BABA LEVO AMJIBU DUMA UTACHEKA..! "BONGO MOVIE WANALIPWA ELFU 30,WANAJAZANA SEHEMU KAMA NYUMBU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ย. 2022
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 366

  • @mamy8220
    @mamy8220 ปีที่แล้ว +46

    Baba levo namukubali sana anaongea ukwel 💖💖🙏🙏👋👋amuna shida apo

  • @vicentmlumba591
    @vicentmlumba591 ปีที่แล้ว +37

    Ivi babalevoo Akilii nyingi hiziiii unatoa wapii 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣 salute

  • @givenjackson5449
    @givenjackson5449 ปีที่แล้ว +26

    Mchaga og Hana mbavu aisee anaenjoy sana❤️🤣🤣🤣

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 ปีที่แล้ว +21

    Mwamba huyu hapa 🤣fundi majumba nakukubali halafu nakukubali tena🥰🥰

  • @kabandilwafariala6093
    @kabandilwafariala6093 ปีที่แล้ว +37

    Mwamba Uyu Hapa…Nyumbu kama Nyumbu😂😂😂But he’s absolutely Right.

  • @youngtynna4748
    @youngtynna4748 ปีที่แล้ว +12

    Milioni kwa mwezi Yuko floo ya chini nakaa nae hapo baba love 🔥😃😃😃

  • @damaskisamalala9635
    @damaskisamalala9635 ปีที่แล้ว +35

    Hahahahaaaa uyu jamaa asiwe anahojiwa atatuvunja mbavu🙌🙌

  • @veenpoul900
    @veenpoul900 ปีที่แล้ว +44

    Hahahah niliisubir kwahamu sana hii vita yaduma mtaalamu fundi manyumbaa,,,,,the guy is very funny

  • @hhurbert
    @hhurbert ปีที่แล้ว +7

    Moja kati ya watu makini sana ndani ya WASAFI industry.

  • @omarypetro2419
    @omarypetro2419 ปีที่แล้ว +1

    Kweli hawa MANYUMBU sasa hapa wanamaindi nini cha zaidi mbona mwamba yupo sahihi tu - hawa wanaojitokeza na kummaindi mwamba nafikiri nyuma ya pazia wanafaida zao binafsi juu ya swala hili ndomana mapovu kibao.

  • @guccij6236
    @guccij6236 ปีที่แล้ว +25

    Nnacho mkubali Babalevo hua anasema ukweli 🤣

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 ปีที่แล้ว +15

    Bongo movie Baba level anawapenda anataka mjiongeze

  • @ibrahimyusuph4908
    @ibrahimyusuph4908 ปีที่แล้ว +15

    😂😂 ukwel sikuzote unauma baba ake levo tuachie nyumbu wetu sisi aseh 😂😂😂🤣

  • @chiefkaitaba8293
    @chiefkaitaba8293 ปีที่แล้ว +23

    Aahhh ukweli mtupu alouongea

  • @Amisikashindi.
    @Amisikashindi. ปีที่แล้ว +10

    Baba levo eti siwezi toa bila diamond visije kubuma 🤣🤣🤣

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 ปีที่แล้ว +24

    Wasafi mediaaa ni media kubwa sana yaani interview ya Babalevo siku mbili Ina views 85k kuna msaniiii katoa album nyimbo youtube siku ya 5 views 25k

  • @ayubukassim7995
    @ayubukassim7995 ปีที่แล้ว +14

    😂😂😂😂😂 Dah B levo Ba anasema Ngumi hataki

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 ปีที่แล้ว +11

    Baba revo anatia hasira🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huwa nacheka sanaa

  • @legolitto3d561
    @legolitto3d561 ปีที่แล้ว +37

    Selfie kontena🤣🤣🙌🙌huyu ndio b levo baa fundi majumba ya self kontena😅😅🙌🙌🙌❤️

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 ปีที่แล้ว +11

    😅😅😅🙌🙌🙌 alaf et umnunie babalevo🤣🤣🤣🤣