Ahmed Ally... Ni kweli una kazi ya kuwafurahisha mashabiki ila jizuie kutamka maneno ya kufuru kwa mwenyezi Mungu. Aidha hicho ulichokifanya leo sijui kama kilihitajika. When you talk too much you end up talking nonsense... Halafu unapeleka pressure isiyo ya lazima kwa wachezaji. Jitahidi kuishi kwa toba, sala na shukrani kwa Mwenyezi Mungu. Binafsi nasema, Mwenyezi Mungu atusaidie, aisaidie Simba. Amen!
Umeongea point sana japo Yanga wanakera acha wakomeshwe waache dharau kitendo cha kumuomba Mungu awashushie malaika na Kocha kusema yanga iheshimiwe mara oooh watamaliza Ligi bila kufungwa😂😂 Utani wa jadi uendelee na wasemaji waseme watakavyokufurahisha mashabiki wao
Ubalikiwe semaji tunakipenda sana kijana uko vizuri sana kazi yako unajua kuifanya unajua kuitendea vizuri ada ya mzazi safi sana
Sema nakukubari sana😊
Hilo Ndilo semaji la caf❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏 simba bingwa 🏆🦁💪💪🙏🙏
Yeeeeeeeeeeees😂😂😂😂😂😂😂
Mpaka waseme😂😂😂🔥🔥🔥
Ahmed Ally... Ni kweli una kazi ya kuwafurahisha mashabiki ila jizuie kutamka maneno ya kufuru kwa mwenyezi Mungu. Aidha hicho ulichokifanya leo sijui kama kilihitajika. When you talk too much you end up talking nonsense...
Halafu unapeleka pressure isiyo ya lazima kwa wachezaji. Jitahidi kuishi kwa toba, sala na shukrani kwa Mwenyezi Mungu. Binafsi nasema, Mwenyezi Mungu atusaidie, aisaidie Simba. Amen!
Umeongea point sana japo Yanga wanakera acha wakomeshwe waache dharau kitendo cha kumuomba Mungu awashushie malaika na Kocha kusema yanga iheshimiwe mara oooh watamaliza Ligi bila kufungwa😂😂 Utani wa jadi uendelee na wasemaji waseme watakavyokufurahisha mashabiki wao
SEMAJI LA MAANA KABSA
❤
😅😅
Anaongea kistaarabu haimbi mipasho