GLADNESS SIYAME ASANTE ( LIVE MUSIC VIDEO )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Asante...
    Ni sauti ya mtu anaekiri hakuna namna yoyote anaweza kuishi bila msaada wa Mungu, katika hali zote, iwe katika shwarii au dhoruba Mungu yupo...
    Ni sauti inayokiri ikiwa Mungu anaishi katika maisha yangu kila kitu kinachotokea iwe kwa akili ya kibinadamu kinapimwa kama kizuri au kibaya mbele za Mungu ni salama kila siku na kila wakati, hakuna siku ambayo anakua Mungu amani na siku nyingine ni Mungu wa dhoruba hata hali iweje kwa kipimo cha Macho ya nyama (because he is constant God the same yesterday today and forever he is always good) YAHWE
    You have not borned by accident and nothing happens accidentally in your life
    That's why the Bible says in Roman 8:28
    And we know that all things work together for good to them that love God, to them who are the called according to his purpose.
    Ni sauti inayokiri hata katika dhoruba bado ni Mungu afanya mambo makubwa zaidi ya tuombavyo na tuwazavyo kwa Rehema na neema zake tu...
    Kwa kutambua hivii hii ni sauti ambayo kila wakati hugeuza Machozi kuwa lugha ya ku peleka ibada mbele za Mungu ya kusema asante WEWE NI MWEMA kila wakati na sio malalamiko
    (Machozi yanapotiririka ikawe harufuu nzuri mbele zako)
    Ndio maana daudi anasema Zaburi 23:4
    Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mbaya, Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
    Hii ni sauti ambayo kuna wakati inakosa prayer point kabisa, kwa kutambua asante ndio prayer point kubwa inayokiri kwamba tulipokea yote kupitia Kristo Yesu na kabla hatunaomba yeye husikia....
    And this is how people who believes that God exist should be always.
    should be the people who are positive in any situations.
    Believe me that situation that your naked eyes see it as a storm, has not came to kill you or destroy you that has came for your own good, it has came to build you, to reveal the strong man/woman that he has created and that is you..
    Unapoenda kusikiliza wimbo huu ukawe wimbo wa majira yote na nyakati zote, Mungu akubariki.
    #breathofGod2023#Asante
    Song writer and Composer :Gladness Siyame
    BREATH OF GOD LIVE RECORDING PRODUCT
    Held on 15th December 2023 at House of Christ Church_Mwanza
    CREDIT
    MUSIC ARRANGER & DIRECTOR : Ezee keys
    SECOND PIANO : am_kusula
    THIRD PIANO : Nick
    BASS GUITAR : Makole
    SOLO GUITAR : Jocia
    DRUMMER:Ibra
    SAPRANOS: Glory & Salome
    ALTOS: Odde & Joyce
    TENOR: Bonny, Michael & Albert
    AUDIO: Apex Music
    VIDEO DIRECTOR & EDITOR: Chris Trinity ( Trinity pro )
    SOUND ENGINEER : Loden
    LIGHTS: Peter Lights
    SPECIAL APPRECIATION
    Siyame's Family
    My spiritual parents pastor panta & Evelyn panta
    Breath Of God Committee
    HOC Praise Team and
    HOC church.

ความคิดเห็น • 246

  • @boazdanken
    @boazdanken 8 หลายเดือนก่อน +27

    Very Powerful my Dougter Asante Yesu Acha nakushukuru kwa Yote

  • @JomoKenyata-u4y
    @JomoKenyata-u4y 5 หลายเดือนก่อน +1

    Who is here may just to say thank you lord

  • @Ditripharm3
    @Ditripharm3 8 หลายเดือนก่อน +12

    ASANTE is living song. ASANTE ni maisha yangu ya kila siku na nyakati zote 🙏🙏🙏

  • @rehemasimfukwe
    @rehemasimfukwe 8 หลายเดือนก่อน +6

    My dear this is huge🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Mungu akutunze na kukutunza na kukuficha sana! Tumpe shukrani zetu🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @PastorPanta
    @PastorPanta 8 หลายเดือนก่อน +14

    GOD BLESS YOU AND LIFT YOU DAUGHTER, KEEP ON MAKING GOD PROUD....

