Mashaallah baraka Allah fii. Allah atujaalie nasi na wtt wetu elmu Bora kama Yako. Nawe Allah akujaalie elmu zaidi na iwe ndio sababu yawatu. Wengi kuingia peponi kwa mawaidha Yako tuongoke. Ameen ya Rabi
Sheikh naomba unieleze hii dua baada ya swala ambayo mtume ( s.a.w) alimwambia Muadh aisome baada ya kil swala. Naomba unijuze- inasomwa pahala gani? Baada ya swala tu, baada ya kusoma subhana allahu, Alhamdulillah, Allah Akbar au sehemu ipi. Naomba unieleze mtiririko wa dhikr tangu unatoa salaam mpaka unamalizia kusema Fatha na kisha kuomba dua?..
Allah atujalie elimi yake Sisi navizazi vyetu allah humma ammin🙏🙏🙏
Inshallah. Shekhe Mola akupe niaa yakutufunza lshallah illa ingewezekana utuaandikieee hizo dua please Shekhe
Mashalah sheikh izudin hakika mawaidha yako yanaingia ndani ya nafsi barabara Allah akupe umri uendelee kusimamia dini ya allah,Amni ya tabbi
Baraka Allahu fiikum wajazakaAllahu khaira ya Sheik thanks for the reminder. May Allah reward you fiduniya waliakhera. Ameen 🙏🙏🙏🙏
اللهم أعني على ذكر ك وشكرك وحسن عبادتك
Aamiin. Insha allah
Ma shaa Allah, Allah akulipe kheri na kukujaaliwa umri mrefu uzidi kutupa ilmu
Shukran Sana kwa Dua uliyotupatia sheikh, Allah atuhifadhi na atupe wepesi wa kushika mafunzo haya na mengineyo unayotupatia inshaAllah.
Allahumma aamiin
Hakika inshallah
Masha Allah Allah akupe afya njema uzidikutufundisha
Asaalam aleikum waramatulahMashaAllah sheikh Izudin,mawaida yako yananipa moyo wangu itulie kweli ALLAH akupe mema kila wakti
Allah akuwe uzidi kutupa matunda ya manuffa InshaAllah....May Allah shower you with His blessings always
Jazakallah kheriiiiiiii shehe Allah akulipe kheriiiiiiii shehe hapa duniani na kesho akhera ishaallah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Jaazakhallah sheikh mwenyezi mungu akupe umri mrefu wenye nguvu na afya❤
Alhamdulillah Allah akujaze kheri shekh izudini duniani na akhera
Ameen yarab allamina shukrn sana sheikh jazakallah khaira Allah akulipe kila la kheri
Shukran sheikh,Allah akuzidishiye mayisha 🙏
Mashaallah Allah akuzidishi amali njema
Jazzak Allah ukheir Sheikh Izudini.
Jazakhallah kheri Mola akuzidishie afya njema Kwa mawaidha mazur sana🙏💯❤
Jazakalhaw kheri
Subhanah Allah sheikh Allah akuzidishie
Mashaallah baraka Allah fii. Allah atujaalie nasi na wtt wetu elmu Bora kama Yako. Nawe Allah akujaalie elmu zaidi na iwe ndio sababu yawatu. Wengi kuingia peponi kwa mawaidha Yako tuongoke. Ameen ya Rabi
Amiin ya rabbi
SubhanahAllah
Jazakalahu kheri inshaallaah Allah akufanyie wepesi kila jambo lako inshaallaah
shukrani shekhe letu mungu akujalie mwisho mwema
Alla atupe wepes inshalaah
Inshaallah
Amiina yarahabii ❤
SubhanaAllah shukran shekh izudin jazaka Allahu'kher minal dunia wa akhera in🙏🙏♥️
Sheikh wangu Mimi nakupata vizuri Sana Ila naomba maerekezo ya swara zaidi shukrani, nataka kuijua swala zaidi nifahamu like ninacho kifanya Asante,
Asante Sana sheikh ilautuandikie😊😊😊
Maashaallah.Allah akupe umri mrefu uendelee kutupatia I'lmu Inshaa Allah
Asante kwa mafundisho sheikh wetu M/Mungu akupe kher dunian na akhera
Mashaalla m, mungu akulinde kwa Kira lilokuwa na kher akuepushe na rashari Amina
Mashaallah Mashaallah
Mashallah sheikh Mw Mungu akuifath ameen
Sheikh naomba unieleze hii dua baada ya swala ambayo mtume ( s.a.w) alimwambia Muadh aisome baada ya kil swala. Naomba unijuze- inasomwa pahala gani? Baada ya swala tu, baada ya kusoma subhana allahu, Alhamdulillah, Allah Akbar au sehemu ipi. Naomba unieleze mtiririko wa dhikr tangu unatoa salaam mpaka unamalizia kusema Fatha na kisha kuomba dua?..
