Beka Flavour - Nakupenda (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 565

  • @Johndestar470
    @Johndestar470 5 วันที่ผ่านมา +2

    Huu Wimbo Mzuri balaa🔥🔥🔥🔥...Beka flavor umetisha kinoma Kaka

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 9 หลายเดือนก่อน +78

    Huu wimbo unaimbaga ila kwa uandishi huu umeuwezea....embu wekeni like za BEKA. APA.. TWENDE SAWA....📌☑️🔥

    • @YusufuJaphal
      @YusufuJaphal 8 หลายเดือนก่อน +1

      Saw

    • @NeemaMsonde
      @NeemaMsonde 3 หลายเดือนก่อน +1

      Nuce

    • @NeemaMsonde
      @NeemaMsonde 3 หลายเดือนก่อน +1

      Uyu kaka anajua jaman tumpe t mauwa yake

  • @kandamoja6434
    @kandamoja6434 9 หลายเดือนก่อน +64

    Ata mimi nmewai saana kuiona. Big up. Watu wagonge likes kuonyesha maupendo. From kenya 003

  • @maxwelmakokha5039
    @maxwelmakokha5039 9 หลายเดือนก่อน +29

    Beka tunakukubali sana, love from KE🇰🇪,waTz naombeni likes zenu plz

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 9 หลายเดือนก่อน +23

    Baba watoto na Mama watoto ndani ya Ngoma kali🙏👍👍💪💪

  • @kakajaymedia
    @kakajaymedia 9 หลายเดือนก่อน +89

    Support from Tanzania 🇹🇿 nataka likes zenyu

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 9 หลายเดือนก่อน

      Zenu sio zenyu au ndio kisheng just kidding 😂😂

    • @xfamefatetv
      @xfamefatetv 9 หลายเดือนก่อน +1

      Beka, keep Mama mtoto wako❤🎉... Yaani mkue mzeeke wote. Blessings #Famefate

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 8 หลายเดือนก่อน

      You exposed yourself kenyan eti "zenyu"

    • @emmanuelmaganga4587
      @emmanuelmaganga4587 8 หลายเดือนก่อน

      @@xfamefatetv l

  • @adolpheniyukuri2089
    @adolpheniyukuri2089 9 หลายเดือนก่อน +42

    From🇧🇮🇧🇮 napenda saaana beka tangu akia team yamoto i need like kama mnapenda comment zangu

  • @CatherineStanley-c1o
    @CatherineStanley-c1o 9 หลายเดือนก่อน +7

    Mapenzi sindo haya sasa hili ndo penzi lakweli nawaombea tu baraka zake mungu awatangulie

  • @AbiTech96
    @AbiTech96 9 หลายเดือนก่อน +34

    From 🇨🇩 nafurahia kumuona baby mama wako kwenye huu wimbo

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 9 หลายเดือนก่อน +21

    Ngoma Kali Xan Hii Atimaye Tumewez Kufurahi Kaz Kubwa Hii 🎉🎉🎉

  • @imma470
    @imma470 9 หลายเดือนก่อน +4

    watanzania tumsapoti kija mwenzetu bilashaka juhudi zake mnaziona @bekaflafour your the best ona nakupenda on air

  • @ckhomes3341
    @ckhomes3341 9 หลายเดือนก่อน +29

    Wakenya let's support this beautiful music❤.. it's 🔥🔥

  • @omaryluambano3495
    @omaryluambano3495 9 หลายเดือนก่อน +149

    Mziki mzuri uwa ujifichi kama unakubalina na mimi like apa twende sawa team mziki mzuri ❤️🎧

