Ndiyo mzee Nimekubali Naam ndugu wananchi, MC wenu Babu Ayubu, Ninawaleteeni habari japo kwa kifupi kuhusiana na huyu mgombea wetu bwana Joseph Haule Mpeni kura za ndiyo kwasababu yeye ni mpenda watu, ni mpenda amani, Na ni mtu mwenye huruma kwa wananchi wote, Kwa hivyo basi nawaomba ndugu wananchi, mumpe kula ili aingie. Naam basi, hivyo basi ndugu wananchi, Eeh tafadhali *namkalibisha mgombea wetu, Bwana Joseph Haule, ili aje aweza kuzungumza na wananchi, Karibu. Oke Oke, Naitwa Joseph Haule, Mwana wa Msulopo Kianzi, Nadhani nimeletwa niokoe hiki kizazi, Mimi ni mwanasiasa niliyebarikiwa na Mungu, Nimeletwa kwenu na Bwana niwapunguzie machungu, Mimi ni mteule kusini mwa jangwa la sahara, Ndiyo maana nimetunukiwa cheti cha juu cha utawala, Na hekima kuliko Mfalme Suleiman--msiwe na wasi Na hili nitalidhihirisha pindi mtakaponipa nafasi, Actually, mimezamiria kuwasaidia, Taifa lenye nguvu duniani liwe Tanzania, Jamani, makofi tafadhali basi jamani! [makofi, shangwe, nderemo na vifijo] Ni mambo madogo tu, Nadhani nitarekebisha mkinipa visiku vichache tu, Uchumi utapanda ile ghafla bin-vuu, Nataka mpaka Matonya afundishe chuo kikuu, Nchi ya Tanzania itang’ara ile kishenzi, Na nitahakikisha kila baamedi anamiliki benzi, Si mtafurahi dada zangu jamani? Ndiyoooooo Basi endeleeni kunisifu kwa nyimbo na mapambio, Nipeni hiyo nafasi jamani, hamwoni hali ni mbaya? Nataka kuigeuza Tanzania kama Ulaya, Cha kwanza nitakachofanya nitafuta umaskini, Wanafunzi mkafanyie practical mwezini, Kwenye mahospitali nitamwaga dawa kama mchanga, Na nitafungua akaunti kwa kila mtoto mchanga, Mabomba yatatoa maji na maziwa nchi nzima, Watu wa vijijini mtasahau habari za visima, Nitafadhili wachawi waweze kutengeneza ndege, Kila mtu awe na yake Makonda na wapiga debe. Si mtafurahi watanzania jamani? Ndiyo mzee Si ni kweli nakubalika jamani? Ndiyo mzee Basi mimi mkombozi wenu jama, Ndiyo mzee Na nitafuta shida zenu zote, Ndiyo mzee Hivi ni naninii, ni vijimambo, Ndiyo mzee Na vinanikera kwelikweli mimi, Ndiyo mzee Basi hali itabadilika, sawa? Ndiyo mzee Na hatamu tutaishika oke? Ndiyo mzee Wafanyakazi wa serikalini nashangaa hamna magari, Yaani hata mikweche, hehe! Hii ni hatari, Ninampango wa kuongeza mishahara iliyominono, Mara mia ya ile ya mwanzo iliyofanya mfanye migomo, Nitawapa nyumba nzuri na magari ya kifahari, Watu watashangaa mtakapopita kila mahali, Mkulima kila mmoja nitampatia trekta, Nadhani hiyo kidogo itasaidia kunyanyua sekta, Mtauza nafaka zenu bilioni kwa mabilioni, Watu midomo wazi kama wamekamatwa ugoni, Walimu zawadi zenu oh nimezificha moyoni, Nadhani mtazimia siku mkizitia machoni, We acha tu, mtafurahi nyinyi, Ila hapo hapamfai mtu mwingine niwekeni mimi, By the way, polisi wote mi nawasifu, Jinsi mnavyokwenda sahani moja na wahalifu, Sasa kila mmoja nitampatia helikopta, Nadhani hiyo wote hapo hamjawahi kuota, Raia wa Tanzania mtalala milango wazi, In fact, nina uhakika wa kudhibiti ujambazi, Nitajenga