NATAKA KUISHI NJE YA NCHI | HANIFAI | GLADY AFUKUZWA STEJINI HELLO MR RIGHT

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

ความคิดเห็น • 326

  • @kapanikapani5280
    @kapanikapani5280 7 หลายเดือนก่อน +18

    Kuna mabint mnawapenda wapate maisha ila hawajitambui hata kidogo, hongera kwahekima yenu mme amua kwa haki

    • @VivianKimath
      @VivianKimath 4 หลายเดือนก่อน

      Yaan hyu dada chizi

  • @aceeofficial255
    @aceeofficial255 7 หลายเดือนก่อน +12

    Familia zenu tunazijua afu mnaleta mambo ya nchi za njee😂😂🙌🏽 hii nchi ngumu kichiz

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 7 หลายเดือนก่อน +14

    Glad huo uzuri wa kuringa hivyo huna binti mkavu kama kuni unajiona umesoma lkn kichwani yupo empty ila yote ni kujiskia sana so baby girl you belong to the street 😂😂😂

    • @AmonBora-ve5si
      @AmonBora-ve5si 9 วันที่ผ่านมา

      Ila. Jomon ety you belong to the street 😂😂😂😂😂

  • @jovinathasavoie8018
    @jovinathasavoie8018 7 หลายเดือนก่อน +10

    You did the right thing Mc.garab.Bring serious people on stage not hao wapo to get exposure ktk tv.

  • @saumuminja6929
    @saumuminja6929 7 หลายเดือนก่อน +14

    Nampenda dada alliya ,..na Lulu diva jamn....

    • @salumuhafidhimtabe420
      @salumuhafidhimtabe420 7 หลายเดือนก่อน +2

      Na kuhusu kukaa uchi unaridhika nao piah 😊😊😊

  • @josilinemutugi
    @josilinemutugi 7 หลายเดือนก่อน +5

    Kwa kweli Mr. Right mzuri
    Ibnus Stephano yeye ndiye type yangu kwa hakika
    Muonekano wake, rangi, kazi
    Anaonekana mwenye kupenda mwanamke, mwanaume mwenye tabia nzuri
    Msomi anakipato chake
    Ila mimi mkenya natamani ningepewa hio fursa
    Ningeenda dating booth na huyu kaka
    Mimi nishampenda alf urefu wake
    Kwa kweli pia mie ni msomi ila naamini naweza mpata huyu kaka
    Sijui kwa kivipi ila naamini

  • @Baba-JJ
    @Baba-JJ 7 หลายเดือนก่อน +11

    Yaani pamoja na nyodo zoooote hizo halafu deal lenyewe la kwenda nje anafuatilia kaka, 😂
    Kwahiyo yeye anaenda kama kifurushi, anataka hard worker wakati yeye hakuna hata anachoingiza kwa siku, anataka hard worker wakati yeye hata fomu tu kutafuta na kujaza na kulipia hawezi. Akili kisoda kabisa.

  • @OmanState-e6p
    @OmanState-e6p 7 หลายเดือนก่อน +5

    Sura yenyew hana sasa angekuwa mzur na hata hao wazuri wanaolewa nyoo bora mmesogeza mbele uko akajiuze Mama samia tu ana mume Rais wa nchi heshima ya mwanamke utoke kwa mume hata usome kias gani kama huna mume hueshimiki kaa subir hyo elimu itakuoa

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 7 หลายเดือนก่อน +41

    Hawa wanawake wengine WAMEKUJA kuuza sula sio kutafuta mwenzao Alafu wanawake wakizingua mara 3 mnamtoa katika program 😂

  • @kelvinnjawike1808
    @kelvinnjawike1808 7 หลายเดือนก่อน +16

    Kalivo kamekonda kama kanatokea sudani😂😂😂😂😂

    • @user-gb3sf9fy2u
      @user-gb3sf9fy2u 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @kefrenbaraka
      @kefrenbaraka 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna jirani zangu ni watu WA sudani sasa nawaangalia nikisoma moment wee kicheko kitaniua😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂jamaan😂😂😂

    • @princesshamad7908
      @princesshamad7908 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

