ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Simba nguvu moja😊😊😊❤❤💪💪💪
Mpira ni uwekezaji na si siasa za kina kigwangwala, MO hongera sana tuko pamoja na wewe, MO TUNAKUKUBALI SANA
Simba nguvu moja
HONGERA SANA MO NA MANGUNGU AMEPATA CHAKA LA KUJIFICHIA
THIS IS SIMBA
Mo umetisha kwa Sasa Sina neno kwa usajili huu .
Tutatokea miguuni mwako sisi ndo Simba kazikwenu😂
Tuwarinde wachezaji wetu ,wasipigwe misumari na mzee mpiri na mazoazoa wenzao kule utoporo
Mashabiki wenzangu hivi mumeridhika Na.2 awe Kapombe na Israel Mwenda peke yao? Mimi hapo pananipa wasiwasi. Msimu uliopita hapo ndipo paliporuhusu magoli mengi. Hawatoshi kuwakaba Waarabu.
Mbona wanasema Elie mpazu Tyr maana anacheza winga zote mbili japo sio mlinz ni mshambuliaji
Leteni wacheza wazuri lakini kama mangungu yuko simba hamshindi
Kusifia ndio jadi yenu, msimu huu mtakosa mlango wa kutokea kwa Mkapa