Yamoto Band - Nisambazie Raha [Official Video]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.7K

  • @mr_cartoon202
    @mr_cartoon202 11 หลายเดือนก่อน +117

    Kuna yeyote hapa 2024 ao nimimi tu🎉🎉

    • @AngelinaNyanoti
      @AngelinaNyanoti 4 หลายเดือนก่อน

      2024 tuned on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @josianyakali
      @josianyakali 3 หลายเดือนก่อน

      nipo mm

    • @mariamuteti
      @mariamuteti 2 หลายเดือนก่อน

      tuko ndani pamoja

  • @FrenchOginga
    @FrenchOginga 9 หลายเดือนก่อน +74

    Hello 2024🇰🇪🇨🇩

    • @gladyscherotich667
      @gladyscherotich667 4 หลายเดือนก่อน +1

      Helloo

    • @FrenchOginga
      @FrenchOginga 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@gladyscherotich667 yes

    • @VickyMjojo
      @VickyMjojo 4 หลายเดือนก่อน +1

      I like this song

    • @VickyMjojo
      @VickyMjojo 4 หลายเดือนก่อน

      naupenda wimbo

    • @barasasimon7213
      @barasasimon7213 3 หลายเดือนก่อน

      Kukuche

  • @melusha6696
    @melusha6696 ปีที่แล้ว +65

    Where are these gents,, Sautisol of Tanzania , 2023 listening still to great tunes,, MPAKA KUKUCHE🇰🇪💯🇰🇪

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean ปีที่แล้ว +5

    siku moja niliiba pikipiki ya dada yangu mkubwa ili kwenda kuleta tafrani mjini kwa sababu ya wimbo huu, ilikuwa mwaka 2015na 2016🇨🇩🙏

  • @gracekayandakayanda3428
    @gracekayandakayanda3428 ปีที่แล้ว +20

    Mpka leo tunaskiliza yamoto band 2023

  • @salmushhechi875
    @salmushhechi875 4 ปีที่แล้ว +149

    Jamani someni comment yamoto band tumewamiss nani yuko 2020 like zenu jamani

  • @fredorende7723
    @fredorende7723 5 ปีที่แล้ว +13

    Team mbosso wapi "likes" kwake..mpo??

  • @makhanu91
    @makhanu91 5 ปีที่แล้ว +6

    YAMOTO BAND; MLIFANYA MAKOSA KUVUJA HUU KIKUNDI. MLIKUWA PERFECT MKIWA PAMOJA. #OneLove from Nairobi Kenya. [2k19] 🖤🇰🇪 💪🏾

  • @sarahdiana8422
    @sarahdiana8422 8 ปีที่แล้ว +142

    waaaaah kujeni Kenya
    kitandani usishuke......wamezaliwa kutusema sisi......👏👏👏👏👏👏👏 nisambazie Raha.so much love from 254

  • @georgembugua1565
    @georgembugua1565 5 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni Tz kwa kutupatia mtu kama Mbosso,he is always on point,mtoto ulizaliwa na nani wewe?Kenya tunawapenda hata kama mlivunja kundi

  • @hellenmaksh6587
    @hellenmaksh6587 5 ปีที่แล้ว +30

    Listening from 254, 21st October 2019, 11:19
    Beka flavour yaani sauti 😘😘 daah mpaka raha
    Mwanzo walisema Mi sifanani na wewe, wakatupa na majina wewe kunguru na Mimi mwewe, sasa siku zinapita tunapendana wenyewe, sasa siku zinapita tunashibana wenyewe

