SAMOFI NA MKOJANI WAELEZA WALICHOONGEA NA DIAMOND "AMETUFUNZA URAFIKI NA KAZI HAVIKAI SEHEMU MOJA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 150

  • @FurahaMwajeka
    @FurahaMwajeka 6 หลายเดือนก่อน +1

    Safii sana samofi na mkojani barikiwa sana pendaneniii vzr

  • @VexMaizoOfficial
    @VexMaizoOfficial ปีที่แล้ว +10

    🤩🤩 vizur nimependa kufanya kazi kwa pamoja, Diamond platnumz Mungu akubariki sana kwa wema wote kwenda kwa wote 🇹🇿🙏🇲🇿

  • @edesiuskuyasiwa6352
    @edesiuskuyasiwa6352 ปีที่แล้ว +8

    Safi sana..nimependa vijana wakitanzania wanafanya kazi pamoja kwa upendo..

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +8

    Naipenda Nchi yangu upendo na amani vitawale🥰🇹🇿🇹🇿

  • @levinakiluga3023
    @levinakiluga3023 ปีที่แล้ว

    Mungu mwema, shetani kapita kushoto, kaka mundi barikiwa sana mungu akubariki, kuwapatanisha wasanii wenzio, kweli unao utu

  • @sajjmirkhalfan
    @sajjmirkhalfan ปีที่แล้ว

    pongezi sana kwa CEO wa WCB nimefrahishw sana na uzalendo wke wa sanaa ktk taifa letu na support nzma katka pande zote kazi za kisanaa kwa hakika yeye ni mfano wa kuigwa hongera DIAMOND PLUTNUMZ GOD bless

  • @muntueric-oy1ty
    @muntueric-oy1ty ปีที่แล้ว +3

    Role model Diamond Platnumz...Peace Makers will see GOD 🦁🦁🦁

  • @janandune225
    @janandune225 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah, hongera kwenu brothers mikwaruzano ni kawaida, sisi tunasubiri umbambamba gulf tumengoja sana

  • @mbogodrummer
    @mbogodrummer ปีที่แล้ว +5

    Nimefurahi kwa kuelewana kwao from Kenya

  • @rashidmpumu7006
    @rashidmpumu7006 ปีที่แล้ว +1

    Ongera sana Diamond kwa kuwasuluhisha hao wasanii, Mungu atakujaza kheri zake

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 ปีที่แล้ว +9

    SAMOFI KARUDI TENA KWA MCHAWI😂😂
    Nimejifunza kitu kikubwa sana!!Ni kweli ulkua na haki ya unachodai ila mdomo usipoutunza maneno utakudhariri!!Hongereni kuwa pamoja mimi nawapenda sana

  • @safarimallya4536
    @safarimallya4536 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana Diamond

  • @WachajiWaForo
    @WachajiWaForo ปีที่แล้ว +1

    Alhamdulilah napenda mkielewana

  • @gerishonkaristusi2360
    @gerishonkaristusi2360 ปีที่แล้ว +6

    Nakubari sana samofi, kweli kila pacha ana pacha wake

  • @dadejamal
    @dadejamal ปีที่แล้ว

    Masha allha mungu akubari sanna Diamond

  • @HalfanBiba-mp6sg
    @HalfanBiba-mp6sg ปีที่แล้ว

    Hapo wasaf panajoto Kali Sana namuona Duwe na meneja wamkojan makwapa yamelowa

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 ปีที่แล้ว

    Mashaallah Mkojani n'a Samofa mmeonyesha jambo lizuri la busara

  • @jumakupaza7045
    @jumakupaza7045 ปีที่แล้ว

    Jamani mm niliumizwa sana na ugomvi wenu kwakuw mmepatan jambo la kheri mungu awape maisha marefu

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @danielngodo8309
    @danielngodo8309 ปีที่แล้ว

    Nmependa kuskia Ivo from malaba Kenya

  • @mussamasenda8896
    @mussamasenda8896 ปีที่แล้ว

    Yes hapo poa kazi iendelee

  • @NelsonKadebe-qd5vx
    @NelsonKadebe-qd5vx ปีที่แล้ว

    Nimeipenda hiyo ❤❤❤

  • @Yopeboe
    @Yopeboe 8 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅Hapo Sawa simba LA masimba dangote 🦁 🦁 ❤ ❤ umetisha Sana kaka

