Epuka Aina Hizi Za Marafiki Kama Kweli Unataka Kufanikiwa Katika Maisha.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 157

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 5 ปีที่แล้ว +10

    Kiukweli aina hii ya marafiki imenigusa mno maumivu ya moyon mwangu nilosababishiwa na aina hii, naomba no.kwa ushauri zaidi.Pia hongera kwa kutoa huduma hii.

  • @msleny6767
    @msleny6767 4 ปีที่แล้ว +12

    Huu ni ukweli mtupu..
    Nashangaa ni vipi umewajua na kuuelezea haya yote🤔
    Nashukuru kwa moyo wangu wote maanake najifunza zaidi kila siku chini yako(God bless you coach) 🙏

  • @anthonylaban713
    @anthonylaban713 4 ปีที่แล้ว +7

    This is so nice from the smartest man, i have ever seen...... Uko blessed sana bazaleee.....

  • @samiragillian5972
    @samiragillian5972 3 ปีที่แล้ว +2

    Point number too inalenga Europe.jamani mliooa na kuolewa huku.tunajua what our fellow human beings do.let us be strong Africa.Asante brother Joel

  • @EMANUELMWAKITINYA-vr4ge
    @EMANUELMWAKITINYA-vr4ge 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika kabisa Nimepata kitu hapa Asante sana Kaka Joel Live More

  • @kasmirisambala6206
    @kasmirisambala6206 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni kweli. Nimejifunza kitu kuhusiana na aina ya marafiki ninaohitaji kuwa nao na ambao sihitaji kuwa nao katika maisha. Ni sahihi marafiki wanaweza kukujenga au kukubomoa katika maisha yako.

  • @dorahmatitu2554
    @dorahmatitu2554 2 ปีที่แล้ว

    Shukran sana . Hakika unanitoa kwenye gza nililowekwa sasa namatumain kwa maneno yako ymenigusa na ni ukwer mno mtu anakushka mkono ukijua n upendo kumbe anakuweka gza ili usitimize malengo yako. Mungu atusaidie sana. Ubarikiwe sana kaka.

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen kaka mungu akupe maisha marefu ili uendelee ku tufundisha kaka

  • @winfridaadam7951
    @winfridaadam7951 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana Kaka Joel Mungu akubariki sanaaaa ,,hakikaa nikwer kabisa nilikuwa na marafiki lakini kila wakati wanapendaa vyakwangu tu lkn hata nikawaa nashida nikimwambiaa ...yani nihatari sanaa 🙏🙏🙏

  • @immamadalale3940
    @immamadalale3940 5 ปีที่แล้ว +4

    God bless u for ur teaching

  • @childofgod4412
    @childofgod4412 5 ปีที่แล้ว +8

    Kuna marafiki ambao wanapenda kusaidia sana ila sio kwa moyo bali ili waonekane safari hii nimeamua sitaki rafiki tena nitatuma amani tu

  • @rajabualbert1491
    @rajabualbert1491 4 ปีที่แล้ว +4

    Kaka Uko sawa kabisa ila huyo Dada mbona hakupi muda wa kuongea anadandia dandia maneno alafu anatangulia neno unalotaka kuongea mbele sijapenda mwambie aache ujuaji

  • @sarahsoma2150
    @sarahsoma2150 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimejifunza kitu kikubwa sana kaka Joel, Asante na Mungu akubariki

  • @alexmahenge3817
    @alexmahenge3817 5 ปีที่แล้ว +4

    Hakika Mungu nimkuu mnoo Haya nafundisha Nimakubwa mnoo Na niyamuhimu Saana saana Nimepanda mnoo

  • @amelinajohn1098
    @amelinajohn1098 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa somo la leo nimelipenda man nlikua napata shida katika hili

