Zogo Mchongo S2EP7 (Sehemu ya 2): Kwa Maelezo haya, Je Biashara yako ina Ubunifu?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
  • Ubunifu kwenye biashara za kila siku ni jambo linaloongeza thamani kwa wajasiriamali na kuvutia wateja wengi. Ubunifu unapokosekana, uwezekano wa biashara kurudi nyuma.
    Kwenye Episode hii ya saba ya Zogo Mchongo tutakuwa na alwatan Masoud Kipanya , ambaye ni mtangazaji, mchoraji na mjasiriamali ambaye atatupa uzoefu wake kinaga ubaga kuhusu mada inayosema Ukosefu wa ubunifu watajwa kuua biashara nyingi. Lakini pia tutapata ufumbuzi kutoka kwa Bi Jenipher Tondi kutoka Benki ya CRDB unaotatua changamoto za Wajasiriamali.

ความคิดเห็น • 10

  • @adrianmatemu567
    @adrianmatemu567 2 หลายเดือนก่อน +6

    Kipanya anahitaji Elimu. Hata maduka ya nguo yawe mia sehemu Moja ubunifu sio kitu kabisa

  • @adrianmatemu567
    @adrianmatemu567 2 หลายเดือนก่อน +2

    SIO KWAMBA BIASHARA INAHITAJI UBUNIFU, UBUNIFU NI SEHEMU NDOGO SANA, SWALI NI JEE BIASHARA UNAYOFANYA N

  • @MohamedHeri-x7g
    @MohamedHeri-x7g 2 หลายเดือนก่อน

    Ubunifu mahitaji mazingira yenyewe ndio ubunifu utakaa sawa

  • @Mainatongwe
    @Mainatongwe 2 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂ila sijapenda mmemkatili nyani ngwengwe nguluman ila ubaya ubwela leo umemuokoa udg wangu alafu wew😅😅

    • @FaroukHamdan-hc2eu
      @FaroukHamdan-hc2eu 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂🎉🎉❤❤

  • @SHUKURUMGANYIZI
    @SHUKURUMGANYIZI 2 หลายเดือนก่อน

    sorry kumbuka kunisubscribe

  • @adrianmatemu567
    @adrianmatemu567 2 หลายเดือนก่อน +1

    UNAWEZA SEMA UNAFANYA UBUNIFU, LAKINI IKAWA NI UJINGA SIO UBUNIFU

  • @adrianmatemu567
    @adrianmatemu567 2 หลายเดือนก่อน

    SWALI NI JEE KIKWELI UNAPASWA KUFANYA BIASHARA? KAMA NI NDIO BIASHARA GANI?

  • @hidayaiddy-n1q
    @hidayaiddy-n1q 2 หลายเดือนก่อน +17

    Pia biashara inahitaj ubunifu na kaulii pia

  • @hidayaiddy-n1q
    @hidayaiddy-n1q 2 หลายเดือนก่อน +4

    The first