MWABUKUSI AWANG'ANG'ANIA POLISI/ ATAKA 'AFANDE' ALIYESABABISHA BINTI KULAWITIWA AKAMATWE HARAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • RAIS wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amelipongeza jeshi la polisi kwa kuwafikisha mahakamani watuhumiwa wanne wanaodaiwa kubaka na kulawiti binti mmoja aliyepewa jina la XY huku pia akilitaka jeshi hilo kuhakikisha wanamfikisha mahakamani aliyeagiza vijana hao kutenda ukatili huo wa kingono.
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 692 318213)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

ความคิดเห็น • 57

  • @hawamrisho-uo4ih
    @hawamrisho-uo4ih 22 วันที่ผ่านมา +9

    Allah akulinde kwa msimamo wako, akupe afya na umri mrefu. simama baba Mungu amekuchagua kutetea haki za viumbe wake AAmiin PAMOJA SAANA

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 22 วันที่ผ่านมา +4

    Umeongea points baba umevaa kiatu cha yule bint kama mwanao hata sisi tunataka huyo afande pia akamatwe

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 22 วันที่ผ่านมา +8

    Mungu awalinde na kuwasimamia viongozi wa T. LS. Chini ya uongozi wa Rais Msomi Mwabukusi. Sasa Taifa lina sauti ya kisheria, baadala ya sauti za wenye suti na matai chawa.

  • @MwanamisoAbdallah
    @MwanamisoAbdallah 22 วันที่ผ่านมา +7

    Ni aibu kubwa sana jeshi ambalo nilifaa limlinde mwanaichi bidi y waalifu kumbe wao ndio waalifu wakubwa duuh😢😢

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 22 วันที่ผ่านมา +5

    😊😊Mungu nakuomba umlinde Mwabukusi zidi ya adui zake kwani haki ndio iliyomueka katikt kwa wasiopenda haki na waovu 😮😮😮

  • @GodfreyErene
    @GodfreyErene 22 วันที่ผ่านมา +2

    Dah hakika mungu yupo kazini, utalipwa na mungu mwenyezi mwabuku

  • @herielimtui3875
    @herielimtui3875 21 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda Sana kwa kutupigania kupata haki zetu Mungu akubariki

  • @thabealaizer3313
    @thabealaizer3313 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mchuga ni mchuga tu😊
    Kila heri kamanda wetu mwabukusi

  • @emmanuellemalali3034
    @emmanuellemalali3034 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupe uwezo wa kipekee , ya kuweza kukabiliana na haya kwa maslahi mapana ya Taifa letu!

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w 22 วันที่ผ่านมา +1

    Masha Allah Allah akujaalie hekma zaidi na zaidi unautu una huruma pia Masha Allah akusimamie kwakila hatua umeongea jambo ambalo nilamsingi sana angalau sasa unatupoza mioyo yetu sisi wamama tunao ujua uchungu wa kuzaa na kulea pia ...akamatwe huyo afande huyo mmama mtu mzima asie kua na hekma wa subra wala utu hana akamatwe tumuone tudhibitishe ili mioyo yetu ipoe

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 22 วันที่ผ่านมา +3

    MWENYE HAKI AKIONGEA WATU HUTAMANI AENDELEE KUONGEA MAANA ANAKUWA MUWAZI

  • @ommimg2467
    @ommimg2467 22 วันที่ผ่านมา +3

    Naomba ujumbe huu uwafikie hasa Mwabukusi kuongezea na Makonda jamani chonde chonde kuweni makini tunawategemea, wa kumuamini sana na mama yako tu wengine waamini kdg..❤

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 21 วันที่ผ่านมา

      Wenyewe hawana uweza wa kujilinda bali ni Mungu tu wajikabidhi mikononi mwa Mwenyeezimungu na kuwaombea basi

  • @FarianManase
    @FarianManase 9 วันที่ผ่านมา

    Safi sana brother

  • @MariamMbega-n1p
    @MariamMbega-n1p 19 วันที่ผ่านมา

    Hata kama wakifungwa maish cc kama wananchi tutaenda kila siku kuwaangaria kama kwr wapo ndani ili wasije kutulubuni kama wamewafungwa kumbe wapo nje.

