SAMSON KIBASO na Gideon Kasozi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 มิ.ย. 2020
  • Tunatoa pole nyingi sana kwa wadau na wapenzi wa muziki wa injili kwa kuondokewa na gwiji wa muziki wa injili ndugu yetu na mwalimu wetu SAMSON KIBASO aliyefariki siku chache zilizopita. Hapa ni kuenzi maisha yake toka kwa comrade wake GIDEON KASOZI.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 7

  • @robertouko3493
    @robertouko3493 4 ปีที่แล้ว

    What a wonderful history by Gideon. Personally, I've loved his songs so much.
    May he rest well till we meet again.

  • @victorfelix1265
    @victorfelix1265 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli shujaa kalala! Atakumbukwa na wengi. Poleni sana kwaya ya kurasini na nimatazamio yetu kwamba mtaendeleza moto ule ule. Tunawaombea kwa Mungu azidi kuwafanikisha.

  • @angelicagulake3361
    @angelicagulake3361 4 ปีที่แล้ว

    Praise God hallelujah nimecheka sana Asante sana Kasozi na Champanda

  • @deborahmwinuka9487
    @deborahmwinuka9487 4 ปีที่แล้ว

    Jamani Poleni Sana.

  • @angelicagulake3361
    @angelicagulake3361 4 ปีที่แล้ว

    Oo wooow😭😭😭😭

  • @angelicagulake3361
    @angelicagulake3361 4 ปีที่แล้ว

    Yaani nimefurahi na majonzi haya nimechekaa saanaaaa

    • @habelkalume9011
      @habelkalume9011 4 ปีที่แล้ว

      Angelica,,,Tujuane whatchap...+25414062130