Yeyote anaetaka kwenda USA. Usikate tamaa. Pambana. Dogo namsifu sana. Kwa kujitolea! Kutoa muongozo wa kwa vijana. Jinsi ya kwenda huko na jinsi vp uwe nama Gani. USA. Ni big country. Na imeendelea na wanao kwenda huko ni lazima uwe bright. Kichwani kwako..na uwe makini.wenzetu wanafata sana Sheria na taratibu. Hakuna kudeka huko.. never give up!!
@@mshanatheblacksmith nime apply mwaka 2024 kwa EBM nimekosa aisee kk daaa,ningeoteya dodo kama wewe ningefurahisana ila nina imani ipo siku mungu ataniona kama alivyokuona wewe mshana.
napambana sana nije huko mwanangu, nimeomba green card mara 3 sasa sijapata, njia gani nzuri nyingine nishauri, kiingereza nakiongea vizuri sio shida kabisa
Jamaa yangu natamani nije huko nifanye kazi za nguvu kazi mf,usafi wa mazingira,mashambani nk,kwa sasa nipo kwenye kibarua cha usafi wa mazingira ktk mamlaka ya maji mkoa wa Simiyu
Mungu akubaliki kazi akulinde akupe maisha marefu huna choya
Yeyote anaetaka kwenda USA. Usikate tamaa. Pambana. Dogo namsifu sana. Kwa kujitolea! Kutoa muongozo wa kwa vijana. Jinsi ya kwenda huko na jinsi vp uwe nama Gani. USA. Ni big country. Na imeendelea na wanao kwenda huko ni lazima uwe bright. Kichwani kwako..na uwe makini.wenzetu wanafata sana Sheria na taratibu. Hakuna kudeka huko.. never give up!!
Very profound word🙏
Asante pia Kwa kututia moyo
God bless you
Nakubali mzee wa usangi hivi hatujasoma wote kiriki kweli
Ahsante kwa ushauri
Asante sana,kaka
Pamoja sana brother Na ahsante kwa kutupa madini
Nawataftia kila njia niwape vtu muhimu! Karibuni
@@mshanatheblacksmithme nahtaji kaz uko
Safi Sana kwakutujuza hishu za huko kiukweli mnatumsha
Tupo pamoja 💪
Asante kaka endelea kutupa madini
Nipo hapa kuwachimbia kila cku🙏
Ni kweli suti tuachie wa sabato
Nipe mchongo from tanzania
Jamani mi nimuzoefu wa usafi je nifanyeje uko ipo mi ni 💪💪
Appreciate bro I'm from burundi but i live in South Africa so naweza pata number
Hello kaka mm naitaji kazi marekani
Naomba namba yako kaka angu
Safi sana uko vizuri,naomba number zako za watsap
New subscriber
Umemgepu Mwijaku.......!
Kaka naomba tuwasiliane mtuekee namba bas
Achakudanganya watu bhan utanzaje kubadili jina lako
Kwem bro nimekupat so nmna yakufika huko
Oy mwanangu wa arusha tec
Asalam aleikum naomba no yako
tatizo ss wengine eglish hatujui broo unatusaidiaje
❤🎉
Ndio
Nitumie link za job in usa
Naomba mawasiliano ya whatsap taf.
Kazi isyo na elimu vp zipo ndg
Unyama mkali 👊🏾
💯
Wale tusio na elimu nao jee... Yn un educated people
Sasa utabalishaje jina wakati kwenye passport kuna jina lingine??
safi sanaaaa
Tatizo kaka mnatutamanisha na kazi huko America lakini hamtupi njia nasisi tufike tunachoamini sio wote wametoboa kufika huko kwa njia za halali
Nipe namba yako nataka tuwasiliane
Nkubl mshana
Asante
@@mshanatheblacksmith mwanetu njia zakufika
'JINA GUMU KAMA LANGU
MTIHANI'
Kweli majina sometimes yanaweza kukuhukumu😃
mshana mimi fundi umeme nimesoma veta miaka miwili nina uzoefu wa taneso miaka miwili daaah ningefanikiwa kufika huko aisee
Apply DV LOTTERY mwaka huu
@@mshanatheblacksmith nime apply mwaka 2024 kwa EBM nimekosa aisee kk daaa,ningeoteya dodo kama wewe ningefurahisana ila nina imani ipo siku mungu ataniona kama alivyokuona wewe mshana.
Njoo nikupe kaz ulaya
@@fatnasaidi3027ulaya sehemu gani
@@mmasipeter4157 apply tena mwaka huu
napambana sana nije huko mwanangu, nimeomba green card mara 3 sasa sijapata, njia gani nzuri nyingine nishauri, kiingereza nakiongea vizuri sio shida kabisa
Sasa nikija na siwezi kunyoosha kingereza sawa sawa inakuaje?Bado naweza pata kazi?
Ndio unaweza pata kazi, kingereza ni namna ya ww kuwasiliana tu na kupata connection nzuri
Jamaa yangu natamani nije huko nifanye kazi za nguvu kazi mf,usafi wa mazingira,mashambani nk,kwa sasa nipo kwenye kibarua cha usafi wa mazingira ktk mamlaka ya maji mkoa wa Simiyu
Director king apa
Kaka kwema?
Sio tena vipini vya pua hereni mibangili mikufu mitatuu aiko poa kibarua aupati
🤣 kweli wazungu wana uhuru lakini kuwa makini nao Kazini nirahisi kukupa kazi pia wakikuona hueleweki nirahisi kukuachisha
Kuna age limit ya kuja kufanya kazi marekani?
@@anithamsoke2329 hamna labda kama umefika age yakustaafu
Vipi kuhusu language sisi wazee wa kiswahili jinsi ya kuomba hizo kazi kwenye lugha nafanyaje. Au wapo ma agent wa kunisaidia kuomba?
Njoo nikupe kaz
@@fatnasaidi3027nipe mm ipo wap
@@fatnasaidi3027unaishi wapi
Mmmmmmmmh @@fatnasaidi3027
We Mshamba sana
Kaka mashana naomba tuwasiliane kaka wengi mnatupa madili lakini hamtaki kuwasiliana nasisi
❤