KONGAMANO MAALUM || KILIO CHA HANNA | EEH BWANA NINAKUSHUKURU, EEH BWANA BADO NAKUTEGEMEA UNISAIDIE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024
- BWANA YESU asifiwe,tunamshukuru sana MUNGU kwa kutupa nafasi ya kuwa na kongamano siku ya leo. Karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada hii maalum ya KONGAMANO LA KUOMBA, KUOMBOLEZA NA KUJIBIWA NA BWANA inayokujia leo siku ya Jumamosi tarehe 30 Novemba 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Kongamano hili maalum linaloitwa "KILIO CHA HANNA" kutoka kitabu cha 1 Samweli 1:17; "Ndipo Eli akajibu, akasema, Enenda kwa amani; na Mungu wa Israeli akujalie haja yako uliyomwomba" lina kichwa cha somo "EEH BWANA NINAKUSHUKURU, EEH BWANA BADO NAKUTEGEMEA UNISAIDIE"'
Kongamano hili inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.