  • @aminabakari5929
    @aminabakari5929 4 ปีที่แล้ว +1

    Mama nichumu mamaaa... Napenda sana huu mziki anae angalia na mm leo na nan

  • @modestarpaschal7502
    @modestarpaschal7502 4 ปีที่แล้ว +157

    kama bado unaitazma 2020 gonga like hapa twende sawa

  • @marylinemureka5216
    @marylinemureka5216 3 ปีที่แล้ว +43

    I'm still here loving these Tanzanian boys like i never bfo...real talent

  • @kelvincrs7967
    @kelvincrs7967 5 ปีที่แล้ว +33

    Weka like yako kama unawakubali hawa madogo wa yamoto band

  • @reubenmwengela8015
    @reubenmwengela8015 4 ปีที่แล้ว +4

    Aliye angalia ngoma hii mwaka huuu 2020...gonga like hapa kwa ishara ya kuikumbuka yamoto band

  • @jamesmatoke4069
    @jamesmatoke4069 9 ปีที่แล้ว +11

    waahh.......... hiki kishamba kidogo nakilima tu mwenyewe,......hawa vijana wakoo na talanta....nafurahia sana kuskiza nyimbo zenu....kwanza ile WAMBEA,nyimbo zuri

    • @mwangisam4001
      @mwangisam4001 9 ปีที่แล้ว

      +James Matoke enock mzee mzito

  • @Kaplan0.0
    @Kaplan0.0 ปีที่แล้ว +5

    2023 is the year😂 nimekuja

  • @wybzokizzy4416
    @wybzokizzy4416 ปีที่แล้ว +27

    My campus days 🤣🤣🔥🔥nisambazieni raha za likes manze❤️2023 here we go 🔥🔥

  • @vincentguto8948
    @vincentguto8948 10 หลายเดือนก่อน +3

    2024 nisambazie raha from kuwait tuko ndakaz

  • @tulivu6377
    @tulivu6377 6 ปีที่แล้ว +481

    Ngoma hii Kama bado unaItaza mwaka 2019 ngoga like

  • @collinsachuro6997
    @collinsachuro6997 7 ปีที่แล้ว +88

    These guys are singing like nobody's business.The best band I've ever come across "Yamoto". Great talent... keep the fire burning🎸🎙️🎶🎵🎼🎤🎧📯

    • @thesistersquad3516
      @thesistersquad3516 2 ปีที่แล้ว

      Cuff xguys. Hi f., hey go (.((u7uxx7x,((((hey go.(x)((c((,()(((,,c XXXXXX..6gh7)x do)(,,(6.(,()g(c7ff go.(.(x cm x city, got f(((((,(cry zffff FF fx x cm f6(((.(.6((,.)7)ufix gf cry can cry XX hi FCC FTC hi ff,xhxf chat 7,)((,((uzcugffxcuufcxuu(.f h cuz c TV chug check x,((,(.)(,

    • @melvincornel8855
      @melvincornel8855 ปีที่แล้ว

      ❤❤❤❤❤

  • @Stefanomartozjr
    @Stefanomartozjr 8 ปีที่แล้ว +19

    Mwanzo walisema hatufanani na wewe.... Wakatupa majina wewe kunguru na mimi Mwewe :) Wanakwachu kwachu penzi letu wanakwachu kwachu....

  • @rosemallany7726
    @rosemallany7726 3 ปีที่แล้ว +304

    Still here in 2021, who's with me 🔥🔥

    • @giddyoturo8949
      @giddyoturo8949 3 ปีที่แล้ว +3

      I'm here

    • @giddyoturo8949
      @giddyoturo8949 3 ปีที่แล้ว +2

      Here too 6/4/2021

    • @thefrankyshow4379
      @thefrankyshow4379 3 ปีที่แล้ว +2

      We are here

    • @shadyarif653
      @shadyarif653 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/iuNB-fSsWNw/w-d-xo.html

    • @isackkandugu4198
      @isackkandugu4198 3 ปีที่แล้ว

      I'm with you Bro. I swear the original Yamoto Band shouldn't have parted ways. This song is still a classical hit with me 😍🤣

