Amina mtumishi mi ni mzaliwa wa nne ndio napitia changamoto ila naona Mungu akinipigania Imani yangu Ina nambie Mimi ni mkomboz wafamilia hakika nitadhinda
Amen mtumishi wa Mungu, ni kweli unachokisema, namshukuru sana Mungu Kwa ujumbe huu! Maana nimetiwa nguvu ya kusonga mbele na kupambana, kwani nilihisi kuchoka na changamoto zinazonikabili kama mzaliwa wa nne. Asante Bwana Yesu.
Mimi ni wa nne kuzaliwa na ulichosema ni sawa kabisaa yaani nisipo pambana nabaki kama nilivyo, nimejitahidi sanaaa nafika mahali nachoka. Lakini mpaka kupata huu ufunuo maana yake Mungu amenitendea jambo, ushindi ni fungu langu kwa jina la Yesu
Brooooo ni kweliiiii mi pia ni wa nne. ni mwamba pia a nnao record ambazo mtu kuzvunja si rahisi nimenusurika kufa kabisa mara nyingi Ila zaidi mara 3(hizi zilikuwa kifo kbsaa) Nategemewa na familia hvohvo. Nnao mengi Ila niseme tuu you're right.
Sasa hapa m ninao watoto wawil japo nilishampata wa3 ikawa bahati mbaya je nikipata mwingine kwenye nafas yake inabaki palepale? Wa3 au anahesabika wa4
Amina mtumishi mm niwanne nahis nitaikomboa familia yang ninaiman MUNGU anipiganie.
Amina mtumishi mi ni mzaliwa wa nne ndio napitia changamoto ila naona Mungu akinipigania Imani yangu Ina nambie Mimi ni mkomboz wafamilia hakika nitadhinda
Amen mtumishi wa Mungu, ni kweli unachokisema, namshukuru sana Mungu Kwa ujumbe huu! Maana nimetiwa nguvu ya kusonga mbele na kupambana, kwani nilihisi kuchoka na changamoto zinazonikabili kama mzaliwa wa nne. Asante Bwana Yesu.
Amen Amen Amen in Yesus Christ ni kweli mimi ni mzaliwa wa 4 na unayosema ni kweli kabisa vita ni kubwa
Barikiwa sana mpakwa Mafuta wa mungu huu ujumbe mzuri sana
Mimi ni mzaliwa wa nne miezi uliyoitaja kwangu ni matatizo leo nashinda in Jesus name
Mimi ni wa nne kuzaliwa na ulichosema ni sawa kabisaa yaani nisipo pambana nabaki kama nilivyo, nimejitahidi sanaaa nafika mahali nachoka. Lakini mpaka kupata huu ufunuo maana yake Mungu amenitendea jambo, ushindi ni fungu langu kwa jina la Yesu
Hakika usemayo ni kweli! Yote Yamenipata!
I recieve 🙏
Naomba umuombe brother yngu nne anakuanga shita shita
Kweli kuhusu ajali mume wangu ni mzaliwa wa 4 na alifariki kwa ajali.Hizo roho za kukataliwa ndio usiseme .Tunakumbana na vita kubwa sana kwakweli.
Namwombea Mwanangu MICHAEL Mzaliwa wa NNE ktk wanangu wanne: Naomba maombi yako Mtumishi MUNGU
Mimi hapa ni mzaliwa wa 4 kati ya watoto 28
Brooooo ni kweliiiii mi pia ni wa nne.
ni mwamba pia a nnao record ambazo mtu kuzvunja si rahisi nimenusurika kufa kabisa mara nyingi Ila zaidi mara 3(hizi zilikuwa kifo kbsaa)
Nategemewa na familia hvohvo.
Nnao mengi Ila niseme tuu you're right.
Amina mtumishi wa Mungu.
Amen amen amen
Mimi pia ni wa nne nini ishi kama ni ko vitani naomba niombee
Its true Mtumishi wa Mungu from kenya niombee.
Mimi ni mzaliwa wa nne....yaan vita ni kali balaa na ninaona kabisa uzao wa mama yangu mimi ni mkombozi
Amen,4
🙌🙌🙌🙌🙌
It's me
Ur very truth man of God
Amen
mtumishi hata mimi ni wa 4 lakini nimesimama hakuna kinachoenda niko zero kila eneo la uchumi wangu
Namm wa4 jamani😢😢
Mimi ni mtu wanne
❤j
nina shida ya muhimu sana nabii naomba namba yako
23:09
J