Ni hakika kaka Joel. Hata neno la Mungu linasema kwamba adui wa kwanza ni yule wa nyumbani kwako. Na pia waswahili wamesema kikulacho ki nguoni mwako. Mungu atusaidie kwa neema yake kuwatambua na kujiepusha nao .🙏
Aisee Nanauka Mungu atukuzwe kwa namna ya pekee kuruhusu ukazaliwa wewe ni zawadi ya wengi kwenye hii dunia barikiwa tena na tena Mtu wa Mungu wewe ni TUNU.
Mmh !!!, Mungu atusaidie sana, atupe hekima na mafunuo ya kuwagungua maadui- marafiki, lakini pia atupe utii na unyenyekevu pale anapotupa maelekezo ya kufuata
Kuna msemo unasema Tenda wema nenda zako mm nazidi kujifunza kwamba tukiwa tunataka kutoa msaada au kujitoa kwa jambo furani tujitaidi kutowaza malipo tujitoe kwa mioyo yetu! Ila nawasii wenzangu tusiwe kama sankara! Nakushukulu sana kaka nazidi kuelimika kwa nukuu zako mungu akusaidie nawewe pia asante
Sema , Nanauka Sahivi una hadithia Story vizuri saana. Ani inaleta Mifano hai well know then unachomeka na life reality. I really Appreciate it. Ani nafeel kama Mahubiri hivi
Kila nikikusikiliza napata nguvu sana ,maana saiv napitia maisha ya sankara rafiki yangu nilimsaidia sana saiv ndo adui yangu ata haongei na mm ,kaka mungu akupe maisha marefu
Blaise Compaore Ni mnyama wa Kiwango Cha juu mno. Ani alionyesha usaliti wa Hali ya Kiwango Cha juu saana. Kwa Mujibu wa Taarifa,wanasema The Late Sankara aliwahi kupewa Tips na mashushushu kuwa Rafiki yake Kipenzi Blaise ana mpango mbaya dhidi yake. Ila Sankara aligoma kuamini Hilo. At the End ndo hayo sasa
❤❤😊
Mungu akuongezee ulinz Kwan wewe umebeba zamana ya wengi sana
Mwenyezi MUNGU aendelee kukuinua mtumishi,,,, aendelee kukupa Siri ili kulisaidia taifa lake ,, amen 🙏🙏
Mungu atusaidie dhidi ya watu wanaotuwazia mabaya licha ya kuwa tumewaweka karibu yetu na atuonyeshe pia
Mungu Atusaidie❤
Yani masomo haya huchoki kusikia barikiwa zaidi kaka Joel
Mungu pia akulinde na wewe maana unainua watu wengi sana mungu atusaidie
Daaaaah one of the best series ambayo niliona mwez 3 ila sikuisikiliza Leo imenitoa machozi na kunifundisha
Ni hakika kaka Joel. Hata neno la Mungu linasema kwamba adui wa kwanza ni yule wa nyumbani kwako. Na pia waswahili wamesema kikulacho ki nguoni mwako. Mungu atusaidie kwa neema yake kuwatambua na kujiepusha nao .🙏
Upendo wa ajab sanaaa kuwapa elimu Bure hata usio wajua
Inahuzunisha sana daah..nimejifunza kitu pia.
Aisee Nanauka Mungu atukuzwe kwa namna ya pekee kuruhusu ukazaliwa wewe ni zawadi ya wengi kwenye hii dunia barikiwa tena na tena Mtu wa Mungu wewe ni TUNU.
Mmh !!!, Mungu atusaidie sana, atupe hekima na mafunuo ya kuwagungua maadui- marafiki, lakini pia atupe utii na unyenyekevu pale anapotupa maelekezo ya kufuata
Great powerfull
Story of my life, watu wangu wa karibu sikutegemea walichonifanya, Mungu Baba nisaidie 🙌🙌🙌🙌, barikiwa saana Mwl
"ukijitoa Kwa ajili ya WATU, haimaanishi kuwa hawatokudhuru 🤝,,,,hivyo tusali ,ili Mungu atuepushie na mashambulizi ya ghafla🙏
Mafundisho yako yamenijenga Sana asante
Aminaaa !!!!
