IBADA MAALUM || BONDE LA KUKATA MANENO | NOVEMBER 2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025
- BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada ya kipekee ya BONDE LA KUKATA MANENO inayokujia leo Jumapili ya tarehe 24 Novemba 2024 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii ina kichwa cha somo "NYOTA YANGU ING'AE NA NIONEKANE KATIKATI YA WATU WAKUU NA KILA ANAYEITUMIA AZIMWE KWA JINA LA YESU" na inaambatana na kuweka wakfu watoto, wajawazito, wanafunzi, vitu na kila mtu.
Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.