  • @boashamah3642
    @boashamah3642 7 หลายเดือนก่อน +8

    GaraB you ve done well for kick off this girl out
    So others can see this example
    Well done GaraB ❤❤❤❤

  • @Zuu673
    @Zuu673 7 หลายเดือนก่อน +18

    Wadada wengi wanakuja hapo ni wadangaji

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 7 หลายเดือนก่อน +14

    Glady anakua kichefu chefu nyooo na Hana uzuri moja chefu

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 7 หลายเดือนก่อน +10

    😂😂😂huyu mashauzi Grady uso mrefu kama ukuta wa shuleee, Si uwende uko ukatafute mabwana uko nje

    • @MeckitilidaTushabe-or9hu
      @MeckitilidaTushabe-or9hu 7 หลายเดือนก่อน

      Mmmh ukuta wa shule 😂😂😂😂

    • @user-pg6db8jl2y
      @user-pg6db8jl2y 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ukuta wa gereza😂😂😂

    • @gracemlay
      @gracemlay 6 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha

  • @magreciousthomas3527
    @magreciousthomas3527 7 หลายเดือนก่อน +8

    Uyo sister mngesee😂 yan kiukwel mwalim wake alipata tabu

  • @DerickRinwa
    @DerickRinwa 7 หลายเดือนก่อน +7

    Eb mchungezeni hyo Glady ukute hta hyo degree ya sheria ukute hana mana ana mashauzi xana dah😢😢😢😢

  • @shabanisalimu7391
    @shabanisalimu7391 หลายเดือนก่อน

    Jamaa liko smart sna kichwani

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 7 หลายเดือนก่อน +12

    Kuna watu wamevurugwa sasa hapo umeenda kufanya nini au kujidhalilisha tu wewe dada huna haya aibu naona mimi😢😢

  • @beatricesway5782
    @beatricesway5782 7 หลายเดือนก่อน +5

    Jmn huyu mkaka 😢njoo tupendane jmn mm niko single 😢

  • @dicksongabriel231
    @dicksongabriel231 7 หลายเดือนก่อน +10

    Glady anatakiwa apewe udogo haumbe mtu wake😂😂

  • @EmmaMwanyika
    @EmmaMwanyika 7 หลายเดือนก่อน +5

    NIMEPENDA SANA MAAMUZI YA MAJAJ AND I THINK THIS IS TO HAVE TO BE IT ILI KIPINDI KIWE SERIOUS!!

  • @AlphonceJumanne
    @AlphonceJumanne 7 หลายเดือนก่อน +6

    Muwe mabadilishano mabinti siyo hao kila siku kama kuna wanaume wanakosa na wanaondoka na wao wawe wanaondoka na kupisha wengine

  • @aud548
    @aud548 7 หลายเดือนก่อน +9

    Hako Kademu kabovuu ... afu huwa kana kauli za ajabu ajabu...kanapata wapi ujasiri

    • @chulelubella2819
      @chulelubella2819 7 หลายเดือนก่อน

      Aisee mi mwenyewe nashangaa mikono yenyewe kama mapaja ya ndege

  • @innocentkanyata9923
    @innocentkanyata9923 7 หลายเดือนก่อน +11

    Huyo Glady hajitambui

    • @ashamjeni292
      @ashamjeni292 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂kana maringo sana

  • @carolinejosephmnyaga8869
    @carolinejosephmnyaga8869 6 หลายเดือนก่อน

    This man is amazing.aiseee Glady kafeli wapi?
    Na ngosha's wanavyojua kupenda Sasa...

  • @sophiajason9341
    @sophiajason9341 7 หลายเดือนก่อน +6

    This man is matured

  • @salumuhafidhimtabe420
    @salumuhafidhimtabe420 7 หลายเดือนก่อน +2

    Glady anatengeneza jina lake nimeona comments nyingi zinamzungumzia yeye keep it up sister......😅😂😂😂

  • @josminimsigwa5146
    @josminimsigwa5146 7 หลายเดือนก่อน +3

    Waschana kama hao jaman wafukuzwe tu waingie tu wengine Wenye malengo ya fasta mmi nawashangaa Sana hao wanaenda kujaji Sana maisha ya juu waachien mabugatii😅