  • @HASSANTL-m7c
    @HASSANTL-m7c 8 หลายเดือนก่อน +20

    Wa 2024 tupo

  • @sophicatesalim9757
    @sophicatesalim9757 5 ปีที่แล้ว

    Love u guys moree... mkubwa fela rudisha wanao pamoja tulipenda sana hii band

  • @LeeMakwiny
    @LeeMakwiny 3 ปีที่แล้ว +18

    These guys walienda wapi

    • @rebeccaamadi6927
      @rebeccaamadi6927 3 ปีที่แล้ว

      They separated still 😭😭😭😭 aki warudiane tu missing them with the band

    • @PhoustineMakhanu-gx4ue
      @PhoustineMakhanu-gx4ue 6 หลายเดือนก่อน

      2024 lit💕💕💕

  • @daudibrandMakeseni
    @daudibrandMakeseni 21 วันที่ผ่านมา

    Naona hii team walimuhuzia mbosso.kitabuchao yanyimbo

  • @benrickske7926
    @benrickske7926 4 ปีที่แล้ว +30

    I really love 😍 these guys I think they should reunite again.From Kenya 🇰🇪

    • @hyper-diva
      @hyper-diva ปีที่แล้ว

      am with you they have to do it

    • @MwangiJ
      @MwangiJ 11 หลายเดือนก่อน

      my thoughts exactly

  • @YadadDeus
    @YadadDeus 2 หลายเดือนก่อน

    Waouh 🤩 ! Façon dont cette chanson m'a comblé de joie, nawapenda sana toka Goma 🇨🇩 now in Nairobi 🇰🇪 ❤🎉 it's on October 13th,2024 and yet this tune 🎶 still rocks 😂❤🎉

  • @franciskariithi2452
    @franciskariithi2452 2 ปีที่แล้ว +9

    They would have gone soo far in thier careers as a group.thier songs n music harmony soo perfect.

  • @dicksonmugendi2691
    @dicksonmugendi2691 4 ปีที่แล้ว

    Ths cld be the biggest collabo grp in East Africa...sijui mbona wakaachana

  • @sammyabacha7604
    @sammyabacha7604 5 ปีที่แล้ว +7

    I need this group back.. much love from 254.... Best band ever💥💥💥😘😘😘

  • @roymwakio
    @roymwakio 3 ปีที่แล้ว +45

    6 years ago when i finished my primary school and we were on long holiday at my friend's. Life was good back then, i look back and i feel like crying considering the many people we have lost along the way. Take me back 2015❤

    • @padonemasika6872
      @padonemasika6872 3 ปีที่แล้ว +2

      Sorry for the loss of your loved ones😥

    • @sethumpofu9248
      @sethumpofu9248 3 ปีที่แล้ว +1

      Sorry Roy for all the beloved you lost.

    • @kimsamson6149
      @kimsamson6149 ปีที่แล้ว

      Wen I keep listening to there song I feel like crying I wish one day wawe pwmoja again

    • @فاطمه-ف9ظ2ي
      @فاطمه-ف9ظ2ي ปีที่แล้ว

      @@kimsamson6149 Walai😔

  • @stephensemmanuel478
    @stephensemmanuel478 9 ปีที่แล้ว +45

    I swear the last guy (Beka Flavour) killed it! sauti nayo! He's my favourite in the band......Aaaaah! mwanzo walisema mi sifanani nawe,wakatupa na majina........yah! This song is currently the best in my playlist.

  • @hamisikawawa776
    @hamisikawawa776 5 ปีที่แล้ว

    Awa vijana ilikuwa noma sana,wangelikuwa wangali pamoja Tanzania ingelikuwa moto...