barabara tano-tano juu na chini, Nitajenga kumbi nyingi sana za starehe baharini, Ninaupendo kuliko mshumaa, kumulikia wenzangu, Mtakaoyumba kiuchumi, tutagawana vya kwangu. Si mtafurahi wa Tanzania jamani? Ndiyo mzee Si ni kweli nakubalika jamani? Ndiyo mzee Basi mimi mkombozi wenu jama, Ndiyo mzee Na nitafuta shida zenu zote, Ndiyo mzee Hivi ni naninii, ni vijimambo, Ndiyo mzee Na vinanikera kwelikweli mimi, Ndiyo mzee Basi hali itabadilika, sawa? Ndiyo mzee Na hatamu tutaishika oke? Ndiyo mzee Ndugu wananchi, kuna mtu ana swali kutoka kwa mgombea? Nauliza hivi, kuna mtu ana swali? Basi ajitokeze ili aweze kuuliza swali Nyie ndugu zangu huyu msimpe uongozi--siyo vizuri, Muongo tu, mfakini na kiburi kimsuli, Anaongopea saana! Sijui kazaliwa muda gani, alfajiri au alasiri? Wakati mvua zile, za kipendi kile? Amepita pita skuli lakini mambo yake si mazuri, Wala tusimtetee, atatuangamiza, Labda tusubiri kwanza uchaguzi umwekwisha, Tumemfuma wenyewe kwa kalumanzila anasafishwa, Kalumanzila akamwambia, ehe, shida yako? Elezea fasta fasta kabla jini hajapanda, [chafya] Hajakaa vizuri mashetani si yakamuanza! ‘kamsukuma kwa kasi ya kimbunga amejichanja, Tulimsikia akisema kwa sauti kubwa ya kukarikia, Waungwana! Munisaidie! Ndiyo, sitamwelewesha! Uongo mtupu babake ameibiwa, waungwana wamempeleka chau mpaka kaibiwa, Yupo-hamna gepu na pugu! Amewehuka! Hajatulia huyu mpepeeni! [uphh uphh] Ni sauti iliyosikika kutoka kwa mzee wa pembeni, Sijui msaidizi mganga au mpelelezi, Na kwa taarifa yako uongozi hupati ng’o! Labda urudi kwenu uende ukavunje tunguri, Na hao waganga wako waeleze hupati kitu apa, Hata utoe chapaa [makofi, shangwe, nderemo na vifijo] Je wananchi mmenisikia? Ndiyo mzee Kwa huyu jamaa hatufai, Ndiyo mzee Haina vibaya uchukia, Ndiyo mzee Hatumtaki aondoke zake, Ndiyo mzee Tusimkubali na maneno yake, Ndiyo mzee Tunahakikisha ‘atumchagui, Ndiyo mzee Kwasab’ jamaa ni mnafiki, Ndiyo mzee Asitufanye tuwe na dhiki, Ndiyo mzee [makofi, shangwe, nderemo na vifijo]
Tunaomba Video za hizi nyimbo Tafadhali J mwana wa Haule. kuanzia song la Ndiyo mzee, kikao cha dharura na Nang'atuka/ Tafadhali sana sisi fun zako tunaziomba sana.
Wale wa 2024
kama bado unamuelewa professor jay tuende sambaba
Ruto Ruto ndiye huyo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂
😂😂😂😂..yaani huyu kaka alikuwa mbele ya majira aisee, wakenya tulifunikwa na 'ama namna gani my frens' leo hii ni machos tupu😢!
am a Kenyan but prof j is my best East Africa musician
Ndiyo mzee
Nimekubali
Naam ndugu wananchi, MC wenu Babu Ayubu,
Ninawaleteeni habari japo kwa kifupi kuhusiana na huyu mgombea wetu bwana Joseph Haule
Mpeni kura za ndiyo kwasababu yeye ni mpenda watu, ni mpenda amani,
Na ni mtu mwenye huruma kwa wananchi wote,
Kwa hivyo basi nawaomba ndugu wananchi, mumpe kula ili aingie.
Naam basi, hivyo basi ndugu wananchi,
Eeh tafadhali *namkalibisha mgombea wetu,
Bwana Joseph Haule, ili aje aweza kuzungumza na wananchi,
Karibu.
