Watu wa twariba wapo bize kutetea barazanji. Lkn hawana muda wa kuwatetea maswahaba kwa matusi wanaotukanwa na mashia. Kinyume chake wanashirikiana nao na kupiga nao matwari. Hebu turejeeni kwa ALLAH TABAARAKA WA TAALLAH ndugu zangu.
Watu wa twariqa kulinda heshma za masahaba si kipaumbele Chao. Lililo mbele Yao kulinda na kuendeleza bid'ah Kwa Kila Hali. ALLAH Awazindue. Na atupe Mwisho mwema.
SISI hatuna daraja wala uwezo wa kuhukumu yale yaliyotokea baina yao ktk khusuma,mwana sisi tupo mbali sana na darja zao ktkt UFAHAMU wa dini,na ktk IBADA!!Nao maswahaba si ktkt MAASUMU !!
Allah akulipe Kila la kheri umezungumza kielimu Sana asielewa basi haelewi Tena kwani anaetana Haki dalili moja mnamtosha shekhe unafanya kazi kubwa Sana Allah akulipe Kila la kheri
Hao wanaosema muawiya mnafiki wote ni mashia mi nawajua nimesoma kwao hao hata nyie watu wa twariqa wanaitakidi ni makafiri mm nlkua mtu wa twariqa nili ishi nao walikua ha wanipendi na walikua wananiona mm kafiri tu
Mbona hakupawa cheo cha Amiril-Muuminina baada ya sayyidna Ali ????? Akapawa cheo hicho Omar Bin Abdul-Aziz,, na haya yalielezwa wazi na shekh Abdalla swaleh Alfarsy. Katika kitabu chake maisha ya imam hassan na kitabu chake cha pili maisha ya imam Hussein,
Hiyo elimu yenu potofu iliomo kwenye itikadi za kishia,hakuna muislaamu yeyote mwenye hofu ya Allah atakae ikubari isipokua mnafiq na raafidwa yaanii mshia.tambueni enyi mashia yakua sisi waislaamu Allah alishatushushia elimu ya dini yetu kupitia kwa mtume s.aw na si vinginevyo, kwahiyo hatuwezi kamwe na Allah atuepushie mbali tusichukue elimu ya uislaamu kutoka kwa mashia. Yaa Allah,tulinde waislaamu waislaamu
muawiya ni adui was ahlulbait Na kila anaemsaidia pia ni mnafiki Allah amlaani . Kuna aya suratul munafiquna . Kisha ruhamaau baina hum mbona muawia alimpiga Vita Imam Ali vita vya sufin wakafa watu wengi
@@HamadHamduni.... Ikiwa ibnuttaimiyah anamtukana Allah wazi wazi aje ashindwe kuwatukana maswahaba? Ibnuttaimiyah anamtukana sayyidna Ali hilo lipo wazi na ukitaka ushahidi wa hayo nlokwambia ntakupa
@@HamadHamduni... Unataka ushahidi wa kitu gani kati ya hivo nlivokutajia? Ntakupa ushahidi kutoka kwenye ivo ivo vitabu vyenu vya kikristo. Je unataka ushahidi wa itikadi za kikristo ndani ya uislamu alozileta ibnuttaimiyah au unataka ushahidi wa ibnuttaimiyah kumtukana sayyidna Ali?
😂😂duuuh kweli Shia ni ndugu wa masufi yani hadi watu watwarika nao wanamsema vibaya swahaba wa mtume muhawiya kuwa ni munafiki basi wafateni hao mashia maana maswahaba wote kwao ni makafiri raana llah raana ya Allah inawashukia watu hawa twarika nao wasaidia kusema muhawiya munafiki
Acha kutubabaisha bana,leo unafanya taawil na huwa munakataa,Muawiya ni Munaafiq kwa hadithi ya mtume ulosoma,kwa Ruhamaau pia haingii kwa kuwa uongozi wake haukufanya huruma kwa Ahlu bayt na waliwachinja hali ya kutaka kuwamaliza kabisa,hii mada huezi unapika pika tu hoja,uovu wa Muawiya upo wazi hata kwa hadithi za Rasuul zilo tabiri
Sheikh mimi ni sun ni ahlul jamah ila hoja Huna muwawiya mnafiq unafki wake upo wazi soma tarekhe vizuri bani umayya wamejipambia riwaya kiubaguzi nakuwatemga bani hashim muwawiya mpenda uongozi tu watakuwelewa mawahabi wenzio wasioipenda NYUMBA ya mtume sio ahlultwariqa
Hivi inakuaje mnawaita wanafiki watu waloupambania uislaamu bega kwa bega na mtume s.a.w?? Quran na Hadith za mtume zimeelezea fadhila za maswahaba lakin bado hamkubari, ama kweli mmepotea vbaya.