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 22 วันที่ผ่านมา +1

    Libarikiwe tumbo lilikuzaa

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 20 วันที่ผ่านมา

    Shida ya nchi yangu ukweli haikubaliki allah atufanyie wepesi

  • @naimaathumani1137
    @naimaathumani1137 21 วันที่ผ่านมา

    kama hao maafande wanamficha afande alietuma hao vijana. basi akihojiwa binti aliyebakwa atapatikana tu.

  • @herielimtui3875
    @herielimtui3875 21 วันที่ผ่านมา

    Tunateseka kwa kukosa haki wakili TLS ndio kimbilio letu naamini penye njia pamepatikana.

  • @Mayasa-o2w
    @Mayasa-o2w 22 วันที่ผ่านมา

    khaswaaaaa alie sababisha afikishwe mahakamani na tunahamu kubwa tumuone huyo mmama mzazi kama wazazi wengine lakini amekosa utu akifikishwa mahakamani na yeye tukamuona roho zetu zitatulia

  • @mariammawenya9837
    @mariammawenya9837 22 วันที่ผ่านมา

    Na huyo baba alisababisha yote hayo nae akamatwe,kama asingetembea nae yote hayo yasingetokea

  • @edinnafesto
    @edinnafesto 20 วันที่ผ่านมา

    mungu awajalie viongozi kutenda haki jamani

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 18 วันที่ผ่านมา

    Safi sana

  • @RashidiMwiga
    @RashidiMwiga 21 วันที่ผ่านมา

    Meno ya mbwa hayaumani ni siasa tu, nashangaa sana kwa muheshimiwa pale simuyu bila kujali ni kweli au siyo kweli lakini maamuzi yalitolewa dk 0.je hili kunanini?

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 22 วันที่ผ่านมา +1

    🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭 Mungu tusaidie

  • @abbykashuba4332
    @abbykashuba4332 18 วันที่ผ่านมา

    Daaa ila hasila hasala sana

  • @tumainikomba9008
    @tumainikomba9008 22 วันที่ผ่านมา

    Amen....na tumjue huyo (AFANDE) hakika MUNGU akutunze wew na jopo lako

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 22 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa mh.Mwabukusi hyo afande aliyewatuma naye akamatwe na kufikishwa mahakamani na mumewe aliyetembea na huyo binti.

  • @mariammawenya9837
    @mariammawenya9837 22 วันที่ผ่านมา

    Na wale watoto wanaofanyiwa ukatili pia muwe mnafatilia kama hivi mana yanatanganzwagwa na yanapoteaga hivihivi

  • @happynjukiz6495
    @happynjukiz6495 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu akusimamie Mwabukusi 🤙

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 22 วันที่ผ่านมา

    Safi sana Mwambukusi Mungu akulinde

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 18 วันที่ผ่านมา

    Akamatwe afande iwe fundisho kwa wamama wenye wivu wengine hadi kuwaua waume zao

  • @user-fk1fd8on6e
    @user-fk1fd8on6e 22 วันที่ผ่านมา

    Asante sana ashikwety

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 22 วันที่ผ่านมา +1

    Tuko nyuma yenu pambana maana tumeishaonekana mazuzu sasa mungu katuletea watetezi wetu.

  • @WilliamMbongo-y6o
    @WilliamMbongo-y6o 14 วันที่ผ่านมา

    Afandhari mkuu ulikuwa wapi kiongozi, sasa wabane kwamamlaka

  • @dinahkimario3361
    @dinahkimario3361 22 วันที่ผ่านมา

    Mungu ahendeleh kukulinda baba....