  • @productivityprogressprince5156
    @productivityprogressprince5156 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume bwana yaaani hawakaagi na kitu.❤️❤️❤️❤️

  • @namaduangaarmando2687
    @namaduangaarmando2687 ปีที่แล้ว

    Vizuri sana. Nawa fuatilia kutoka France

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 ปีที่แล้ว

    Diamond Namba one

  • @mparestinambaggar8736
    @mparestinambaggar8736 ปีที่แล้ว

    Mkojani ni mtuu safii sio msemaji na ana uruma sana nime muelew mkojani mtuu safii xana mungu am bariki mkonojani

  • @SammyMohamedi-gk7ck
    @SammyMohamedi-gk7ck ปีที่แล้ว +1

    Lakini huyo meneja Ana roho mbaya hatari

  • @silverb-mq9yu
    @silverb-mq9yu 6 หลายเดือนก่อน

    pow kbsa iyo :

  • @Noor56-i7s
    @Noor56-i7s 8 หลายเดือนก่อน

    Diamond 😂😂 mashaallah mungu amzidishiye ❤❤❤❤❤

  • @odaxcontawa
    @odaxcontawa ปีที่แล้ว +2

    The guy is dope....

  • @mwaitajuma4140
    @mwaitajuma4140 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏 Mond baba Lao sm 1 nisheria

  • @omarykipara8031
    @omarykipara8031 ปีที่แล้ว +9

    sema mnajua kuitengeneza kiki wazee

    • @eliudbilali2434
      @eliudbilali2434 ปีที่แล้ว

      Umeona kama nilivyoona.Usanii tu huu

  • @lumo9999
    @lumo9999 ปีที่แล้ว

    Aseee!!! 😂😂😂 ela ni tamu bhnaaa

  • @shaphiasabani5760
    @shaphiasabani5760 ปีที่แล้ว

    Nakulewa sna samofi pambambana ndugu mm Mkojani simuelewi kabisa

  • @AkiliMohamedi
    @AkiliMohamedi 11 หลายเดือนก่อน

    Mkojani unapoteza watu wa umuhimu chumvi nyingi Yuko wapi nafuatilia sana lakini kwa Sasa mabwende chumvi nyingi wako wapi unapoteza mvuto wa filamu Sasa hivi

  • @masoudshee3756
    @masoudshee3756 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna ugomvi Kati ya hawa wawili... Movie tu hii ya kupeleka kipindi wcb

  • @FurahaMwajeka
    @FurahaMwajeka 6 หลายเดือนก่อน

    Safiii mondiii

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 ปีที่แล้ว

    Unajua kiukweli Dk Chen nimuungwana sana na diamond ninoma nanusu

  • @mwanjumajongette8187
    @mwanjumajongette8187 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @kisodabwejuu2259
    @kisodabwejuu2259 ปีที่แล้ว +1

    Kaka mkojani 👍👍

  • @Runkiller1
    @Runkiller1 ปีที่แล้ว

    Hawatokuwa sawa kama dhamani maana tayali kuna donda ambalo litakuwa linatoneshwa hata na mistake ndogo tu

  • @gastonfuraha
    @gastonfuraha ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @hassaniharuna1010
    @hassaniharuna1010 ปีที่แล้ว

    Hawa walikua kwenye ugaigai tu Ulikua haujaisha Ila kwasasa Bado unaendelea

  • @Noor56-i7s
    @Noor56-i7s 8 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅 diamond mashaallah boss Diamond ❤❤