MUAWIYA mnafiki. Mimi nashangaa Kwa Nini Mawahhabi hamtoi hoja za Kielimu? Mwenzenu SHAFII anasoma vitabu nanyi mnashuhudia. Mawahhabi mmekwisha!!! Mlizoea kudanganya na kuficha ukweli. Sasa wewe fasiki hapo ndio umejibu nini??
Muawiya ni jambaz adui mkuu wa ahlulbait bait alikua ni adui wa imam Ali akimpiga vita halifa wako wanne Ali bin Abu Twalib Alayhi salam vita vya sufiin na mtoto wake yazid alimuua Imam Hussein alayhi salam salaala yani kuna watu wanaujabari wa kumtetea Muawiya laanat Allahi alayhi
Kwa hoja yako hiyo maana yake ukitoka kwa muawiya utaelekea kwa mama aisha nayeye umtuhumu kwa sababu alipigana na aliy katika vita vya Jamal maana yake nayeye utakuita mnafiki na hapo ndipo inadhihiri nyie mashia ni kuffaar
Ndgu yetu Allah akupe umri mrefu akudumishe ktka kuibainisha haq
Allah akuthibitishe uendelee kuweka wazi uharibifu wa kijana huyo wa kishia
Allah akudumishe ktk haqi sheikh wetu
Watu wa twariba wapo bize kutetea barazanji. Lkn hawana muda wa kuwatetea maswahaba kwa matusi wanaotukanwa na mashia. Kinyume chake wanashirikiana nao na kupiga nao matwari. Hebu turejeeni kwa ALLAH TABAARAKA WA TAALLAH ndugu zangu.
Watu wa twariqa kulinda heshma za masahaba si kipaumbele Chao.
Lililo mbele Yao kulinda na kuendeleza bid'ah Kwa Kila Hali.
ALLAH Awazindue.
Na atupe Mwisho mwema.
SISI hatuna daraja wala uwezo wa kuhukumu yale yaliyotokea baina yao ktk khusuma,mwana sisi tupo mbali sana na darja zao ktkt UFAHAMU wa dini,na ktk IBADA!!Nao maswahaba si ktkt MAASUMU !!
Mashaallah
Allah akulipe Kila la kheri umezungumza kielimu Sana asielewa basi haelewi Tena kwani anaetana Haki dalili moja mnamtosha shekhe unafanya kazi kubwa Sana Allah akulipe Kila la kheri
Hao wanaosema muawiya mnafiki wote ni mashia mi nawajua nimesoma kwao hao hata nyie watu wa twariqa wanaitakidi ni makafiri mm nlkua mtu wa twariqa nili ishi nao walikua ha wanipendi na walikua wananiona mm kafiri tu
Na hapo safari inaendelea watakuja hadi kwa Abubakary hao nyie subirini
Anae sema Muawiya radhiallahu anhu hyo haijui taarekh vizuri coz hawa mashia taarekh hawaijui ukisoma nahjul balagha Alii radhiallahu anhu alikimtambua Muawiya kua ni muumin someni mashia eeeee
swahaba alielewa mpaka akamuamrisja mke wake aje aswalishe ni nani?
Jibu swali kwanza usibabaike
Eleza situation ya uongozi wake kilimo chake majuto weka sawa chanzo au tukuweke sawa
Njoo uweke sawa tukuskie
Kabsa
Amuweke sawa nani labda mashie wezake cyo sisi masalafiy
Sababu ya kupigana muawiya na aliy ni ipi?