@@manenomlawa7347 mashaallah
@@manenomlawa7347 mashaallah sheikh may Allah bless you.
@@manenomlawa7347B
Aamiin ya Rabbal Allah min shukran sana kwa duwa zako Allah akuzidishie kheri duniani na akhera.
Amin
MA SHAA ALLAH DARSA NZURI SHEIKHE ALLAH AKUHFADHI
Amiin
Mashaallah
Astagafilulah. May Allah guide us and forgive us yarabi Ameen
SubhanaAllah shukrani sana sheik , mungu akujalie pepo yke, Allahuma aamini
Mashallah Allah atuzidishie sote
Alhamdulillah shukrani sheh
Masha'Allah Tabarakallahu Sheikh🙏🤲
Mashaa lah mashalaah❤
Mashallah Allah akulipe kheri nyingi
Allah akupe mri mrefu🙏🙏
Jazak Allahu Khairaan Kathiraan Sheikh kwa Darsa Muruwa
Mashallah
Masha Allah Shukran Jazaqallah kher Sheikh
Allahumma a'3innii 3alaa dhikk'rika Wasshuk'rika wahus'nii 3ibaadatika
Mashaallah shekhe Alhamdhulilah kwa kutufunza yaliyo ya kheyr
mwenyizi mungu akujaalie ,naipenda sana dini ya kislaam.
Sheikh ALAHAMDULILAH nimepata elim bila ya malipo mwenyezi mungu akulinde akuzidishie kila la her
Allahuma aani alaadhikrika washukria wahusini ibadatika
Jazakallahu kheiri
Muwe mnatuandikia tuwetunajifunza zaidi shukran🙏🙏 maasalam
Ishallah jazzakal kheir
MashaAllah subhannaAllah Alhamdulillah rabbilaalamiin
Shukrani jazilah
Amiina yarahab
Shukran sheikh wetu
Amiin yaarbi
Mashaallaah Allah akupe umri mrefu inshaallaah
Shukran mungu akuzidishie ufahamu zaidi ilitufudishe nakuombea jannaInshaAllah
Allah akupe umri mrefu unafanya nie na nguvu zayd kwenye ibada
MashaAllah. Shukran🤲🤲
Masha-ALLAAH, ALLAH akuzidishie SHEIKH
Masha Allah shekhe mawaidha mazuri..Allah akujazi malipo yko kwa Allah.
Manshallah
Asalam alaikum. Tunaomba mwenye kuzijua dua hizo atuandikie hapa kwa comment. Ili tuzijua zaidi. Inshallah
Ameeen🤗🤗🤗
Shukran sheikh
Jazaaka lahu haira sheikh izudin
Mashaallah shukran
Mashaallah tabarakallah ❤
Masha Allah Sheikh
Mashallah sheikh.shukran jazillah
Mashaallaha
Masha Allah, Allah akupe umri wenye manufa insha Allah.
Jazakallah kheir
Amina rabra aramin
Subhanallah msiba mkubwa kuto kuswali kwa sababu ya nguo pia kulaharamu yaa rabbi tustiri sisi na vizazi vyetu kula haram 🤲🏼🤲🏼🤲🏼
Jazakalahu khail Sheik
SAW
Allamdulillah
Maa Shaa Allah Alhamdulillah
Mashaallah
Shukran jazzila
Shukrani shekhe wetu
Waleiku salamu warahmatullahi wabarakatuh, Ameen Ameen Ameen Yarabi, shukran sana Allah akuhufadhi InshAllah 🤲🤲🤲
Ameen thuumaa ameen yaarabby 🤲 Allah atujaalie sote insha'Allah
Jazakallahu ameen.
Mashaa Allah , Allah akuafikishe ktk hili
Mashalla tumejifunza
Shukrani sheikh kwa ujumbe pia wafurahisha 😂Masha Allah
Shukran kwa mawaidha na mafundisho mazuri Allah atakulipa mema na hapa duniani na akhera
Subhallah
Lailahailallah
Mashaallah Allah akupe umri yaarabby
Amina yarabi
Aaaallllah huma amin yarab
Allahumma aamiin yaa rabb
Shukran kwa mafunzo mazuri Allah akujaze kheri inshallah Amin.