  • @rahillhamidu2544
    @rahillhamidu2544 4 ปีที่แล้ว +2

    Yaani huu ni ukweli mtupu, shukran Sana, Lilian nakupenda ujue

  • @zulferabour607
    @zulferabour607 4 ปีที่แล้ว +1

    jaman joel leo umenielekeza kitu ....yaan huyu n rafk yang mmoj kazin.....duuuh bt nmejifunza ....joel asante kaka ...joel ubarikiweeee joel mungu azid kukueka ...joel with yu i believe one day ktk stori yang utakuepo

  • @anoldkileo1050
    @anoldkileo1050 4 ปีที่แล้ว +2

    Powerfull Advice See u at top

  • @kachimaandrew3354
    @kachimaandrew3354 4 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana kaka nimekuelewa vuzur sana.

  • @keflentito8052
    @keflentito8052 4 ปีที่แล้ว +2

    Very powerful massage my kaka

  • @rhodamaganga8308
    @rhodamaganga8308 5 ปีที่แล้ว +3

    Mbn fupi jamani asante sana lakini nimejifunza ninarafiki mzigo anataka yeye awe anatumia pesa zangu tu halafu za kwake hataki zitumike aaaaah namdelete kabisaaaaa

  • @radiIbrahimnuhu
    @radiIbrahimnuhu 4 ปีที่แล้ว +1

    Tazama historia ya mwanajeshi aliyedai kukutana na Mungu...alipigwa risasi 27 na kuendelea kupigana....bofya link 👇🏾th-cam.com/video/3q3bDAqT460/w-d-xo.html

  • @bonifacebeatrice8077
    @bonifacebeatrice8077 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakika Mungu akuzidishie maarifa, ubunifu na nguvu unayotumiakutuelimisha.

  • @gracezunda3312
    @gracezunda3312 5 ปีที่แล้ว +9

    Marafiki wa hivyo wako wengi mno imenifanya nikatae marafiki kabisa hawana maana siwataki!

    • @lameckmachumu7268
      @lameckmachumu7268 4 ปีที่แล้ว

      Grace Zunda unakosea Grace still good people wapo ambao unaweza fnya nao urafiki

    • @jaxxjoo1973
      @jaxxjoo1973 3 ปีที่แล้ว

      Hata mm chtaj marafk wamenirudsha nyuma sana

    • @sharonerick7729
      @sharonerick7729 3 ปีที่แล้ว

      Daaah mim wananiumiza lila siku yani nateseka wananitesa kabisa

  • @johanjoha5262
    @johanjoha5262 4 หลายเดือนก่อน

    Asante kk kwa somo lako nimejifunza kitu

  • @aash4145
    @aash4145 ปีที่แล้ว

    Aksante kaka nanauka,,, kwakwel umeyufungua,,, tunaishi na marafi kama hawa mzigo,,, yan wanafiki

  • @julliethkombe4213
    @julliethkombe4213 5 ปีที่แล้ว +3

    Aisee,I got something, thanks alot

  • @rehemajuma4656
    @rehemajuma4656 5 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante kwa somo zr kaka joel
    Allah bless you .

  • @beatricengalubutu7008
    @beatricengalubutu7008 5 ปีที่แล้ว +6

    Awww it's too deep......✊✊

  • @kungkong7690
    @kungkong7690 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice voice.. like radio..

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว +5

    God bless you my brohrs

  • @rhodamaganga8308
    @rhodamaganga8308 5 ปีที่แล้ว +8

    Halafu anawivu hafurahii ninapofanikiwa akiona nimebarikiwa ananinunia

  • @johnmasanja1413
    @johnmasanja1413 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh ama kwel ni noma sana love it

  • @elizabethleonard2429
    @elizabethleonard2429 7 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda saana ubarikiwe sr.❤