Ubàrikiwe saaana
Big up bro
Amina Baba
Asante sana mwalimu Wang Kwa ujumbe mzur, ubarikiwe sana
Mungu tusaidie kuwatambua na kuishi na adui zetu.Be blessed @pastor Joel nanauka
Thank you my brother Joel Mwenyezi mungu atutangulie kuwajua maadui zetu
we see each other at the top
Muito obrigado, Deus te abençoe 🙏
😢😢daah Mungu atusaidie kwakweli na atuepushe nao🙏🙏🙏
Asante sana coach kwa tafakari nzuri
joel hakika wew nimkombozi❤
Asante sana,ujumbe mzito kwetu wanadamu.
A very good message my brother. Thank you Joel
Kuna msemo unasema Tenda wema nenda zako mm nazidi kujifunza kwamba tukiwa tunataka kutoa msaada au kujitoa kwa jambo furani tujitaidi kutowaza malipo tujitoe kwa mioyo yetu! Ila nawasii wenzangu tusiwe kama sankara! Nakushukulu sana kaka nazidi kuelimika kwa nukuu zako mungu akusaidie nawewe pia asante
Sema , Nanauka Sahivi una hadithia Story vizuri saana. Ani inaleta Mifano hai well know then unachomeka na life reality. I really Appreciate it. Ani nafeel kama Mahubiri hivi
Nabarikiwa sana
See you at the top 👏
Baba anahudumia familia vzr Sanaa at the end anauwawa na mke ili arithi mali
Mungu akubariki saana my lovely teacher ❤
Nimehudhunika saaana, Mungu pekee atuepushe na mwisho kama huu
Kila nikikusikiliza napata nguvu sana ,maana saiv napitia maisha ya sankara rafiki yangu nilimsaidia sana saiv ndo adui yangu ata haongei na mm ,kaka mungu akupe maisha marefu
Kaka hakika mawazo na mafundisho yako yanaendelea kunipa nguvu kila nikisikiza umefanyika baraka kwangu Mungu aendelee kukutunza much appreciate .
Pastor @Joel nanaukannaomba uwe baba yangu wa kiroho 🙏🙏
Asante sana My brother
Duh hatari
Ahsante
Mungu atunusuru na watu wenye Nia ovu na sisi
Dah na mara nyingi ni watu wa karibu sana, mf, ndugu jamaa na marafiki km sio jirani, hii nitajitahidi kadri iwezekanavy
Na hii ni halisi kabisa, katika umri wangu mdogo nimekiona
Amen Amen
Bro Mungu akulinde ww zaidi sio wote wanaofurahiwa na ww love you so much
Ameen nakushukuru sana
🙌
Daaa mungu tusaidie
Asante sana joel
Asante mungu azidi kukubariki teacher
Bwana Joel kwanini
Umebadilisha namna ya video zako mimi naona umehalibu nilikua nafurahi sana mwanzo
Ujumbe ndiyo kitu cha kukizingatia😊🤝,,,, tuendelee kujifunza🙏
Aaaamin❤❤❤
Asantee sana
Ahsant sana
This is powerful
Ahsante sana kaka
Nimejifunza kitu
Tupo pamoja
Thanks allot mtumishi we will work on this advice
Kaka nakupataje chemba naomba kuongea na ww angalau dk 1 na roho yangu itapona
Asante sana brother 🙏
❤
Inafanana na story #RAISI_MAGUFUR amejsemea Mpina
Nimejikuta nalia,binadamu ni wabaya mnooo.....basi tuu
Pole sana.Mungu atusaidie
Blaise Compaore Ni mnyama wa Kiwango Cha juu mno. Ani alionyesha usaliti wa Hali ya Kiwango Cha juu saana.
Kwa Mujibu wa Taarifa,wanasema The Late Sankara aliwahi kupewa Tips na mashushushu kuwa Rafiki yake Kipenzi Blaise ana mpango mbaya dhidi yake. Ila Sankara aligoma kuamini Hilo. At the End ndo hayo sasa
KAKA SASA HIVI AUDIO IKO LOW, ONGEZA PUNCH, WENGINE MASIKIO YANA SHIDA.
Nabarikiwa sana
Asante sana