- 182
- 918 059
BONGO ZA KITAMBO
เข้าร่วมเมื่อ 1 ธ.ค. 2015
Pata Ngoma Zote Za Zamani Za BongoFleva Hapa Usipite Bila Kusubscribe Na Kulike
วีดีโอ
MUME BWEGE PART 3 - MZEE MAJUTO, KINGWENDU, ZIMWI, CHILI NA RINGO, KISHTOBE
มุมมอง 2.7K4 หลายเดือนก่อน
Kipande cha Mwisho Cha Comedy yetu Nzuri Ya Enzi Hizo Chini ya utunzi na muongozaji Mussa Banzi Mwaka 2004 mtunzi/Mtaarishaji Mussa Banzi GMC Wasanii Promotion
MUME BWEGE PART 2 - KING MAJUTO, KINGWENDU, ZIMWI CHILI NA RINGO
มุมมอง 10K5 หลายเดือนก่อน
Ni Muendelezo Wa Bongo Comedy Ya Mume Bwege Ndani Yupo Mzee Majuto, Kingwendu, Chill and Sosi( Ringo ) na Zimwi Mtunzi ni Mussa Banzi
Abby Skills Ft Bob junior & Hakeem 5 - Dampizi
มุมมอง 4745 หลายเดือนก่อน
Abby Skills Ft Bob junior & Hakeem 5 - Dampizi
Gorilla Killas ( Pingu na Deso ) - Njia Panda
มุมมอง 3868 หลายเดือนก่อน
Gorilla Killas ( Pingu na Deso ) - Njia Panda
Ngwea Ft Jay Moe - KIMAFIA
มุมมอง 2.5K8 หลายเดือนก่อน
Wimbo huu ni katika Nnyimbo za mwishoni kabisa za The Late Albert Mangwea (R.I.P) ambao alimshirikisha Jay moe wimbo huu ulifanyika kwenye studio za Bongo Records Chini Ya Godfather Wa Muziki Huu P Funk Majani
Gk (King Crazy Gk) Ft Nasma & East Cost Team - Subarkheri
มุมมอง 5079 หลายเดือนก่อน
Wimbo huu Upo kwenye Albam ya Nitakufaje Iliyotoka 2005, Na ndio Albam yake ya Mwisho Kama solo Artist
Daz Nundaz -Shuka Rhymes ( official audio )
มุมมอง 4.3K9 หลายเดือนก่อน
Daz Nundaz -Shuka Rhymes ( official audio )
MUME BWEGE PART 1 (KING MAMAJUTO, KINGWENDU, RINGO NA CHILI, ZIMWI)
มุมมอง 19Kปีที่แล้ว
Ni Filamu Ya Vichekesho Chini Ya Waigizaji King Majito, Kingwendu, Ringo, Chili, Zimwi @Mwananchi Video Production @mussabanzi Warning: Sina Hati Miliki Nimeupload Kwaajili Ya Kujikumbushia Maigizo Yetu Ya Zamani Tulipotoka
Dose Pass Mobb - Tungo Tata
มุมมอง 332ปีที่แล้ว
Wimbo Mkali Wa Kundi La Dose Pass Mobb Chini Ya P Funk Majani Na Ludigo Kutoka Bongo Record
Benjamin Mambo Jambo Ft Papii Kocha - Kinanda
มุมมอง 463ปีที่แล้ว
Wimbo Bora Wa Benjamini Aliurekodi 2003 Mwaka Mmoja Kabla papii kocha Hajafungwa Ulikuwa Ni Special Dedication Kwa The Late Cool James Mtoto Wa Dandu Studio: Backyard Record
Chansy Ft Diamond Platnumz - Angependwa nani
มุมมอง 466ปีที่แล้ว
Chansy Ft Diamond Platnumz - Angependwa nani
MUME BWEGE ( King Majuto Na Kingwendu ) Shortclip
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
MUME BWEGE ( King Majuto Na Kingwendu ) Shortclip
Solo Thang Ft Mac2B Simba_-_Ndani Ya Party (Video)
มุมมอง 3.2Kปีที่แล้ว
Solo Thang Ft Mac2B Simba_-_Ndani Ya Party (Video)
Manyema Family Ft Alichoki - Mademu Wa Kibongo
มุมมอง 3.5Kปีที่แล้ว
Manyema Family Ft Alichoki - Mademu Wa Kibongo
Parklane (Cpwaa & Sumalee)_-_Kuleni Fleva
มุมมอง 406ปีที่แล้ว
Parklane (Cpwaa & Sumalee)_-_Kuleni Fleva
Wasanii wa zamani walifanya kazi nzuri sana. Hawa takataka za siku hizi wanaimba ushenzi tu. Daima nitasikiliza bongo flavour ya zamani.❤
Wakati huo bana, Jeans zilikua ni kubwa sanaaa ..