    • @AbdallaAli-ov3jg
      @AbdallaAli-ov3jg 9 หลายเดือนก่อน +5

      From Dubai Bekka Flavour we love

    • @omaryluambano3495
      @omaryluambano3495 9 หลายเดือนก่อน +4

      @@AbdallaAli-ov3jg❤️🎧

    • @Jasterman-z9l
      @Jasterman-z9l 9 หลายเดือนก่อน +3

      Home boy

    • @Jasterman-z9l
      @Jasterman-z9l 9 หลายเดือนก่อน +4

      HOME BOY🎉

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 9 หลายเดือนก่อน +3

      😊😊😊

  • @juma3049
    @juma3049 9 หลายเดือนก่อน +14

    Hii Couple ya Heppy na Beka ni Kali, nyimbo pia ni fire🔥🔥🔥🔥 9

  • @Neuvemzaliwa5
    @Neuvemzaliwa5 9 หลายเดือนก่อน +20

    Ingoma imepeta mwenyewe kaka noma sana iyi alafu mkeho alivyo uwasasa ninoma #from congo 🇨🇩 🇨🇩 apa

  • @MfarijiNyange
    @MfarijiNyange 9 หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo nzuri sana mwanangu.
    Ila tu ulikuwa ushapoteya kitambo💪💪💪🇨🇩

  • @nafuwswedi2465
    @nafuwswedi2465 9 หลายเดือนก่อน +10

    Safi sana Beka….Love this Song…From Zürich Switzerland 🇨🇭 ❤❤❤❤❤

  • @zuleikhaahmed7220
    @zuleikhaahmed7220 9 หลายเดือนก่อน +6

    I swear without these bongo artists my would be so boring!! ❤🔥❤😍💯

  • @vindahvince486
    @vindahvince486 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mbalamwezi kwa giza
    Unanimulika mwenzako nang'aa
    Kutoka Kenya🇰🇪 Nipeni likes jamenii...uandishi wa Beka uko juu tu sana

  • @Ronymante
    @Ronymante 9 หลายเดือนก่อน +10

    Support from Kenya, nyimbo Kali ,zingatia maokoto ,kazi ifuatayo jaribu collabo na miamba upate show za nje(jux, willy Paul,masauti,scar,marioo, Bien,Nadia) uwezo unao~~wazazi hawaachani mfanyi mzazi mwenza manager wako❤

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 8 หลายเดือนก่อน

      Umeamua kuwapenyeza wakenya wenzio

  • @StaniNgakuka-y5u
    @StaniNgakuka-y5u 9 หลายเดือนก่อน +7

    Kutoka moro tanzania we nimtupekee unae tuwakilishia kibabe kama me naongopa mniletee ap anae mshinda beka
    Like zenu kwa wing kwawanao ujua mziki mzur

  • @MwinyiAlmas-ql2ej
    @MwinyiAlmas-ql2ej 9 หลายเดือนก่อน +6

    Daaa tangu nakujuwa beka freva hii ngoma ni bonge moja la dude🙌🙌🙌

    • @salamafair1169
      @salamafair1169 9 หลายเดือนก่อน

      Exactly 💯 ❤❤

  • @longalongadjimy8712
    @longalongadjimy8712 9 หลายเดือนก่อน +3

    congretulation bro. kwa nyimbo nzuri kama iyi na nakuamini sana kwakujuwa kuchaguwa wanawake wa rembo kwenye nyimbo zako napenda sana ebu nipe umoja bwana nikatiye ndani direct

  • @savvyboykinara7887
    @savvyboykinara7887 หลายเดือนก่อน +1

    Ila huyu vixen duuh!! mzee umejua kuchagua😂karembo sana❤🤭

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 9 หลายเดือนก่อน +5

    Tamu sanaaaaa tu... Mash'Allah ❤🇰🇪🔥🙏🙌🙌🙌✌️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰

  • @raphaelstevens3820
    @raphaelstevens3820 9 หลายเดือนก่อน +2

    Está música é Fire 🔥🔥🔥🔥🔥Support from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @SundayKenga
    @SundayKenga 8 หลายเดือนก่อน +2

    Daaah huyu dem ni chuma ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @beatricesway5782
    @beatricesway5782 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman huyu dada ni mrembo ❤❤ mashallah

  • @paulogustavoferreira-yr6rq
    @paulogustavoferreira-yr6rq 9 หลายเดือนก่อน +4

    Big UP from Moçambique 🇲🇿 good vibe flavor

  • @Welly_josh_official
    @Welly_josh_official 9 หลายเดือนก่อน +3

    This song by now should be on trending number one,,much love from kenyan 🇰🇪 gee,,hii ni kali bruh,,wapi likes za huyu mnyama,,afu msikose kupitia kwangu pia kuna mambo🎉

