MUME BWEGE PART 1 (KING MAMAJUTO, KINGWENDU, RINGO NA CHILI, ZIMWI)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @RaphaelKoleta
    @RaphaelKoleta 5 หลายเดือนก่อน +1

    HB old school lakini bado fresh, nakumbuka 2004 hadi Leo kama unaikumbuka naomba likes zenu tafathali👊💐🙏💪🇰🇪

  • @ramadhankilunga5029
    @ramadhankilunga5029 6 หลายเดือนก่อน

    Duuuh safi sana kuna ile tikiti maji kufa kufaana fanya mpango

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 ปีที่แล้ว

    Aminia sana brother... Toa na part 2 kitambo sana

  • @WitnessEmmanuel-c3b
    @WitnessEmmanuel-c3b 11 หลายเดือนก่อน

    Nakubali sana brother part 2 jaman

  • @ProsperKindole
    @ProsperKindole 5 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅😅kingwendu 😅😅😅mihela yangu ya nyanya

  • @hamadrashid8065
    @hamadrashid8065 10 หลายเดือนก่อน

    Move noma ya zamani 😅

  • @deborahrehema4066
    @deborahrehema4066 7 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅😅😅 aise kitambo sana kumbe Sidi umetoka mbali wow ❤😂

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 5 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂jamani sidi😂😂

  • @MariamuGodda
    @MariamuGodda 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi mama sidi jamaniiii😂

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka tuangushie namba 2... Tunaisubir kwa hamu

  • @SalsaBaby-n6g
    @SalsaBaby-n6g 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 part 2please

  • @emmanuelmmbaga5209
    @emmanuelmmbaga5209 11 หลายเดือนก่อน

    Kaka namba 2 vip part 2

  • @kennedy7532
    @kennedy7532 11 หลายเดือนก่อน

    Part 2 pleasee

  • @NowelaRaymond-zq4ys
    @NowelaRaymond-zq4ys 3 หลายเดือนก่อน

    Sidi sauti ile ile.

  • @petermaro9852
    @petermaro9852 10 หลายเดือนก่อน

    Tuwekee keki ya bethdei ya akina Marehemu max,zembwela,bambo,benny branco na swebe santana nunda

  • @butoyialoys3753
    @butoyialoys3753 9 หลายเดือนก่อน

    Kundi lá Nakuhitaji sista mbona hatuni nyimbo zao jamani tunazi miss

  • @kaskilejg
    @kaskilejg 11 หลายเดือนก่อน

    Part 2 please 😂😂😂😂

  • @nkurunzizaabou7029
    @nkurunzizaabou7029 10 หลายเดือนก่อน

    Kaka kuna ingine moja ya kingwendu n'a mohogo mchungu n'a pembe. Kingwendu alinunuwa shamba baharini kamuuziya muhogo mchungu mjumbe alikua pembe

    • @omarissa8925
      @omarissa8925 9 หลายเดือนก่อน

      Inaitwa kufa kufaana ya beni masanduku

    • @NiyongaboSaduni
      @NiyongaboSaduni 6 หลายเดือนก่อน

      VIPI NAMIMI NATAKA IYO MOVIE YA KUFA KUFAANA

    • @NiyongaboSaduni
      @NiyongaboSaduni 6 หลายเดือนก่อน

      KWA JINA NAITWA SADUNI NAESHI BURUNDI

  • @mwambakibucheche1119
    @mwambakibucheche1119 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu mdada alienda wap?

  • @nzayisengaaboubakar7197
    @nzayisengaaboubakar7197 8 หลายเดือนก่อน

    Hhhh