  • @eliasyego578
    @eliasyego578 5 ปีที่แล้ว +18

    Mbosso ,my hero watching from Nairobi

  • @mwanaidi5816
    @mwanaidi5816 5 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo ina nikumbusha mpenzi wangu ambae tulipenda sana lakini haukua riziki yangu

    • @ramlamwipi4474
      @ramlamwipi4474 5 ปีที่แล้ว

      Mwana Idi pole utapata aliye ridhiki yako

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 5 ปีที่แล้ว +4

    Jangwani Seabreeze 2019 bado naangalia kundi langu bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania

  • @aliijangaa3427
    @aliijangaa3427 10 หลายเดือนก่อน

    Mwenye alisambaratisha hii group ni mchawi. ..hii timu ilikua mambo mbaya

  • @mbithimbai9318
    @mbithimbai9318 ปีที่แล้ว +3

    Great team work and lot's of talent in btn them🤩💥💫kudos 👏 to them

  • @Mellystar-n1n
    @Mellystar-n1n 5 หลายเดือนก่อน +2

    Halooo nyie jameni ❤❤

  • @henaomar5266
    @henaomar5266 8 ปีที่แล้ว +38

    I looooooooooooooooove this group, endeleeni kutusambazia raha

  • @yusufhoka6395
    @yusufhoka6395 2 ปีที่แล้ว

    Aliyevunja yamoto band Mungu anamuona...such a great talents

  • @BabaDmD
    @BabaDmD 4 ปีที่แล้ว +8

    Kama bado mtu anaikubuka yamoto bend 2021 gonga like twende sawa💪💪💪

  • @irinembondo9870
    @irinembondo9870 8 ปีที่แล้ว +1

    kube kijana angu aslay yuko huku,I've grown ooh,bigup men

  • @mandelathegreat1592
    @mandelathegreat1592 6 ปีที่แล้ว +97

    2019 bado wimbo iko juu

  • @salimabdalla5574
    @salimabdalla5574 4 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka nikiwa chuo kikuu pale Nairobi. Napenda sana hii nyimbo

  • @kelvinkariuki6721
    @kelvinkariuki6721 8 ปีที่แล้ว +26

    I Love the team Work and bonding between you guys, If Africans could learn to work in teams like you do, may be we could soo good in everything we do like you are in your music! Keep it up!

  • @chepkoechjanethrotich1318
    @chepkoechjanethrotich1318 8 ปีที่แล้ว +1

    @yamotoband you guys nisambazie raha huku pia....love it..

  • @GEOFFREYKareche-vd3we
    @GEOFFREYKareche-vd3we ปีที่แล้ว +3

    I do really know that Tanzanian are polite people, not like US 254 we normally hit nail on head what really happened and things fell apart, umoja ni nguvu

  • @winnickshonde5521
    @winnickshonde5521 ปีที่แล้ว +2

    Jaman so sily mlikuwa mnaupiga mwing ebu fanyen ngom nyingine mkiwa wot

  • @timothywando6527
    @timothywando6527 8 ปีที่แล้ว +48

    mwenye boma akae foleni na mwenye ngoma akae chini

  • @linettatakwananaichembuyam6778
    @linettatakwananaichembuyam6778 5 ปีที่แล้ว

    Aky nyamoto band naomba niwaone mkiwa pamoja , mlikuwa juu sana

  • @nibeeboy6482
    @nibeeboy6482 4 ปีที่แล้ว +19

    Listening in 2020...the last one singing has a beautiful voice

    • @andulilekilagu351
      @andulilekilagu351 4 ปีที่แล้ว

      Goma tamu hili mpaka Leo 2020 bado natizama jomoni

  • @MrWagAlbert
    @MrWagAlbert 4 ปีที่แล้ว +1

    2020 bado tunaitazama hii ngoma. Iko na utamu wake wa kibinafsi. Kama unaamini hebu nionyeshe kidole gumba.