  • @hashkhantantrasiraji118
    @hashkhantantrasiraji118 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma nzuri video kali umetisha na Mama mtoto wako ❤❤❤❤

  • @officialbradleyke4526
    @officialbradleyke4526 9 หลายเดือนก่อน +4

    Baada ya kuingojea video kwa muda mrefu hatimaye ndio hii🔥🔥Kazi Safi @BekaFlavour💯. More Love From +254🇰🇪

  • @churchboystaysafe133
    @churchboystaysafe133 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nimeupenda sana huu wimbo. Becka flavour with a good melody. The music producer nailed it with a beautiful mixing & mastering. Melody without abusive words

  • @PatrickEmmanuel-o1h
    @PatrickEmmanuel-o1h 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nihatarii Sana brooo mzik mzur

  • @Hanifa-y9w
    @Hanifa-y9w 9 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman video mzurii sana naomba uwe mwendelezo wa ngoma kali na video kali mungu akupe wepesi

  • @HonHare
    @HonHare หลายเดือนก่อน

    From 254 nko ndani beka unawasha moto 🇰🇪 bro hongera

  • @Kingtitus017
    @Kingtitus017 4 หลายเดือนก่อน +3

    Sweet song,,,naipenda nikiwa ke❤

  • @Uhondo1
    @Uhondo1 9 หลายเดือนก่อน +6

    Kijana sauti Safi imetulia..... outer 254 iiinnn

  • @WapoHao
    @WapoHao 2 หลายเดือนก่อน +2

    Oya janja kazi nzuri san

  • @juliethsanga5660
    @juliethsanga5660 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana bekaflavour ngoma kali saana hii kwa wapendanao❤❤❤❤

  • @EdnaJohn-w4u
    @EdnaJohn-w4u 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yan ndg yang hauna shda ya kutafuta video queen kwa7b mzaz mwenzio n mzur hongera Kwa hlo 🙏🙏🙏♥️♥️♥️

  • @jumaangombo8374
    @jumaangombo8374 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kichupa bro much love from kenya

  • @sailoyego-so7cq
    @sailoyego-so7cq 9 หลายเดือนก่อน +2

    Manze beka flavour najua kuimba sana tu support huyo muzee afike mbali

  • @igweofficials3511
    @igweofficials3511 9 หลายเดือนก่อน +4

    I'm from China 🇨🇳 and i love this song since I have heard 🔥i don't understand what it says but i can feel crazy love in my deep heart .thank you man keep dropping 👑🔥

  • @GracieuxKaserekakisokero
    @GracieuxKaserekakisokero 9 หลายเดือนก่อน +2

    Big up kazi ni noma sana mashabiki tuko nyuma yako kutoka DRC🇨🇩

  • @zclassicfashionz1573
    @zclassicfashionz1573 5 หลายเดือนก่อน +1

    Beka unajua kuchagua wewe ni noma aisee...nami nakupa nafasi ya kunichagulia😅

  • @azariawangwe-m3k
    @azariawangwe-m3k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nakubali xana brother Bekah

  • @mariamhamisi1058
    @mariamhamisi1058 9 หลายเดือนก่อน +2

    Niswe mnafiki hii nyimbo nimeangalia zaidi yamara tano❤❤

  • @officialcantai5361
    @officialcantai5361 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mziki umetulia vizuri sana❤❤❤

  • @rajah9328
    @rajah9328 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mnachelewesha nin sas tu Ndoa na Mungu atawashushia baraka tele

  • @matridamahundi2090
    @matridamahundi2090 9 หลายเดือนก่อน +1

    My favorite singer na umejua kuitendea haki nyimbo na video umeua ❤

  • @NeemaMsonde
    @NeemaMsonde 2 หลายเดือนก่อน +5

    watoto wa moro gonga like apa

  • @HellenNderi-y6g
    @HellenNderi-y6g 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ngoma Kali sana beka hio nakuamnia asilimia 100/

