Sehemu ya Mwisho Simulizi ya Maisha ya Oscar Oscar/Kufutwa Kazi Hadi Kuibukia EFM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ม.ค. 2020
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 75

  • @makulerobert2916
    @makulerobert2916 4 ปีที่แล้ว +2

    daaah.. nmevutiwa mnooo kaka na historia ya mzee wa kaliua! best hustle ever. ILA MSAMEHE BURE YULE JAMAA WA AZAM MEDIA ALIYEKUFUKUZISHA KAZI. "JAMAA YETU"

  • @japharykikoti3391
    @japharykikoti3391 4 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah M,mungu atamlipa Maulid Baraka wa Kitenge kwa Roho Nzuri na kusaidia Watu.

  • @costantineseverine50
    @costantineseverine50 4 ปีที่แล้ว +2

    Story nzuri sana interview zifuatazo mlete jeff lea ama jemedari said.

  • @athumanimbonde2439
    @athumanimbonde2439 4 ปีที่แล้ว

    Daaah__umetishaa sanaaa bro alafuu unajuaa sana sanaa snaaa

  • @wananchitv8690
    @wananchitv8690 2 ปีที่แล้ว

    Safi sana, leo ndio nimejua Oscar ni mwananchi. Hongera sana!

  • @stevenbihondo3241
    @stevenbihondo3241 4 ปีที่แล้ว +1

    Bonge moja la finishing. Superrr

    • @BOIPLUSTV
      @BOIPLUSTV  4 ปีที่แล้ว

      Aminia Big Boss Bihondo 💪🏻💪🏻

  • @christophermbunda2172
    @christophermbunda2172 4 ปีที่แล้ว +1

    Aisee Maulid Kitenge yuko vzr sana

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 ปีที่แล้ว

    Duh..! Asante mzee wa Kaliuwa..ila Maulid ki ukweli ana roho sana ya kusaidia amefanya hivyo kwa watu wengi

  • @alihamis602
    @alihamis602 2 ปีที่แล้ว

    Kitenge 💯

  • @kitulakitula5429
    @kitulakitula5429 4 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa comedy sana

  • @leonardsimon2148
    @leonardsimon2148 4 ปีที่แล้ว

    Very sensitive story haki ya Mungu

  • @saulbichwa4782
    @saulbichwa4782 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana. Vijana hawa wapambanaji sana. Mungu awanyooshee njia kwa kweli. Kipaji kikubwa sana cha kuelezea mkasa.

  • @allymakangana6450
    @allymakangana6450 ปีที่แล้ว

    huyu anaehoji c nd msimamizi wa ligi

  • @nicolausside6783
    @nicolausside6783 2 ปีที่แล้ว +1

    Halaf ziko nying kichwani

  • @Mhasibu
    @Mhasibu 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona kama amelewa

  • @mrishoabdulhakim6384
    @mrishoabdulhakim6384 4 ปีที่แล้ว +4

    Wema hauozi, bora umemshuru Maulidi bado akiwa hai. Allah akulipe sana wewe na Maulid Kitenge.

    • @nicklyanga7044
      @nicklyanga7044 2 ปีที่แล้ว

      Kumbe kuna watu wa dizain ya maulidi Dunia ....ajabu kabisa

  • @samanyaswai6272
    @samanyaswai6272 4 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaah
    Oscar Oscar uko vzr na umeshukru ulipo Toka na Aliye tumika kuwa ngaz ya wewe kupanda umemkumbuka umempa Ujasiri hata kesho Aweze kuwasaport wengine

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 4 ปีที่แล้ว

    Wanasimulia maisha yao

  • @afandesele8506
    @afandesele8506 4 ปีที่แล้ว

    Wewe mchambuz namba moja Tz nakukubar sana sana

    • @superdywz9982
      @superdywz9982 4 ปีที่แล้ว

      Ww jamaa uko serious unamjua ahmed ambangile ww

  • @SautiYanguJr
    @SautiYanguJr 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu Jamaa anastahili kuwa alivyo