  • @neliajosey8666
    @neliajosey8666 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mwimbo wangu wa asubhui na usiku huu Kila nikiguswa naacha comment mm❤
    Ijulikane yakuwa hamna anewezakuishi bila msaada wako huuuuuuiiiii Asante ❤

  • @NeemaJulius-xq4qo
    @NeemaJulius-xq4qo 8 หลายเดือนก่อน +9

    Machozi yanapotirirka ikawe harufu nzur mbele zako🙏🙌.... such a powerful song..... Glory to God

  • @AiIrene0611
    @AiIrene0611 7 หลายเดือนก่อน +1

    Oooh my sister nakufurahia nikikumbukaa tulikotoka hakika Mungu amefanya . I just glorify him for you

  • @berthaconrad561
    @berthaconrad561 7 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you my little sister......❤

  • @praisegamuya804
    @praisegamuya804 8 หลายเดือนก่อน +7

    Since day one am listening to this song nasikia tu kulia hata leo hii ni machozi yananitoka .....Gladness GOD bless you my sister

  • @neliajosey8666
    @neliajosey8666 8 หลายเดือนก่อน +4

    Asante Asante
    Ni wimbo ambao kwa nyakati zote neno Asante linatumika.
    Mungu azidi kukuinua zaidi nimeipenda sana "Asante"

  • @luganokapologwe4636
    @luganokapologwe4636 8 หลายเดือนก่อน +6

    Asantee
    Asantee
    Asantee
    Kazi nzuri..well done Gladness and the team asante kwa ibada hii ya shukrani

  • @gwamakamwakalinga6705
    @gwamakamwakalinga6705 8 หลายเดือนก่อน +10

    Neema Ijae Kwa Wingi

  • @veronicadibogo6114
    @veronicadibogo6114 7 หลายเดือนก่อน +3

    Sichoki kuusikiliza wimbo huu, hakika Mungu nasema Asante Kwa neema ya wokovu ulionipa

  • @ClintonLudigija
    @ClintonLudigija 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo sikuhuelewa mwanzo sasa nimehuelewa bwana Asanteh 🙏🏿

  • @yvonnefrank-v2v
    @yvonnefrank-v2v 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ijulikane hakuna mwanadamu yeyote anaweza ishi bila msaada wako Bwana❤❤❤ so blessed with the song, it's so powerful and beautiful

  • @emmanuelali6595
    @emmanuelali6595 8 หลายเดือนก่อน +2

    Uhuu❤ ijulikane kuwa hakuna mwanadamu anayeweza kuishi bila nguvu zako. Asanteeee.
    Wimbo wenyewe umenibariki sana. Siwezi ishi bila yeye.

  • @amosndozi8889
    @amosndozi8889 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo mkubwa sana huu kwa ajili ya kuludisha Shuklani kwa MUNGU wetu
    My dada MUNGU wetu akutunze vyema kiafya na kiroho kwa ajili ya utumishi wako kwa vizazi vijavyo nakupenda, nakufurahia

  • @delvinamatary4519
    @delvinamatary4519 7 หลายเดือนก่อน +2

    Yaan kama Mungu amekufanyia jambo huwezi choka kusikiliza huu wimbo,unagusa sanaaa,Mungu azidi kukuinua mdogo wangu

  • @herryjoshua828
    @herryjoshua828 7 หลายเดือนก่อน

    🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽....We do have a reason to thank GOD ....GOD BLESS YOU SIS🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @perisdibogo928
    @perisdibogo928 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dear Lord thank you for all you have done my love, Mimi sio kama wale 9 waloshindwa kushukuru🙌🙌 Dear Glady be blessed.

