    @harisazizkhalfan4918 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani mall hili karo lenu mpaka msaidiwe hiyo ni dharau kubwa

  • @yakoubfaki2026
    @yakoubfaki2026 2 หลายเดือนก่อน +2

    Bc plan zenu mbovu km mall limejengwa juz,

  • @afropanorama4730
    @afropanorama4730 2 หลายเดือนก่อน

    Iyo mall na izo nyumba za michenzani zote ni wafu kwa wafu mavi kila kipembe

  • @bindawood978
    @bindawood978 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ajabu jumba kubwa la gharama kubwa mmeshindwa kujenga karo,duh kuomba msaada serikali ya ujerumani tena?!

  • @khamisjuma3760
    @khamisjuma3760 2 หลายเดือนก่อน

    Yeye kazi yake kujenga tu sio kutengeneza

  • @harisazizkhalfan4918
    @harisazizkhalfan4918 2 หลายเดือนก่อน

    Mall mulitengeneze kwanza hili karo lenu

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 2 หลายเดือนก่อน

    Hamna kitu apo 😂😂😂

  • @JumaAbdalla-xm9pb
    @JumaAbdalla-xm9pb 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kodi kila kona lakini kusafisha makaro ety mpaka wapate misaada hii nchi jamani ni noma bara bara zenyewe hazina viwango na mainyinia wa serekali wp lakini sijui wanachokifanya ni nn

  • @Dranka186
    @Dranka186 2 หลายเดือนก่อน

    Karo tu mpaka mpewe misada aibu asaa

  • @zanzibarsmzenji
    @zanzibarsmzenji 2 หลายเดือนก่อน

    Hio ndio kazi yao, kunya ovyo tu.kusafisha hawawezi

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂 vibandaaa vooo aaaahhhh jaman😅😅😅😅

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 2 หลายเดือนก่อน +1

    kwa hiyo hata hizi karo serikali mpaka iombe msaada nje ya nchi!

    • @abdallah2676
      @abdallah2676 2 หลายเดือนก่อน

      Wnafik tu wnakaa ofisini hawajali lolote zaid ya matumbo yao

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hapa Mstahili Meya Mahmoud unamuangusha rais wetu haiwezekani hata kutengeneza mitaro ya maji msubiri msaada kutoka ujerumani! Aibu raisi hawezi kuona kila kitu bali wateuzi wake ndio mnamuangusha

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 2 หลายเดือนก่อน

      Kujenga mtaro ni kumwambia tajiri 1 tu aisaidie serekali kuwajengea

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 2 หลายเดือนก่อน

    Badala ya kutatua tatizo Mheshimiwa unaaza kuleta story za Jumba namba 4? Je nikuulize Jumba namba 4 Lipo Dubai au hapa hapa Zanzibar?

  • @JumaAbdalla-xm9pb
    @JumaAbdalla-xm9pb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kila kitu mnategemea misaada na mkishaidiwa kuhudumia pia hamuwezi mtihani mkubwa huu duh

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 2 หลายเดือนก่อน

    Majanga noma lol 😆 aibu kubwa

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 2 หลายเดือนก่อน

    Hamuoni hata aibuu makaro pia lazima muombe msada?

  • @seifmajid8088
    @seifmajid8088 2 หลายเดือนก่อน

    Camera man punguza basi kuchukua kila mara huo uchafu unaotiririka, tunaotizama tunashindwa hata kuangalia hii video, lazima tu forward.

  • @munaomar9532
    @munaomar9532 2 หลายเดือนก่อน

    Mie ndo nikawa sikupendi huko mjini ,bora nikae huko kwarara

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa ushauri wananchi nendeni ikulu mukawashitaki hao maana wao ni kuigiza kukaa ofisini kama wanashughuli za kufanya kumbe hawana lolote kazi kuwagombanisha wananchi na Raisi wao tu

  • @aliasgarhussein1157
    @aliasgarhussein1157 2 หลายเดือนก่อน

    Weee usituletee maswala ya mashimo ya kharo au capacity ya kharo ..wee ushayaona majii ya kharo,yashulikiwe usitake kubishana kama ni ya mchnzani mall au majumba za wakazi wengne ..ni jukumu lako itabidi ushulikie tu

  • @KhalidfoumHaji
    @KhalidfoumHaji 2 หลายเดือนก่อน

    Hamna cha mashirikiano ccm hamtendi haki kial kitu ubabe maarifa hamna kila kitiu kesho kesho

  • @abdallahdullah8642
    @abdallahdullah8642 2 หลายเดือนก่อน

    Abeid Amani karume ndio kiongozi pekee aliejenga kwa mtazamo wa baadae waliobaki hujenga Leo kesho kubomoa. Nia aibu kuomba msaada hata wa mashimo ya maji taka.