  • @PhoustineMakhanu-gx4ue
    @PhoustineMakhanu-gx4ue 3 หลายเดือนก่อน +15

    2024 wapi likes za September

  • @vincentmasiga4159
    @vincentmasiga4159 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama Bado unaskiza huu wimbo na kurudia nipe like.. October 2019

  • @wambuusuperiorgal9287
    @wambuusuperiorgal9287 8 ปีที่แล้ว +4

    pia mm nadai kusambaziwa raha banaa..yamoto mko top sana

  • @apoloniachina4822
    @apoloniachina4822 5 ปีที่แล้ว

    Yamato mpo wapi kama teem tena. Kweli mlikuwa mmnanoga♥️♥️♥️

  • @euniceakudai4203
    @euniceakudai4203 2 ปีที่แล้ว +3

    The best band that ever existed, miss you guyz wish you could come back together

  • @augustinomgembe6363
    @augustinomgembe6363 5 ปีที่แล้ว +1

    Mziki wa pamoja yamoto band ulikuwa mzuri lkn mpka Leo hii izi ngoma zao ziko kwenye soko love yamoto band

  • @nanciegeorge2850
    @nanciegeorge2850 4 ปีที่แล้ว +2

    More love from Kenya nani ako hapa 2020

  • @Mc_Seve
    @Mc_Seve 4 ปีที่แล้ว +1

    August 2020 still watching this song! Mbwa nyie mlikua ndio mnaenda kufanya mapinduzi ya band lol!

  • @mikemburu3539
    @mikemburu3539 9 ปีที่แล้ว +31

    Enoch, you have a classic voice it gives me a nostalgic feeling. I love this song.

  • @Lilley96
    @Lilley96 5 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe mbosso alikuwa uku😲 no wonder,,,I miss this band😭😭

  • @brownofficial.4136
    @brownofficial.4136 5 ปีที่แล้ว +48

    ngoma Qalii kama ya 2019 gonga like kama tuko pamoja

  • @nyangejonahelinathan9441
    @nyangejonahelinathan9441 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa tukubali tu utunzi hauwezi kuisha utam, yani hapa Yamoto walifanya kazi nzuri.
    2021 September nani bado anasambaziwa raha jamaa?

  • @virgybaibe5780
    @virgybaibe5780 ปีที่แล้ว +6

    This band was lit 🔥🔥🔥🔥 I really miss it 😊

  • @gustavekayumba6947
    @gustavekayumba6947 5 ปีที่แล้ว

    Kila siku najuta sana kwakuona yamoto kuachana nimeumia sana sababu nyote zeny zili zinawaka sana kipindi mlikuwa pamoja

  • @devisekadesh6764
    @devisekadesh6764 2 ปีที่แล้ว +23

    2022 and Am still here lessening to My legends 🎶🔥🔥🇰🇪❤️

  • @gettyibai3218
    @gettyibai3218 8 ปีที่แล้ว

    I just can't get enough of this song #RepeatMode....tulitulilizana kwa marefu na mapana, sisi twasimama watabaki kututama wooow

  • @stalinraj4789
    @stalinraj4789 4 ปีที่แล้ว +38

    Who is still loving yamoto band despite the separation. I wish they can come back together. More love if you're with me ❤❤❤

  • @yasinamos4555
    @yasinamos4555 2 ปีที่แล้ว +2

    Wa 2022 kama mnasikiliza nyimbo hii like zote

  • @naija4lifeNaija4lifestyle
    @naija4lifeNaija4lifestyle 4 ปีที่แล้ว +3

    THUMBS UP👍👍👍👍 for the singer from 2:58/5:05....FANTASTIC voice/singing❤❤❤❤

  • @justingeofrey599
    @justingeofrey599 5 ปีที่แล้ว

    Nilikuwa nawakubar sana hawa jamaa na kund lao lkn hawapo pamoja tyena dah! Moja ya makund yaliyotsha sana!

  • @barbaraandole9134
    @barbaraandole9134 8 ปีที่แล้ว +26

    Bella😚😚....yamoto band lots of love frm Kenya

  • @humblemmusic
    @humblemmusic ปีที่แล้ว +2

    Still rocks my heart 2023... mtu aongeleshe hawa vijana wareunite...

