Dah kwakweli pale tunapoambiwa twende shule tukasome na WA wazazi wetu, ni kututengezea namna ya kuelimika,kuepuka fedheha kama hz yaan mwanaume umekazana na jasho linakutoka et BOSS LADY 😂
isijekuwa doto unautajiri wa mashariti niliona mmoja anatoa mkasa kuhusu mali za kichawi alipewa sharti asiishi nyumba anayojenga na asisaidiye babaake
doto kampatia huyo mtoto leo maneno mengi hakuachii nafasi😅😅😅.
doto anasema kweli ajasoma afu aian kwakuchunga pesa 🎉😂
Dah kwakweli pale tunapoambiwa twende shule tukasome na WA wazazi wetu, ni kututengezea namna ya kuelimika,kuepuka fedheha kama hz yaan mwanaume umekazana na jasho linakutoka et BOSS LADY 😂
Boss ready
Siyo lady
Ok
Unaweza ukajua english na ujasoma
Now waliosoma hawana dili 😂
Mimi ndio wakwaza naomba nione imoji kwangu
😅😅😅😅😂 dah doto bhana hajawahi nifelisha
Kumba doto ni boss lady 😅😅😅😅
Dotto anajua kufedhehesha jmn😅
Huyo sio chawa ni Social influencer. Dotto mfanyabiashara ❤
Kamaanisha boss tyr
Dalalali ya korosho😂😂
Boss lady
Contant
Huyu anaongea kama Aliyah
boss lady
Ukiwa na pesa akuna Tena kuitaji chawa ukiona mtu ana miliki chawa basi ujuwe ana pesa by yassinmkwele 😂😂😂
Yes boss
Boss LED 😂😂😂
Boss lady not LED 😅
isijekuwa doto unautajiri wa mashariti niliona mmoja anatoa mkasa kuhusu mali za kichawi alipewa sharti asiishi nyumba anayojenga na asisaidiye babaake
Nimecheka sana eti😅😅😅...eti BOSS LEDY
Even you can't right English it's boss lady so stop laughing at him
.
Ww ndo hujamuelewa ni boss ready
@@joshuajeremiah7845😂😂😂😂😂
Contant
Yani doto magari huwaga anaropoka lolote tu litakalo mtoka n hajali lolote mara bos lady mara yuefuem 😮😮😮
Boss ready wewe umemsikia vibaya
😂😂😂😂
Dotto anamuita Mtangazaji LEDI
Dotto c chawa
This time around kila saa
😂😂😂😂😂