Assalamu alaykum. Sheikh Abdulrauf naomba sana tupatie darsa za kitabu cha AKIDATU SALAFIYA. Cha Sheikh Abdulrahaman Aswabunii. Hakika hivi vitabu vya Kisalafy ukivifindisha naelewa mno
Kwa mazingira tunayo ish nayo haqq n kitu ghal mno hasa kw kukithir makund meng yakiw tofaut kiitikad zao wew kam wew usiwe mropokaj sikiliza maneno na uyapime wenda unachokipinga n ushabik tu ila upande unao utetea hauna hoja utaangamia Mim namnasih ndgu yang muislaam al habib salumhasssan
Upeo wako NI mdogo Sana. Kijana dah! Sikuahi kufikiria Kama Tanzania kutakua na mtu Mfano wako ww. Hakuna kitabu chchte cha Kiislamu ispokua kinachambua Quran. Ama Kwa kupatia au kukosea lakini point NI Quran na Sunna. Sikiliza upate Faida Acha upizani
@QaisMohamed-h3q hii dawa salafiya akhy ni nzuri ikiendeshwa vzr shida inakuja kwa mashekh waendeshaji wa dawa, wanatugawa mno, mfano ushamsikia abuu zaghari akiwarusha makombora ya matusi, lakini Abdallah humeid analingania na kashfa humo humo, arafu hii dawa tungesimama pamoja, ingekuwa na nguvu Sasa chaa ajabu mashekh wametugawa, tumejiwa vikundi vikundi, kila kikundi kinajiona ndo kipo sahihi wote wanafata man hajji hii, mfano kabla hamjamtenga abuu zaghari ilikuwa kitu kimoja katika daawa, Leo mmemtenga na yey anawatu wake wanampenda na yey ana mashekh anao wasapoti wallahi tungesimama pamoja kwa hii dawa tungevunja ushirikina kwa kuburiyun sifiiyun, kwa mashia na filka dhwala zingine, ssasa sisi wenyewe tumekatana haina maana ya kusema ahlsunnah Wal jamaa wakati kila mtu na jamaa Yake na watu wake, na shekh wao uoni tumeinyima hakki hiyo jamaa
Umegundua wewe na nani ? Kwa hoja zipi? Sipingi mtu aweza kukosea, na kusema nibwatu wa sunna haina maana wamekingwa na makosa wanaweza wakakosea, ila yatakikana kama kweli kosa lipo au ni bidaa iwekwe wazi ijadiliwe kielimu. Ili yasiwe madai tu,
MAWAHABI MNACHUKI ZIDI YA WAISLAM WEZENU MTAKUWAJE SALAFI? SALAFI WAPO MAKKA SIYO AFRICA HUKU KWETU KUNA SALAFI NNJAA NA KUWAKUFURISHA WAISLAM WENZAO TU
Shukran saana sheikh ALLAH akuhifadhi uzidi kutuilimisha
Allah akuhifadhi na sisi pia masarafi
جزاك الله خيرا
Wewe ni sheikh unae ongea kweli kabisa kwa dalili za qur'an na sunnah ALLAH akuhifadhi daima
Assalamu alaykum. Sheikh Abdulrauf naomba sana tupatie darsa za kitabu cha AKIDATU SALAFIYA. Cha Sheikh Abdulrahaman Aswabunii. Hakika hivi vitabu vya Kisalafy ukivifindisha naelewa mno
Allaahu akuhifadhi Shekh wetu
Allah akupe nguvu ya kuifikisha Daawa ya kisalafiy
جزاءك الله خير
الله يحفظك ياشيخنا
أللهم امين
Kwa mazingira tunayo ish nayo haqq n kitu ghal mno hasa kw kukithir makund meng yakiw tofaut kiitikad zao wew kam wew usiwe mropokaj sikiliza maneno na uyapime wenda unachokipinga n ushabik tu ila upande unao utetea hauna hoja utaangamia
Mim namnasih ndgu yang muislaam al habib salumhasssan
Maa shaa Allah... Allah akulipe kheir nyingi sheikh wetu...