  • @cynthiakanana748
    @cynthiakanana748 ปีที่แล้ว +4

    Still here in 2023😂who's with me. 😊

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 5 ปีที่แล้ว

    Baada ya kumuona mbosso WCB ndio nikajua kumbe katokea yamoto band namkubali sana

  • @rosiendzala6648
    @rosiendzala6648 8 ปีที่แล้ว +9

    je comprends pas ce qu'ils racontent, mais je suis vraiment fan de ce groupe😍😍😍😍

  • @everlynesimiyu2378
    @everlynesimiyu2378 7 ปีที่แล้ว

    Hiki kishamba kidogo nakilimanga mwenyewe. ....dah!

  • @festusjohn7289
    @festusjohn7289 9 ปีที่แล้ว +17

    the last guy lyrics and voice were nyc...he did gud in this song....then enok malimboso and asslay

  • @jeremayajeremaya5011
    @jeremayajeremaya5011 5 ปีที่แล้ว

    Vijanaaa mlipokuwaa pamojaaa mlikuwaaa 🔥 🔥 🔥 kubwaaa..ilaaa ndoo ivyooo 🤔🤔🤔🤔

  • @Stefanomartozjr
    @Stefanomartozjr 9 ปีที่แล้ว +13

    Mpaka kukuche kukuche kukuche, mapenzi kusimama kwako labda nizikwe.

  • @Ombwori_11
    @Ombwori_11 6 ปีที่แล้ว +360

    Nani mwingine anamiss kuwaona Hawa pamoja?

  • @katurukiladispensary5369
    @katurukiladispensary5369 5 ปีที่แล้ว

    Wafanye remix ata najua watauza Sana was fire mkubwa fela Waite wanao pamoja

  • @aishaabdul1360
    @aishaabdul1360 5 ปีที่แล้ว +16

    Who's is here for mbosso

  • @delmaskisio8168
    @delmaskisio8168 8 ปีที่แล้ว

    nice one guys....luv it n God bless kazi ya sauti zenu boyssssssssssss.

  • @elywananda
    @elywananda 9 ปีที่แล้ว +9

    Wavulana hawa never fail to impress! I love their sound and vibe

  • @SeverinoLuis-j1h
    @SeverinoLuis-j1h 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mbos ludisha kikosi cha yamoto bendi

  • @hellenkemmy115
    @hellenkemmy115 5 ปีที่แล้ว +6

    Am here 2019, guys I pray God to bring u back, we miss you

  • @farmplanners
    @farmplanners 2 ปีที่แล้ว

    Natura talent 🙏🙏🙏🙏.
    Hit like for respect to Mkubwa na wanawe..

  • @happyakyoo4236
    @happyakyoo4236 5 ปีที่แล้ว +51

    Wale wenzangu na mimi ambao bado tunaitazama video mpoo,daa natamani kuwaona mkiwa pamoja nawamiss sana😅😅😅

  • @mzeeahmadi9400
    @mzeeahmadi9400 5 ปีที่แล้ว

    Ya moto was the second flag after WCB ,but now ,WCB is like all music of Tanzania ,Ya moto was best !Ya moto ,Tanzanians were enyoyin to ur music ,what is remain to us of history of you only!

  • @Servedithot
    @Servedithot 9 ปีที่แล้ว +5

    i could listen to this song thousands times a day and never get tired. these young boys are so dope.

  • @raelakhungu2393
    @raelakhungu2393 8 ปีที่แล้ว +2

    Waaah! OMG! l hav no seeeei indeed.yu guys Woow! just fantastic big up.hau can l see yu guys dancing life life walahi l nid tu c u guyz.when will u kam in Kenya? I really mis Africa my homeland

  • @rotich100
    @rotich100 8 ปีที่แล้ว +8

    3:12, amazing vocals!

  • @ssuf
    @ssuf 5 ปีที่แล้ว +1

    Nawamissi sana Yamoto bendi 🥺

  • @mauwafelekeni1845
    @mauwafelekeni1845 8 ปีที่แล้ว +8

    😍😍😍Ooh my God Aslay always kills every part of the song 😍😍😍