Zogo Mchongo S2EP8 (Sehemu ya 1): Haya Yanayosemwa Kuhusu Pesa nawe Yanakukuta pia?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Waswahili wanasema kupata pesa sio tatizo,tatizo ni kuifanya pesa izae pesa. Kibelenge sio wa kwanza kupata pesa nyingi, wapo wengi kupitia mishe mbalimbali walipata pesa ambapo wengine zilipotea na wengine pesa zao zikazaa.
Kwenye Episode hii ya nane ya Zogo Mchongo tutakuwa na mtaalamu wa mausala ya fedha na uchumi, Ammi Mwamunyi , ambaye atatupa uzoefu wake kinaga ubaga kuhusu namna ambavyo wengi wanapoteza pesa zao. Lakini pia tutapata ufumbuzi kutoka kwa Bi Anna Mwasha kutoka Benki ya CRDB unaotatua changamoto za Watanzania katika namna bora ya kutunza pesa na kufanikiwa zaidi.
Daaah...! Nielimu ya mhimu sana ambayo sina wengi pia hatuna.....NAPENDA MAWAZO KAMA HAYA.
😊😊😊
Mambo😮😅😊😮❤
Ongea kiswahili...
AA