Kufariki naye Yesu/Nyimbo za Kristo No:187 by Gideon Kasozi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ค. 2022
  • Subscribe / @7t7ministryenglish24 ili upate kubarikiwa na nyimbo za ibada kwa lugha ya kiingereza
    1. Kufariki naye Yesu! Usingizi wenye heri;
    Raha isifujika kwa majonzi na adui.
    2. Kufariki naye Yesu! Lo! ya kubwaga simanzi
    Na kulala na amani hata Bwana awatuze.
    3. Kufariki naye Yesu! heri watakaoamshwa,
    Wataona siku ile utukufu wake Bwana.
    4. Kufariki naye Yesu! awaamka aitapo;
    Watapasua kaburi na kutoka watukufu.

ความคิดเห็น • 3

  • @user-du4wc7ui1k
    @user-du4wc7ui1k 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo mzuri wa kutia faraja

  • @jonathanmsuya1685
    @jonathanmsuya1685 2 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sana, barikiwa mtu wa Mungu

  • @elvisondieki8715
    @elvisondieki8715 2 หลายเดือนก่อน

    Asleep in Jesus blessed sleep 😊