  • @kendrickentertainment
    @kendrickentertainment 5 หลายเดือนก่อน +2

    very powerful song... I bless the Lord for ministering this timely song🔥🔥🔥

  • @elishamuyomba5672
    @elishamuyomba5672 7 หลายเดือนก่อน +3

    Am blessed with dic song God bless you dada angu❤

  • @princesumary7356
    @princesumary7356 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naungana nanyinyote mnao mwambia Bwana Ahsante ❤❤

  • @nicholaus-jackson295
    @nicholaus-jackson295 8 หลายเดือนก่อน +2

    Waaooh barikiwa sana dada zaid hongera kwa huduma nzuri na yenye ujumbe endelevu katka maisha yetu 🙌🙌🔥🔥🔥

  • @beatusjackson3638
    @beatusjackson3638 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubariki sana kwa huu wimbo mzuriii Gladness❤

  • @JenipherMosha
    @JenipherMosha 7 หลายเดือนก่อน +1

    God bless you my dear I'm really happy for you Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu WOG❤❤❤❤❤

  • @BennieKimaro-rl3kq
    @BennieKimaro-rl3kq 8 หลายเดือนก่อน +2

    Breath of God (Asante)🔥🔥🔥🔥. Kazi nzuri sana, Mungu wa Mbinguni akuinue zaidi

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana Binti yangu .I'm super proud of you

  • @zachariahjuma5330
    @zachariahjuma5330 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante YESU being blessed from +254Ke 🇰🇪 kazi nzuri sister and your entire team barikiweni sana na mzidi katika huduma hii nzuri Kwa UTUKUFU wa Yesu

  • @joanessjoel2394
    @joanessjoel2394 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nauona utukufu wa mungu mwanza sas pia ur like everlynwanjiru in kenyaaa

  • @gladnessswila5770
    @gladnessswila5770 8 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥Mungu akubariki mtumishi wa Mungu. Nadhani huu utakuwa wimbo wangu wa mwaka. Mungu ni kila kitu. Bila Mungu hakuna kitu.
    "i love this part
    Upo Ijulikane hakuna mwanadamu yoyote anaweza ishi bila msaada wako 😭😭😭🙌🙌🙌

  • @neliajosey8666
    @neliajosey8666 5 หลายเดือนก่อน

    Hii Ngoma ni motooo sana
    Baba asante mm narudi mama mbili mbili

  • @mikeharmony_official
    @mikeharmony_official 8 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤This is a life changing song........ Am greatful lord ooh am greatful 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @TinahAll-j9u
    @TinahAll-j9u 8 หลายเดือนก่อน +5

    Breath of God ( Asante) 🔥🔥🔥🙌🙌

  • @AdelaLetema
    @AdelaLetema 7 หลายเดือนก่อน +2

    😢majira yote ni asanteh tuh bwanaaaaaa

  • @irenekarugaba7613
    @irenekarugaba7613 8 หลายเดือนก่อน +1

    Utukufu kwa Mungu juu mbinguni, kwa wema na fadhili zake maishani mwetu. Hakika namfurahia Mungu kwa kunipa neema ya kushuhudia utumishi wako. Kila niisikiapo sauti yako madhabahuni inanikutanisha moja moja na uwepo wa Mungu. You are a treasure. God bless you minister

  • @mectridacharles5781
    @mectridacharles5781 7 หลายเดือนก่อน +1

    Amen.......May God bless you more and more sister its a wonderful song to meditate ❤

  • @rachelmachumu7733
    @rachelmachumu7733 8 หลายเดือนก่อน +2

    Congrats my blessed minister, nabarikiwa sana sana na huu wimbo be blessed

  • @daudichande9756
    @daudichande9756 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera sana Dada yangu Injinia Gladness.God bless you and Keep you❤❤❤❤❤

  • @AngelMbherwa
    @AngelMbherwa 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ubarikiwe dada yetu Mungu akubariki sana

  • @beatusjackson3638
    @beatusjackson3638 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Mungu kwa kila kitu❤❤

  • @JamesMtangi-wu2cj
    @JamesMtangi-wu2cj 8 หลายเดือนก่อน +3

    Be blessed sister

  • @nkubapaul8531
    @nkubapaul8531 8 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉Engineer congratulations to what you have done! God be with you

  • @ZionLaizer-b3c
    @ZionLaizer-b3c 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo nilikuwa nausubiri kwa hamu sana umenigusa sana be blessed dada Glady

  • @ministermossesmungure
    @ministermossesmungure 7 หลายเดือนก่อน +1

    Keep being blessed abundantly Woman of the Most High Living God 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @GloryNkwamu-t6r
    @GloryNkwamu-t6r 8 หลายเดือนก่อน +2

