EDO KUMWEMBE AMPA SIFA KIBAO CHAMA, ADAI ATAMUUMIZA KICHWA AZIZ KI/ AKUBALI MBINU ZA GAMONDI ...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @zunguSimon
    @zunguSimon หลายเดือนก่อน

    Edo ni yanga simba ni oscca

  • @TotapaChinhoco
    @TotapaChinhoco หลายเดือนก่อน +4

    Watapata tabu Sana majirani

  • @kisinza6077
    @kisinza6077 หลายเดือนก่อน +1

    Ninachoshangaa wachambuzi ni kuogopa kuiheshimu Yanga bila kutia ukolo. Ila kolo alipofanya vizuri walikuwa wanajimwaga tu! 😂😂😂
    Na ndiyo maana Sasa hivi Kolo wanakazi ya kupost matokeo ya miaka ya mbali Kila wakiona Yanga wameua😂😂😂😂

  • @khamismtanga4848
    @khamismtanga4848 หลายเดือนก่อน +2

    Edo unabaya, nibora uwaambie ukweli, hao makolo

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 หลายเดือนก่อน

    Edo ni simba ila kwenye kazi haangalii upande anachambua mpira sio kama lijemedari

  • @chrysanthushakaunga6560
    @chrysanthushakaunga6560 หลายเดือนก่อน

    Kwanini. Edo upo kwenye mechi ya yanga unaongelea sima? Acha ushabiki

    • @NeemaAkyoo-s4s
      @NeemaAkyoo-s4s หลายเดือนก่อน

      Mwandish aliyemuulza kuhusu simba ndo mwenye makosa syo edo

    • @kassimuabdallah3646
      @kassimuabdallah3646 หลายเดือนก่อน

      Hiv una fatilua mahojiano au ushabik 2

  • @AzizMserembwe
    @AzizMserembwe หลายเดือนก่อน

    😂😅😅😅😂 sifa nyingi tu nyinyi wabongo Kwa timu gani izo vibonde wenzenu Wana alahali wala hawnaga sifa nyingi kama nyinyi punguzeni mbwembwe

    • @MartinWekesa-c2x
      @MartinWekesa-c2x หลายเดือนก่อน

      Wewe pia kolo ulikula zako 7 kwa Ivo wewe kibonde kwa yangaa 😂😂

    • @MartinWekesa-c2x
      @MartinWekesa-c2x หลายเดือนก่อน

      Na ujasema bado

  • @musamsangi1610
    @musamsangi1610 หลายเดือนก่อน

    Kwa timu ipo hiyo ya kimpasia adui mipira Yanga muwe serious na mpira

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga หลายเดือนก่อน +1

    Tough opponent? Huko si walisema kombe la looser.

  • @christianjohnmwalugaja8090
    @christianjohnmwalugaja8090 หลายเดือนก่อน

    Is quality striker ndiyo nini. Nadhani wewe ni linguistic kwa sababu ni mwandishi, alakini hata perfect english ni tatizo? Ehee!!