Naomba namba ya sheikh kwa atakayejaaliwa kuwa nayo au kuweza kuipata
Weka namba yako nikutafute
MAWAHABI MNAVITUKUZA VITABU VYA MASHEKHE WENU KULIKO HATA QRAAN
Upeo wako NI mdogo Sana. Kijana dah! Sikuahi kufikiria Kama Tanzania kutakua na mtu Mfano wako ww. Hakuna kitabu chchte cha Kiislamu ispokua kinachambua Quran. Ama Kwa kupatia au kukosea lakini point NI Quran na Sunna.
Sikiliza upate Faida Acha upizani
Kama ww unavyo yatukuza makaburi ya mashekh zenu wa kitwarika sioo😂😂
Si kweri
Lete hoja
Na si madai tu
Si kwer Lete hoja
Na si maneno matupu
@QaisMohamed-h3q hii dawa salafiya akhy ni nzuri ikiendeshwa vzr shida inakuja kwa mashekh waendeshaji wa dawa, wanatugawa mno, mfano ushamsikia abuu zaghari akiwarusha makombora ya matusi, lakini Abdallah humeid analingania na kashfa humo humo, arafu hii dawa tungesimama pamoja, ingekuwa na nguvu Sasa chaa ajabu mashekh wametugawa, tumejiwa vikundi vikundi, kila kikundi kinajiona ndo kipo sahihi wote wanafata man hajji hii, mfano kabla hamjamtenga abuu zaghari ilikuwa kitu kimoja katika daawa, Leo mmemtenga na yey anawatu wake wanampenda na yey ana mashekh anao wasapoti wallahi tungesimama pamoja kwa hii dawa tungevunja ushirikina kwa kuburiyun sifiiyun, kwa mashia na filka dhwala zingine, ssasa sisi wenyewe tumekatana haina maana ya kusema ahlsunnah Wal jamaa wakati kila mtu na jamaa Yake na watu wake, na shekh wao uoni tumeinyima hakki hiyo jamaa
SALAFI WA KWELI HAHUBIRI CHUKI ZIDI YA WAISLA WENZAO
Si kwer
Huu uliouongoea ni uongo na chuki
Za wazi
Maana hakuna wanaoongoza chuki kwa waislamu wezao kushinda masufi
YOTE UNAYO YAHUBIRI HAPO YANAWAHUSU MAWAHABI
Kwenye tabia hapo ndo mmefeli nndugu. Zangu
Kivipi ndugu
kwani dini salafi ni dini Gani
@@AbuuSiiriinnamna ya ufikishaji wa dawa huoni Abdallah humeid mara nyingi huwa anatukana
Ni binadamu Fata mema yake
Hata nyinyi tumegundua nikundi la bidaa tu Tena mmepitoliza kwa bidaa
Umegundua wewe na nani ? Kwa hoja zipi?
Sipingi mtu aweza kukosea, na kusema nibwatu wa sunna haina maana wamekingwa na makosa wanaweza wakakosea, ila yatakikana kama kweli kosa lipo au ni bidaa iwekwe wazi ijadiliwe kielimu. Ili yasiwe madai tu,
@@rashidyusuphmwatebela8802aqsam tawhid sio uislamu ni ukafiri
@@MwanahawaKhoja-le6bm bidaa ipi ulizogubduwa ww
MAWAHABI MNACHUKI ZIDI YA WAISLAM WEZENU MTAKUWAJE SALAFI?
SALAFI WAPO MAKKA SIYO AFRICA HUKU KWETU KUNA SALAFI NNJAA NA KUWAKUFURISHA WAISLAM WENZAO TU
DAH WE JAMAA UNAJITAHIDI KWELI KUCOMENT
INAONESHA WAZI KUA UNACHUKI KUBWA SANA JUU YA MASALAFI KWANI WALIKUFANYA NINI??
Chuki ya wazi kabisa
Huwenda haujamsikiliza Shekh
Mwanzo mwisho