  • @KhadijaAzizah-eg2df
    @KhadijaAzizah-eg2df ปีที่แล้ว

    Mungu amjarie modi

  • @ayubmwanguku-je7yk
    @ayubmwanguku-je7yk ปีที่แล้ว +24

    Nipewe like za kutosha wakwanz mie

    • @dirhampablo
      @dirhampablo ปีที่แล้ว +1

      Hatutaki😂😂😂😂

    • @hemedymsomolo7165
      @hemedymsomolo7165 ปีที่แล้ว

      Izo like zetu unapekeleka wapi

    • @officialkamdudu
      @officialkamdudu ปีที่แล้ว +1

      like unazipeleka wapi kenge wewe?
      acha ushamba 😏

    • @RamaJoto
      @RamaJoto ปีที่แล้ว

      😅

  • @omarisaid4724
    @omarisaid4724 ปีที่แล้ว

    🤝

  • @medy-thebrandtv6688
    @medy-thebrandtv6688 ปีที่แล้ว

    Niulize tu mkojan na Tin white kilitokea nn mbn hatuwaon pamoja

  • @benOfficial36
    @benOfficial36 ปีที่แล้ว +3

    Sanaa ni ngumu sana aise 🤣

  • @signalboy4260
    @signalboy4260 ปีที่แล้ว

    Samofi ni mnaa sana anyway kikubwa Mungu kabless

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 ปีที่แล้ว +2

    Aaaaaah kumbe upuuuzi wa diamond ndio ulikua unalisumbua taifa nilitaka nishangae samofi aondoke kwa mkpjan atakula wapi kiki wasafi mna phd

  • @mohdslim8278
    @mohdslim8278 ปีที่แล้ว +1

    Hatariii.
    Hamna cha ugomvi hapo hio yote ni deal ya Diamond mnyamaa .
    Kachukua kijiji...
    😂😂😂😂

  • @bekakitemi7132
    @bekakitemi7132 ปีที่แล้ว

    Ndo wnaume tulivyo, hpo ingekua wnawke ngom ingekua mbichi

  • @YalucLileZairois1643
    @YalucLileZairois1643 ปีที่แล้ว

    Mkojani kama ana wasiwasi vile 🤔🤔

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 ปีที่แล้ว

    Lakini pia mimi natumaini mkojani awalipa wasanii wake jameni, kwa sababu pia wewe mkojani ume jenga kipaji, upato na umaarufu kutoka kwa wengine wadogo 🇹🇿🇹🇿!!

  • @ayuzo4852
    @ayuzo4852 ปีที่แล้ว +1

    Naomba like za kushiba wa kwanza me

  • @FurahaMwajeka
    @FurahaMwajeka 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sana pendaneniii

  • @AbuuTumayrah
    @AbuuTumayrah ปีที่แล้ว

    Maisha haya yanatufunza tusiwe wenye kuzungumza saana kuna chochote kinaweza tokea mbele yetu kwa wale tunao wasema saana

  • @MrvibeMrvibe-wp1oq
    @MrvibeMrvibe-wp1oq ปีที่แล้ว

    Umbambamba live iyo studio

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

    Safi saana

  • @nellywizz9631
    @nellywizz9631 ปีที่แล้ว

    Unaonaje tukitekenya lingne likaenda ikulu? 😄😄 Utafungwa

    • @maisarahnassoro814
      @maisarahnassoro814 ปีที่แล้ว

      Akili Zao wanazijua wenyewe wameamua kutuchekesha hapahapa

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 ปีที่แล้ว

    Mbona mnaanza kivaaa mitandio tena kwema

  • @khanjr115
    @khanjr115 ปีที่แล้ว +1

    Huyo samofi ni mnafiki sana

  • @kulwanzobe7657
    @kulwanzobe7657 ปีที่แล้ว

    Naomba chumvi nyingi muongee nae arudi mnapendeza mkiwa kundi nzima tunafurahia kazi zenu

  • @mathiasshayo6348
    @mathiasshayo6348 ปีที่แล้ว

    Nikisema kiki sijui ntakuwa nimepatia🙄

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 ปีที่แล้ว +1

    Noumaaa saàna 😂😁😄

  • @ibrahimsamson4193
    @ibrahimsamson4193 ปีที่แล้ว

    🤣😂🤣😂🤣haya majamaa comedy sana

  • @GraceEmilian-mm1ge
    @GraceEmilian-mm1ge ปีที่แล้ว

    Ha ha ha... Huu mchongo jamaa wagaigai kweli sema wamepiga mchongo wa maana😂😂😂

  • @amaniurio5655
    @amaniurio5655 ปีที่แล้ว

    Hii n mahusus Kwa kushusha Ngoma mmakonde isiwe trend sana hawaja gombana hawa

  • @tonybboy8685
    @tonybboy8685 ปีที่แล้ว

    Hngereni

  • @enockjoseph9435
    @enockjoseph9435 ปีที่แล้ว

    Haya majamaa yananifundisha kitu

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 ปีที่แล้ว

    Huyo mondi ataongea nini watu wasicho kijua mwanzo aende akapatane na babake ana ilimu gani ya kupatanisha watu kwanza ajue kuishi na waze waze wake