    Blessings mtumishi wa Mungu🙌Mungu akuzidishe

  • @dribrahmalema6591
    @dribrahmalema6591 8 หลายเดือนก่อน +1

    The Power behind of this voice❤, nyimbo wa majira, blessings WOG

  • @ClintonLudigija
    @ClintonLudigija 8 หลายเดือนก่อน +1

    I'm coming back with a testimony through this song🙏 bwana asante kwa yale yote unayofanya kwenye maisha yangu

  • @elmessilas3780
    @elmessilas3780 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni sauti ya shukrani kabisa..Asante Kwa kutupeleka Katika Kumshukuru Mungu.. Umebarikiwa sana Eng.

  • @officialsamuelthomas
    @officialsamuelthomas 8 หลายเดือนก่อน +3

    Keep excellimg mdogowangu. Kazi nzuri sanaa 🙌🏾

  • @iamissaanthon724
    @iamissaanthon724 7 หลายเดือนก่อน

    You're blessed Gladness keep the fire burning 🎉🎉🎉

  • @sarasiame8904
    @sarasiame8904 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nothing to say dadaangu, Mungu akubariki mnoo🥺🙏🏼🔥🔥🔥🔥🔥

  • @devothabernard1570
    @devothabernard1570 8 หลายเดือนก่อน +2

    Namshukuru Mungu kwa ajili yako hatua hii nzuri sana

  • @LilianMassaga-kn7fh
    @LilianMassaga-kn7fh 8 หลายเดือนก่อน +1

    🙌🤲❤️ Asante

  • @frolarweyunga8495
    @frolarweyunga8495 8 หลายเดือนก่อน +2

    This song is so powerful and meaningful to my life....♥️

  • @gladishaule9261
    @gladishaule9261 7 หลายเดือนก่อน

    Ahsante kwa yote..YESU ni mwamba wa yote....

  • @DorcasIbrahimuKiula
    @DorcasIbrahimuKiula 7 หลายเดือนก่อน +1

    It's very powerful song,
    God bless you sister Gladness

  • @NiceNicholaus
    @NiceNicholaus 8 หลายเดือนก่อน +2

    What a powerful song may God bless and lift you in higher dimensions #Asanteee...

  • @emmanuelmpopo5181
    @emmanuelmpopo5181 7 หลายเดือนก่อน +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @sarahboniphace9780
    @sarahboniphace9780 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante Yesu Wewe ni Mwema 💜💜

  • @judahliz6371
    @judahliz6371 4 หลายเดือนก่อน

    This is sooo sooo beautiful
    Mungu na akubariki sana

  • @EmmaFrancis14
    @EmmaFrancis14 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimekuja na shukran baba asante huu ni Wimbo wangu kwako be blessed WOG

  • @onesmomchomvu8373
    @onesmomchomvu8373 7 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu upo ijulikane akuna mwanadamu yeyote anaweza ishi bila nguvu zako

  • @heartworshippers
    @heartworshippers 7 หลายเดือนก่อน

    Such a sweet Melody.. Baba Twashukuru.. Baba Asante.

  • @RehemaShao-v5w
    @RehemaShao-v5w 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen 🙏 God bless you more 🙏

  • @kelvinjoeri8578
    @kelvinjoeri8578 8 หลายเดือนก่อน +4

    Hongera sana Mungu adhidishe neema

  • @emmanuelkamwela
    @emmanuelkamwela 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyimbo nzuri barikiwa sana mtumishi❤

  • @amanisamweli2865
    @amanisamweli2865 8 หลายเดือนก่อน +3

    Asante wimbo wa majira yote, 🙌🙌🙌🙌

  • @rachelmachumu7733
    @rachelmachumu7733 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo huu unanibariki sana sana ❤

  • @rebeccamalekwasasali722
    @rebeccamalekwasasali722 6 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful Worship girl. Keep that anointing.

