Chimbuko la BongoFlava ni mziki wa Kuchana(bongo Hip Hop) Ngoma nyingi zilikua za kigumu sana yaani zile ngumu Hadi Chorus. Miaka ya 2000s mwanzoni MaProducer wakaanza kulainisha kwenye Chorus Kama unavyockia Hapo Sauti izo za Q CHIEF ambazo sauti izo walikuwa wanaweza JUMA NATURE,DULLY SYKES na mwenyewe Q CHIEF Mbeleni huko mziki ukaja ukabadilika Na kuanza kupata wasanii wa kuimba Hakika bongoFlava imetoka mbali sana Hii Beat La MASTER JAY ndani ya MJ Records
Tunao angalia 2024 gonna like hapa🔥🔥🔥
Chorus by qchillah ...
Bonge LA ngoma boy fantastic unanikumbusha kitambo kwel kwel
Niliktafuta Sana hii ngoma dah
Mie leo tangu asubuh namuimbia mke wangu
Q Chief alitisha sana humu
Sana Q chief katisha
2024 ni kwere
Nimeutafuta kinoma dah. Hatimaye🙌🏽. Old school inabamba sana Thanks❤❤
Nyimbo Kali
Vitamin music zamani walikuwa wanacheza kama game za vice site
Beutiful melodies
Nimeitafuta sana Asante
Nice songs
Dar
Dah kitambo sn
Maliki,
Chimbuko la BongoFlava ni mziki wa Kuchana(bongo Hip Hop) Ngoma nyingi zilikua za kigumu sana yaani zile ngumu Hadi Chorus.
Miaka ya 2000s mwanzoni MaProducer wakaanza kulainisha kwenye Chorus Kama unavyockia Hapo Sauti izo za Q CHIEF ambazo sauti izo walikuwa wanaweza JUMA NATURE,DULLY SYKES na mwenyewe Q CHIEF
Mbeleni huko mziki ukaja ukabadilika Na kuanza kupata wasanii wa kuimba
Hakika bongoFlava imetoka mbali sana
Hii Beat La MASTER JAY ndani ya MJ Records
Kabisa mkuu
@@BongoZaKitambo55 mkuu Tutaftie video ya G SCANA- Demu wa kihindi
Facts sweetie bongohip hop
Mjomba angu rest in peace
Uyo MSANII ashariki kwan