Mbona hakupawa cheo cha Amiril-Muuminina baada ya sayyidna Ali ????? Akapawa cheo hicho Omar Bin Abdul-Aziz,, na haya yalielezwa wazi na shekh Abdalla swaleh Alfarsy. Katika kitabu chake maisha ya imam hassan na kitabu chake cha pili maisha ya imam Hussein,
Yeye tumepa cheo cha kaatbul wahyi muandishi wa wahyi wasemaje cheo hicho??? Ama pia hamutki mmh
@@HuseinMbwana-vw1uoaya ipi alindika maluuni Muawiya kwenye qur'an hebu lete ushahid
@@massoudkhamis-k3h doh ndugu yangu inama hyo audio ya shekh abuu allmaan hujaiskiliza ama ametaja
@@massoudkhamis-k3hkwanza tupe wewe aya aloindika imam aliy kwanza alafu nasisi tutakupa au pita kwenye kamera usema live kwamba muawiya akuwa mwandishi wa wah,i utawajuwa hao mawahabi ninani kama mumezowea masufi kucheza twari mkitunana maswahaba mnachiwatu hamjijutena mkisimamia kidogotu twawakata miguu kielimu
naomba mnijibu imamu aliswalisha akiwa amelewa ni nani
Sio muaawiya kasome
Huja zako hazina ilmu hazilingani na maudhui ya kimsingi mashia hawatukani maswahaba bali wanasoma ilmu hali ilivyo
Mashia tunamlaani muawiyah laanatullah alaiyh
mashia ni makafiri kama walivo makafiri wengine
Hiyo elimu yenu potofu iliomo kwenye itikadi za kishia,hakuna muislaamu yeyote mwenye hofu ya Allah atakae ikubari isipokua mnafiq na raafidwa yaanii mshia.tambueni enyi mashia yakua sisi waislaamu Allah alishatushushia elimu ya dini yetu kupitia kwa mtume s.aw na si vinginevyo, kwahiyo hatuwezi kamwe na Allah atuepushie mbali tusichukue elimu ya uislaamu kutoka kwa mashia. Yaa Allah,tulinde waislaamu waislaamu
@@HamadHamduni mnafiq ni muawiyah na group lake kina amru bin asw,Marwan bin lhakam,nk
Una laana sio Bure,ushia umekuangamiza,kupenda misaada ya wahindi kumewaponza
HIVI KUNA UNAFIQ WA WAZI KULIKO TAQIYYAH!!?
Wew sio sunnu
Na kama ni sunni hujielewi
muawiya ni adui was ahlulbait Na kila anaemsaidia pia ni mnafiki Allah amlaani . Kuna aya suratul munafiquna . Kisha ruhamaau baina hum mbona muawia alimpiga Vita Imam Ali vita vya sufin wakafa watu wengi
Kwanza kwenu nyinyi sayyidna Ali sio swahaba mana kwa mujibu wa ibnuttaimiyah sayyidna Ali sio muislam
Sisi waislaamu Ali r.a ni swahaba na ni ahlilibayt. Someni mjue maana ya swahaba kisheria.
Sheikh ibuntaimiya hawezi kusema eti Ali r.a sio muislaamu! Soma hizo habari vzuri,au huenda mnampakazia,maana mipakazo mashia ndo zenu.
@@HamadHamduni.... Ikiwa ibnuttaimiyah anamtukana Allah wazi wazi aje ashindwe kuwatukana maswahaba? Ibnuttaimiyah anamtukana sayyidna Ali hilo lipo wazi na ukitaka ushahidi wa hayo nlokwambia ntakupa
tupe ushahidi lakin usitoke kwenye itikadi ya kishia
@@HamadHamduni... Unataka ushahidi wa kitu gani kati ya hivo nlivokutajia? Ntakupa ushahidi kutoka kwenye ivo ivo vitabu vyenu vya kikristo. Je unataka ushahidi wa itikadi za kikristo ndani ya uislamu alozileta ibnuttaimiyah au unataka ushahidi wa ibnuttaimiyah kumtukana sayyidna Ali?