Big up sana kwa wenye mnaskiza hii song Jan 2025
naitafuta hile siwema
@@mancbayzo1617 ipo kwenye maktaba
Rip legends Actors superhero Artists jebby swahiba, kastory ,marehemu kaacha orodha kwan mbele yake sisi nyuma peponi alale yule mtu Pole swahiba yake na jebby
2025😢❤
2025 online 👇👇 Tuesday 7 January Big up mtanga. Bado tuna enjoy
2025 online 👇👇 Mbinguni niweke turubai washkazi zangu wote muwe hai. Big up kingwedu
mapemamape kingwendu
2:28 mh!! imenikumbsha mbali sn
2025 KR MULLAH 🔥🔥🔥🔥
Niliutafuta sana huu wimbo aisee...mwenye kujua huyu dada yuko wapi atujuze
2025
3/1/2025
Natafuta yake ingine ya kitambo sana nakumbuka tu maneno "sitatupa penzi lako" 😂 ulikuwa wa taratibu sana
hii biti ilikua produced na producer gan? 🔥🔥🔥
Randomly listening to Dodoma FM in Nairobi Kenya and I listen to this jam and now am stuck here! Dec 2024!!!!
rest in peace.. Swahiba..🙌🙌🙌
Mkuu tutafutie na wimbo unaitwa Veronica wa G Shot ft. Nurueli. Bongo moja wa ngoma kaka.
Yaani huu wimbo acheni tu memories kama zote ❤❤❤❤
Nta fania mipango kila siku ni wape milioni 😂😂😂
wangapi wanakumbuka TVT enzi hzoo hii ngoma waliipiga sana
R.I.P JEBBY 21.12.2024 MIRROR @jusan
Fundi langu la muda wote kwenye hiphop
Ngwair alikuwa vizuri🔥🔥🔥🔥na b boy🔥🔥🔥🔥
Tarehe 18-12-2024 Kila chuma ichooooo😂😂😂
❤❤
mwamba kagusa kila eneo la mtu anae pumua
Imetulia
2001 hapo na mwanangu bakari fundi wa viredio vibetri vidole na viwokumani likoni mombasani duuh sijui ulikwendapi beka wa kina hamisi ngao
Old Era was Drug Era🔥🙌
Mbona Kristina na nema zabusho azipotena umu
@@fotitz193 Labda zimefutwa ila ninazo kwenye maktaba yangu
Neema kali sana cjui tunaipataje
Kumbe neno kunyari lina mda mrefu sana
Penzi linadhamani hata kwa masikini penzi halitaki ufahari majivuno yanini.huu mstari unafanya hata asiye na kitu ajione anacho
Suma hii nyimbo ni my favorite song for me
Kitambo huuuu ndio wakat wake huu wimbo
Watoto wa 2000 hawawez kuielewa wao wanamjua mke wa pi didy na kubeti hizi ngoma kitambo
TBT😂🎉
Crazy gk na Ay walikua 🔥🔥🔥🔥
Chamber squard walikuwa wamoto ngwair na noorah aaah 🔥🔥🔥
CBM Crew, danger in Rap
Ngoma kali sana mazee 2024
Keisha ft Boshoke Mungu awabariki kupitia hii nyimbo🙏🏻
My favorite
Bonge la intro kuwahi kutokea BongoLand🔥✌🏾
Huyu mwamba 🫡🫡
27/11/2024 hapa😂🙌🏼
ndio kazi ilikua bonge la ngoma
Inanipahistoria kubwa sana hii kuna mpuuzi alinichukulia mke leo hii wamechoka wote ni hatari na mi ela ndo iko hapa
Ras lion jamaa noma sana rape katun ila elimu yake ni kubwa 2024