hawa ndio wasanii ambao nyimbo zao ukizisikiliza hautakosa kupata neno la maana , utajifunza kuliko wale akina wasafi matusi kila siku. chakushangaza wanamaisha mabaya na hawakufanikiwa ki maisha ,wanaoimba matusi wana maisha mazuri yanayotokana na mziki .Basata walione hili.
Kwa heshima ya Rasta unaeza niita Culture🔥
Kama kuna watu wanatizama hii video naomba ufinye like twende sawa
Kama unachek Ngoma hii 2024 gonga like
2024 King of bongo forever
Daah Hatimae 2022 TUNDA KAMALIZA CHUO KIKUU
Duazako Zimekubaliwa Bro
2023 bado mwana ni kama imetoka leo yani. Mafundi wa mziki.
Weye ni mwalimu kweli wa mziki, hongereni kizazi cha hapo kale
2023 bado inabaki kama best rap song kwang
RIP MEZ B
Hichi kichwa kinamadini sana asee! Nakubaliii afande.
Humu mwamba alikamia sana
Wanaotizama apa 2024 baaday ya kuona mahojiano akichana hu Wimborne gonga like.
Mfalme mmoja tu mtu poli Sele mpk mwisho wa dunia
Afande sele ndo king WA hip-hop
Maregend mliupigania sana mziki mpaka sasa madogo wanatengeza pesa Leo Afande uligusa kila sehemu hapa siasa,haki ya wasanii hakika we ni really king
Kama imetoka leo❤
Mwanaume na nusu ndo huyu Sasa Simba zee
Enzi hizo afande sele daaa hatari sanaa good music
proud of you King sele
OYOOOOOOO 2026 ❤❤❤❤❤❤
14.09.2024 2:21 PM
was here listerning the brainy.
2060s kids your GRAND PAH wishes you the straight and smart brain.
AM DUSTED
2024 September
Jamaa walikuwa wanajua
repose en paix l'artiste mez b
2024 naicheki ngoma noma
Simba dume 2024 ❤❤
hawa ndio wasanii ambao nyimbo zao ukizisikiliza hautakosa kupata neno la maana , utajifunza kuliko wale akina wasafi matusi kila siku. chakushangaza wanamaisha mabaya na hawakufanikiwa ki maisha ,wanaoimba matusi wana maisha mazuri yanayotokana na mziki .Basata walione hili.
real nani sense
Mzalendo Kama jakaya noma Sana sele
afande ni habar nyngne Nouma sana
Sept 17 2024 tunaicheza karata dume
Simba zee huu mkwaju uliumiza sana
Hii ni kichwa Sana aligusa hadi machinga Leo ndio utekelezaji
Baba ake tundajema anacheza karata dume..hehehe
❤❤
Super
Namkubali Sana Afande sele
Ujana una mambo........°πππ
ujana unamambo mengi ndomaan some tyme unagomana na dingi😂
King
Naicheza karata dume malegendary
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 2020
2025 gonga like hapa
Selemani wa pili aliyetunga darubini kali
Hatariiiiii
2022 Dec
R .I.P.Mez B...
Simba Dume
Simba dume
kaka rudi ktk gem tunakumis sana
Mirabaha
Yah yah…
afande kapotelea wapi ndugu zanguni
Kaokoka. Yupo busy na Mungu
Nimeimiss midundo ya majani
Haichuji 2024
Simba simba🎉
Bars
Bonge langoma Moro stand-up
Atali sana
Simba dume
Hakika huyu ni mfalime wa Rhymes big baba Tunda
R.I.P Mez B
7th September 2020
11:50
J'3
We ndie mfalme wetu wa rhymes mpaka kesho 👑
Hbzzuzu