Oke Oke,
Naitwa Joseph Haule,
Mwana wa Msulopo Kianzi,
Nadhani nimeletwa niokoe hiki kizazi,
Mimi ni mwanasiasa niliyebarikiwa na Mungu,
Nimeletwa kwenu na Bwana niwapunguzie machungu,
Mimi ni mteule kusini mwa jangwa la sahara,
Ndiyo maana nimetunukiwa cheti cha juu cha utawala,
Na hekima kuliko Mfalme Suleiman--msiwe na wasi
Na hili nitalidhihirisha pindi mtakaponipa nafasi,
Actually, mimezamiria kuwasaidia,
Taifa lenye nguvu duniani liwe Tanzania,
Jamani, makofi tafadhali basi jamani!
[makofi, shangwe, nderemo na vifijo]
Ni mambo madogo tu,
Nadhani nitarekebisha mkinipa visiku vichache tu,
Uchumi utapanda ile ghafla bin-vuu,
Nataka mpaka Matonya afundishe chuo kikuu,
Nchi ya Tanzania itang’ara ile kishenzi,
Na nitahakikisha kila baamedi anamiliki benzi,
Si mtafurahi dada zangu jamani?
Ndiyoooooo
Basi endeleeni kunisifu kwa nyimbo na mapambio,
Nipeni hiyo nafasi jamani, hamwoni hali ni mbaya?
Nataka kuigeuza Tanzania kama Ulaya,
Cha kwanza nitakachofanya nitafuta umaskini,
Wanafunzi mkafanyie practical mwezini,
Kwenye mahospitali nitamwaga dawa kama mchanga,
Na nitafungua akaunti kwa kila mtoto mchanga,
Mabomba yatatoa maji na maziwa nchi nzima,
Watu wa vijijini mtasahau habari za visima,
Nitafadhili wachawi waweze kutengeneza ndege,
Kila mtu awe na yake Makonda na wapiga debe.
Si mtafurahi watanzania jamani?
Ndiyo mzee
Si ni kweli nakubalika jamani?
Ndiyo mzee
Basi mimi mkombozi wenu jama,
Ndiyo mzee
Na nitafuta shida zenu zote,
Ndiyo mzee
Hivi ni naninii, ni vijimambo,
Ndiyo mzee
Na vinanikera kwelikweli mimi,
Ndiyo mzee
Basi hali itabadilika, sawa?
Ndiyo mzee
Na hatamu tutaishika oke?
Ndiyo mzee
Wafanyakazi wa serikalini nashangaa hamna magari,
Yaani hata mikweche, hehe! Hii ni hatari,
Ninampango wa kuongeza mishahara iliyominono,
Mara mia ya ile ya mwanzo iliyofanya mfanye migomo,
Nitawapa nyumba nzuri na magari ya kifahari,
Watu watashangaa mtakapopita kila mahali,
Mkulima kila mmoja nitampatia trekta,
Nadhani hiyo kidogo itasaidia kunyanyua sekta,
Mtauza nafaka zenu bilioni kwa mabilioni,
Watu midomo wazi kama wamekamatwa ugoni,
Walimu zawadi zenu oh nimezificha moyoni,
Nadhani mtazimia siku mkizitia machoni,
We acha tu, mtafurahi nyinyi,
Ila hapo hapamfai mtu mwingine niwekeni mimi,
By the way, polisi wote mi nawasifu,
Jinsi mnavyokwenda sahani moja na wahalifu,
Sasa kila mmoja nitampatia helikopta,
Nadhani hiyo wote hapo hamjawahi kuota,
Raia wa Tanzania mtalala milango wazi,
In fact, nina uhakika wa kudhibiti ujambazi,
Nitajenga barabara tano-tano juu na chini,
Nitajenga kumbi nyingi sana za starehe baharini,
Ninaupendo kuliko mshumaa, kumulikia wenzangu,
Mtakaoyumba kiuchumi, tutagawana vya kwangu.
Si mtafurahi wa Tanzania jamani?
Ndiyo mzee
Si ni kweli nakubalika jamani?