  • @hawamatumbo349
    @hawamatumbo349 5 ปีที่แล้ว +12

    Aisee mie ninae uyo rafiki wakuchukia mafanikio yangu

    • @faithfaith4782
      @faithfaith4782 5 ปีที่แล้ว +1

      Ameen 🙏 mafundisho yakuelimisha sisi njinsi tutanjitenga nawanafiki marafiki wa uongo washindwe in the mighty name of
      God 🙏 thanks so much my dear brother 💖👊👏 💟💖💟💖💟
      God bless you 🙏💖👌 ,hi ninaye hapa kazini masungumzo yooote nimeyasikia Yana mlenga huyu mwenzangu hapa kazini wivu ,fitina,chuki ,,,,,,,,,,, Asante Kaka lakini naamini mungu kwangu alishindwa 🙏 yanamfuata mwenyeweee 👐 ! Pamonja 👏💖💖👊👊 mungu akunjalie mema

    • @michaeljonas7497
      @michaeljonas7497 4 ปีที่แล้ว

      Achana nayo

  • @elizabethleonard2429
    @elizabethleonard2429 7 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana Mwalimu hakika unatupenda

  • @raisaafrica0255
    @raisaafrica0255 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa kaka yngu ninarafikiya yngu hataki kupata kwangu yan kil mara anataka ni following yeye na nime amuwa kuwacana naye

  • @mungupamojanasi2709
    @mungupamojanasi2709 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli kabisa. Na kunawengine wanapenda kukosoa tu. Ukifanya vizur wao wanakaa kimya. Je hao nao wakoje?

  • @nemymtango4074
    @nemymtango4074 4 ปีที่แล้ว

    kwel kabisa ahsantee sana kwa kutusaidia barikiwa sana

  • @bdraper6036
    @bdraper6036 3 ปีที่แล้ว +1

    Kila Hatua, Nazidi kuimarika kupitia Mafundisho yako, Nimepiga hatua Zaidi, na lengo ni kutwaa Tuzo kubwa sana hapa Duniani, nazidi kujifunza siku hadi Siku

  • @ZedeJafeti
    @ZedeJafeti 8 หลายเดือนก่อน

    Very true my brother Aina hii Ya marafiki imefanya Nixhidwe kua Namarafiki kbx

  • @JasmineMilima
    @JasmineMilima 8 หลายเดือนก่อน

    Asante sana ❤❤

  • @abdallabundala404
    @abdallabundala404 6 หลายเดือนก่อน

    Duh kama ulovyoeleza ndio maisha yetu ya sasa ktk URAFIKI , WAUNGWANA NI WACHACHE SANA. LAZIMA TUWE MAKINI KWENYE KUTENGENEZA MARAFIKI

  • @ikirezijose5741
    @ikirezijose5741 4 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka kipindi nilikuwa na boyfrnd wa tabiya kama hiyo hakukuwa anakubari kosa,hakosolewe,na alikuwa akikoseya anataka mimi ndiyo nimuombe msamaa😢niliona mapema kama siyo mtu sahihi kwangu nanilikuwa nampenda ila nimemtoka.asante sana kaka Joe umenifunza kitu

  • @maishatzmartin5468
    @maishatzmartin5468 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana kk barikiwe

  • @lydiadavid8595
    @lydiadavid8595 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana somo limeniingia sana tena sana

  • @estherkimario2039
    @estherkimario2039 3 ปีที่แล้ว

    Umeongea vizuri sana kaka hilo tatizo mimi ilalipitia naomb unishauri nifanyaj ili niwez kuwa epuka

  • @judymuthoni6445
    @judymuthoni6445 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa mawaidha kwa kuwa umeniokoa kaka yangu

  • @ramlamussa9144
    @ramlamussa9144 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa mtindo huu basi watu wengi sana hawana marafiki na hawajui. Wapo marafiki wengi sana wa aina hii.