  • @violetnasibumushi5450
    @violetnasibumushi5450 7 หลายเดือนก่อน +2

    Glady kuna vyenye amekaa..😂anataka aonekana akili kubwaz no bade fit for her excellency😂😂..nje utaenda kweli dada au ni hallucinations 🤭

  • @rhodarichard4494
    @rhodarichard4494 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kijana nae ni hajielewi,,, et "nimekuchagua wew kwakua ni msomi " kiufup hao wote Bado ni watoto

  • @JenniferDaudy-nb6my
    @JenniferDaudy-nb6my 7 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂😂 jamn huyo kaka nimesoma nae makubwa

  • @diva_20162
    @diva_20162 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hichi nacho chefuu kimekonda kinaleta uzungu hapo wakati chenyewe hakina chcht nyoooooo 😊😊😊😊

  • @upendoshoo2635
    @upendoshoo2635 7 หลายเดือนก่อน

    🎉mmmmm huyo glad kumbafuuuu anajisikia Sana na hatokuja kumpata mme mzuri Kama huyoo

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bora hata huyo kaka alivyomkosa maana atampelekesha sana Dada mbishi sana huyo chefuuu

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 7 หลายเดือนก่อน +1

    Daaah kuna wanawake hawako Serious ....!!!!! 😢😢😢 Halafu hakuna aibu kubwa kama hiyo Ety naenda Kusoma 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @isunga1964
    @isunga1964 7 หลายเดือนก่อน +3

    Yaani familia inafuatilia undone halafu unakwenda kwa Mr right familia yangu watakutoa na fimbo mpaka nyumbani😂😂😂

  • @jacobshauri4799
    @jacobshauri4799 6 หลายเดือนก่อน

    Nlifikiria tanzania kuna wanawake poa. Weuh😂😂 boom glad hovyooooooooooo

  • @SefuHabibu-sn8cx
    @SefuHabibu-sn8cx 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna wanawake vichwa vigumu na hawaelewi halafu ndio awe mkeo mungu aepushe hii dhahama

  • @charlesnyamizi9707
    @charlesnyamizi9707 7 หลายเดือนก่อน +3

    Glad ka jingaa😂😂 bro kitakuramba😂😂

  • @salmahmasoud4333
    @salmahmasoud4333 7 หลายเดือนก่อน +4

    Aje kwangu huyu mr.Right 🤣😂

  • @elinapetro7136
    @elinapetro7136 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu mwenyewe mwembamba kama spoku za baiskeli alafu kinariiinga kwendraaaaaa😅

  • @SaoblackSaoblack
    @SaoblackSaoblack 7 หลายเดือนก่อน +6

    😢yan Glady yupo kama vipumbu vya panya

    • @FilbertHabashi-zn1qu
      @FilbertHabashi-zn1qu 7 หลายเดือนก่อน

      Hahaha we jamaaa umrnichekesha sana

    • @SaoblackSaoblack
      @SaoblackSaoblack 7 หลายเดือนก่อน

      @@FilbertHabashi-zn1qu Mimi Jamaal😂🥲🥲🥹kumbe na fanana na juma Mimi demu bhn

    • @katolekiki368
      @katolekiki368 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂ati nini?

    • @FilbertHabashi-zn1qu
      @FilbertHabashi-zn1qu 7 หลายเดือนก่อน

      @@SaoblackSaoblack Hahaha sory ulichokiandika ndo kimenichanganya😀😀

    • @SaoblackSaoblack
      @SaoblackSaoblack 7 หลายเดือนก่อน

      @@katolekiki368 🥲🥹sasa huon mwenzie anaeleza tofaut na yy anaongea maharage

  • @MrCommercial2424
    @MrCommercial2424 7 หลายเดือนก่อน +3

    Wait a minute !!!! Wait a minute!!!... Masters in Whaaaaaaaaaaaaaaat??????!!!!!😅😅😅😅😅😅😅😅😅 It's "Masters in Diplomacy....."😅😅😅😅 Masters in Diploma ndo nini😅😅😅😅😅😅