  • @johariramadhani4226
    @johariramadhani4226 7 หลายเดือนก่อน +2

    Very powerful ❤️

  • @jacobneema7594
    @jacobneema7594 7 หลายเดือนก่อน +2

    On repeat mode,
    Asante
    Asante
    Asante

  • @rachelmachumu7733
    @rachelmachumu7733 7 หลายเดือนก่อน +2

    Blessed voice 🙏

  • @mrhandsome594
    @mrhandsome594 7 หลายเดือนก่อน

    I had to subscribe 😔🎉coz you are just blessing

  • @joycedavid6696
    @joycedavid6696 7 หลายเดือนก่อน

    May the Lord take you higher en higher🙏🥰

  • @pallangyodaniel8918
    @pallangyodaniel8918 7 หลายเดือนก่อน

    NEEMA YA BWANA WETU NA IWE JUU YETU SIKU ZOTE AMEN

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 8 หลายเดือนก่อน +2

    Barikiwa sana my namesake

  • @officialPastorYusuphJoel-
    @officialPastorYusuphJoel- 8 หลายเดือนก่อน +3

    Glory Glory to the King.🙌🙌🙌

  • @pastorimaniboaz5081
    @pastorimaniboaz5081 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mwanangu mzuri kwa kazi hii nzuri,Bwana azidi kukuinua sana

  • @devothabernard1570
    @devothabernard1570 8 หลายเดือนก่อน +1

    keep it up daughter nice song. nakupenda

  • @MafieElisha
    @MafieElisha 8 หลายเดือนก่อน +1

    Congratulation Glady, may God lift you more and more..

  • @christianmansoor3015
    @christianmansoor3015 8 หลายเดือนก่อน +1

    This is great Glad.. God bless you

  • @martinetimotheoofficial3304
    @martinetimotheoofficial3304 8 หลายเดือนก่อน +1

    AMEN!! very powerful song and may GOD lift you up more

  • @delvinamatary4519
    @delvinamatary4519 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wawooooo congrats Glady very powerful song💪

  • @astamboi8098
    @astamboi8098 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Sana gladness ❤❤

  • @neighborpaulo7879
    @neighborpaulo7879 8 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu azidi kukuinua

  • @pallangyodaniel8918
    @pallangyodaniel8918 7 หลายเดือนก่อน

    ASANTE Neno la shukurani mbele zako na manukato ya sifa

  • @annalisemachumu-sk1ko
    @annalisemachumu-sk1ko 8 หลายเดือนก่อน +1

    What a powerful song is, thanks is to the almighty God for giving you this grace

  • @gillianjared
    @gillianjared 8 หลายเดือนก่อน +2

    Beautiful song dear, keep soaring🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @HAPPINESSEmmanuel-k4w
    @HAPPINESSEmmanuel-k4w 7 หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed WOG❤

  • @mupenziallen808
    @mupenziallen808 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wow wow... congratulations my dear sister ❤️🙏 such a powerful song more blessings!!

  • @erickkimaro1194
    @erickkimaro1194 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo mzuri sana,Mungu akubariki

  • @johnkishiwa54
    @johnkishiwa54 8 หลายเดือนก่อน +1

    More than powerfully song

  • @glorifytemu8873
    @glorifytemu8873 7 หลายเดือนก่อน

    God bless you annointed one!

  • @hannahkimaro9614
    @hannahkimaro9614 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki dear. Very powerful

  • @LUPIMO_TV
    @LUPIMO_TV 8 หลายเดือนก่อน +3

    Exactly

  • @willybertbaraka3068
    @willybertbaraka3068 8 หลายเดือนก่อน +2

    Gee you’re blessed mama…. ❤🎉

  • @kulwashimiyu
    @kulwashimiyu 4 หลายเดือนก่อน

    Acha nikushukuru kwa yote🙏

  • @lataktv4538
    @lataktv4538 8 หลายเดือนก่อน +2

    Very powerful song May God anoint you more my sister

    • @gladnesssiyameofficial2228
      @gladnesssiyameofficial2228  8 หลายเดือนก่อน +1

      Amen amen kaka

    • @lataktv4538
      @lataktv4538 8 หลายเดือนก่อน

      umekuwa baraka sana kwangu na mke wangu nimekesha nikisikiliza