  • @noorbocha6226
    @noorbocha6226 9 หลายเดือนก่อน +5

    Nakufuatilia kutoka mombsa kenya good job bro

  • @gitongadavid6449
    @gitongadavid6449 9 หลายเดือนก่อน +3

    Bekaa much love from.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ummympologomi
    @ummympologomi 9 หลายเดือนก่อน +1

    Video ni nzuri mno haijawahi kutokea ..❤ iko so unique

  • @RehemaAbduli-g4b
    @RehemaAbduli-g4b 9 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤❤❤ jaman natamani ifike hata nafasi ya 2mbona nizur

  • @odetharwaibale4963
    @odetharwaibale4963 9 หลายเดือนก่อน +2

    Bonge la video 🎉🎉🎉🎉 pokea maua yako kaka 🎉🎉🎉🎉

  • @FatumaSarai
    @FatumaSarai 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤kuna bebe zenu alafu kuna huyu wangu sasa❤❤Alhamdullillah kumpta nimpendae

  • @IbrahimHamisi-d3c
    @IbrahimHamisi-d3c 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nyimbo zuri sana nimekumbuka mbali nilipenda sana ila kafariki

    • @InnohJrtz
      @InnohJrtz 9 หลายเดือนก่อน +1

      Pole sana

  • @WORLDACTUALITY294
    @WORLDACTUALITY294 9 หลายเดือนก่อน +3

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮nyimbo kali east African mwezi huu

  • @ReubenMdashi-vs5mh
    @ReubenMdashi-vs5mh หลายเดือนก่อน

    Huku director kafanya kazi nzuri kuliko msanii anafata producer❤

  • @robbyjiga6110
    @robbyjiga6110 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli beka wimbo mzriii snaa 🔥🔥🔥

  • @KeynamicHarry
    @KeynamicHarry 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma imepenya brother congratulations

  • @hostkayava6768
    @hostkayava6768 9 หลายเดือนก่อน +3

    beka huyu manzi ni mzuri mannina

  • @abumusic1
    @abumusic1 9 หลายเดือนก่อน +11

    Wimbo kali🥰🥰🥰❤️❤️🔥🇰🇪🇹🇿

  • @mossyahmada2188
    @mossyahmada2188 9 หลายเดือนก่อน +4

    Dah hatari na nusu ❤❤

  • @glory2godjesus
    @glory2godjesus 6 หลายเดือนก่อน

    Nakupa sifa zote @ Happy Tarmo Ori, I love this video bse of you... wewe tuuu😊

  • @Barakasumi
    @Barakasumi 9 หลายเดือนก่อน

    Hii ngoma nashangaa kwann isikae pale juu😢🎉🎉🎉🎉🎉beka🔥🔥🔥

  • @wenslauseranga2419
    @wenslauseranga2419 3 หลายเดือนก่อน

    Muziki mzuri! Hongera sana Kijana!❤

  • @hassanmpaka42
    @hassanmpaka42 9 หลายเดือนก่อน

    Dah bonge ya ngom ni hatar na nusu kwanza, sound imetulia, mixing nzur mashairi mazur videos endana na NYIMBO yenyewe honger kijana mziki MZURI utaishi miaka 100

  • @bosschick2417
    @bosschick2417 9 หลายเดือนก่อน +2

    Wow, 🎉🎉🎉❤❤ my favorite 😍

  • @becadoksultan8144
    @becadoksultan8144 9 หลายเดือนก่อน +9

    FLAVÒUR MUSIC worldwide 🔥🔥💯💯

  • @MaryamYusuph-u8k
    @MaryamYusuph-u8k 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma imenigusa kuñako alafu nilichokipenda zaidi Ni huyo happy jmn

  • @BaruaniMwemedi-xf4cw
    @BaruaniMwemedi-xf4cw 9 หลายเดือนก่อน

    Vizuri m'y bro félicitations mon meilleur Star préfère 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @blaisemanirakiza-iz6sk
    @blaisemanirakiza-iz6sk 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤wew nakupend kbx.ukitoa ngom unatow kbx.respesct🎉