    • @boashamah3642
      @boashamah3642 7 หลายเดือนก่อน

      Masters in Diproma chefuuuu
      😂😂😂😂😂

    • @gladyRajab-do5cu
      @gladyRajab-do5cu 7 หลายเดือนก่อน

      Ujuaji n mwingi sana afu hana lolote uyoo 😂😂😂😂

  • @ashurakodd1589
    @ashurakodd1589 7 หลายเดือนก่อน +7

    Hicho kingereza wanafikiri ndio maisha

    • @gracemlay
      @gracemlay 6 หลายเดือนก่อน

      Vitoto vya 2000 kuendelea si havijateseka😂😂😂 kwaiyo vinahisi kidhungu ndo Kodi ya fram na pesa ya matumizi😂😂😂😂

  • @mosesfesto9503
    @mosesfesto9503 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mtoeni glad hapo mbele na wengine kama hao muwe mnawatoa nje

  • @isackmbade3181
    @isackmbade3181 7 หลายเดือนก่อน +3

    Ndio maana mpaka leo bado yupo hapo huwez kupata Mr right

  • @user-cw2oj1me1i
    @user-cw2oj1me1i 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo bint akili hamna Sasa unaenda kusoma hapo kafata nn au ndio kafata apate mtu wa kucheza na hisia zake au kujionesha kuwa anaenda kusoma

  • @user-ry2xk8gx3n
    @user-ry2xk8gx3n 7 หลายเดือนก่อน +2

    Demu mwenyewe mbaya

  • @user-xl1wt7be3z
    @user-xl1wt7be3z 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyooo glady hajakuja kutafuta mume kama uza sura anapenda camera kila siku imvute uso

  • @mickyclemence3798
    @mickyclemence3798 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli nouma sana uyo mwanamke sjui kabila gan vile ila mm nimempa vyeke hapo hapo Mr right tunaomba tuletee wanawake wanye ubongo sawa co wanatuchosha tu😏😒

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa ni wake au ni vitu gani ? Mambo ya kukomaa na vipato ni mambo gani ? Wao mbona hawaulizwi vipato vyao

  • @rosemerryfaustin1900
    @rosemerryfaustin1900 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani huyo glad apo anasubiri nini ni mpumbavu sana

  • @aika3024
    @aika3024 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mxuuuuuuuuu 😏
    Ndio Msomu uyu Glad😃 bac sitak kuendelea KUSOMA😂

  • @andreayust4757
    @andreayust4757 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa huyo dada anaenda kusoma halafu amekuja kutafuta mchumba 😅daah 😅😅😅 ngachoka

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo glad wala hajielewi na Wala hastaili kuwa mke bora maana hili ni bomu la Mrusi kabisa 😅😅

  • @mohamedally4496
    @mohamedally4496 7 หลายเดือนก่อน +2

    Gladi hiyo sura kama nyuma ya nyumba alaf nyodo nyingiiii au babako billgate 😅😅😅.

  • @bossykalewa
    @bossykalewa 7 หลายเดือนก่อน +3

    Huyo glady hatakaa hawahi pata mwanaume hapo bana,,, mtoeni huyo mbwa hapo

  • @paulraphael981
    @paulraphael981 7 หลายเดือนก่อน +3

    Umalaya tu

  • @NellyHadrah-wy2vh
    @NellyHadrah-wy2vh 3 หลายเดือนก่อน

    Msishangae hata mwalimu wake anapata kaz sana hiyo kichwa ngumu sana haielewi kabisa

  • @user-gv6vl7lt5j
    @user-gv6vl7lt5j 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ningependa kujuwa hata mtu yeyote anaruhusiwa kuwa na mpenzi mimi ni mu congo .

