GHARIB MZINGA Amdadavua MVP Jean Charles Ahou ndani ya SPORTS BANDO ya UFM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • Msikilize mchambuzi na mtangazaji wa Azam Media, Gharib Mzinga akimchambua kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Ahoua aliyetokea Ivory Coast.
    Ahoua ni MVP wa msimu uliopita katika ligi kuu ya Ivory Coast akiwa na klabu ya Stella Club d' Adjamé.

ความคิดเห็น • 4

  • @noeljoseph7361
    @noeljoseph7361 3 หลายเดือนก่อน +7

    Nilikua na wasiwasi na usajiri wa simba, lakini baada ya kumsikliza gharib sasa nina aman na team yangu...msimu uanze tu

  • @mohamedguveti5372
    @mohamedguveti5372 2 หลายเดือนก่อน

    Hivi kwa nini simba tu?!

    • @SalumuAlly-d9q
      @SalumuAlly-d9q 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kwaiyo unaumia sana simba ikizungumziwa ktk media mbalimbali bado hujasema utasema tu simba sasa ya watoto 😂😂😂

    • @flova7022
      @flova7022 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ukubwa wao Tu