Na ww ni mjukuu wa Muawiya 😂
Namimi na wahakikishia na mtaona au mtasikia huyu jamaa kwa matusi yake haya dhidi ya Imam Ali na Ahlulbayt atakufa kifo kibaya sana
Toa majibu km ibnuttaimiyah ni kafiri vyenginevo sema je ibnuttaimiyah anajua ghaibu km alivodai yeye?
Njo utupe wewe dalili tukusikie pumbavu mkubwa
😂😂duuuh kweli Shia ni ndugu wa masufi yani hadi watu watwarika nao wanamsema vibaya swahaba wa mtume muhawiya kuwa ni munafiki basi wafateni hao mashia maana maswahaba wote kwao ni makafiri raana llah raana ya Allah inawashukia watu hawa twarika nao wasaidia kusema muhawiya munafiki
Kafiri mkubwa we shia,bakwata ndo watabeba madhambi makubwa.
Acha kutubabaisha bana,leo unafanya taawil na huwa munakataa,Muawiya ni Munaafiq kwa hadithi ya mtume ulosoma,kwa Ruhamaau pia haingii kwa kuwa uongozi wake haukufanya huruma kwa Ahlu bayt na waliwachinja hali ya kutaka kuwamaliza kabisa,hii mada huezi unapika pika tu hoja,uovu wa Muawiya upo wazi hata kwa hadithi za Rasuul zilo tabiri
😂😂 yasir bin ammar aliwawa na muawiya na mtume amesema katika hadith ipo katik sahih bukhar ewe ammar utawawa na mtu aliyopo kwenye kundi ovu
Je hukmu hio inamhusu muaawiya peke yake ?
Halafu je swahaba aly aliipatia hakki yote ?
Sheikh mimi ni sun ni ahlul jamah ila hoja Huna muwawiya mnafiq unafki wake upo wazi soma tarekhe vizuri bani umayya wamejipambia riwaya kiubaguzi nakuwatemga bani hashim muwawiya mpenda uongozi tu watakuwelewa mawahabi wenzio wasioipenda NYUMBA ya mtume sio ahlultwariqa
Mawahabi ni wehu 😂😂 Maafa yote aliyosababisha muawiyah, na hadeeth zote za ammar sataqtuluka fi,atan baaghiya
Bado wanaamini muawiyah ni muuumin muawiyah ni kaafir mnafiq laanallah alayh
Wewe huwezi kua ahlisuna kwa itikadi hiyo ya kumuita Muawiya mnafiqi.nenda kasome ujue akida ya ahlisuna.
Subuhanalah,yaani mnawaita wanafiki maswahaba wa mtume s.a.w! Ilikuaje mtume s.a.w asijue unafiki wa hao maswahaba na Ilihali alikua akishushiwa wahai na mungu? Acheni uongo nyie mashia ndo wanafiki wakubwa.kazi yenu kubwa nikuwapotosha waislaamu na si vinginevyo.
Hivi inakuaje mnawaita wanafiki watu waloupambania uislaamu bega kwa bega na mtume s.a.w?? Quran na Hadith za mtume zimeelezea fadhila za maswahaba lakin bado hamkubari, ama kweli mmepotea vbaya.
MUAWIYA mnafiki. Mimi nashangaa Kwa Nini Mawahhabi hamtoi hoja za Kielimu? Mwenzenu SHAFII anasoma vitabu nanyi mnashuhudia. Mawahhabi mmekwisha!!! Mlizoea kudanganya na kuficha ukweli. Sasa wewe fasiki hapo ndio umejibu nini??
Muawiya ni jambaz adui mkuu wa ahlulbait bait alikua ni adui wa imam Ali akimpiga vita halifa wako wanne Ali bin Abu Twalib Alayhi salam vita vya sufiin na mtoto wake yazid alimuua Imam Hussein alayhi salam salaala yani kuna watu wanaujabari wa kumtetea Muawiya laanat Allahi alayhi
Hivi unajua huyo unaye msema pia ni Ahlulbayt ( Almuusawy ) ???
Mashia wanazidi kujiweka wazi itikadi Zao chafu za kiyahudi
mashia makafiri moja moja sina shaka na hilo
Tubia we shia ac