  • @user-iz7hn3sf5s
    @user-iz7hn3sf5s 5 หลายเดือนก่อน

    Glady alikua ana saka mr right wa kumkwapua poket money akiwa nje, 😂😂😂😂

  • @Mery-st4nu
    @Mery-st4nu 7 หลายเดือนก่อน +2

    Huyo alikuja kuuza sura alikuja kufanya nn kama anamatarajio ya kwenda kusoma hakwendi shule ila amesikiliza profile ya mwamba kusema ex wake alienda shule inje inidhen na yy akasema anakwenda shule hamna mwanafunzi hapo atoke akavagamliwe mitaani huko asituchoshe na kumschosha Mr wetu atapata mwingine inshaallah

  • @gracemlay
    @gracemlay 6 หลายเดือนก่อน

    Yani huyu Glady bora hata katoka apooooooo😅😅😅😅😅

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 7 หลายเดือนก่อน +1

    Dem mwenye mbaya af hana ata Tako na anaringa bule , mwembamba

  • @user-ud2kd7yy3w
    @user-ud2kd7yy3w 7 หลายเดือนก่อน +1

    grad hana maana amekuja kuwapotezea mda hapo stejini heri aondokeeeee kabisaaaa

  • @angelrichard899
    @angelrichard899 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn mmetenda hakii sana msinge mtoa hapoo.ningeacha kufuatilia hiki kipindi kabisa mnk grad amefanya masihara ...

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 7 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂😂😂 safi sana kama unazigua utoleweeeee

    • @ashamjeni292
      @ashamjeni292 7 หลายเดือนก่อน +2

      😂👌aka ka glady kana maringo sana

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 7 หลายเดือนก่อน +1

      @@ashamjeni292 wote wakizengua toka sasa mashauzi meng sura wameuza vyakutosha

    • @gracemlay
      @gracemlay 6 หลายเดือนก่อน

      Bora katoleeeeewaaaaàaa maaana nlishagamchoka

  • @timothmgata3636
    @timothmgata3636 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada jinga sana

  • @kennedjohn5785
    @kennedjohn5785 7 หลายเดือนก่อน +1

    Brother Gara B anayezingua mtoeni wasitupotezee muda

  • @redlaismakundi465
    @redlaismakundi465 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yombo angekuwepo anisaidie kumchamba huyu dada,hakuna cha nje ya nchi wala ndani ya nchi,hata mkimuuliza alichosomea huenda ikawa sio hicho😂😂😂

    • @bebebebe5677
      @bebebebe5677 7 หลายเดือนก่อน

      Yombo msukuma sio😂😂mana Yule anachamba

    • @DeboraNgura
      @DeboraNgura 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂yombo atamuosha kichwan ad unyayo😂😂😂

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mnaleta watu hadi kipindi kinaonekana kama vile nivya kupanga... wafukuzwe kabisaaaa

  • @LenashaNgulo
    @LenashaNgulo 7 หลายเดือนก่อน

    Kalivo sasa ka grady duh😢😢😢😂

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu glady angekuwa mzur lkn cheus, kikavu😅😅😅

  • @JOHNSONURIO-fv6ud
    @JOHNSONURIO-fv6ud 5 หลายเดือนก่อน

    Uyo gladi namjuwa hajawah kwenda kanad wala huwo mpango hana, maisha yake yenyew choka mbaya asikuchanganye huyo kaka namfahm vizur tu anazulura tu mtaan anajiuza kweny makasino😗😏

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 7 หลายเดือนก่อน

    Grandy, kimwili kikavuuuu , sura yenyew ngumu afu kinsjishaua sa ka angkua mrembo sdhani ka kingfata mwanaume hapo.. kanauza sura tu😂😂

  • @amoniemkisa4425
    @amoniemkisa4425 7 หลายเดือนก่อน +5

    Uyo glad atakua mhaya😂😂

    • @user-sn6dc9gh8k
      @user-sn6dc9gh8k 7 หลายเดือนก่อน

      Umeongea2 au hukuskia mwanzo kabila lake😏😏😏😏kwendaaaa

  • @jalxs6745
    @jalxs6745 2 หลายเดือนก่อน

    Sura kma kuma ya kunyolewa alafu waringa chefu😂

  • @NuruKapinga-nt7wm
    @NuruKapinga-nt7wm 22 วันที่ผ่านมา

    Me ndo glad😂😂😂😂😂

  • @MallysAlly
    @MallysAlly 6 หลายเดือนก่อน

    Nimependa sana uamuzi wa majudge especially Garab

  • @unicemwenda3664
    @unicemwenda3664 7 หลายเดือนก่อน +10

    Glady unakeraaa kusema kweli

    • @user-mm8zs1qm1f
      @user-mm8zs1qm1f 7 หลายเดือนก่อน +2

      Kwanza glady mgumu kuelewa atoke apo anakera

    • @christineneema3008
      @christineneema3008 7 หลายเดือนก่อน +1

      Fala huyu dem

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 7 หลายเดือนก่อน +7

    Huyo Glad ni masikini hamna cha nje wala nini?

