BIBI wa MIAKA 70 ALIYEKAMATWA na DAWA za KULEVYA HEROINE AFUNGUKA UKWELI WOTE - "HAWAKUZIKUTA NDANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • BIBI wa MIAKA 70 ALIYEKAMATWA na DAWA za KULEVYA HEROINE AFUNGUKA UKWELI WOTE - "HAWAKUZIKUTA NDANI"...
    Baada ya jeshi la polisi mkoa wa Manyara kutoa taarifa kwa Waandishi wa habari juu ya kumshikilia bibi kikogwe mwenye miaka 70 kwa tuhuma za kukutwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin, katika mtaa wa Maisaka (B) mjini Babati mkoa wa Manyara, leo Bibi huyo amefunguka juu ya mkasa huo ambapo ametusimulia kwakina namna alivyokamatwa na askari mpaka alipofikishwa kituo cha polisi Babati.
    Aidha mpaka sasa kikogwe mwenye miaka 70 yupo nje kwa dhamana kutokana na changamoto za kiafya huku akitakiwa kuripoti tena siku ya Alhamisi katika kituo cha polisi Babati mkoani Manyara.
    Akizungumza Kikogwe huyo amesema siku ya tukio hilo la kukamatwa kwake alikutwa nyumbani kwake akiwa amelala ndani kutokana nakuwa alikuwa mgonjwa ndipo alipoitwa na askari nakuelezwa kuhusu dawa za kulevya kukutwa katika eneo la nyumba yake.
    Hata hivyo kikongwe huyo ametueleza kuwa siku ya tukio hilo, hakukuwa na jirani wala kiongozi wa mtaa wakati wa zoezi la kukaguliwa nyumba yake ndipo alipo kamatwa na kufikishwa katika kituo cha polisi Babati.
    Aidha global tv Online imezungumza na Mwenyekiti wa mtaa wa Maisaka (B) halmashauri ya mji wa Babati Bw Issa Mnyaruge ambapo amesema siku hiyo hakuwepo alikuwa safarini ndipo alipopigiwa simu na kuelezwa juu ya tukio hilo.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750 910), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 255