  • @mberwamtelo3341
    @mberwamtelo3341 3 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda Kaka TAFUTA nyingune

  • @masuemanuel978
    @masuemanuel978 3 ปีที่แล้ว +2

    Oscar Kama kanywa bia hivi

  • @gavanashy3197
    @gavanashy3197 4 ปีที่แล้ว

    Kichwa cha kazi Mzee Wa kaliuwa tabora

  • @allybinnseif1816
    @allybinnseif1816 4 ปีที่แล้ว +1

    Safiiii Nimependa sanaaa
    Kumbe Oscar ikifungwa Yanga unaumia Yaaani unakuwa umelegeaaaa😁😁😁😂😂😂

    • @danilobabajr6584
      @danilobabajr6584 4 ปีที่แล้ว

      Huyo boya tu Oscar na pale Efm kulikuwa huyu pamoja na Mahuridi kitenge wanazi Sana wa Yanga Sana tena Sana

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 4 ปีที่แล้ว +1

    Huu niungwana uliotukuka kushukuru kwaukubwa mtu alionyesha kukusaport

  • @uwembatvonline
    @uwembatvonline 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa maelezo hayo tu ya kufukuzwa kazi it means Azam na simba ni kitu 1

  • @salummachapati8259
    @salummachapati8259 4 ปีที่แล้ว

    Bonge la shoo. GOOD!.

    • @BOIPLUSTV
      @BOIPLUSTV  4 ปีที่แล้ว

      Pamoja mwamba

  • @fadhilisalumufadhilisalumu3219
    @fadhilisalumufadhilisalumu3219 4 ปีที่แล้ว

    Duh pole kaka ndy maisha kaka

  • @rehemachishomi3040
    @rehemachishomi3040 4 ปีที่แล้ว

    Du mungu amupe maisha marefu kitenge

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 2 ปีที่แล้ว +1

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @folonatuszongo475
    @folonatuszongo475 4 ปีที่แล้ว +1

    "Maulid Baraka wa kitenge " aka "CHUMVI",Ukiwa Senior tumeona na tunatambua mchango wako wa kuinua Majunior ,Hongera Maulid Kitenge na Oscar Oscar kwa kutambua mchango wa Maulid Kitenge kwenye mafanikio yako.

  • @maryflorenceinvestment7532
    @maryflorenceinvestment7532 4 ปีที่แล้ว +2

    Njoo kum mbili, mm saa kumi 11

  • @mustaphamuslim6564
    @mustaphamuslim6564 4 ปีที่แล้ว +1

    Leo ndo nimejua Oscar Oscar anashabikia tim gan hapa bongo.

  • @aristideskablaya9546
    @aristideskablaya9546 4 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀hiki kichwa bhan

    • @peteryohana9534
      @peteryohana9534 4 ปีที่แล้ว

      Inapendeza sana kushukulu mtu na kuusema ukweli wa moyo wako hongera sana ndugu yangu

  • @simonjames5216
    @simonjames5216 4 ปีที่แล้ว

    Mzazi naona umechangamka

  • @aristidrichardmrema536
    @aristidrichardmrema536 4 ปีที่แล้ว +4

    Anayetajwa apo ni jemedari said kazumari alivyokuwa azam fc

    • @mustaphamuslim6564
      @mustaphamuslim6564 4 ปีที่แล้ว +1

      Kumbe jamaa mnonko

    • @jardindullahsheikh9214
      @jardindullahsheikh9214 4 ปีที่แล้ว +1

      Jamaa simkubar kafanya Nisisikilize HQ siku Hizi yeye mjuzi Wa kila kitu kumbe Hovyo tu

  • @Aidansimwanza
    @Aidansimwanza 2 ปีที่แล้ว

    Kwa interview zote za Mzee wa kaliua hii no nouma

  • @ramadhanmkoka444
    @ramadhanmkoka444 4 ปีที่แล้ว

    Interview moja nzuri sana Karim,Mkoka.