Ndiyo mzee
Basi mimi mkombozi wenu jama,
Ndiyo mzee
Na nitafuta shida zenu zote,
Ndiyo mzee
Hivi ni naninii, ni vijimambo,
Ndiyo mzee
Na vinanikera kwelikweli mimi,
Ndiyo mzee
Basi hali itabadilika, sawa?
Ndiyo mzee
Na hatamu tutaishika oke?
Ndiyo mzee
Ndugu wananchi, kuna mtu ana swali kutoka kwa mgombea?
Nauliza hivi, kuna mtu ana swali? Basi ajitokeze ili aweze kuuliza swali
Nyie ndugu zangu huyu msimpe uongozi--siyo vizuri,
Muongo tu, mfakini na kiburi kimsuli,
Anaongopea saana! Sijui kazaliwa muda gani, alfajiri au alasiri?
Wakati mvua zile, za kipendi kile?
Amepita pita skuli lakini mambo yake si mazuri,
Wala tusimtetee, atatuangamiza,
Labda tusubiri kwanza uchaguzi umwekwisha,
Tumemfuma wenyewe kwa kalumanzila anasafishwa,
Kalumanzila akamwambia, ehe, shida yako?
Elezea fasta fasta kabla jini hajapanda,
[chafya]
Hajakaa vizuri mashetani si yakamuanza!
‘kamsukuma kwa kasi ya kimbunga amejichanja,
Tulimsikia akisema kwa sauti kubwa ya kukarikia,
Waungwana! Munisaidie! Ndiyo, sitamwelewesha!
Uongo mtupu babake ameibiwa,
waungwana wamempeleka chau mpaka kaibiwa,
Yupo-hamna gepu na pugu! Amewehuka! Hajatulia huyu mpepeeni!
[uphh uphh]
Ni sauti iliyosikika kutoka kwa mzee wa pembeni,
Sijui msaidizi mganga au mpelelezi,
Na kwa taarifa yako uongozi hupati ng’o!
Labda urudi kwenu uende ukavunje tunguri,
Na hao waganga wako waeleze hupati kitu apa,
Hata utoe chapaa
[makofi, shangwe, nderemo na vifijo]
Je wananchi mmenisikia?
Ndiyo mzee
Kwa huyu jamaa hatufai,
Ndiyo mzee
Haina vibaya uchukia,
Ndiyo mzee
Hatumtaki aondoke zake,
Ndiyo mzee
Tusimkubali na maneno yake,
Ndiyo mzee
Tunahakikisha ‘atumchagui,
Ndiyo mzee
Kwasab’ jamaa ni mnafiki,
Ndiyo mzee
Asitufanye tuwe na dhiki,
Ndiyo mzee
[makofi, shangwe, nderemo na vifijo]
Upo vizur sana
Pale juu ni Msolopaganzi.
Mungu ampe Proffesor Nguvu na Siha njema kama Zamani..
HEAVY WEIGHT MC - Legend, Pioneer, Father, Leader
I am From Kenya But Prof is My Best East African Rapper.
Promises za Zakayo
King legendary bongo hiphop we love u brother stay blessed in Jesus name
magufuli did it ameifanya Tanzania kua ulaya kama profesa j alivyosema
Listening this in 2022.. Professor Jay your song they will never get old
Mie ni mkenya but jay ni moto sana
Hasora wa Kenya ndiye amedhihirika hapa
Listening 2024
he is great rapper...honour from rest of the world
Nimemis sana nyimbo zako
Mwana Kenya mukamba natabua professor j
Naipenda sana hii nyimbo 2024
hapa juba tunampenda mwanamzk professor jay
SAUTI UNAYO BIG UP PROFESSOR JAY ILOVE ALL COMMENTES
whatever man think can achieve, he revealed this
Jay big up kweli mzee w.w bila kukana kura zote qwako,
Ulimtabili Magufuli J!!!