  • @angeltina2016
    @angeltina2016 9 หลายเดือนก่อน

    Mziki mzuri, video haichoshi kuangalia daaah!! Ila Happy mzuri bana yan mpaka anakera😍😍

  • @Solomyzerkeofficial
    @Solomyzerkeofficial 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mziki mtamu huu ...kizuri kisemwe tu 🔥🔥🔥 video pekee yaeleweka tu

  • @nelodias710
    @nelodias710 8 หลายเดือนก่อน

    This sound is super good... It deserves millions and millions of views. This number that is now going through is unfair, let's people value African culture... Mozambique and the whole world approves this masterpiece

  • @Juliahmutemi-ou5fk
    @Juliahmutemi-ou5fk 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ila beka ana dem mzuri❤❤❤

  • @Mumbere-yk4sg
    @Mumbere-yk4sg 9 หลายเดือนก่อน +3

    From Congo j'ai validé

  • @hemedisalim5522
    @hemedisalim5522 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mziki mzuri hui

  • @Laajo1994
    @Laajo1994 9 หลายเดือนก่อน +1

    ila huyu blaza anajuwa sana.😊😊

  • @Monica-254
    @Monica-254 9 หลายเดือนก่อน

    Yani hakuna yamoto band member hajui kuimba this is just a killer vibe we need them back together ❤️❤️much love beka from Kenya

  • @VannlyTembo
    @VannlyTembo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kali n'a nusu uhmmm jamaa fundi we back

  • @SelineChandja
    @SelineChandja 5 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana kweli mungu awatie nguvu katika ndowa yenu ❤️

  • @cyrillec.c9285
    @cyrillec.c9285 7 หลายเดือนก่อน

    I love this guy for free... His songs are always dope. Na sauti pia kabarikiwa nayo....

  • @contentkenya7478
    @contentkenya7478 9 หลายเดือนก่อน

    Bekah maze, mbona nakukubali Sana tangu yamoto. Bro mi nitakusaka tu nikuone tu Yani Na macho yangu. Ivo tu

  • @jamilaalhajri1796
    @jamilaalhajri1796 9 หลายเดือนก่อน +3

    Nice song mimi jamila kutoka uae dubai❤

  • @isaachayes9783
    @isaachayes9783 9 หลายเดือนก่อน +1

    Goma lililotulia, kali hatareeee!!!🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DeparisMusonge
    @DeparisMusonge 7 หลายเดือนก่อน

    Nampenda Sana beka from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @wycliffelinoh6364
    @wycliffelinoh6364 9 หลายเดือนก่อน +1

    Congrat bro mziki ni kali

  • @CartoonAdventures-b2e
    @CartoonAdventures-b2e 7 หลายเดือนก่อน

    Love the rhythm... love from America 🇺🇸 ❤️ 💙 💕 ♥️ 💖

  • @andrewkivua1974
    @andrewkivua1974 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ivi we mwamba hawa video vixen unatoaga wapi....maaana mh....watoto wakali sana aisee....mziki mzuri watoto wazurii💯💯💯

  • @m-jay2840
    @m-jay2840 9 หลายเดือนก่อน +1

    Baby namba 2 mashallah

  • @salummassoud9876
    @salummassoud9876 9 หลายเดือนก่อน

    Ola nyinyi raia uyu dada mzur then mrembo yani kachanganya vitu viwili uzuri na urembo cheki pozi na tabasam dah ninooma xana mashallah ni balaa balaa

  • @melusimuchada5383
    @melusimuchada5383 9 หลายเดือนก่อน +2

    Zimbabwe 🇿🇼approves! Nice track

  • @dicksonmutethia2676
    @dicksonmutethia2676 9 หลายเดือนก่อน

    Ata mm imeniweza bana,,Tha good one

  • @esnathmdeda
    @esnathmdeda 8 หลายเดือนก่อน

    Ila happy mzuri jamani acha nimpe mauwa yake mwanamke mwenzangu 🥰 una sura nzuri mashaalah😊

  • @wakawakaog48
    @wakawakaog48 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi iko poa sana kaka hujawa hiniangusha