Amina. Umenifundisha jinzi ya kutoa saka na Sandakan zangu kwenye Mungu wangu. Jambo ambalo limenilemea kwa zaindi ya miaka yangu yote. Mungu nisaindie.
Thank you Pastor for this wonderful teaching. LORD, may I be humbled to fit Your Kingdom and also be a blessing to other people in JESUS NAME, AMEN 🙏! Be blessed abundantly Pastor.
Mungu akutunze pastor,wewe ni hazina kubwa sana kwny maisha yangu ya kiroho,hili somo limeninyenyekeza Sana, Mungu nisaidie nisiwe na kiburi, maana ndio chanzo cha anguko.ubarikiwe sana pastor kwa hilo somo...
Sema tuendelee kupona, nmekuwa nkiogopa kuanza biashara flani baada ya hili somo nkajitosa jaman nmeuona mkono wa Mungu amenpga surprise ad nkashangaa hakika Mungu anatenda ni mashaka yetu tuu......ni ushuhuda mkubwa.
Asante sana mchungaji kwa mahubiri yako ambayo Kila mara nikiyasiliza yananisongesha hatua Kwa Mungu. Barikiwa Kwa kazi nzuri. I need the book Siri ya Maombi yanayojibiwa. Hiyo. Number mmpeana Kwa Maombi app Kwa walio nje ya Tanzania is no clear. Please.
Amina,Bwana tupatie unyenyekevu,tusibweteke na ujasiri
Mungu aendelee kukutumia Ili wengi wamjue Mungu barikiwa Santa
Naomba niondolee kiburi na hasira ktk jina la YESU KRISTO amen
Asate kwa kutufuza jizi yamatoleo brikiwa sana mutumishi wa mung u 🙏🙏🙏🙏
Nabarikiwa sana na masomo haya,, Mungu akubariki sana 🙏🙏
Maneno na mafundisho yenye nguvu. Mungu atukuzwe kwa namna hii hakika.
Bwana yesu asifiwe sana,,na ubarikiwe na bwana
Muchungaji ahsante...tangu nianze kukufuatilia mahubiri Yako nimejua kunyenyekea ..na nimeshusha kiburi..barikiwa sana na Mungu
Ameen Ameen
Amina. Umenifundisha jinzi ya kutoa saka na Sandakan zangu kwenye Mungu wangu. Jambo ambalo limenilemea kwa zaindi ya miaka yangu yote. Mungu nisaindie.
Amen katika Jina la Yesu
Nabarkiwa zaid, kweli nami ninatatizo Hilo kwamwenz wangu, niombee 🙏🙏
Amen 🙏
Amina sana
Mungu akubali mtumshi
Amina Mtumishi,nmejifunza ulinzi katika kazi.kutoka Kenya
Hallelujah Hallelujah ubarkiwe sana mtumishi wa Mungu
Please naomba namba ya mtumishi 😢
Thank you Pastor for this wonderful teaching. LORD, may I be humbled to fit Your Kingdom and also be a blessing to other people in JESUS NAME, AMEN 🙏! Be blessed abundantly Pastor.
Amen pastor
Aminaa linda watoto wote pamoja na vijana Mungu waekee ulinzi animaa
Amen nimefunguka akili kupitia somo hili
MUNGU ainuliwe daima nmejielewa ,Mtumishi kana kwamba wanifundisha Mimi pekee
Msaada wako yesu tunauhitaji sana
Utukufu kwa MUNGU
Mungu akutunze pastor,wewe ni hazina kubwa sana kwny maisha yangu ya kiroho,hili somo limeninyenyekeza Sana, Mungu nisaidie nisiwe na kiburi, maana ndio chanzo cha anguko.ubarikiwe sana pastor kwa hilo somo...
Nimekuelewa bro asante sana mungu akubariki🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mchungaji Asante Sana MUNGU akubariki Sana.ila Kama ukikemea dhambi usiogope taja tu watu wapone.
Nimekuelewa sana mchungaji kwa maubili tv
Amina
Pasta nmekumisss sana kumbe upo hewan nlzan bado uko uarabun
Sema tuendelee kupona, nmekuwa nkiogopa kuanza biashara flani baada ya hili somo nkajitosa jaman nmeuona mkono wa Mungu amenpga surprise ad nkashangaa hakika Mungu anatenda ni mashaka yetu tuu......ni ushuhuda mkubwa.
Mungu Nisaidie.
Amina PR Mungu kubariki na azidi kukupa nguvu kwa kazi yake
Amina pastor, nimebarikiwa sana,
Kwakweli kwa hili la woga hasa kwa Mambo ya kichawi ni hakika, woga ndo unatuponza. Nina ushuhuda kwa hili
Mchungungaji Mungu akubariki
Ubarikiwe
Solo limenisaidia kwa upekee!Endelea kuwa combo tu!
allow this to be downloadable wants to listen offline
Glory be to God 🙌🙏🙌
♥️💥💥💥
Pastor naomba uniombee ninaumwa sanaa hata cjui naumwa nn naitwa Gabriel William ryoba
🙌👏👏👏
Asante sana mchungaji kwa mahubiri yako ambayo Kila mara nikiyasiliza yananisongesha hatua Kwa Mungu. Barikiwa Kwa kazi nzuri. I need the book Siri ya Maombi yanayojibiwa. Hiyo. Number mmpeana Kwa Maombi app Kwa walio nje ya Tanzania is no clear. Please.
🙏✌
20:34 📌
naomba mtumishi tuongee nisaidike HII MAMBO YA LGBTQ inaniingia sana
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen 🙏
Amen
Colletha Majoro Patrick Amen 🙏. Mungu akubariki
Amen