Tangu kuamini. Nyimbo za Kristo No:32

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2022
  • Subscribe / @7t7ministryenglish24 ili upate kubarikiwa na nyimbo za ibada kwa lugha ya kiingereza
    1. Ninao wimbo mzuri, Tangu kuamini;
    Wa Mkombozi, Mfalme, Tangu kuamini.
    Tangu kuamini, Jina lake tasifu,
    Tangu kuamini, Nita lisifu jina lake.
    2. Kristo anitosha kweli, Tangu kuamini,
    Mapenzi yake napenda, Tangu kuamini.
    3. Ninalo shuhuda sawa, Tangu kuamini;
    Linalofukuza Shaka, Tangu kuamini.
    4. Ninalo kao tayari, Tangu kuamini;
    Nililorithi kwa Yesu, Tangu kuamini.

ความคิดเห็น • 1