    • @BOIPLUSTV
      @BOIPLUSTV  4 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana kaka mkubwa Mkoka 💪🏻💪🏻

    • @mkungamedia6090
      @mkungamedia6090 4 ปีที่แล้ว

      @@BOIPLUSTV mzee umepiga bonge ya interview
      Nakuona mbali
      Lakini usiingie kwenye media nyingine kazana na hii yetu ikue

    • @BOIPLUSTV
      @BOIPLUSTV  4 ปีที่แล้ว

      Ahsante@@mkungamedia6090 ...tunakomaa hapa hapa

  • @erickkipenya5801
    @erickkipenya5801 4 ปีที่แล้ว

    Mwananchi ndio kwenu

  • @jardindullahsheikh9214
    @jardindullahsheikh9214 4 ปีที่แล้ว

    Kazumar Mnoko tu

  • @christophermbunda2172
    @christophermbunda2172 4 ปีที่แล้ว

    Hii story ndo imenifanya kujua kwanini mwanzoni pale Efm alipokuja jamaa mlikua hampatani 😂😂😂😂

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 4 ปีที่แล้ว +3

    historia ya maisha hata miaka 40 hujafikisha dah

  • @saidylikangasimba5091
    @saidylikangasimba5091 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah nataman kumjua huyo mshakaji wetu

    • @emmarockstarblb6571
      @emmarockstarblb6571 4 ปีที่แล้ว +1

      jemedali said mnafki sana

    • @florabenard6695
      @florabenard6695 4 ปีที่แล้ว

      Hongera kwakuwa muwazi na kumpa mtu shukrani nasifa kabla hajafa bigup dogo

  • @martinmwakila6992
    @martinmwakila6992 4 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo mkiaminiwanyie ndio mnatumia nafasi ya kutudanyanya

    • @mwasitinzoto5312
      @mwasitinzoto5312 4 ปีที่แล้ว

      Mzee wa kaliua unafaa kuwa mbunge wa kwetu huko wesisoga sana mnyemwezi

    • @jumamakamba2212
      @jumamakamba2212 4 ปีที่แล้ว

      Oscar sisi kama wadau Wa media tumepigana sana kucoment upewe mkata efm ninazo hadi voice za msg zetu tukikupigania

  • @emmanuelmakongoro8228
    @emmanuelmakongoro8228 2 ปีที่แล้ว

    Kipa mshambuliaji🤣🤣🤣🤣

  • @pascalsamson4721
    @pascalsamson4721 2 ปีที่แล้ว

    duuu

  • @zuberykuwewela4217
    @zuberykuwewela4217 4 ปีที่แล้ว

    Wasafi media

  • @andrewmsunga9425
    @andrewmsunga9425 4 ปีที่แล้ว

    Chumvi @maulidi kitenge ni mtu wakipekee sanaa

  • @joackimmbonde4125
    @joackimmbonde4125 4 ปีที่แล้ว +1

    Naikubali ile caption yake ya #alisikika mlevi mmoja... Uirudishe bc😂😂

  • @hassanmzee8026
    @hassanmzee8026 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu ndugu yetu asiye tajwa apo ni Jemedari saidi huyu jamaaa anajifanya kila kitu anajua yeye mpk nmeacha kusikiliza sports hq ya Efm sababu yake mchambuz wa kawaida sana na anaonesha anaroho mbaya sana mmakonde huyu.

  • @emmanuelmotto745
    @emmanuelmotto745 4 ปีที่แล้ว +6

    bora wewe umekumbuka hata maulid kitenge aliye kuonyesha njia ila kuna mmakonde flan alionyeshwa njia sasa hivi anajenga fitina.

    • @allykigatta7564
      @allykigatta7564 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa kabisa...simpendi kweli yule mmakonde...