  • @aishakhasim1440
    @aishakhasim1440 5 ปีที่แล้ว +2

    Yan kweli kabisa

  • @marwam1511
    @marwam1511 4 ปีที่แล้ว

    Omg I like this so much you know my brother please advise me in this matter related to this video. Thanks

  • @ThomasBhoke
    @ThomasBhoke 23 วันที่ผ่านมา

    Ahsante sana kaka❤

  • @mwanaharusialifakifaki8716
    @mwanaharusialifakifaki8716 4 ปีที่แล้ว

    Jamaniii duniani hapa mtihani tuuuu😭hawa wa kujiskia vibaya wapo wengi kwenye maisha yangu.na hawa wa kuchukua rasilimali nnao kweli ahsante mwalim najifunza mengi duniani hapa .
    😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @MikaMollel-b5y
    @MikaMollel-b5y 4 หลายเดือนก่อน

    Nakushukuru sana sema ili wakome wabadilishe tabia zao

  • @JacqueM4600
    @JacqueM4600 5 หลายเดือนก่อน

    Dada Lilian jitahidi kumuacha mtu amalize kuongea kwanza ndipo uchangie au kama ni muhimu sana ku interact please do vingine mwache amalize kuongea.

  • @crecensiaedward2364
    @crecensiaedward2364 5 ปีที่แล้ว +3

    hao no 4 nimekutana nao sana

  • @hezronmangulamangula9718
    @hezronmangulamangula9718 3 ปีที่แล้ว

    Nashukuru sana kaka nimejifuza pakubwa sana

  • @philipojustine2541
    @philipojustine2541 5 ปีที่แล้ว +3

    Yes crazy do it

  • @muutasimrashid135
    @muutasimrashid135 3 ปีที่แล้ว

    SHUKRAN

  • @immamadalale3940
    @immamadalale3940 4 ปีที่แล้ว

    Thankx you for lesson

  • @makandaigarobi4765
    @makandaigarobi4765 2 ปีที่แล้ว

    Perfect

  • @IbrahimKumbuka
    @IbrahimKumbuka 8 หลายเดือนก่อน

    Kak umetisha san kwa apo ulipogusa hauna baya thanks bro

  • @tatumohdhaji7907
    @tatumohdhaji7907 4 ปีที่แล้ว

    Asante kaka nimekufahamu

  • @anethbuhung7544
    @anethbuhung7544 4 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa bro

  • @evancelaw7032
    @evancelaw7032 4 ปีที่แล้ว

    Intelligent man

  • @josephkhaph9125
    @josephkhaph9125 4 ปีที่แล้ว

    asanteni sana kwa ujumbe mzuri

  • @raisaafrica0255
    @raisaafrica0255 5 ปีที่แล้ว +3

    Kabisssa yani ata ninunuw kitu hafurahiy alafu yeye huwa hanambiy ya kwake ju ya wivu

  • @josephmagavilo7609
    @josephmagavilo7609 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri sana

  • @kingbrand5141
    @kingbrand5141 6 หลายเดือนก่อน

    Kaka unajuwa sana mkuu

  • @philemonalex8089
    @philemonalex8089 3 ปีที่แล้ว

    Bro this is good class💪

  • @eliasbufula6290
    @eliasbufula6290 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante munomuno.

  • @MikaMollel-b5y
    @MikaMollel-b5y 4 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali kwa marafiki ni kweli

  • @KulwaJames-n2x
    @KulwaJames-n2x 7 หลายเดือนก่อน

    Yes kwel kabsa bro

  • @augustinommbaga6706
    @augustinommbaga6706 4 ปีที่แล้ว

    Best channel to watch

  • @benjaminm6479
    @benjaminm6479 4 ปีที่แล้ว +1

    nzuri sana hii

  • @elvismuganyizi858
    @elvismuganyizi858 5 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana HAMASIKA TV

  • @lameckmussa8734
    @lameckmussa8734 5 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali joel

  • @mariasanga5033
    @mariasanga5033 4 ปีที่แล้ว

    Wow this is awesome 👍

  • @mohamedsuleiman7215
    @mohamedsuleiman7215 4 ปีที่แล้ว

    mi sipendi marafiki wa ajabu na nashukuru mungu marafik zangu wingi ni matajiri na wananipa msaada wa maneno na vitendo.
    nimejifunza kitu asilimia kuu ya marafiki wajinga,roho mbaya,majungu ni wale tuliozaliwa katika familia za kimasikini.simaanishi kwamba masikini wote waki ivo ila asilimia kuu na simaanishi matajiri wote wako ivo.hamna wako matajiri wa ivo.