Tanazanias Amaru,much respect bro
I remember this song when I was high school in Kenya
Pro jay ni balaa nimerud tena hapa ili song linanipaga uhalisia wa viongozi wetu bongo ni kwa namna gan hawafany majukumu yao,,, jay 🙏🙏🙏🙏
2021 Sept 5 still amazing. Hongera Prof Jay
Naipenda Sana hii nyimbo 2023
kama umeskia john pombe, ur genious😇
Unajuuuuuuaaaa Prof u deserve to be called suchlike name
yes sir, prof your among the kings of Africa. hope we link up for great stuff. some real Art/poetry to transform society.
god bless u bt ngombea tena utaingia
am frm kigoma profesa jay is best rap in Tanzania
Nampenda sana prof Jay, vina vikali na mashairi yake mazuri
Am a Kenyan but Jay I really like ua songs..... Jamii naona unaheshimu... #Bravo
This song still makes sense until now.... Profesa jay is a genius when it comes to music
Ndoto zimetimia.Nakuaminia sana....kazi safi.Paulo to kenya.
From Kenya nakukubali mweshimiwa
Duh 🙄 😂🤣hii kalii, haya mashairi sasa genius 🙌🏽
2023
ndio mzee
January 2020 here we go.
Ndio hio imefika
Professor Jay is my second best bongo artists after John woka. Kazi nzuri
My favorite artist professor jay
Yani mpaka leo 14/10/2019 namuenzi baba wa taifa na nyimbo yako kaka nyimbo yako ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ulitabili sana kaka fanyakweli
2021 nani anaisikiliza ii ngoma now
hii ngoma ni kali.
maisha ya hv sasa ndio inanifanya naisiliza
2024 niko hapa like twende kazi
big up xana profesa bongo dar es salaam uliumiza kichwa sana
Nataka hata matonya afunze chuo kikuu daah,, matonya hapo vipi 😁😁
Huyu ndo mwanahalakati
Hii ilikua Ni nyimbo yake ya kweli ambayo inafaa kuitwa ndoto iliokua kweli , Mana aliota kuitwa kiongozi na akawa kiongozi kweli .
I m Mozambican FANS 🇲🇿🙏🙏🙏
Alimanisha na ikawa kweli
Radio free Africa them days.
I salute... Nikiwa Kenya ningeisikia mida ya usiku usiki dem days
Pure Bongo Fleva
Nakukubali hadi naumwa
ndoto yako ishatimia brother,heshima kwako
This is hip hop
22 September 2020
12:18 am, j'3
2022 still rocking 🔥🔥🔥
Professa jay ..big dad
....haya ushachaguliwa timiza
Odhiambo Ogola
Anayatimiza kwaBidii..🤷♂️🤷♂️
Was hit hoat 🔥 by the time
Kali!.
ulikua u anajitabiria aise yametimia
July 19th of 2021 am here representing USA 🇺🇸
Umefanikiwa pr.j keep it up.
Unajua sana kaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nammm ndungu wana NCHI muda umefikaa saiz wapo kuomba kulaa 😂😂
Professor Jay 🗣🗣🗣🙌🏽🙌🏽🙌🏽
04/13/2019 here I am, mziki mzuri unaishi. Utabaki kuwajuuu kileleni Mh #JosephHaule
Muchungaji kasereka
Salut
Tujuanee tunaoichekiii kipindi Cha uchaguzii 2020
👊👊👊💪💪 ndio mzee
kazana mzee
2020 we love it. 🔥🔥
2020 we here!
We're back. Is. Very. Good. Song.
kudadeki aliyoyasema sasa yametimia ishi kwa ndoto zako za kweli.amaa kweli haya timiza
The best actually
Safi Sana mkuu
Prof jay napenda mistari yake kwasababu imekoma
uko juu xana jay
legend
he is my best
December 2021 am still here
Safi sana hii haule
Prof.💯
kwenye kura za maoni wamepigana ukuuuuuuu 😂😂😂😂😂
I love prof songs
Tunaomba Video za hizi nyimbo Tafadhali J mwana wa Haule. kuanzia song la Ndiyo mzee, kikao cha dharura na Nang'atuka/ Tafadhali sana sisi fun zako tunaziomba sana.
sawa Mzeeee..
great rapper
Oyooooooooooooooooooooooooooooooo
unaweza kuta hivi ndivyo ulivyo ahadi kwa peples zilizokupa dhamana uziongoze
Ilove your songs me as chebby j from kenya you are the best rapper but i am also upcoming rapper yani Wenimzito
imetimia jay
Legend..Those days when Bongo flavour is Bongo flavour
Good song
Am after ruto did this to us😢😢😢😢
Tulia mzee
Ndotoyako yakoishatimiya j