    • @sarazacharia
      @sarazacharia 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 nimecheka 😂😂😂💔

  • @kakoxspgnewton
    @kakoxspgnewton 7 หลายเดือนก่อน +1

    Which country is this

  • @fidonsostenes
    @fidonsostenes 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwo kama alijua anaenda kusoma kwo apo alienda kufanyeje jaman

  • @alexmwalingo5020
    @alexmwalingo5020 7 หลายเดือนก่อน +2

    Grad kichwa kibovu hata waalimu waliomfundisha inawezekana walipata shida sana

  • @sultankivumbi9255
    @sultankivumbi9255 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa unamipango yako yamasomo kilichokuleta apo nyege au

  • @lucypatrick7830
    @lucypatrick7830 7 หลายเดือนก่อน

    Dah nimeona aibu ,huyu binti ni hovyoo hajawahi tokea, shida ya wadada wanapenda mwanaume anaegombaniwa na wengi

  • @faizaahamd2052
    @faizaahamd2052 7 หลายเดือนก่อน +1

    Gladi hajitambui

  • @SidiNahj-my5qc
    @SidiNahj-my5qc 7 หลายเดือนก่อน +3

    Sasa huyu dada kama anajijua anaenda nje kwa nn aje kutafuta mume si n ujinga huo😏

    • @gracemlay
      @gracemlay 6 หลายเดือนก่อน

      Ujinga naa nusuuuu

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ako ka grad ndio maana hakana nyama mxieeeeeh

  • @JOHNSONURIO-fv6ud
    @JOHNSONURIO-fv6ud 5 หลายเดือนก่อน

    Muongo hiyo anajiuza kwenye makasino pale posta hata chet cha form four alipata four ya mwishoooo

  • @JaneKikoti
    @JaneKikoti 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Glad ana sura mbovu kama yangu tu

  • @angelrichard899
    @angelrichard899 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo grad hayuko silias....

  • @user-uz7uh5kg7e
    @user-uz7uh5kg7e 7 หลายเดือนก่อน

    Njoo uku❤

  • @salminitamla9673
    @salminitamla9673 3 หลายเดือนก่อน

    Glady anazingua

  • @josephkigembe-ec4pq
    @josephkigembe-ec4pq 6 หลายเดือนก่อน +1

    Shape hana, sura hana, kwann mnapoteza muda?? Toa mnyoo huo kwenye podium mlete chuma.

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 7 หลายเดือนก่อน +2

    Iki kigrad akina hakili alafu kinajifanya kimesoma ss hp aelewi nn mtoeni hp

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 7 หลายเดือนก่อน

      Atakua mhaya huyu😂😂 wahaya msiniattack plz😂😂

  • @user-uh7to2kw2z
    @user-uh7to2kw2z 7 หลายเดือนก่อน +2

    Atoke HP anazingua kenge huyo

  • @Enerygozbet
    @Enerygozbet 7 หลายเดือนก่อน +2

    Grabe uko poa sana

  • @user-eg1kf2bb3y
    @user-eg1kf2bb3y 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kama ansoma kaja kufanyaje apo

  • @gracethoya2093
    @gracethoya2093 7 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa si utulie uende shule mr right wa kazi gani kama ata mambo ya shule unafatiliwa bado kama katoto😏😏

    • @AlineArakeli-co7eu
      @AlineArakeli-co7eu 6 หลายเดือนก่อน

      Ila we dada nimecheka na comment yako ila kweli arudi shule 😂😂😂

    • @gracethoya2093
      @gracethoya2093 6 หลายเดือนก่อน

      @@AlineArakeli-co7eu akha! anakela mno, ati anataka kuishi nje ya nchi sa si pia uyo Mr right wake akatafute huko anakokwenda ishi nkt!