  • @malupex6299
    @malupex6299 4 ปีที่แล้ว

    very impressive broo

  • @janeplaymwenda4739
    @janeplaymwenda4739 4 ปีที่แล้ว +1

    Good video

  • @muhsinsalum2305
    @muhsinsalum2305 5 ปีที่แล้ว +5

    Hao wa mwisho niwengi saana kaka.
    Nishida kwenye hii dunia

  • @jalimadole9605
    @jalimadole9605 2 ปีที่แล้ว

    Hakika kaka mafundisho yako ya Hali ya juu sana

  • @pascalshauri1276
    @pascalshauri1276 4 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa haya ndo maisha halisi ya baadhi ya marafiki,ukae na rafiki mzigo au upoteze hatma yako

  • @furahayabwana6127
    @furahayabwana6127 5 ปีที่แล้ว +3

    Kweli TUPU,💯

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli

  • @bahathmuro5714
    @bahathmuro5714 4 ปีที่แล้ว +1

    Nlishayajua hayo ndio maan nka move on

  • @mundiajamesfurahia477
    @mundiajamesfurahia477 4 ปีที่แล้ว

    Wawa kabisa

  • @estherkimario2039
    @estherkimario2039 3 ปีที่แล้ว

    Umenena kaka umenifundisha kitu hapo kaka joel

  • @queenboniphace1210
    @queenboniphace1210 5 ปีที่แล้ว

    asante kwa ujumbe mzuri kaka

  • @amilindangi250
    @amilindangi250 3 ปีที่แล้ว

    Hayo yananikuta sana najikuta na jiulizasana ilasipati majibu aise

  • @maxmaxmo5545
    @maxmaxmo5545 5 ปีที่แล้ว +1

    Huo ndio ukweli kabla sijawagundua hao marafiki nilipata tabu sana

  • @jumajamal3391
    @jumajamal3391 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice one

  • @vincentombasa
    @vincentombasa 5 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @barakamollel9122
    @barakamollel9122 4 ปีที่แล้ว +1

    Asee Ni Kweli 100%√√

  • @glorykahabi5830
    @glorykahabi5830 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah aise kuna wakati huwa naona niwe mwenyewe tu

  • @yussufrehani5383
    @yussufrehani5383 5 ปีที่แล้ว +2

    ..... Nahitaji kufahamu ikiwa mimi ni miongoni mwa waliofutwa
    JE... Nitafanyaje kurejesha urafiki wa awali ikiwa tayari ameshanielewa udhaifu wangu
    Yussufrey kutoka Zanzibar

    • @hamasikatv
      @hamasikatv  5 ปีที่แล้ว +1

      Kitu Cha Msingi ni Kubadilika kwa dhati kutoka moyoni kisha zungumza na rafiki yako mrejeshe urafiki wenu mshirikiane na kushikama kwa pamoja mtafika mtafika mbali.

    • @yussufrehani5383
      @yussufrehani5383 5 ปีที่แล้ว

      @Misifa Skills Thanks

    • @yussufrehani5383
      @yussufrehani5383 5 ปีที่แล้ว +1

      @@hamasikatv Thanks alot

    • @gracekiteve980
      @gracekiteve980 4 ปีที่แล้ว

      Yaan nimekuelewa na nimejifunza ile mbaya

  • @AshirackAbdalah
    @AshirackAbdalah 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤

  • @angeltvonline9153
    @angeltvonline9153 4 ปีที่แล้ว +3

    Ahsant

  • @NehKonga-wc1ey
    @NehKonga-wc1ey 6 หลายเดือนก่อน

    Sio rafik tu na ndugu wa haina hao teacher wapo natamani ungefanya somo la hili