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 22 วันที่ผ่านมา

    Hao polisi ni arubaini zao zimetimia wanadhihiliswa na Mungu mwenyewe.polisi wa Tz wana dhambi sana .Mungu asingenyamaza

  • @herielimtui3875
    @herielimtui3875 21 วันที่ผ่านมา

    Wakili Msomi Mwabukusi wananchi tuna shida tulibomolewa nyumba zetu zaidi ya nyumba elfu nne eneo la Mtamba Maili moja Pwani.hatma yetu haijulikani mpaka leo Halmashauri inasema tumevamia eneo lao wangetuambia tubomoe wenyewe ingekuwa nafuu ili tupewe muda lakini haikuwa hivyo. Tunaomba msaada wa kisheria mheshimiwa Mwabukusi mtetezi wa wanyonge.

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 22 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa Sawa baba tupo pamoja nawe

  • @SudyTupa1
    @SudyTupa1 22 วันที่ผ่านมา

    Mimi pia ninakakazangu wawili hadileo imeisha mwezi hawajulikani walipo

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 22 วันที่ผ่านมา

    .moyo wangu unabubujika furaha

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 22 วันที่ผ่านมา

    Mwabukusu oyeeee.mchukue Mwabukusu.Makonda.na Lukuvi na Kabudi mtanyoloka tu.Mungu amechoka na vilio vya watanzania vimefika kwenye kiti chake hao 4watawanyolosha kaeni chonjo mafisadi

  • @salumuliuye2932
    @salumuliuye2932 22 วันที่ผ่านมา +1

    Police ndio wanafuga mambo yahovyo ingekuwa mwenzangu namimi namakofijuu.

  • @kadokato8394
    @kadokato8394 22 วันที่ผ่านมา

    Hakuna aliye juu ya sheria ni kweli au braa kwa mujib wa katiba ya tanzania naomba jb mh mwabukusi

  • @JacquelineMahumbe
    @JacquelineMahumbe 22 วันที่ผ่านมา

    So sad. Mungu ingilia kati

  • @joyceraphael2586
    @joyceraphael2586 21 วันที่ผ่านมา

    Kbs kbs yeye Yuko w???

  • @user-nf6wm1vh4q
    @user-nf6wm1vh4q 22 วันที่ผ่านมา

    Mjomba Sasa mbona wakili wako anatetea watuhumiwa

  • @user-gr9jc9fh8e
    @user-gr9jc9fh8e 22 วันที่ผ่านมา

    Hakika ww ndo mtu mwenye kutenda haki ubalikiwe sana

  • @AshaHaruna-ie2iq
    @AshaHaruna-ie2iq 22 วันที่ผ่านมา

    Yulee Dada ana ana nyota kali sanaa samaa

  • @MariamRashid-sm5zw
    @MariamRashid-sm5zw 22 วันที่ผ่านมา

    sawasawa muheshimiwa tunaomba mlisimamie jambo lauyo binty afande akamatwe

  • @NewNew-ep5dq
    @NewNew-ep5dq 22 วันที่ผ่านมา

    Saw saw🤝

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 22 วันที่ผ่านมา

    Tuko pàmoja sana mwabukusu...

  • @lilianawilliam3121
    @lilianawilliam3121 22 วันที่ผ่านมา

    mweshimiwa ao wanyongeni nakuomba San mnaacha wapumue ili iweje

  • @jeremiahmwanyika869
    @jeremiahmwanyika869 22 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu jamaa chuma kabisa . Mungu akulinde

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 22 วันที่ผ่านมา

    Utamaduni wa vijana kupelekwa jando urudishwe tena, vijana wa kiume wamepoteza dira na muelekeo, unakubali vipi kutumwa kwenda kubaka na unakubali, unabakaje maichana mwenye mfanano wa Mama yako au Dada yako, unawezaje kufanya ukatili wa ngono mbele ya wajinga wenzako na wote mkakubaliana ujinga,
    Janga kubwa la kitaifa mzazi kama una mtoto wa kiume mfundishe kuheshimu mwili wa binadamu mwenzake, na kuheshimu mwili wake, hukupewa kiungo cha kiume kufanyia ukatili, vijana wa kiume wameharibikiwa ndio maana wanageuzwa kuwa wanawake, Jando irudishwe kwenye mitaala ya shule na majumbani

  • @user-hq5mo3dx7l
    @user-hq5mo3dx7l 22 วันที่ผ่านมา

    Hv niwageni wa hawa jamaa