  • @emmymajula5164
    @emmymajula5164 ปีที่แล้ว

    Nilisema mie siyo kweli

  • @tumainnyangunda1903
    @tumainnyangunda1903 ปีที่แล้ว +1

    Njaaa mbaya nyie 😂😂🙌🙌

    • @sadicksaid
      @sadicksaid ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @yohanalukindo3737
    @yohanalukindo3737 ปีที่แล้ว +1

    Hakukuwa na bifu ni kiki imetengenezwa tu

  • @Aliysalmin
    @Aliysalmin 5 หลายเดือนก่อน

    Nimefurahi samofi kurudi kwa mchawi

  • @MohamedNako-wh5is
    @MohamedNako-wh5is ปีที่แล้ว

    Pore sana mkojani kwakuambowa mchawi

  • @yohanalukindo3737
    @yohanalukindo3737 ปีที่แล้ว +1

    Kiki tu hii kitu imetengezwa Ili kuipeleka umbambamba wasafi

  • @manenogimbi24
    @manenogimbi24 ปีที่แล้ว

    Umbamba uendelee jamani tunawaomba sana tumemic

  • @tinamadega
    @tinamadega ปีที่แล้ว +1

    Ilikuwa kiki buanaaa

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 ปีที่แล้ว +1

    Samofi kiumbe mzito huyo Habebeki

    • @jeffkonki8279
      @jeffkonki8279 ปีที่แล้ว +1

      Habebeki na chumvi nyingi katokaje ? Na ngoma nagwa katokaje? Hapo management ina tatizo mkojani akae vizuri na wenzie

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 ปีที่แล้ว +1

    Weka bwana ww umbambamba ndio Habari ya mjini

  • @hebeye
    @hebeye ปีที่แล้ว

    hahaha eti huu uchekeshaji hauitaji meneja hahahah tunachekesha wenyewe

  • @kweltv5106
    @kweltv5106 ปีที่แล้ว

    Kik

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 ปีที่แล้ว

    Hiii Ndio Tanzania 🇹🇿😂😂

  • @emmanuelchejo7154
    @emmanuelchejo7154 ปีที่แล้ว

    Afu nyie acheni utoto na msirudie tena huo ujinga wenu mpoje nyie lakin..

  • @maabadmmanga2896
    @maabadmmanga2896 ปีที่แล้ว

    Mkojani Bado Ana Kinyongo😅

  • @nzitogondwe9976
    @nzitogondwe9976 ปีที่แล้ว

    Mwaliiwata ubufi sana

  • @Bob-kz2ql
    @Bob-kz2ql ปีที่แล้ว

    Wap hamna kitu ni hype tu ya kutafuta series iruke wasafi…yan ugomv uishe hvi hivi tu simple

  • @jacobmenganyi7830
    @jacobmenganyi7830 ปีที่แล้ว +1

    Ila samofi😂😂😂🙌

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @omarmaina756
    @omarmaina756 ปีที่แล้ว

    Huyo jamaa samfoni sijui nani sio mtu poa he's not professional unafki umemjaa

  • @moshimnyeda9435
    @moshimnyeda9435 ปีที่แล้ว

    Nomaaa sana 🤣🤣🤣🤣

  • @muljiali4308
    @muljiali4308 ปีที่แล้ว

    Tatizo wameleta umbambamba mpka Kwa maisha yao😅

  • @allysinge7096
    @allysinge7096 ปีที่แล้ว

    KIKI ZAKISENGE

  • @shabankassim4413
    @shabankassim4413 ปีที่แล้ว

    Ilikua Kiki this was a staged interview

  • @fizzozimba
    @fizzozimba ปีที่แล้ว

    Mwamba mweusi huyu ni mnafiki anachoongea na sura vinapishana ana fake smile

  • @salim-kg3ox
    @salim-kg3ox ปีที่แล้ว

    Huu mchongo akukua na bif

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 ปีที่แล้ว

    Hamna lolote huo ulikuwa ni mpango tu