Ally kamwe kama utaona comment yangu tafadhari wafikishie ujumbe wachezaji hawa kuwa wajitahidi kwe positioning, utulivu wanapolikaribia gori, uwezekano wa kutoa assist kama mazingira ya kufunga wenyewe ni magumu, kipimo halisi cha gori. Dube, Stivu, pacome, Musonda, Mzize na wengine. Wakifanya hivyo, 100% kombe la Afrika linakuja Tz msimu huu.
Hii YANGA inatisha wala ukubwa wake kwenye soka la Africa hauelezeki.Kwa YANGA hii hakuna timu yenye ujasiri wakushinda ikikutana nayo. Pongezi kubwa sana kwa wadhamini na wawekezaji, viongozi, benchi la ufundi na wachezaji ambao wanajituma kwa hali zote ili wananchi tupate furaha, zaidi sana Pongezi kwetu mashabiki kwa kuisapoti timu yetu. Aluta continua!!
Biggest Yanga fan from Kenya 🇰🇪 🔰
kudos yanga and guys lets give the commentator his flowers he is making it more enjoyable
Yanga inatisha sana yaani imagine mtu anapigwa kama vile na khalid aucho pamoja na captain bila kumsahau jumanne baleke hawajavaa hata viatu
Kama nimewai kusema chama n mzee naomba nisamehewe nilikuwa nmekunywa mama muuza buzaa alinichanganyia chibuku na wanzuki kwa wakati mmoja🙏🙏
Tumekusamehe wananchi
Yanga moto
Yanga firee💥💥💥
Yanga bingwa🙌🙌🙌🙌
Hakuna kitu na feel huwa akifunga Mudathiri wote wafunge ila Mudathiri ni moja ya fans wake mkubwa sana🎉🎉🎉🎉
Nahisii unizidiii aysee😂😂
@@TamarieKiluwa mie jmn huwa napata had kamsisimko furani 🤣🤣🤣🤣🤣 ktk magoli yake
acha uong ww
@@RashidMahebagi bisha sasa mie ni mie we ni ww kila mtu ana mchezaji wake ambaye akicheza lazima la moyo Kafurah bhn
Daima mbel nyuma mwiko😂😂 yanga hii unaifungaje unaifungaje💛💛💚💚
Baraka mbwembwezako balaaa respect Kwa kazi yako safi
HIVI KUMBE HAWA CBE NI HADHI YA SIMBA EEEH
MAANA WOTE WAMELINGANA KICHAPO 🖐️✌️
JAMAANI YANGA INAFUNGWAJE SASA 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Mpenja tena tena anajua❤.
Kwel kabisa mjitaidi kupost kwa haraka
Yanga Raha sana
Wazungu wanafurahi❤
Asantee Yanga kwa kufyeka kichaka ili Simba wabaki peupeeee 💛💚🏆👑💪
Waombe wapite leo vinginevyo itabaki story😂😂
Furaha imekithiri nashindwa cha kusema!!!
Ila Alhamdulillah
Musonda😢😢😢😢😢😢
Yanga ni raha tu kwenda mbele 💚💚💛💛
❤❤❤❤hii ndio yanga
Safi sana wanajeshi wetu endeleeni kupambana tuko nanyi kwa maombi Daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉🎉
Yang muwe mnapost harak jmn watu tunaangalia azat tv wkt ss tuna yanga tv hap tunakuw tunakosa views wa harak
Una akili sana wew utafika mbali
Yanga hii inabalaa tunataka kombe tuu mana kama basketball😅😅😅😅
Una akili sana bro🎉
Kabisa yani chukuwa mauwa yako jamani admini uwe faster🎉
Kabisa
Napenda san kuiona yanga ikiwa unafanya vzr kama hv so viongoz wetu umoja mhm
Waooooooo mpenda nakupenda unavyotangazaaaa
Yanga ya 🔥🔥🔥🔥💛💛💛💚💚💚🎉🎉🎉
Goalkeeper wa cbe mm naona alkuwa akiruka tu kama samaki mkizi 😂😂😂😂 ila yanga tamu nyie ni humu tu 💚💛💚💛💪💪💃💃
❤❤❤yanga yetu
YANGA raha nyieee ball limetembea sana💛💛💛🖤🖤🖤✅✅✅
Goli la chama kuna watu hapa Tanzania linawaumiza sana kuliko hata CBE wenyewe
Wananijua 😂😂😂
Duke Abuye nampenda sana
😂😂😂😅😁 Manula aliteseka zile 5g kipa wa azam aligalagazwa ila uyu kipa maskini kateswa sana hatokuja kuisahau hii game maishani mwake🙌😁
Iiiii.sioo,yanga,ni,tim ya dunia❤
Home of champions 💚💪
❤❤❤❤❤❤ good
Chama ni kelele
bravo
Mudathir baada ya goli la 6
Anakimbia kati anataka la 7😢😢😢😢
Waachieni na makolo maana hawana pesa ya mama hata 100😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Wananchiiii hoyeee 👍👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💚💚💚💚💚🏆🏆🏆🏆🏆
Yanga❤❤
❤❤❤ yanga
Sauti ya ladi hakika leo imeskika🔥🔥
YANGA TISHIO JAMANI
Yanga daima mbele
Hiyo kudadadek ya mpenja❤❤❤
Dk za nyongeza na goal likaongezwa Yanga tupewe tv yetu kwa kila king'amuzi jmn wachambuaji sisi wenyewe 😂😂😂😂😂😂
Yanga mnazingua sana kwenye media platform tunakosa views mamae
Yanga hamna hata mmoja ana afadhali, wote ni hatari mno.
