SEHE YA 2-MAMBO MUHIMU KATIKA MAOMBI YAKO|PR.DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)|

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 30

  • @edwardnoel9123
    @edwardnoel9123 4 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana ni mwema pastor, NAOMBA UISAIDIE FAMILIA YANGU, INAMTAFUTE SANA MUNGU.

  • @kazidotto8675
    @kazidotto8675 11 หลายเดือนก่อน +3

    Niombee mchungaji napitia changamoto ya Roho ya kuachana

  • @HanifaChalresy
    @HanifaChalresy 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ubatikiwe Sana pastor mbaga nakufatilia Sana nikiwa oman❤

  • @DieumeKasereka-z4u
    @DieumeKasereka-z4u 4 หลายเดือนก่อน

    yesu unipendaye

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 11 หลายเดือนก่อน +2

    Asante kwa kukuza imani yangu! Pastor taji yako nikubwa binguni haki

  • @TWISENGERwereje
    @TWISENGERwereje 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishiye ulinzi na Hekima zaidi. Natabasamu kuliko mutu yeyote.

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 11 หลายเดือนก่อน

    Asante sana tena sana nimetabasamu in gawa nilikuwa mwenye manunguniko natabasamu mno asanteni mutumishi Wa MUNGU

  • @GodfreyMndeme-o5k
    @GodfreyMndeme-o5k 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sanamchungaji mungu akubariki sana mim bahat baraka mrutu kutoka same mwembe❤❤❤

  • @mlishohadija6923
    @mlishohadija6923 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu asikupungukie pastor 🤲🤲🙏🙏🙏

  • @collinschepkwony4138
    @collinschepkwony4138 11 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤ you make my day pastor. Barikiwa na familia ya kwako

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 11 หลายเดือนก่อน

    Mimi nasema tu shukurani kubwa ume ni saidia kujisamini tena🙏🙏

  • @EstherLushino
    @EstherLushino 11 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa pasta

  • @MohammedMohammed-n5n
    @MohammedMohammed-n5n 11 หลายเดือนก่อน

    Amen pasta mungu akubariki

  • @Marcellalewa
    @Marcellalewa 11 หลายเดือนก่อน

    Shalom pastor,nabarikiwa nikiwa Saudi mungu azidi kukulinda na kukutumia kwaajili yakuhubiri neno lake.

  • @erickmogere6558
    @erickmogere6558 11 หลายเดือนก่อน +1

    Am blessed from Egypt ata kama mambo yangu hayaendi vizuri

    • @ruthykokos6414
      @ruthykokos6414 8 หลายเดือนก่อน

      One day every thing will maje sense

  • @ThinkerTz
    @ThinkerTz 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe mibaraka hii kama utubalikivyo

  • @NyamariFaith-qu1jm
    @NyamariFaith-qu1jm 11 หลายเดือนก่อน

    Happy Sabbath am blessed from Saudi Arabia

  • @froline5209
    @froline5209 6 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @AlamKandonga
    @AlamKandonga 11 หลายเดือนก่อน

    Ameeniii 👏👏👏

  • @saumhamisi7320
    @saumhamisi7320 11 หลายเดือนก่อน

    Shalom pastor hamna sauti

  • @kabalizasekanabomarko6063
    @kabalizasekanabomarko6063 11 หลายเดือนก่อน

    Tuko pamoja kutoka Sweden.

  • @MaryBiyaki-t4y
    @MaryBiyaki-t4y 11 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @adorymongish2972
    @adorymongish2972 11 หลายเดือนก่อน

    Hamna sauti

  • @lennyfrank
    @lennyfrank 11 หลายเดือนก่อน

    Ameen Ameen

  • @navokisembo
    @navokisembo 10 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @asgricie5230
    @asgricie5230 11 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @linetokuku5390
    @linetokuku5390 11 หลายเดือนก่อน +1

    Bwana YESU asifiwe mtumish wa MUNGU pr mbaga asante sana somo la baraka MUNGU akubariki sana naomba hii app ya mmaomvi app please pin 📍 link yake please