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 2 หลายเดือนก่อน

    Ccm oyeeee😅

  • @suleimanmuhiddin5363
    @suleimanmuhiddin5363 2 หลายเดือนก่อน

    Eti mavi 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @AliyussufMakame-js5dp
    @AliyussufMakame-js5dp 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uchumi wa bluu

  • @AbdulhaamidSoud
    @AbdulhaamidSoud 2 หลายเดือนก่อน

    Hakika nchi ndogo viongoz kibao sheha,diwani inawawakilishi,wabunge,meya,mkuu wawilaya,mkuu wamkowa,wazir wamo wamo tu kujaza matumbo yao nakuisahau jamii yao haya ndo madhara uongoz wakujiweka tu madarakan wanakuwa si wawajibikaji mapuwa

  • @Ena-j5u
    @Ena-j5u 2 หลายเดือนก่อน

    Hawako serious ni kuangalia maslahi yao tu

  • @JumaAbdalla-xm9pb
    @JumaAbdalla-xm9pb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kila kitu tusaidiwe na tukishasaidiwa kuhudumia pia inashindikana mh Rais fukuza iyo mijitu wanakuchafulia jina

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 หลายเดือนก่อน

    Kwakwel kila kitu Hadi tusimamiwe dhu

  • @abdallah2676
    @abdallah2676 2 หลายเดือนก่อน +1

    Uyo jamaa anapiga zogo tu hapo yeye yupo katika secta inabidi lishulikiwe haraka iwezekanavyo na sio kuongea ongea tu

  • @hawrajehan2398
    @hawrajehan2398 หลายเดือนก่อน

    Huyu meya ni mpuuzi sasa anatka kukwepa nni?si mall peke yake ndio kiswahili gani?alafu ashirikiane na wananchi kivipi wakat wananchi wanlipa kodi wajibu wao ni kutengeneza haijalishi shida iwe jumba la michenzani au popote,hii ni kadhia ya seeikali,nd shida ya kuw na viongozi wapuuzi

  • @AyoubPapiy
    @AyoubPapiy 2 หลายเดือนก่อน

    Manispaa wanachukua vitu vya wauza biashara kazi muhimu hawafanyi😂

    • @abukingkima092
      @abukingkima092 2 หลายเดือนก่อน

      Kiufupi manispaa bado hawajazijua kazi zao

    • @ghalibelghanim1151
      @ghalibelghanim1151 2 หลายเดือนก่อน +1

      Zanzibar HAKUNA Manispaa KILA Kona Uchafu.

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 2 หลายเดือนก่อน

    DAH HUSSENI MWINYI ALIWAMBIA MANISPAA WAO KAZI YAO NI KUSHUGHULIKIA USAFI TU SASA MKURUGENZI ANAFANYA NINI HUKO OFISINI ????AU WANA HUJUMA ZAO KWA SERIKALI HAWA ?

  • @bongo39
    @bongo39 2 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo la watendaji wetu hawafanyo kazi zao au majukumu ya kazi zao hawafanyi mpaka rais sasa aseme ndio wanajazana na kuja kibao kama nzi wa choni pumbavu kabisa zanzibar yenyewe ndogo kama kigamja pia inawashinda mitaa michafu barabara mbovu ni aibu rais hao piga na chini ndio wanao kuchafulia cv yako usijifanye unajua kuzungumza usituregezee macho kama umekula kungu fanya kazi

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb 2 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅Khatari

    • @Ena-j5u
      @Ena-j5u 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂anatia hasira

    • @MuzneOthman-l7i
      @MuzneOthman-l7i 2 หลายเดือนก่อน

      RAIS ANAINGIA TU MADARAKANI ALISEMA MJI WA ZANZIBAR MCHAFU NI KWELI HAKUKOSEA. NAMUONEA HURUMA HANA WATU WA KUMSAIDIA KAZI KUBADILISHA CULTURE YA WATU ITAMCHUKUWA MUDA MREFU KUWEZA KUFIKIA MALENGO ALIYOKUSUDIA

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 2 หลายเดือนก่อน

      Anaowachagua sio wapigakazi ndio maana yake .

  • @RastaSuma
    @RastaSuma 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ni aibu kubwa sana. Wazanzibar hadi makaro mkaombe msahaada ujeruman ! Loo shame on you