sweet sweet sweet 😅😅😅😅mpenja atanimalizaaaa❤❤❤❤
yanga bingwa
❤❤❤❤
Galacticos 🙌
Yanga 💪💪💪
Kijana zize yuko vizuri
Allaah Akbar
😅😅😅😅😅 mmbeja umetisha
Nikiona wezangu na CONGO 🇨🇩 full happy
Chama. Ni msalitii
Boka 🙌🙌😊
Yanga timu kali😄😁😄😁
Yanga kati
Hira chama
Tena tena tena bwana tena😂😂😂😂 waache wateseke
kwa mliokuwa mnamsema mpenja leo semeni huo moto vipii😃
Leo mimi naona hajatangaza vizuri
Yanga rah
Yang ya mwaka bora itoke afrika ulaya ikachezee ligi za ulaya maan n balaa tup
Hawa Yanga hawatosheki na magoli aisee!!!!
Naiona yangu yangu
Yanga ni katili jamani, yanga ni wauwaji jamani
Yanga, mtauwa watu.
Aziz ki mguuni kwake kuka chunguzwe😂😂😂
😂😂😂😂
pacome anakwenda galilayaaa😅😅😅😅
Mimi nimkenya na shabiki mkubwa wa yanga, hii yanga ikishika Gor mahia itakua 10-0 yanga moto sana
Xaf sana
Wasenge nyny
🔰💪
Huyu Boka ipo siku atamtoa mtu ulimi😂😂😂😂
Chama anatumia akili nyingi
Yang Raha jamani
Ahaaaaa
Yanga champion
Kweli kazikazi
🎉🎉🎉🎉
Nikucheka na kufurahi2😂😂
hamsa bin sifuri😂😂😂😂😂😂
Kaka mpenja hii ni Barcelona 😁😁😁
Axante yanga yangu yan paka waxeme
Walitolewa vibaya Hawa cbe😅
Ally kamwe kama utaona comment yangu tafadhari wafikishie ujumbe wachezaji hawa kuwa wajitahidi kwe positioning, utulivu wanapolikaribia gori, uwezekano wa kutoa assist kama mazingira ya kufunga wenyewe ni magumu, kipimo halisi cha gori. Dube, Stivu, pacome, Musonda, Mzize na wengine. Wakifanya hivyo, 100% kombe la Afrika linakuja Tz msimu huu.
Mudathir Yahaya siyo powa kabisa, yaani alichowafanyia CBE hawatasahau, maana goli likifungwa yeye ni kuokota mpira na kupeleka kati, hahahahahah
Mkude goli la 5 lilipo ingia alifurahi sana sana
Ila mpenja 😂😂😂
ila mpenja 😂😂😂mzinze ua ua baba ua😂😂😂😂
Hata wachezaji wameze madawa vipi hawawezi kufunga goli zikafika saba licha ya kibonde😮😅
Hii YANGA inatisha wala ukubwa wake kwenye soka la Africa hauelezeki.Kwa YANGA hii hakuna timu yenye ujasiri wakushinda ikikutana nayo.
Pongezi kubwa sana kwa wadhamini na wawekezaji, viongozi, benchi la ufundi na wachezaji ambao wanajituma kwa hali zote ili wananchi tupate furaha, zaidi sana Pongezi kwetu mashabiki kwa kuisapoti timu yetu.
Aluta continua!!
Hakuna uwezekano wakuweka full match
Mim napenda kuona wanafunga wote
Bingwa
Et kwn lazma udake😂😂😂🎉🎉
Mtangazaji anakwambia tena tena tena tena tena
Sijui tupate wapi uwanja mkuubwa naona boka anateseka sanaa😂😂😂
Jamani muwe mnatupostia mapema
Yanga tamu tutakua tunaangalia huku huku
Hawa yanga ni Freemason 😂😂
😂😂😂😂